Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Ayatollah CHAMVIGA, hivi hii serikali unayoshinda humu ukiitetea ndiyo hiyo hiyo inayoendeshwa KimfumoKristo kama ma Al Muhaj'run wa JF, wakiongozwa na Sheikh Mohamed Said, wanavyodai au nyingine? Je, kama kweli unakiri ni hiyo hiyo, ni wapi mamlaka ya Kanisa, MfumoKristo, yanapoishia na mamlaka ya CCM, chama tawala, yanapoanzia? Naomba, kama utaridhia, kwenye hili swala, mimi na wewe Ayatollah CHAMVIGA, twende one on one na nimekuchagua wewe kwa sababu ni kati ya vinara humu wanaoitetea sana CCM na serikali yake.

cc; Al Alkhiy gombesugu, Maulana Dr. kahtaan, Shariff Ritz, Ukhti FaizaFoxy, Sheikh Mohamed Said , Al Habib Al Tayeb, Al Akhiy Boko haram, Al Murid THE BIG SHOW, Al Akhiy Polite

Mag3 kwa mjadala na maswLi yako magumu ya kifalsafa ambayo mzee wa gerezani mudi side alishindwa kuyajibu usitegemee kitu kutoka kwa hawa ma'alkhiy, zaidi ya kuleta kejeli. Nakupindish hoja yako

Teh teh teh!! Haki Mungu JF kuna vituko.

Hii ina nikumbusha mpambano wa Muhammad Ali na Leon Spinks (1978).

Teh teh teh teh!
Hio title yako hujakosea hata kidogo!

Na kwasababu umeomba 1 2 1! Mi namsubiri hayatollah CHAMVIGA aje kukupiga msasa kidogo!
Akiwa na pirika zingine za kuelimisha wanafiq wengine mi ntamuomba shariff Ritz amuwakilishe au mimi mwenyewe!

Sawa!? Yaa munafiq.
 
Last edited by a moderator:

Dr. kahtaan.

Ni muendelezo wa"mikwara mbuzi" tu.

Huyu Al Munafiq hata akiota ametupiga inabidi aamke na kutuomba msamaha.
 
Last edited by a moderator:
Mag3 kwa mjadala na maswLi yako magumu ya kifalsafa ambayo mzee wa gerezani mudi side alishindwa kuyajibu usitegemee kitu kutoka kwa hawa ma'alkhiy, zaidi ya kuleta kejeli. Nakupindish hoja yako

Huyo profesa mavrigiza wako aliahidi atakuja hapa na vitu vizito! Ma akatitahadharisha tusije kimbia!
Sasa mimi na waungwana wengine hapa tumekaa stand by!
toka Paka ameingia pipani hajatoka tena!

Teh teh teh teh!
Naona kila aki google vitu anakuta message inasema" did you mean nyenyere?
Teh teh teh !
Nyie ndio mnaitwa wapambe nuksi! Kazi yenu kutoa pua mkasema neno halafu mkaingia mtini! Kama wale mjusi kafiri!
Teh teh teh
 
Mag3 kwa mjadala na maswLi yako magumu ya kifalsafa ambayo mzee wa gerezani mudi side alishindwa kuyajibu usitegemee kitu kutoka kwa hawa ma'alkhiy, zaidi ya kuleta kejeli. Nakupindish hoja yako

Remote,
Nikumbushe ni swali gani nimeshindwa kujibu...
 
Remote,
Nikumbushe ni swali gani nimeshindwa kujibu...

Salaam sheikh Mohamed Said .

Maalim wetu huyu kiruka njia Remote hajui alisemalo.
Mashaka yake ni hizo elimu za kata walizopata..

Huyu kwa hisani zako niachie mimi niongee nae huyu mtoto asiyemjua babie!
Manake mimi nimeishi na kuwalea hawa watoto wa mzazi mmoja! Nawajua vizuuuri sana.

Kwa hisani zako kaka.

Shukran.
 
Last edited by a moderator:

Mag3,

Wewe unadai yakuwa ati "ustaarabu ni dhahabu"...nakuuliza,wewe ustaarabu unaujulia wapi na utauanzia wapi!?

