Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Mkuu Ritz unajua wazee wetu walikuwa hawamshtukia Nyerere kama ni mtu wa hatari waarabu wana msemo unaosemaMtu yeyote anayejitambua na anayejali heshma na utu wake, Hawezi kuandika uharo kama huu.
Nikisoma maneno yako mkuu gombesugu nabasamu mno. Hayo majibu ni mujarabu na yenye kujitosheleza kwa mnasaba wa mnakasha wetu. Akhsante.
Remote,
Nikumbushe ni swali gani nimeshindwa kujibu...
Ayatollah Chamviga,
Salaam Al Akhiy.
Nasi pia twakusoma kwa utuvu hizi bayana zako mubashar!
Wallahi,nimecheka mpaka basi...maana hivi vitimbi vya humu havina mipaka! Kwi! Kwi! kwi!
Naona Mag3,ati atakafanza mpambano - "one on one" nawe!? Kwi! Kwi! Kwi!
Umefanza uzuri kwa yale majibu/maelekezo ya kistaarabu ulompatia.
Ahsanta.
Ndugu yangu Nguruvi3 hivi kweli unategemea utapata majibu hapa ha ha ha ha wakati mwingine tumia busara za kawaida usipoteze nguvu nyingi wakati unajua unapambana na watu dhaifu sana wasiopenda kushughulisha akili zao zaidi ya kujifungia kwenye makabati ya dini.
Mkuu Ngongo hivi akili yako iko salama? unaweza kumfananisha Nguruvi3 na mzee Mohamed Said?
waarabu wanamsemo unaosema "ashfiku alaa raaasi la tushfikuu alal jabal" maana yake ni
yaani wewe upige kichwa jabali halafu unalisikitikia jabali badala ya kichwa chako:frusty:
ahsanta.

historia ya Nyerere imeshaandikwa a imekamilika kwasababu hayupo mwaka wa 14.
Gombesugu,
Tunajitahidi kuueleza ulimwengu ukweli:
1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 2000 (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] 17[SUP]th[/SUP] 2003).
9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February 4[SUP]th[/SUP] March 2004).
10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).
11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi (Childrens book).
13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007 Nairobi.
14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century (1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006), Kenyatta University Nairobi.
16. Muslim Bible Scholars of Tanzania The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 3 September 2006) University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban.
17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.
18. ''Tanzania: A Nation without Heroes'' paper presented at a seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September, 2013 Nairobi.
Maulana Dr Kahtaan,
Salaam,Al Akhiy.
Nakusihi hata nawe pia itakuwa umefanza dhuluma kulumbana na huyo Remote! Kwi! Kwi! Kwi!
Kwa mintaaraf ya dasturi na Al Adab zetu,huyo Bint Remote italazim tumpambanishe na mwenzie. Kwahiyo atakapokua tayari alete khabar hapa jamvini nasi tutamtaarif Hajat Faizafoxy aje kumsasambura! Kwi! Kwi Kwi!
Wallahi,naona huu mnakasha umebaki comedy tupu za kina Nguruvi3 na Mag3...yaani ndo naingia hivi punde tu napitia ile post ya Mag3 ya kuomba mpambano na Ayatollah Chamviga!?...yaani nimecheka taabani! Kwi! Kwi! Kwi!
Ahsanta.
mzee mmoja wa tabora alidai nyerere ndiye aliyewaambia kuwa nchi yao, wao walidhani ni chi ya wazungu. nipe details kupruvu hoja yako dhaifu kama hiyoImeandikwa na nani?
Halafu kumbuka, hii mada haiongelei historia ya Nyerere, au kichwa cha habari kinakupa matatizo kuelewa?
Kumbuka pia, Nyerere alipokuja Dar alikuta tayari wapo kwenye harakati za kudai kujitawala siku nyingi sana, yeye aliunga nao tu, na historia inayoongelewa humu ni hao aliowakuta, wakampokea wakamlisha wakamvisha wakamlaza. Upo hapo ulipo?
mzee mmoja wa tabora alidai nyerere ndiye aliyewaambia kuwa nchi yao, wao walidhani ni chi ya wazungu. nipe details kupruvu hoja yako dhaifu kama hiyo
tuanze kujiuliza kwanini wanataka kutambuliwa kama waislamuWakati mwingi nimesha kuonya kuwa!
Unapoingia ktk uzi za wenye kufikiri basi kuwa makini na unacho uliza la si hivyo utazidi kuonyesha udahifu wa elimu yako!!
Ukhti FaizaFoxy anakwambia nyerere alishazikuta pirika za kupigania uhuru zimeshaanza! Halafu unaleta habari za mzee wa tabora! Aliyekunywa tembo lake akakuhadithia mambo. Ukatuletea hapa!!
Na unamwambia akupe ushahidi wa hayo??
Yaani wewe mpaka leo hujatambua kuwa Nyerere alikaribishwa TANU na akapewa KADI YA UANACHAMA NA WAZEE WAASISI waliokuwa wanamuona huyu nyerere kama vile wewe unavyo mtazama mwanao anaesoma shule ya msingi!
Au we kwa elimu uliyonayo ulidhani nyerere ndio muanzilishi wa TAA na TANU.
teh teh teh teh! Kutokuwa na elimu ni balaa kubwa mno!
tuanze kujiuliza kwanini wanataka kutambuliwa kama waislamu
kama watanzania. na mafaili ya dini wayaache misikitini. hayatuusu watanzania, yanahusu wenye dini husika. tunaheshimu mchango wao kama watanzania.Ulitaka watambuliwe kama Wakristo?
tuanze kujiuliza kwanini wanataka kutambuliwa kama waislamu
mzee mmoja wa tabora alidai nyerere ndiye aliyewaambia kuwa nchi yao, wao walidhani ni chi ya wazungu. nipe details kupruvu hoja yako dhaifu kama hiyo
Gombesugu,
Tunajitahidi kuueleza ulimwengu ukweli:
1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).
9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).
10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).
11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi (Children's book).
13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007 Nairobi.
14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century (1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006), Kenyatta University Nairobi.
16. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006) University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban.
17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.
18. ''Tanzania: A Nation without Heroes'' paper presented at a seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September, 2013 Nairobi.
kama watanzania. na mafaili ya dini wayaache misikitini. hayatuusu watanzania, yanahusu wenye dini husika. tunaheshimu mchango wao kama watanzania.