Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@gombesugu, ahlan wahsalan muungwana.
Pole kwa hamaki na kauli za staftashi, tafadhali pata funda la maji kitako utulize jaka moyo.
Ninaposoma majibu ya kejeli na matusi hujiridhisha hoja zangu zimeeleweka kwa nguvu zake.
Zinajibiwa kwa kejeli kwasababu ndilo jibu lililopo la karibu.
Nimesema ajitokeze mtu anithibitishie kuwa waliopigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam wote walikuwa waislam! Hakuna aliyetokea kwasababu mnafahamu wazi kuwa kuitwa Hussein hakumfanyi mtu awe mwislam.
Hoja yangu ipo wazi kabisa. Hakuna sababu ya msingi na ya maana kwa waislam kudai mashujaa wa Uhuru watambuliwe wakati ambapo Waislam hao hao wameshindwa kuwatambua.
Nikaweka hoja za kwanini chuo cha Alharamaini kisiitwe Abdul Sykes, Cha Dodoma kisiitwe K.Kleist n.k. ili kuanza kuwaenzi kwanza kabla ya kwenda kwenye medani ya kitaifa. Charity begins at home.
Ukiita shule kwa jina la Al Farook ambalo ni jina la Kiarabu tu na pengine maana yake ni ndogo sana ukaacha kuita Mshume Kiyate highschool unajidhulumu kabla hujadhulumiwa.
Please try to think beyond your nose!If you cannot dignify your own heroes ironically you hold someone accountable for the same, that's insane to be honest with you.
Nimewauliza, Nyerere amekufa miaka 14 leo hii.
Barbara ya Bagamoyo imepewa jina la Kibaki na kuua. Aliyefanya hivyo ni madiwani wa Dar, Mkuu wa mkoa wa Dar pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwasababu tu huwa hamna hoja ya maana mumeshindwa kuwa hold accountable wahusika mnatafuta jina la Nyerere kabuirini. Jk, Said Meshaki na madiwani wapo! kwanini mumtafute Nyerere kaburini. Waulizeni hao
Ndivyo ilivyo kwa Oceam Road, hatukusikia Mohamed Said au wengine wenye vichwa kama chake wakisema lolote. Tunamsikia akisemea Nairobi. He did not say anything to JK kwasababu. Leo tunasikia mfumo Kristo ukilaumiwa na Nyerere akiwa kaburini 14 yrs.
Mfumokristo ni dhana inayotengenezwa na Waislam wenyewe. Nitawaambia ukweli hata kama una umma.,
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.
Baada ya miaka 5 it's vicious circle kwasababu kuna mambo yanahitaji weledi. Huwezi kuwa Engineer au Daktari kwa kuteuliwa. Tutasikia wakilalamika JF mfumo kristo. Wamesahau kuwa hawakuwa na muda wa kupambana na mfumo, walitumia muda huo kujadili majina ya marehemu na kama yapewe mitaa! insane!
Kelele za kutambuliwa mashujaa zimesikika na medali zimetolewa. Sijui hilo limesaidiaje jamii ya watu wa Mkuranga wenye shule na mwalimu mkuu msaidizi ni Kiranja. ( Ogah lete habari ile ya Mkuranga)
Watu wanafikiria namna ya kufanya vyuo vyao vitambuliwe duniani, wenzetu mupo bize kutafuta majina na kumshambulia Nyerere. Hakuna anayejiuliza kwanini Morogoro University haipo katika vyuo bora 200 Africa.
Hitimisho ni kuwa
1. Kwanza, historia ya mwanadamu inaandikwa na mwanadamu kwa wakati na matukio.
Nyerere historia yake imeshaandikwa duniani. Hakuna anayeweza kuifuta au kuilingnisha na ya mtu mwingine. Ni ya Nyerere! period.Jitihada za kumpaka matope hazifanyi wengine wang'are.
Abdul Sykes atabaki kuwa raia na ukweli kuwa hakuwahi kuwa Rais wa Tanganyika utabaki pale pale hata kama unauma kama nyuki. Ni maumivu ya kuvumiliana
2. Anzeni kuenzi mashujaa kabla hamjaenda katika jukwaa la kitaifa.
Kama unadhani Jabal hilal ni bora kuliko Idd Faiz Mwafongo that should be your problem.
Hili la majina ni tatizo la utumwa wa kiakili.Waambieni madiwani wabadili majina, Tandamti iitwe Farijala, Twigwa uitwe Tatu Said n.k. Halafu mkae kitako mjiulize baada ya majina kubadilika, maisha ya jamii yamebadilika?