Sisi huo ustaarabu huzaliwa nao,huu uhuni ndo hujifundishia ukubwani. Ni kinga tu,na huwa tunautumia kiduchu inapolazim kukabiliana na watu wa aina yenu!

Wewe kama kweli ungalikua mstaarabu japo kiduchu,basi ungeweka quotes na za hao jamaa zako wana Chadema/makanisa wenzio...ili kuonyesha ilikuaje mpaka ikalazim sisi kutoa majibu/ujumbe huo!?

Au japo pia ungewaomba Wanajamvi wajaribu kuufuatilia huu mnakasha tangia awali na mpaka tulipo,khalaf ndo uwaache wao ndo wajipimie wenyewe kwa mantik zao!?

Imenilazim kucheka kwa jinsi hayo majina yetu na ulivyotupanga kwenye hiyo post yako!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani umenikumbusha wale ndugu zetu Al Mujaheedin wa kule Jammu/Kashmir na wale kiboko ya mwa-Amerika, Pashtuns! Kwi! Kwi! Kwi!

Hao ndo Al Muhaj'run wa humu Jf,chini ya uongozi thabit na madhubut wa Ayatollah Chamviga! Kwi! Kwi! Kwi!

Nimecheka pia kuona nduguyo Nguruvi3, analazimisha kwa Maulana Dr Kahtaan yakuwa ati nae ni wa Mwambao,tena huku akijinadi kwa mashairi na mipasho!? Kwi! Kwi! Kwi!

Nafurahi kwa haya "maendeleo" na trendy hii, maana wakti wa yule maluuni Nyerere;jamaa zetu wengi wakiogopa na kudharau kuwa Mswahili,mtu wa Mwambao/Pwani au hata Muislam...hivi vyoote vikionekana ati ni kama derogatory term!? Nafikiri wakumbuka uzuri mno!?

Ilifikia wakti hata wale jamaa zetu wa Kihaya waliokuja hapo D'salaam kuuza tupu zao/"kutafuta stara",ati nao wakionekana wa maana kuliko mtu kuitwa Mswahili au wa Mwambao/Pwani!? Kwi Kwi! Kwi!

Nilikua sina khabar yakuwa Shariff Ritz kumbe anafuga njiwa,lakini hao ni maalum tu kusubiri huo "mtama" wa huyo Nguruvi3! Kwi Kwi! Kw!

Mwambie huyo kipofu mwenzio Nguruvi3,hata nami napata PMs nyingi pita kiasi,jamaa humu Jf wanastaajabu na kuniuliza je huyo Nguruvi3 kakumbwa na kipi kwenye mjadala huu,mbona kageuka kituko/kichekesho!?....au labda account yake ya Jf imekuwa-hacked na inatumiwa na mtu mwingine!?

Nami nawajibu yakuwa,khabar hizi si ngeni humu Jf...maana mwenzetu Dr Slaa kila siku yanamkuta hayo ya account yake kutumiwa na mwingine!? Kwi Kwi! Kwi!

Mwambie Nguruvi3,ajitahidi kwenda Hospital kuonana na Maulana Dr Kahtaan,akadungwe japo sindano moja apate usingizi. Maana hiki kiama cha hapa jamvini nakhis kitamtohoa!

But,Mag3,in a serious note...huu ni mnakasha/thread takriban wa tatu, wewe ni mmojawapo ya Vinara wanaojaribu mno kumbeza na kumuadhiri mno Sheikh Mohammed Said,kisa tu sababu ya maandiko yake!?

Hivi huoni hata soni/haya,pale wewe na wenzio kujinasib "ustaarabu" huku mkizuia msomi mwenzenu asisomwe maandiko yake na mkitumia lugha chafu mno kumpaka matope...tena huku yeye akikustahamilieni na huku akifanza uungwana dhidi ya huo udhalim wenu!?

Hio freedom of speech iko wapi,au mnataka kuturejesha kulekule "enzi ya Mwalimu"!?

