Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama huyo Ruzibizahapo mbona amesema kitu chenye akili zaidi. cha ajabu wakati ue wanagombania uhuru hawakuunganishwa kwa matabaka ya udini, bali uafrika wao, na ndio maana hata kama waislamu walichangia sana hawakuchangia kwasababu ya dini bali imani yao ya kutaka uhuru, nawaheshimu sana. sidhani kama waliweka mkataba na nyerere aje awalipe baadae, manake kama walifanya hivyo ama kuahidi malipo kwa vizazi vyao hawafai hata kukumbukwa kwani walifanya kwa maslahi binafsi na si suala la uafrika.
wanaoleta hoja za uislamu wanataka kudanganya umma kuwa bila wao tusingepata uhuru. binafsi naamini tungepata uhuru hata bila waislamu yaani hata bila wakristo yaani hata kama tungekuwa wapagani tungepata tu. ilikuwa ni muda wake movement zilikuewepo nyingi sana africa. hivyo. si suala la dini ni swala la kiafrika zaidi. au wanataka wapewe shea kubwa kuliko wengine. sasa kamawao walikuwa wengi walishindwaje kuweka viongozi wao wakamwacha nyerere aamue. tuache ukabila tuache udini, wachagga nao walizaliwa wakajikuta wako kule hata waadzabe wamezaliwa wakajikuta wako kule sio kwamba walichagua, unfortunately hawa dini wanazaliwa wenginewanajikuta wako kule, tofauti ni kuwa dini wanaweza kubadilika. nashangazwa na hizi roho za chuki zinaletwaje mida hii wakati nchi haijajipanga vizuri hata kujua katiba na muungano vitadumu ama la.
pia wewena shangaa naweka picha ya malcom little then unaonyesha ubaguzi kwa wafrika wenzako ujue hata huyo alitetea haki za weusi japo mbinu zake na mawazo yake mengi yalikuwa finyu sana(localite) hayakuwa na vision, ndio maana haeshimiki saaana kama martin luther.
Hakuna mtu anakataa kwamba walishiriki watu wengi katika kudai Uhuru. Hata SA walishiriki wengi zaidi ya Mandela. Lakini iko wazi kuwa walishiriki wakiwa kama watanganyika na si waislamu. Hizi habari za uislamu na uhuru zinatoka wapi? Harakati za kudai uhuru hazikufanywa na chama chochote cha kiislamu, bali TANU ya watu wote. Wao wenyewe ingawa ni waislamu hawakuliweka hilo mbele cha kushangaza leo hii watu wanaanza kuleta uislamu! Sasa kama dini ya wanaharakati wa uhuru ilikuwa ni uislamu what's the point? so what?
Na kama wengi walikuwa waislamu kiongozi wao alikuwa mkristo ambaye ni Mwl Nyerere.
Kufanya correction ya facts za historia au knowledge au technology yoyote ndiyo utafiti wenyewe na ni sahihi. Sisi waafrika nafikiri ni kweli tuna matatizo aidha ya kusoma au kuandika. Imewahi kukatazwa kuandika historia hiyo kwa perspective(mitazamo) mbalimbali? na hakika wenye kupenda historia au siasa na watafiti wako waliojikita kwenye maeneo hayo. Na mijadala huwa kwa wanazuoni wa maswala husika ndipo watashikana uongo na ukweli. Historia iliyofundishwa mashuleni kama haikuandika mtizamo fulani katika historia inategemeana na lengo na walengwa wa fundisho na kiwango cha elimu cha walengwa, ingawa hakuna kitabu kinachoweza kuandika kila kitu. Lakini historia hiyo mnayosema ya uongo inaweza kuwa verified na uandishi mwingine wa nje ya nchi. Na mapambano ya uhuru mbona mnawasahau akina mirambo, mkwawa n.k nao walianza miaka ya 1940 au mnafikiri hawa hawakupigania uhuru? basi semeni sasa mchango wa wapagani ktk kudai uhuru. Sidhani wapiganaji walifanya vile kwa kuwa ni waislamu bali kwa uzalendo. wanaofanya hiyo mapping ya kidini wana ajenda nyingine.Hapa mimi sizungumzii uislam bali ninasisitiza kuwa historia yetu rasmi inayohusu mapambano ya kutaka uhuru wa wa tanganyika siyo sawa kwani kuna watu wengi muhimu waliochangia mapambano hayo lakini kwenye kumbukumbu rasmi hawaonekani.