3. Stop the vicious circle of ignorance. Miaka 30 MS analalamika nanyi pia mnachukua kijiti kulalamika miaka 30 mingine. Inaudhi wasomi wanajadili trivial things kama majina ya mitaa na kuacha tatizo la elimu na umasikini katika jamii ile ile inayotaka majina! white elephant!
Kaeni chini mjiulize, kwanini kuna massive failure katika shule za Dar na kuna success Kirinjiko Secondari under the same environment! Kwanini chuo cha Morogoro hadi sasa hakijaweza kuchomoza katika anga za kimataifa hapa East Africa au Africa. Kuna tatizo gani na lisahishiswe vipi.
Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha.
Huwezi kujadili nyuzi nzima kuhusu stupid and trivial thing halafu uka depict positive image ya society. Frustration za MS si tatizo la kitaifa ni tatizo lake, you guys you're easily drawn in.
Mnashindwa kujibu hoja kwasababu you've been drawn in like chicken.
Wake up!
cc Al akhy Tayeb, ukhti Faiza Fox, maulana Ritz, Al Habib kahaatan
Mag3 JokaKuu Wickama AshaDii Mtu Mzima
Unaweza kuandika historia ya kabila fulani, huwezi kuandika historia ya Tanganyika kwa kundi fulani.
Kufanya hivyo ni kupotosha ukweli.
Hii ndiyo post yangu ya kwanza kama sijakosea Bukyanagandi, nikushukuru kwa kujenga hoja bila matusi.
Ni bahati mbaya nyuzi zinazomhusu Mohamed Said zimekuwa dimbwi la matusi kama ya karibuni na kupoteza maana iliyokusudiwa. Nimeweka hoja zako kwa makundi naomba uvumilivu kwa nyuzi ndefu.
Mambo mazito tuyazungumze kwa uzito, mabingwa wa matusi tuwatake radhi,eneo hilo hatuna ujuzi nalo.
Nyuzi za MS hazitafsiriwi vibaya au kupotoshwa(Kifungu A) bali zenyewe zina hisia (sensational) kama ulivyoeleza katika kifungu (D). Mwanahistoria hatakiwi achanganye matatizo yake na historia, hilo ni kosa la kwanza nashukuru umeliona na ncdicho chanzo cha `grossly misinterpreted whether by accident au deliberately`Kama ulivyobainisha.
Kifungu (B), unapodai MS anaandika historia ya madhehebu yake(imani nadhani) tayari inakuwa si historia.Historia ni mtiririko wa matukio kwa nyakati kama yalivyotokea na si kama yanavyoumbwa.
Unaweza kuandika historia ya kabila fulani, huwezi kuandika historia ya Tanganyika kwa kundi fulani.
Kufanya hivyo ni kupotosha ukweli.
Kusema K.Sykes na AA ukamwacha Cecil Matola, au Ramadhani Ali kama utakavyomuacha Kyaruzi na TAA ni upotoshaji wa historia si kuandika ukweli.
Watu wengi sana hapa jamvini wengine wakiwa wameyaona kwa macho kama akina Mag3 wanasema historia ilikuwa na mapungufu tena kwa kuonyesha wazi. Wanachokataa ni masahihisho ya historia kwa upotofu zaidi.
Nani asiyekubali kuwa Nyerere kaja Dar tena mtu mzima! bila mshirika au ndugu.
Nani kakataa kuwa wazee hawakuwepo Dar. Kinachokataliwa ni madai ya MS kuwa Nyerere alianza siasa mwaka 1952 kwa mara ya kwanza alipokuja Dar. Kuna tatizo gani tukisema MS amepotosha.
Kifungu G: Taifa lisiendekeze mambo ya udini katika mambo obvious! Nashangaa kwanini useme hivyo wakati umeshasema waislam ndio walipigania uhuru(C) na kuwa ni victim(E) na kuhoji tatizo ni nini MS akiandika historia ya madhehebu yake. Anayefanya mambo haya yachukue sura ya udini ni MS na kwa malengo mahususi
Ndugu yangu, historia ya MS haina ukweli kama unavyotaka kutuamisha.
Kungekuwa na ukweli ambao unataka vizazi vijavyo vielewe, MS asingeficha Usaliti wa familia ya Sykes kwenda kupigana na wazalendo. Ni mkosi kama ulivyosema (G).
