gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Wale wamba wanaojinasibisha na uislam ilhali mate do yao siyo, wanajipanga kumuondoa madarani Assad
Jamaa hao ambao waumiapo huenda kutibiwa Israel, wameonekana kuwa na morali safari hii
Syria ni njia inayotumika kupeleka silaha gaza na lebanon.
Wakati huohuo netanyahu na msaidizi wake waliondoka muda mfupi tu baada ya kikao cha namna ya kumdunda Iran kuanza. Wanusaji wanadokeza kwamba huenda wanagenzi wa kizayuni hawakutaka matatizo zaidi na Iran