Mara ngapi tumeshakuambieni yakuwa hoja za kitaaluma,hujibiwa tu na hoja za kitaaluma. Sasa nyinyi au hao wataalamu wengine mnaowategemea kwanini hamtoi hiyo history/maandiko yenu ku-counter hizi descriptions/writtings,ukweli uloshamiri alouleta Sheikh Mohammed Said!?

Nakusihi embu jipitie hii post yako ya mwanzo ulioleta kwenye mnakasha huu,khalaf jisome kwa utuvu,tena peke yako bila ya kufuata ushauri au maelekezo ya yule kichwa maji Nguruvi3...khalaf jitazame kwenye kioo na ujisuduku mwenyewe!

Tafadhalini pia punguzeni hizo myth zenu,yakuwa ati Sheikh Mohammed Said ndo mchochezi na "Mentor" wetu! Hili si kweli nanyi binafsi mwajua yakuwa hizi ni baadhi tu ya hizo propagandas zenu muflis!

Takufahamisha kiduchu;Waislamu takriban woote hapo Tanganyika/Zanzibar yoote mpaka Kenya/Mombasa,walikua wanaijua history yao yoote ya mapambano/harakati zao tangia enzi za ma-Portugese na Mjarumani na hatimae kuja huyo Mngereza na yule kibaraka wao Nyerere!

Kila nyumba yoyote ilokua ya Muislam hiyo Tanganyika/Zanzibar yoote,ukiuliza utaambiwa madhila walofanziwa ma-Sheikh wetu na Viongozi wetu wengine wa kidini na baadhi ya Families/Watu maaruf wakti wa yule Nyerere,na dhulma nyinginezo nyingi kwa nyakati tafauti.

Kwa kifupi haya yoote alioandika Sheikh Mohammed Said na kuufahamisha umma na dunia yoote,ni marejeo tu na uthibitsho wa kimaandishi,wala si mambo labda mageni/mapya mno miongoni mwetu sisi Waislam.

Kama ni urongo/uchochezi basi itakuwa Waislam woote wa Tanzania/East Afrika nzima na Masheikh zetu/Wazee Wetu woote nao pia ni warongo na wachochezi na sio Sheikh Mohammed Said pekee...

Maana nao pia hizi khabar za yalowakuta/madhila walofanziwa wao binafsi na jumuia yetu na ndugu zetu wengi tu,walikua wakitueleza kila kukicha na wamekufa bila kujulikana au kutambulika na yeyote kwenye history ya vitabuni ya Taifa letu...tena wanyonge wakizikana wenyewe kwa wenyewe tu!

Tafauti ya Wazee wetu na wanataaluma/Historian wengine wa kiislamu na Sheikh Mohammed Said,ni ya kwamba Sheikh Mohammed Said yeye amejitolea na kumuomba Mola ampe mwongozo/sabra na ndo leo twaona amefanikiwa kuyaweka baadhi tu kwenye maandishi!

Tukubaliane pia ya kwamba Sheikh Mohammed Said,ndo historian wa kwanza serious kutoka hapo Tanganyika kuandika history iso shaka na inayokidhi haja kwa miaka mingi ijayo.

Sisi tunamshukuru mno kila kukicha kwa kutuwekea misingi hii ilo mema na adimu kwenye history ilotaka kupindishwa na huo MfumoKristo.

Jitahidini kuukubali ukweli mchungu japo kiduchu jamaa zetu!

Embu kwa mtu yeyote mwenye maarifa yake,bila ya kujali hata dini au Ilm ilo kubwa;ende akasome kile kituko kilichotungwa na wale wanaharamu wa pale Kivukoni aka Historia ya Kivukoni na kulinganisha na maandiko ya Sheikh Mohammed Said!? Kwi Kwi! Kwi!

Kwa hiyo kama ni uchochezi au dhuluma katika jamii,mbona nyinyi nyoote hamkuwahi hata siku moja kukemea yale makhanatha yaloandikwa na wale maluuni wa Kivukoni kwa ajili tu ya kumfurahisha Nyerere aka "Baba Wa Taifa""

Pia msipende kupinga na kutoa arguments hizi muflis; ati wapigania uhuru woote walikua "hawana" dini,wala hawakutaja au kugombea uhuru wetu kwa kutumia hizo dini/matabaka yao,au ati hizo dini zao haziku-play big role kwenye zile harakati!?

