Isiwaume nauliza tu: Hivi Yanga walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF?

Isiwaume nauliza tu: Hivi Yanga walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF?

Timu ikisha ongoza kundi ndio inakua bingwa? Kweli umbumbumbu ni kipaji[emoji1][emoji1][emoji1]
Jibu swali nililouliza! Je utopolo walishawahi kuongoza kundi lolote la caf? Hayo mengine Mimi sijayasema!!
 
Kuna timu mwaka jana iliongoza kundi la ligi ya bongo kisha haijatwaa ubingwa. Ikitokea tena msimu huu wa sikukuu kuna watu watazimia
Tunazumgumzia kuongoza kundi michuano ya caf!! utopolo sijui wakoje? Mnakwama wapi?
 
Naamini utopolo hata kama atapangwa kundi Moja na timu za Somalia , shelisheli, Djibouti na Eritrea bado atamaliza akiwa wa mwisho kwenye kundi.
Halafu Wana njaa Sana na mechi za kimataifa, kwa hiyo wameamua kucheza ndondo za kimataifa na somalia! Angalau Nao wajisikie kimataifa kidogo!! Tatizo hata tukiwabeba hawabebeki!! Michuano ya awali tu Chali!!
 
Yanga washawahi kuongoza kundi kwenye Mapinduzi Cup inayofanyikiaga Zanzibar ambae ni mwanachama wa CAF. So ki msingi jibu ni Yes...!!!
Kwa hiyo mapinduzi cup ni moja ya mashindano ya caf! Hebu tuingie kwenye tovuti ya caf tuhakiki Hilo!!
 
Hawajawahi, sasa njoo ufanye majumuisho ya hoja yako
Naona wenzetu ni wakarimu sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je, walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
 
Back
Top Bottom