Mag3,
Wewe unadai yakuwa ati "ustaarabu ni dhahabu"...nakuuliza,wewe ustaarabu unaujulia wapi na utauanzia wapi!?
Sisi huo ustaarabu huzaliwa nao,huu uhuni ndo hujifundishia ukubwani. Ni kinga tu,na huwa tunautumia kiduchu inapolazim kukabiliana na watu wa aina yenu!
Wewe kama kweli ungalikua mstaarabu japo kiduchu,basi ungeweka quotes na za hao jamaa zako wana Chadema/makanisa wenzio...ili kuonyesha ilikuaje mpaka ikalazim sisi kutoa majibu/ujumbe huo!?
Au japo pia ungewaomba Wanajamvi wajaribu kuufuatilia huu mnakasha tangia awali na mpaka tulipo,khalaf ndo uwaache wao ndo wajipimie wenyewe kwa mantik zao!?
Imenilazim kucheka kwa jinsi hayo majina yetu na ulivyotupanga kwenye hiyo post yako!? Kwi! Kwi! Kwi!
Yaani umenikumbusha wale ndugu zetu Al Mujaheedin wa kule Jammu/Kashmir na wale kiboko ya mwa-Amerika, Pashtuns! Kwi! Kwi! Kwi!
Hao ndo Al Muhaj'run wa humu Jf,chini ya uongozi thabit na madhubut wa Ayatollah Chamviga! Kwi! Kwi! Kwi!
Nimecheka pia kuona nduguyo Nguruvi3, analazimisha kwa Maulana Dr Kahtaan yakuwa ati nae ni wa Mwambao,tena huku akijinadi kwa mashairi na mipasho!? Kwi! Kwi! Kwi!
Nafurahi kwa haya "maendeleo" na trendy hii, maana wakti wa yule maluuni Nyerere;jamaa zetu wengi wakiogopa na kudharau kuwa Mswahili,mtu wa Mwambao/Pwani au hata Muislam...hivi vyoote vikionekana ati ni kama derogatory term!? Nafikiri wakumbuka uzuri mno!?
Ilifikia wakti hata wale jamaa zetu wa Kihaya waliokuja hapo D'salaam kuuza tupu zao/"kutafuta stara",ati nao wakionekana wa maana kuliko mtu kuitwa Mswahili au wa Mwambao/Pwani!? Kwi Kwi! Kwi!
Nilikua sina khabar yakuwa Shariff Ritz kumbe anafuga njiwa,lakini hao ni maalum tu kusubiri huo "mtama" wa huyo Nguruvi3! Kwi Kwi! Kw!
Mwambie huyo kipofu mwenzio Nguruvi3,hata nami napata PMs nyingi pita kiasi,jamaa humu Jf wanastaajabu na kuniuliza je huyo Nguruvi3 kakumbwa na kipi kwenye mjadala huu,mbona kageuka kituko/kichekesho!?....au labda account yake ya Jf imekuwa-hacked na inatumiwa na mtu mwingine!?
Nami nawajibu yakuwa,khabar hizi si ngeni humu Jf...maana mwenzetu Dr Slaa kila siku yanamkuta hayo ya account yake kutumiwa na mwingine!? Kwi Kwi! Kwi!
Mwambie Nguruvi3,ajitahidi kwenda Hospital kuonana na Maulana Dr Kahtaan,akadungwe japo sindano moja apate usingizi. Maana hiki kiama cha hapa jamvini nakhis kitamtohoa!
But,Mag3,in a serious note...huu ni mnakasha/thread takriban wa tatu, wewe ni mmojawapo ya Vinara wanaojaribu mno kumbeza na kumuadhiri mno Sheikh Mohammed Said,kisa tu sababu ya maandiko yake!?
Hivi huoni hata soni/haya,pale wewe na wenzio kujinasib "ustaarabu" huku mkizuia msomi mwenzenu asisomwe maandiko yake na mkitumia lugha chafu mno kumpaka matope...tena huku yeye akikustahamilieni na huku akifanza uungwana dhidi ya huo udhalim wenu!?
Hio freedom of speech iko wapi,au mnataka kuturejesha kulekule "enzi ya Mwalimu"!?
Mara ngapi tumeshakuambieni yakuwa hoja za kitaaluma,hujibiwa tu na hoja za kitaaluma. Sasa nyinyi au hao wataalamu wengine mnaowategemea kwanini hamtoi hiyo history/maandiko yenu ku-counter hizi descriptions/writtings,ukweli uloshamiri alouleta Sheikh Mohammed Said!?
Nakusihi embu jipitie hii post yako ya mwanzo ulioleta kwenye mnakasha huu,khalaf jisome kwa utuvu,tena peke yako bila ya kufuata ushauri au maelekezo ya yule kichwa maji Nguruvi3...khalaf jitazame kwenye kioo na ujisuduku mwenyewe!