Hivi ikiandikwa historia kuna sababu gani za kuomba radhi familia ya Sykes iliyokuwa mamluki wa kwenda kumpiga Mkwawa. Tuombe radhi wasaliti na wahaini! Tafadhalini.
Baada ya kumaliza kuandika historia ya waislam waliopigania Uhuru, MS ameandika kuhusu kuonewa kama raia wa daraja la pili, akaenda mbali na kutoa takwimu za viroja kuhusu mitihani.
Anachokifanya ni kujenga hoja kwa kutumia historia, hoja ambazo hawezi kuzitetea kwa mantiki bila chembe ya udini. Nitakupa mfano.
MS ameandika paper kuhusu `Taifa lisilo na mashujaa` ya hivi karibuni.
Ukisoma anamshambulia Nyerere na kuacha ukweli ulioko chumbani mwake.
Analalamika mashujaa hawatambuliwi hata kwa mitaa na majina.
Asichokijua MS ni baraza la madiwani lililokaa kufuta jina la bibi Titi Mohamed au kumpa Y.Makamba mtaa lililongozwa na wazee wa Dar waislam. Hawaulizi wenzake anatafuta mahali pa kutokea na lawama.
MS anasahau au hajui aliyetoa jina la Mwai Kibaki na kufuta Bagamoyo Road miaka miwili iliyopita si Nyerere aliyekaburini miaka 14 leo, ni JK aliye Ikulu.
MS anajitia ujuha wa kutojua kuwa Ocean Road imeitwa Barak Obama na JK na baraza la madiwani wa Jiji tena wa Ilala na diwani wa Karikoo akiwemo.
Katika mifano hiyo hatujamsikia MS akilalamika sasa inakuwaje akalalimikie Nairobi tena kwa kulaumu Marehemu. Haya ndiyo mnaita Ukweli! Wapi Unafiki unaweza unawekwa kwenye mizani na Ukweli.
Lakini pia MS hana sababu za kulalamika kuhusu majina ya mashujaa wake.
Kwa mtu mwenye akili kama hamthamini baba yake au mama yake anategemea jirani awathamini huyoo ni mjinga.
Kwanini MS adhani kuwa kuna umuhimu wa kutoa jina la barabara ya Abdul.Sykes wakati kuna maeneo kama Shule yana majina yasiyomaanisha lolote au chochote kijamii au kidini bali utumwa wa akili tu!
Natoa mifano.
MS alipaswa kubadili :
Al Haramaini kuwa Abdul Sykes college of education.
Masjid Quba kuwa Mshume Kiate secondary School
Thaqafa iwe Mwapachu secondary School
Jabal Hilal iwe Mwafongo secondary School
Morogoro University iwe K.Kleist Univesity
Ubungo Islami iwe Jamiaya fil Islam Tanganyika
Al Farook iitwe EAMWS secondary kama kumbu kumbu
n.k.
Baada ya hapo MS arudi Ilala na kuwashawishi madiwani ambao wengi ni wa imani yake wabadili majina ya mitaa. Mtaa wa Twiga uitwe Tatu Said Avenue, Mtaa wa Muheza uitwe Binti Farijala Boulevard, Lumumba iitwe Yusuf Cahember street n.k.
Endapo watu wa Buguruni wametambua umuhimi wa kumwita mzee wao Madenge nini kinamshinda MS kuhamasisha watu wa Karikoo wafute majina ya Makamba na kuweka ya wazee wake.
MS anaweza, hataki kwasababu lengo lake si kutoa majina. Lengo ni kuamsha hisia za uonevu na kupata platform ya kuungwa mkono hata kaienda wasikojua Sykes ni nani alitoka wapi na alifanya usaliti gani kwa taifa hili.
Wanajamvi, Abdul Syke na Baba yake wote kwa maandishi yao yaliyonukuliwa na MS wamesema lengo la uhuru lilikuwa kumkomboa Mwafrika(Shahidi ni MS kwa maandishi yake).
Hakuna mahali ambapo MS amennukuu mpigania uhuru yoyote wa imani yoyote akisema kuwa lengo la uhuru lilikuwa la kidini! hakuna! Hili la kuandika historia ya dini ni la MS kwa sababu zake za kuchochea hisia, halikuwa agenda ya wapigania Uhuru.
Kwa msioujua, MS ameandika historia ya Tanganyika baada ya kufuzu mafunzo ya Profesa wa Hisabati kutoka Pakistan ambaye sina shaka anaielewa Tanganyika vema kuliko MS. Leo tunashawishiwa kwa bidii kabisa tumsikilize mwanafunzi wa prof wa Pakistan atueleze ukweli kuhusu Cecil Matola, Caurembo na Mwafongo!
