mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
-
- #21
Jibu swali nililouliza! Je utopolo walishawahi kuongoza kundi lolote la caf? Hayo mengine Mimi sijayasema!!Timu ikisha ongoza kundi ndio inakua bingwa? Kweli umbumbumbu ni kipaji[emoji1][emoji1][emoji1]
Nimeuliza tu, jibu tu kuwa walishawahi kuongoza au hawajawahi, wanasikiaga tu kwenye Bomba kuwatazama wenye ubavu wakipokezana kileleni!Haina maana, kwani lazima kuongoza kila kitu?
Jibu swali!! Tatizo liko wapi! yaani utopolo utamjua tu!!Uzi una masaa mawili lakn wachangiaji tupo wachache mno. Jitafakali
Tunazumgumzia kuongoza kundi michuano ya caf!! utopolo sijui wakoje? Mnakwama wapi?Kuna timu mwaka jana iliongoza kundi la ligi ya bongo kisha haijatwaa ubingwa. Ikitokea tena msimu huu wa sikukuu kuna watu watazimia
Halafu Wana njaa Sana na mechi za kimataifa, kwa hiyo wameamua kucheza ndondo za kimataifa na somalia! Angalau Nao wajisikie kimataifa kidogo!! Tatizo hata tukiwabeba hawabebeki!! Michuano ya awali tu Chali!!Naamini utopolo hata kama atapangwa kundi Moja na timu za Somalia , shelisheli, Djibouti na Eritrea bado atamaliza akiwa wa mwisho kwenye kundi.
Kwa hiyo mapinduzi cup ni moja ya mashindano ya caf! Hebu tuingie kwenye tovuti ya caf tuhakiki Hilo!!Yanga washawahi kuongoza kundi kwenye Mapinduzi Cup inayofanyikiaga Zanzibar ambae ni mwanachama wa CAF. So ki msingi jibu ni Yes...!!!
Na kuagwa je?Mgeni muhimu apokewe
Na kuagwa je?
Japo nimesema isiwaume nauliza tu lakini naona imewauma kweli kweli!!Haina maana, kwani lazima kuongoza kila kitu?
Naona wenzetu ni wakarimu sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je, walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!