Kwa Ukristo na hao Makasisi wenu ni kweli,wao walikua wakivinjari tu na wale Slave Masters wao. Lakini Uislam,inajulikana "dhahir bin shahir" jinsi ulivyotumika na kushughulika kwenye harakati na mapambano ya kuleta "Uhuru" wetu...

Hili hata yule Nyerere,pamoja na unyama wake mwingi mno,lakini mara kwa mara alijaribu kukumbusheni nyinyi Wakristo wenzie...labda alikhis iko siku mtakujaleta "fadhila za punda"!?

Hizi nazo pia ni arguments zenu za kitoto ambazo mmekua mkizirejea kila mara mpaka hivi sasa kuna baadhi ya misukule yenu humu Jf wameshaanza kuamini yakuwa ni "kweli"!? Kwi! Kwi! Kw! Kwi!

Nisingependa kuingia huko kwa sasa,maana hiyo nayo ni Topic tafauti/ndefu kiduchu...labda Insha Allah penye majaaliwa tufungue thread nyingine siku zijazo nami takualika rasmi...Promise!

Pole kwa mazungumzo marefu,lakini kwa sasa naomba nikwache maana inanilazim nende nikamkitimize majiti ya roho yule mbilikimo ajiitae ati ni "Mtu Mzima"! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Gombesugu,

Tunajitahidi kuueleza ulimwengu ukweli:

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).

10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi (Children's book).

13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007 Nairobi.

14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century (1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006), Kenyatta University Nairobi.

16. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006) University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban.

17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.

18. ''Tanzania: A Nation without Heroes'' paper presented at a seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September, 2013 Nairobi.
 
Ayatollah CHAMVIGA, hivi hii serikali unayoshinda humu ukiitetea ndiyo hiyo hiyo inayoendeshwa KimfumoKristo kama ma Al Muhaj'run wa JF, wakiongozwa na Sheikh Mohamed Said, wanavyodai au nyingine? Je, kama kweli unakiri ni hiyo hiyo, ni wapi mamlaka ya Kanisa, MfumoKristo, yanapoishia na mamlaka ya CCM, chama tawala, yanapoanzia? Naomba, kama utaridhia, kwenye hili swala, mimi na wewe Ayatollah CHAMVIGA, twende one on one na nimekuchagua wewe kwa sababu ni kati ya vinara humu wanaoitetea sana CCM na serikali yake.

cc; Al Alkhiy gombesugu, Maulana Dr. kahtaan, Shariff Ritz, Ukhti FaizaFoxy, Sheikh Mohamed Said , Al Habib Al Tayeb, Al Akhiy Boko haram, Al Murid THE BIG SHOW, Al Akhiy Polite

Kwi kwi kwi @ umeamua kuhamisha/kuanzisha mnakasha mwengine ndani ya mnakasha. Waswahili wanasema usilolijua ni usiku wa giza. Ila kutorefusha huu mnakasha wako kwenda mbali nakuacha na kauli ya wahenga wakisema 'BORA ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA'. Kwasababu wewe ni mswahili bila shaka utakuwa umenipata. Kanisa linaanzia wapi mamlaka yake na kuishia wapi hilo kwangu sio swali la msingi.
 
Tangazo,tangazo waislam wote kama unaipenda sana dini yako basi nenda somalia au saudiarabia maana huko ndio wenzenu bado mfumo islam umetapakaa hata kazi mtapewa cha msingi muwe waislam.
 
Teh teh teh teh!
Hio title yako hujakosea hata kidogo!

Na kwasababu umeomba 1 2 1! Mi namsubiri hayatollah CHAMVIGA aje kukupiga msasa kidogo!
Akiwa na pirika zingine za kuelimisha wanafiq wengine mi ntamuomba shariff Ritz amuwakilishe au mimi mwenyewe!