Na mwisho, naomba yoyote awaye ananifahmishe kwa uhakika kuwa wote waliokuwa na majina ya kiislam walikuwa Waislam.
Kama swali hili halitakuwa na jibu basi kuna tatizo, watu wakae kimya maana wanacheza ngoma wasioijua!
Kwanza nikukumbushe kuwa haikuwa post yangu ya kwanza. Rekodi zipo wazi kabisa na nadhani umeamua kuweka hilo neno ya kwanza ili kuonyesha kuwa nilikuja na shari kinyume na ukweli.Nguruvi3 post yako ya kwanza umekuja na lugha za kejeli ingawa wewe unaziita ukweli.
Umesema watu hawana akili wanashinda kwenye internet kulalamika.Umeongea mengi sana mpaka watu wameamua kukujibu humu JF wote ni watu wazima hakuna mtoto wala mtu yeyote anayemshikia mwenzake akili wewe unatuambia sisi tupo hapa kumtetea Mohamed Said. ambaye kachanganyikiwa baada ya kukosa umeneja wa bandari, unadhani watu watakujibu vipi.
Hakuna mahali niliposema hamna akili kama ulivyodai.@gombesugu, ahlan wahsalan muungwana.
Pole kwa hamaki na kauli za staftashi, tafadhali pata funda la maji kitako utulize jaka moyo.
Ninaposoma majibu ya kejeli na matusi hujiridhisha hoja zangu zimeeleweka kwa nguvu zake.
Zinajibiwa kwa kejeli kwasababu ndilo jibu lililopo la karibu.
Nimesema ajitokeze mtu anithibitishie kuwa waliopigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam wote walikuwa waislam! Hakuna aliyetokea kwasababu mnafahamu wazi kuwa kuitwa Hussein hakumfanyi mtu awe mwislam.
Hoja yangu ipo wazi kabisa. Hakuna sababu ya msingi na ya maana kwa waislam kudai mashujaa wa Uhuru watambuliwe wakati ambapo Waislam hao hao wameshindwa kuwatambua.
Nikaweka hoja za kwanini chuo cha Alharamaini kisiitwe Abdul Sykes, Cha Dodoma kisiitwe K.Kleist n.k. ili kuanza kuwaenzi kwanza kabla ya kwenda kwenye medani ya kitaifa. Charity begins at home.
Ukiita shule kwa jina la Al Farook ambalo ni jina la Kiarabu tu na pengine maana yake ni ndogo sana ukaacha kuita Mshume Kiyate highschool unajidhulumu kabla hujadhulumiwa.
Please try to think beyond your nose!If you cannot dignify your own heroes ironically you hold someone accountable for the same, that's insane to be honest with you.
Nimewauliza, Nyerere amekufa miaka 14 leo hii.
Barbara ya Bagamoyo imepewa jina la Kibaki na kuua. Aliyefanya hivyo ni madiwani wa Dar, Mkuu wa mkoa wa Dar pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwasababu tu huwa hamna hoja ya maana mumeshindwa kuwa hold accountable wahusika mnatafuta jina la Nyerere kabuirini. Jk, Said Meshaki na madiwani wapo! kwanini mumtafute Nyerere kaburini. Waulizeni hao
Ndivyo ilivyo kwa Oceam Road, hatukusikia Mohamed Said au wengine wenye vichwa kama chake wakisema lolote. Tunamsikia akisemea Nairobi. He did not say anything to JK kwasababu. Leo tunasikia mfumo Kristo ukilaumiwa na Nyerere akiwa kaburini 14 yrs.
Mfumokristo ni dhana inayotengenezwa na Waislam wenyewe. Nitawaambia ukweli hata kama una umma.,
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.
Baada ya miaka 5 it's vicious circle kwasababu kuna mambo yanahitaji weledi. Huwezi kuwa Engineer au Daktari kwa kuteuliwa. Tutasikia wakilalamika JF mfumo kristo. Wamesahau kuwa hawakuwa na muda wa kupambana na mfumo, walitumia muda huo kujadili majina ya marehemu na kama yapewe mitaa! insane!
