37m ·
Simba tunapaswa kuheshimiwa sana nchi hiii
Mpaka sasa tumecheza mechi 4 tumevuna alama 7..
Anaejiita mpinzani wetu na anaejiita timu kubwa Afrika mashariki ilimlazimu acheze mechi 18 Ili kufikisha points 7
Mwaka 1998 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 2 (Usicheke
)
Mwaka 2016 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 4
Mwaka 2018 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 4
Ili kufikisha points 7 ambazo Mnyama amefikisha kwa mechi 4 tuu jirani yetu imemlazimu acheze mechi 18 tena katika kipindi cha miaka 24
Hivi mnatoaga wapi ujasiri wa kubishana na sisi
tena hapo kuna kitu sijasema naona aibu kwamba kwa miaka yote hiyo 1998, 2016, na 2018 mliburuza mkia kwenye hayo makundi
Mwana Simba hapo ulipo sema jipige kifua kisha sema SISI HATUNA MPINZANI