ninavyofahamu mimi [kutokana na kusikiliza simulizi za wazee wetu ni kuwa mapambano haya yalianza kwenye late forties baada ya vita ya pili ya dunia. lakini leo wengi wanachanganya kwa kuandika historia ya mwalimu nyerere katika kutafuta uhuru wa nchi hii. Ukweli ni kwamba mwalimu alikuwa ni sehemu ya mapambano hayo na alifanya kazi kubwa sana kuanzia miaka ya 50 kati lakini other major players vipi? that is my argunment
All i am insisting is that let us keep the uhuru struggle records straight. It will be very shameful if our children will do it for us.
blah blah blah blah
walishiriki kama supporting agency sio kuabudu mungu/Allah. lazima tulijue hili, popote unapotaka kufanya jambo la kuwashirikisha watu ni rahisi kwenda pale wanapokusanyika, hasa kwenye makanisa, misikiti ndipo utapata sauti ya watu wale.
tuache udinilization, makanisa mpala leo yanachomwa, tindikali bado inauzwa, zanzibar haijapata uhuru wake na tanganyika haijawa nchi bado , katiba ya muungano haijapatikana, muungano wa EAC unalegalega. tunachangamoto nyingi tuache mawazo ya kinyonge. waliogombania uhuru walikuwa waafrika tu, kwani pamoja na waandishi kutugawa kimakundi , bado inaonyesha wote walikuwa na nia moja na nia hiyo sio kujenga kanisa wala kujenga msikiti bali kujenga taifa huru lenye kujitegemea.
nyerere aliwahi kusema hatumchagui rais kwa sababu ya dini yake, hivyo sikumpigia kura kikwete kwasababu ya dini yake.ccm haikumchagua kwasababu ya dini yake kama ni dini tungemchagua shekh mojakwamoja.
Mkuu binafsi huwa nashindwa kuelewa kwa nini maelezo ya ndugu Moh huwa mara nyingi yanakuwa grossly misinterpreted whether by accident au deliberately. Sioni kama Moh anataka watu wa madhebu yake walio pigania uhuru wa nchi hii walipwe ujira au pension - Moh anacho taka ni wananchi waelezwe ukweli i.e anataka wasipindishe historia ya kweli ya TAIFA letu kwa kuwasahau mashujaa ambao wengi wao waikuwa ni wa madhebu ya Kislaam - hilo alina ubishi, kwani tatizo liko wapi - Uislaam au upiganiaji uhuru - tusicho kipenda hapa ni nini hasa? Tunashindwa nini kukubaliana na ukweli!! Ni kweli si Waislaam peke yao walio husika na harakati hizi, lakini ukifanya utafiti bila yakuwa biased, ukuzungumza na wakoloni wa Kingereza ambao wangali ahi wanakiri kwamba Waislaam walikuwa highly organised katika harakati zao na ndio walikuwa wanawapa wakati mgumu wakoloni - mimi niliwahi kupata bahati ya kuzungumza na mmoja wao ndio maana huwa namtetea ndugu Moh, tusiwe blinded na a few statements kwenye ma andiko yake ambazo wakati mwingine zina onekana zina hisia kali, that is understandable kutokana na familia/Baba yake kuwa victim wa saula hili, mambo mengine ndugu Moh yuko sahihi by 98.9%. Kwa nini historia ya Taifa letu baada ya uhuru baadhi ya Raia/watu majasiri walio jitolea kwa hali na mali katika kupingana na wakoloni wanafutwa kwenye historia - kuhanzia majina yao na picha zao! Na ukiangalia kwa umakini unakuta idadi ya victims wa Scheme hii ovu hiko highly Disproportionate kwa upande wa ndugu zetu Waislaam, WHY? Mimi nafikiri zoezi hili la kuandika katiba upya lingekwenda sambamba na kuandika historia ya kweli kuhusu Taifa letu, wale wote walio changia katika ukombozi wa Taifa hili wajina yao yawekwe wazi na ijulikane walihusika vipi na ni kitu gani kilijiri mpaka wakasahulika, si hilo tu hata mtu aliye Engineer saula hili ajulikane - Victims wote waombwe msamaha kama wangali hai au warithi wao wapewe medali, bahati nzuri JK anaonekana kulitambua sana hili na kusema kweli anakwenda vizuri na zoezi zima ndio maana mwaka jana/juzi aliwakumbuka baadhi ya mashujaa hawa waliosahulika; Taifa hili lisijiletee mikosi ya bure kwa kuwasahau watu muhimu, tusianze kusingizia/ kuendekeza mambo ya kidini kwenye vitu ambavyo ni OBVIOUS.