Kelele za kutambuliwa mashujaa zimesikika na medali zimetolewa. Sijui hilo limesaidiaje jamii ya watu wa Mkuranga wenye shule na mwalimu mkuu msaidizi ni Kiranja. ( Ogah lete habari ile ya Mkuranga)
Watu wanafikiria namna ya kufanya vyuo vyao vitambuliwe duniani, wenzetu mupo bize kutafuta majina na kumshambulia Nyerere. Hakuna anayejiuliza kwanini Morogoro University haipo katika vyuo bora 200 Africa.
Hitimisho ni kuwa
1. Kwanza, historia ya mwanadamu inaandikwa na mwanadamu kwa wakati na matukio.
Nyerere historia yake imeshaandikwa duniani. Hakuna anayeweza kuifuta au kuilingnisha na ya mtu mwingine. Ni ya Nyerere! period.Jitihada za kumpaka matope hazifanyi wengine wang'are.
Abdul Sykes atabaki kuwa raia na ukweli kuwa hakuwahi kuwa Rais wa Tanganyika utabaki pale pale hata kama unauma kama nyuki. Ni maumivu ya kuvumiliana
2. Anzeni kuenzi mashujaa kabla hamjaenda katika jukwaa la kitaifa.
Kama unadhani Jabal hilal ni bora kuliko Idd Faiz Mwafongo that should be your problem.
Hili la majina ni tatizo la utumwa wa kiakili.Waambieni madiwani wabadili majina, Tandamti iitwe Farijala, Twigwa uitwe Tatu Said n.k. Halafu mkae kitako mjiulize baada ya majina kubadilika, maisha ya jamii yamebadilika?
3. Stop the vicious circle of ignorance. Miaka 30 MS analalamika nanyi pia mnachukua kijiti kulalamika miaka 30 mingine. Inaudhi wasomi wanajadili trivial things kama majina ya mitaa na kuacha tatizo la elimu na umasikini katika jamii ile ile inayotaka majina! white elephant!
Kaeni chini mjiulize, kwanini kuna massive failure katika shule za Dar na kuna success Kirinjiko Secondari under the same environment! Kwanini chuo cha Morogoro hadi sasa hakijaweza kuchomoza katika anga za kimataifa hapa East Africa au Africa. Kuna tatizo gani na lisahishiswe vipi.
Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha.
Huwezi kujadili nyuzi nzima kuhusu stupid and trivial thing halafu uka depict positive image ya society. Frustration za MS si tatizo la kitaifa ni tatizo lake, you guys you're easily drawn in.
Mnashindwa kujibu hoja kwasababu you've been drawn in like chicken.
Wake up!
@Khataan, kuhusu mada ya kumwaga Mtama hakika mtama upo. Ninaweza kuweka hapa ili njiwa wa Ritz waushambulie. Busara zimeniongoza kuwa pamoja na kuwa na haki ni vema nisifanye hivyo. I chose not to write.
Nasisitiza mtama upo busara zinaniongoza sana nisifanye hivyo.
Na mwisho, mimi siwakatazi na wala sikuwa na nia ya kuwazuia kuendelea kuporomosha matusi.
Mumenitukana sana na nimekaa kimya kila mara nikiwanasihi kuwa hivyo sivyo.
Kilichonisukuma kuandika kuhusu lugha zenu ni baada ya kuona lugha hizo zinafungamanishwa na imani yenu, eti hata neno inshallah la kiarabu limekuwa sehemu ya imani.
Ndio maana nimeuliza je imani inawatuma mu behave katika hali dhalili na hovyo kama hiyo? Narudia katika hali dhalili na hovyo hivyo? ?
Kwanza nikukumbushe kuwa haikuwa post yangu ya kwanza. Rekodi zipo wazi kabisa na nadhani umeamua kuweka hilo neno ya kwanza ili kuonyesha kuwa nilikuja na shari kinyume na ukweli.
Post ni hii hapa Hakuna mahali niliposema hamna akili kama ulivyodai.
Hakuna mahali niliposema mohamed kachanganyikiwa, kuna mahali nimesema ana frustration. Frustration haina maana ya kuchanganyikiwa unless tuna definition tofauti.
Lakini hili la frustration nina ushahidi kutoka nyuzi zake za nyuma ambapo amesema '' babu yake aliongoza miigomo ya reli na bandarini''. Akasema kuna watu hawakuwa na uwezo wakiwa UDSM lakini wanaendesha magari na nyadhifa kubwa kwasababu ya mfumo.
Mohamed aliendelea kusema kazi ya kupigania uhuru na historia yake ipo katika familia na si kama sisi tunaosimuliwa.