Sawa!? Yaa munafiq.

Teh teh teh. Dr kahtaan usiwe na wasiwasi wewe endelea kuangusha nyundo tu watanzania wapenda nchi yao wafaidike na kuijua nchi yao inatoka/ipo/inaelekea wapi. Watu wanajificha katika miamvuli ya vyama wakiviita vya demokrasia kumbe lengo ni kuuendeleza mfumo ambao wanahisi kama unatetereka.
 
Last edited by a moderator:
Gombesugu,

Tunajitahidi kuueleza ulimwengu ukweli:

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800  2000 (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP]  17[SUP]th[/SUP] 2003).

9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950  1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February  4[SUP]th[/SUP] March 2004).

10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938  1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi (Childrens book).

13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007 Nairobi.

14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940  1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century (1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006), Kenyatta University Nairobi.

16. Muslim Bible Scholars of Tanzania  The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918  2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1  3 September 2006) University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban.

17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.

18. ''Tanzania: A Nation without Heroes'' paper presented at a seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September, 2013 Nairobi.
Huku ndiyo kuwaenzi hawa wazee wetu waliopigania uhuru.

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea, Atafutae Lulu hana budi kupiga mbizi". ~ John Dryden
 
Salaam sheikh Mohamed Said .

Maalim wetu huyu kiruka njia Remote hajui alisemalo.
Mashaka yake ni hizo elimu za kata walizopata..

Huyu kwa hisani zako niachie mimi niongee nae huyu mtoto asiyemjua babie!
Manake mimi nimeishi na kuwalea hawa watoto wa mzazi mmoja! Nawajua vizuuuri sana.

Kwa hisani zako kaka.

Shukran.
Dr. kahtaan.

Huyo nguchiro niachie mie.
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuwa ni binadamu lakini unatabia za ki umbwa au ukamzidi hata mbwa, ila mbwa hataingia motoni kwasababu ni hayawani lakini jibwa kama wewe la kibinadamu moto utauna tu

Huyo mbwa wa manzese namuonea huruma kwa nguvu kubwa anayotumia kupigana na haki. Haki siku zote itashinda na dhulma haitokaa ikashinda.
 
Tangazo,tangazo waislam wote kama unaipenda sana dini yako basi nenda somalia au saudiarabia maana huko ndio wenzenu bado mfumo islam umetapakaa hata kazi mtapewa cha msingi muwe waislam.
Mtu yeyote anayejitambua na anayejali heshma na utu wake, Hawezi kuandika uharo kama huu.
 
Gombesugu,

Tunajitahidi kuueleza ulimwengu ukweli:

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).

10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi (Children’s book).

13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007 Nairobi.

14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century (1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006), Kenyatta University Nairobi.

16. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006) University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban.

17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.

18. ''Tanzania: A Nation without Heroes'' paper presented at a seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September, 2013 Nairobi.

Huku ndiyo kuwaenzi hawa wazee wetu waliopigania uhuru.

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea, Atafutae Lulu hana budi kupiga mbizi". ~ John Dryden

Cc Nguruvi3. Wengine wakiwa wanaenziwa majukwaani na wakitungiwa nyimbo zikafundishwa mashuleni, na kuchongewa masanamu yao sisi tunawaenzi wazee wetu kwakuandika na kusoma na kuvifundisha vitabu vilivyo na historia zao.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Nguruvi3 hivi kweli unategemea utapata majibu hapa ha ha ha ha wakati mwingine tumia busara za kawaida usipoteze nguvu nyingi wakati unajua unapambana na watu dhaifu sana wasiopenda kushughulisha akili zao zaidi ya kujifungia kwenye makabati ya dini.

Nilifahamu kuwa hoja zangu hazijibiki na zinasimama kama zilivyo. Kinachofuata sasa ni spinning. Sidhani mtu anayekuwambia ukweli anachuki na wewe au imani yoyote. Tatizo hamtaki kusikia ukweli mnataka kufarijiana kwa maneno ya kupumbazana.