Tafadhalini pia punguzeni hizo myth zenu,yakuwa ati Sheikh Mohammed Said ndo mchochezi na "Mentor" wetu! Hili si kweli nanyi binafsi mwajua yakuwa hizi ni baadhi tu ya hizo propagandas zenu muflis!
Takufahamisha kiduchu;Waislamu takriban woote hapo Tanganyika/Zanzibar yoote mpaka Kenya/Mombasa,walikua wanaijua history yao yoote ya mapambano/harakati zao tangia enzi za ma-Portugese na Mjarumani na hatimae kuja huyo Mngereza na yule kibaraka wao Nyerere!
Kila nyumba yoyote ilokua ya Muislam hiyo Tanganyika/Zanzibar yoote,ukiuliza utaambiwa madhila walofanziwa ma-Sheikh wetu na Viongozi wetu wengine wa kidini na baadhi ya Families/Watu maaruf wakti wa yule Nyerere,na dhulma nyinginezo nyingi kwa nyakati tafauti.
Kwa kifupi haya yoote alioandika Sheikh Mohammed Said na kuufahamisha umma na dunia yoote,ni marejeo tu na uthibitsho wa kimaandishi,wala si mambo labda mageni/mapya mno miongoni mwetu sisi Waislam.
Kama ni urongo/uchochezi basi itakuwa Waislam woote wa Tanzania/East Afrika nzima na Masheikh zetu/Wazee Wetu woote nao pia ni warongo na wachochezi na sio Sheikh Mohammed Said pekee...
Maana nao pia hizi khabar za yalowakuta/madhila walofanziwa wao binafsi na jumuia yetu na ndugu zetu wengi tu,walikua wakitueleza kila kukicha na wamekufa bila kujulikana au kutambulika na yeyote kwenye history ya vitabuni ya Taifa letu...tena wanyonge wakizikana wenyewe kwa wenyewe tu!
Tafauti ya Wazee wetu na wanataaluma/Historian wengine wa kiislamu na Sheikh Mohammed Said,ni ya kwamba Sheikh Mohammed Said yeye amejitolea na kumuomba Mola ampe mwongozo/sabra na ndo leo twaona amefanikiwa kuyaweka baadhi tu kwenye maandishi!
Tukubaliane pia ya kwamba Sheikh Mohammed Said,ndo historian wa kwanza serious kutoka hapo Tanganyika kuandika history iso shaka na inayokidhi haja kwa miaka mingi ijayo.
Sisi tunamshukuru mno kila kukicha kwa kutuwekea misingi hii ilo mema na adimu kwenye history ilotaka kupindishwa na huo MfumoKristo.
Jitahidini kuukubali ukweli mchungu japo kiduchu jamaa zetu!
Embu kwa mtu yeyote mwenye maarifa yake,bila ya kujali hata dini au Ilm ilo kubwa;ende akasome kile kituko kilichotungwa na wale wanaharamu wa pale Kivukoni aka Historia ya Kivukoni na kulinganisha na maandiko ya Sheikh Mohammed Said!? Kwi Kwi! Kwi!
Kwa hiyo kama ni uchochezi au dhuluma katika jamii,mbona nyinyi nyoote hamkuwahi hata siku moja kukemea yale makhanatha yaloandikwa na wale maluuni wa Kivukoni kwa ajili tu ya kumfurahisha Nyerere aka "Baba Wa Taifa""
Pia msipende kupinga na kutoa arguments hizi muflis; ati wapigania uhuru woote walikua "hawana" dini,wala hawakutaja au kugombea uhuru wetu kwa kutumia hizo dini/matabaka yao,au ati hizo dini zao haziku-play big role kwenye zile harakati!?
Kwa Ukristo na hao Makasisi wenu ni kweli,wao walikua wakivinjari tu na wale Slave Masters wao. Lakini Uislam,inajulikana "dhahir bin shahir" jinsi ulivyotumika na kushughulika kwenye harakati na mapambano ya kuleta "Uhuru" wetu...
Hili hata yule Nyerere,pamoja na unyama wake mwingi mno,lakini mara kwa mara alijaribu kukumbusheni nyinyi Wakristo wenzie...labda alikhis iko siku mtakujaleta "fadhila za punda"!?
Hizi nazo pia ni arguments zenu za kitoto ambazo mmekua mkizirejea kila mara mpaka hivi sasa kuna baadhi ya misukule yenu humu Jf wameshaanza kuamini yakuwa ni "kweli"!? Kwi! Kwi! Kw! Kwi!
Nisingependa kuingia huko kwa sasa,maana hiyo nayo ni Topic tafauti/ndefu kiduchu...labda Insha Allah penye majaaliwa tufungue thread nyingine siku zijazo nami takualika rasmi...Promise!
Pole kwa mazungumzo marefu,lakini kwa sasa naomba nikwache maana inanilazim nende nikamkitimize majiti ya roho yule mbilikimo ajiitae ati ni "Mtu Mzima"! Kwi! Kwi! Kwi!
Ahsanta.