Ukiyasoma maneno hayo hakuna shaka MS ana frustration juu ya historia ya familia na nafasi yake katika taifa kwa sasa.
Nilimjibu kwa kumwambia kuwa hiyo ilikuwa personal frustration na hivyo asiifanye kama tatizo la kitaifa kama nilivyoandika tena hapo juu.
Hakuna shaka kuwa ninyi mnamtetea MS nashangaa mnakana ukweli huo. Kumtetea si dhambi lakini iwe kwa hoja na si kumdhalilisha kwa matusi kwasababu hata yeye anajisikia fedheha maandishi yake yakipambwa na lugha zenu ambazo nashindwa kuelewa ni kwa vipi mnazinasibisha na dini kwasababu hakika inatia dhalili.
Wapo wanaojiuliza hivi hawa ndio walivyo? Kama wasomi ni hivi vipi huko mitaani?
@Khataan, kuhusu mada ya kumwaga Mtama hakika mtama upo. Ninaweza kuweka hapa ili njiwa wa Ritz waushambulie. Busara zimeniongoza kuwa pamoja na kuwa na haki ni vema nisifanye hivyo. I chose not to write.
Nasisitiza mtama upo busara zinaniongoza sana nisifanye hivyo.
Na mwisho, mimi siwakatazi na wala sikuwa na nia ya kuwazuia kuendelea kuporomosha matusi.
Mumenitukana sana na nimekaa kimya kila mara nikiwanasihi kuwa hivyo sivyo.
Kilichonisukuma kuandika kuhusu lugha zenu ni baada ya kuona lugha hizo zinafungamanishwa na imani yenu, eti hata neno inshallah la kiarabu limekuwa sehemu ya imani.
Ndio maana nimeuliza je imani inawatuma mu behave katika hali dhalili na hovyo kama hiyo? Narudia katika hali dhalili na hovyo hivyo? Hebu rudini msome nyuzi zenu halafu mjiulize zimejaa dhalili kiasi gani kwenu na kwa jamii inayowahusu
Nikauliza,je mnaitendea haki jamii ya Watanzania, jamii zenu katika makundi ya kabila, koo na imani?
Je, kila mmoja anayesoma matusi yenu yakiwa katika mgongo wa imani anafurahia hilo?
Je, ndio mafunzo yaliyoelekezwa hayo? Na kwa lugha hiyo nani atasoma kile mlichokusudia au kuvutika na hoja zenu?
Mkuu Ngongo hivi akili yako iko salama? unaweza kumfananisha Nguruvi3 na mzee Mohamed Said?
waarabu wanamsemo unaosema "ashfiku alaa raaasi la tushfikuu alal jabal" maana yake ni
yaani wewe upige kichwa jabali halafu unalisikitikia jabali badala ya kichwa chako:frusty:
ahsanta.
Mkuu Boko haram heshima sana.
Mkuu wangu sijawahi kuwafananisha au kuwalinganisha Mohamed Said na Nguruvi3 hata siku moja labda utakuwa umenisoma ndivyo sivyo.Mo ni mzee wa gerezani maandishi yake yamejikita zaidi katika siasa za Dar na vitongoji vyake hasa hasa Gerezani akienda mbali hujikita kwenye box la dini ukimwondoa katika viwanja hivyo hana tofauti na kipofu.Nguruvi3 ni mwanajamvi mwenye uwezo wa hali ya juu sana wa kuchambua masuala mbali mbali kuanzia uchumi,siasa,utamaduni na ........Ni wazi hawa ni watu wawili wasiofanana majina wala mitazamo.Unaweza kuunga mkono hoja za Mo upendavyo lakini mwisho wa siku hata nafsi yako inajua fikra zake zikifuatwa hakika Tanzania na Afrika Mashariki haitobaki salama.Kila mara hoja za Mo zimejikita katika utengano sijawahi kusoma maandishi ya Mo yenye kuunganisha jamii ya waTanzania dhidi ya uporaji wa rasilimali zake kama dhahabu,Tanzanite,gesi,ardhi,misitu na nk.Hichi ndicho kilio cha waTanzania wenye akili nzuri,wenye kufahamu uporaji wa rasilimali zetu ni sababu kubwa ya umasikini ambao hauchagui wala haubagui dini,kabila au ukanda wa mtu.Ni ujinga wa hali ya juu Tanzania ya leo tukiamua kuegemea udini au ukabila na kuacha mambo ya maana yanayoamua mstakali wetu wa leo na vizazi vijavyo.