Aliyebadili barabara ya Bagamoyo ni Jakaya Mrisho Kikwete, mbunge wa zamani wa Chalinze na Mzaliwa wa Bagamoyo.Muulizeni kwanini amefuta jina la historia. Huu ni ukweli msiotaka kuusema mnajificha nyuma ya kaburi la Nyerere.

Aliyebadili Ocean rd na kuwa Barack Obama ni JK, mbunge wa Chalinze na mwenyeji wa Bagamoyo.
JK alikuwa member wa Saigon ambayo member wengi ni wazawa wa Jiji .Sehemu ya member wa Saigon wanatengeneza chama cha wazawa wa Dar chini ya akina Kitwana Kondo, Idd Simba, Ramadhan Maadabida n.k.

Historia ya Jiji inaonyesha waliowahi kuongoza yupo Kitwana Kondo, Sykes, Adam Kimbisa, Abou Juma n.k. Kubadilishwa barabara ya bibititi kuwa UWT kulifanywa chini ya uangalizi wa madiwani na meya mzawa.

Juzi Jakaya Kikwete alipobadilisha majina, alifanya hivyo mbele ya Sadick Meshack mkuu wa Mkoa.
Akina SYkes, Kimbisa, KK, Idd , Sophia Simba, Ramadhan Madabida, (Mohamed Said Salum Abdallah Mwekapopo Muyukwa) wameshuhudia. Hakuna aliyenyanyua kinywa wanakimbiliNairobi kueneza uongo

Leo mnaelezwa ukweli mnashindwa kujibu halafu mnasema imani inashambuliwa. P
lease wake up!Mnashindwa kujibu mumejificha nyuma ya computer mkimsumanga Nyerere kaburini.

Mnaona haya msivyokuwa na haya kuwaeleza wanaofanya hayo, mnasubiri mtafute mtu wa kusingizia mfumo Kristo! Nonsense!

Hamuwezi kuwaenzi mashujaa mnaodhani ni wenu mnataka waenziewe kwingine. Badili jina la chuo cha Alharamanini na muite K.Sykes Mbuwane college of Education. Sijui kama hiyo ityabadili uelewa wa wanafunzi lakini kwa vile inaonekana ni factor muhimu sana MS na weznake watimiziwe matakwa na kiu zao

Badili jina la Chuo cha Morogoro na muite Abdul Sykes University.
Kama hilo litapandisha daraja la chuo nawaunga mkono kinyume chake ni upotezaji wa muda na pengine kukosa cha kujadili kuhusu maendeleo.

Sasa nikupe shule maana ninyi ndio wale mnaoamaka asubuhi mkiwa na hukumu zenu mnachotafuta ni aya ili kukamilisha haja zenu. Uislam ni amani na salama.

Jino kwa jino au jicho kwa jicho hufanyika pale tu taratibu za kiislam zitakapokuwa zimetimizwa na ndipo
tunapata neno Fatwa. Kinyume cha taratibu tunapata Alshabaab, Talibani n.k .
Sijui kama wewe unafuta taratibu au ndio Jino kwa jino kwavile tu umesikia ipo mahali.

Nimepigilia misumari na ninaendelea,wenzangu hamjibu hoja, mumejikita katika matusi.
Kwavile mnatukana mtu mwenye akili nzuri akisoma atagundua tofauti miongoni mwetu.
Najua inauma lakini sindano inauma ni dawa.

Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Nguruvi3 hivi kweli unategemea utapata majibu hapa ha ha ha ha wakati mwingine tumia busara za kawaida usipoteze nguvu nyingi wakati unajua unapambana na watu dhaifu sana wasiopenda kushughulisha akili zao zaidi ya kujifungia kwenye makabati ya dini.
Mkuu Ngongo hivi akili yako iko salama? unaweza kumfananisha Nguruvi3 na mzee Mohamed Said?
waarabu wanamsemo unaosema "ashfiku alaa raaasi la tushfikuu alal jabal" maana yake ni
yaani wewe upige kichwa jabali halafu unalisikitikia jabali badala ya kichwa chako:frusty:
ahsanta.
 
Back
Top Bottom