Nguruvi3 wewe mwanga mtama wako wala hakuna tatizo lolote sisi tupo na njiwa wetu wanausubiri kwa hamu.
Nakushangaa umegeuka kuwa msemaji wa Mohamed Said. ghafla na kumtolea matamko, teh teh teh. Halafu Sheikh Mohamed Said, wala haitaji kutetea na mtu vitabu vyake ndiyo vinamtetea sijui umeipata wapi hii kuwa sisi tupo hapa kumtetea.
Nikipata wasaa tadadavua kiduchu kejeli zako na matusi yako kwetu.
Kwanza nikukumbushe kuwa haikuwa post yangu ya kwanza. Rekodi zipo wazi kabisa na nadhani umeamua kuweka hilo neno ya kwanza ili kuonyesha kuwa nilikuja na shari kinyume na ukweli.
Post ni hii hapa Hakuna mahali niliposema hamna akili kama ulivyodai.
Hakuna mahali niliposema mohamed kachanganyikiwa, kuna mahali nimesema ana frustration. Frustration haina maana ya kuchanganyikiwa unless tuna definition tofauti.
Lakini hili la frustration nina ushahidi kutoka nyuzi zake za nyuma ambapo amesema '' babu yake aliongoza miigomo ya reli na bandarini''. Akasema kuna watu hawakuwa na uwezo wakiwa UDSM lakini wanaendesha magari na nyadhifa kubwa kwasababu ya mfumo.
Mohamed aliendelea kusema kazi ya kupigania uhuru na historia yake ipo katika familia na si kama sisi tunaosimuliwa.
Ukiyasoma maneno hayo hakuna shaka MS ana frustration juu ya historia ya familia na nafasi yake katika taifa kwa sasa.
Nilimjibu kwa kumwambia kuwa hiyo ilikuwa personal frustration na hivyo asiifanye kama tatizo la kitaifa kama nilivyoandika tena hapo juu.
Hakuna shaka kuwa ninyi mnamtetea MS nashangaa mnakana ukweli huo. Kumtetea si dhambi lakini iwe kwa hoja na si kumdhalilisha kwa matusi kwasababu hata yeye anajisikia fedheha maandishi yake yakipambwa na lugha zenu ambazo nashindwa kuelewa ni kwa vipi mnazinasibisha na dini kwasababu hakika inatia dhalili.
Wapo wanaojiuliza hivi hawa ndio walivyo? Kama wasomi ni hivi vipi huko mitaani?
@Khataan, kuhusu mada ya kumwaga Mtama hakika mtama upo. Ninaweza kuweka hapa ili njiwa wa Ritz waushambulie. Busara zimeniongoza kuwa pamoja na kuwa na haki ni vema nisifanye hivyo. I chose not to write.
Nasisitiza mtama upo busara zinaniongoza sana nisifanye hivyo.
Na mwisho, mimi siwakatazi na wala sikuwa na nia ya kuwazuia kuendelea kuporomosha matusi.
Mumenitukana sana na nimekaa kimya kila mara nikiwanasihi kuwa hivyo sivyo.
Kilichonisukuma kuandika kuhusu lugha zenu ni baada ya kuona lugha hizo zinafungamanishwa na imani yenu, eti hata neno inshallah la kiarabu limekuwa sehemu ya imani.
Ndio maana nimeuliza je imani inawatuma mu behave katika hali dhalili na hovyo kama hiyo? Narudia katika hali dhalili na hovyo hivyo? Hebu rudini msome nyuzi zenu halafu mjiulize zimejaa dhalili kiasi gani kwenu na kwa jamii inayowahusu
Nikauliza,je mnaitendea haki jamii ya Watanzania, jamii zenu katika makundi ya kabila, koo na imani?
Je, kila mmoja anayesoma matusi yenu yakiwa katika mgongo wa imani anafurahia hilo?
Je, ndio mafunzo yaliyoelekezwa hayo? Na kwa lugha hiyo nani atasoma kile mlichokusudia au kuvutika na hoja zenu?
mkuu umeeleza kwa kina na nikikusoma zaidi ninachokiona ni uzalendo mkubwa uliondani yako.
wasipoelewa na hapa;
cc Mohamed Said Mag3 THE BIG SHOW Gwalihenzi Nyakageni Eiyer
Remote,
Maadam mtabaki humu JF bila ya kuandika huo ukweli upinge kitabu changu daima
mtabaki humu humu hamtaweza kutoka nje ya tundu hili.
Hili nimelisema sana kwenu.
Kitabu kinajibiwa na kitabu.
Kama mimi nisingekijibu kitabu cha CCM cha Historia ya TANU kwa kitabu changu
hakuna mtu angenijua na hii mialiko ya Afrika Kusini, Marekani, Ujerumani, Nigeria,
Kenya nk. isingekuwapo kamwe.
Nakusihini.
Andikeni kitabu.
PS: Tanzania Muslim Professionals wanenitunikia zawadi katika nyanja ya Utafiti na Uandishi mwaka huu wa 2013.
Mkuu Ngongo umenichekesha sana unasema mzee MS siasa zake zimeegemea mitaa ya gerezani hili swali wakwanza kumuuliza alikuwa ni baba yako wa taifa kilimkimbiza nini kule butiama na kuja kwa wanywa kahawa wa gerezani tena akiwa kavaa kaptula.Mkuu Boko haram heshima sana.
Mkuu wangu sijawahi kuwafananisha au kuwalinganisha Mohamed Said na Nguruvi3 hata siku moja labda utakuwa umenisoma ndivyo sivyo.Mo ni mzee wa gerezani maandishi yake yamejikita zaidi katika siasa za Dar na vitongoji vyake hasa hasa Gerezani akienda mbali hujikita kwenye box la dini ukimwondoa katika viwanja hivyo hana tofauti na kipofu.Nguruvi3 ni mwanajamvi mwenye uwezo wa hali ya juu sana wa kuchambua masuala mbali mbali kuanzia uchumi,siasa,utamaduni na ........Ni wazi hawa ni watu wawili wasiofanana majina wala mitazamo.Unaweza kuunga mkono hoja za Mo upendavyo lakini mwisho wa siku hata nafsi yako inajua fikra zake zikifuatwa hakika Tanzania na Afrika Mashariki haitobaki salama.Kila mara hoja za Mo zimejikita katika utengano sijawahi kusoma maandishi ya Mo yenye kuunganisha jamii ya waTanzania dhidi ya uporaji wa rasilimali zake kama dhahabu,Tanzanite,gesi,ardhi,misitu na nk.Hichi ndicho kilio cha waTanzania wenye akili nzuri,wenye kufahamu uporaji wa rasilimali zetu ni sababu kubwa ya umasikini ambao hauchagui wala haubagui dini,kabila au ukanda wa mtu.Ni ujinga wa hali ya juu Tanzania ya leo tukiamua kuegemea udini au ukabila na kuacha mambo ya maana yanayoamua mstakali wetu wa leo na vizazi vijavyo.
Nguruvi3 wewe mwanga mtama wako wala hakuna tatizo lolote sisi tupo na njiwa wetu wanausubiri kwa hamu.
Nakushangaa umegeuka kuwa msemaji wa Mohamed Said. ghafla na kumtolea matamko, teh teh teh. Halafu Sheikh Mohamed Said, wala haitaji kutetea na mtu vitabu vyake ndiyo vinamtetea sijui umeipata wapi hii kuwa sisi tupo hapa kumtetea.
Nikipata wasaa tadadavua kiduchu kejeli zako na matusi yako kwetu.
mzee wangu Mohamed heshima kwako....
Dhumuni langu lalakuku'mention ni kukuomba wewe ujibu zile hoja za nguruvi3 pale juu ambazo nimezi'qoute
Remote,
Maadam mtabaki humu JF bila ya kuandika huo ukweli upinge kitabu changu daima
mtabaki humu humu hamtaweza kutoka nje ya tundu hili.
Hili nimelisema sana kwenu.
Kitabu kinajibiwa na kitabu.
Kama mimi nisingekijibu kitabu cha CCM cha Historia ya TANU kwa kitabu changu
hakuna mtu angenijua na hii mialiko ya Afrika Kusini, Marekani, Ujerumani, Nigeria,
Kenya nk. isingekuwapo kamwe.
Nakusihini.
Andikeni kitabu.
PS: Tanzania Muslim Professionals wanenitunikia zawadi katika nyanja ya Utafiti na Uandishi mwaka huu wa 2013.
Nguruvi3,
Swali langu ni moja kwanza kwako kisha tuendelee na mjadala,
Unakubali ama unakataa ya kwamba nyerere kwa kuanzisha kwake bakwata ili kiwe chombo rasmi cha kuwaratibu na kuwabana waislam ndan ya taifa hili yeye ndie chanzo cha mvurugano wote huu??
Naomba jibu kwanza kisha tusonge mbele inshallah