Wewe mchaga ambae unategemea maisha yako kupata ruzuku kutoka chadema unataka kulinganisha elimu yako na MOHAMED SAID??
Huyu muheshimiwa wacha wewe! Hata mzee wako hana elimu aliyo nayo huyu maalim!
Hebu tusaidie kitu hapa! Wewe Nicholas umesoma shule gani? Au una elimu kiasi gani?
Nakuhakikishia umma wa JF huna elimu yyt ya maana! Na kama nasema uongo hebu niadhiri hapa kwa kuonyesha qualification zako!
Jamani sio DINI kwenye HIYO ARTICLE... Inaongelea Kupigania UHURU; Waislamu au Muislamu hapo hajatumika kama DINI ni SIASA
- Tujipe UPEO wa kuyafuatilia hayo Masuala ya ZAMANI na kuyaweka sawa sababu baadhi yetu wanafikiri wamekuwa CHEATED na sababu zote za UHURU wa TANGANYIKA
Dr. Kahtaan,
Salaam Al Akhiy.
Naburudika mno na minyambulisho yako,maana wewe huna dasturi ya kupindisha maneno asilan! Kwi! Kwi! Kwi!
Hawa makhabith wa Chadema tumeshawastahamilia mno hum Jf, sasa basi yatosha!...,na tunajua kashfa zoote na chuki wafanyazo dhidi ya Uislam/Waislam zina baraka toka kwa Viongozi wa juu kabisa wa hicho kikundi/Chama chao!
Huyo "punda urongo" aka Nicholas,wala asikushughulishe wala hana Ilm yoyote ile. Hawa wengi wao ni madebe matupu tu,ni kama vile yule Mkanyageni aka Nyakageni au yule Mwanaharasha aliyejipa ubin wa "Nyerere" aka Kamwene mla mbwa!Kwi! Kwi! Kwi!
Sisi tunajua siku nyingi yakuwa hawa jamaa wengi wao hawakusoma ni wababaishaji tu. Kilichowasaidia ni ile kubebwa na yule Mkatoliki wa awamu ya kwanza! Ndo maana unaona wengi wao sasa hivi wamechanganyikiwa na reality wamebakiza chuki na hasada!
Ahsanta.
Mkuu binafsi huwa nashindwa kuelewa kwa nini maelezo ya ndugu Moh huwa mara nyingi yanakuwa grossly misinterpreted whether by accident au deliberately. Sioni kama Moh anataka watu wa madhebu yake walio pigania uhuru wa nchi hii walipwe ujira au pension - Moh anacho taka ni wananchi waelezwe ukweli i.e anataka wasipindishe historia ya kweli ya TAIFA letu kwa kuwasahau mashujaa ambao wengi wao waikuwa ni wa madhebu ya Kislaam - hilo alina ubishi, kwani tatizo liko wapi - Uislaam au upiganiaji uhuru - tusicho kipenda hapa ni nini hasa? Tunashindwa nini kukubaliana na ukweli!! Ni kweli si Waislaam peke yao walio husika na harakati hizi, lakini ukifanya utafiti bila yakuwa biased, ukuzungumza na wakoloni wa Kingereza ambao wangali ahi wanakiri kwamba Waislaam walikuwa highly organised katika harakati zao na ndio walikuwa wanawapa wakati mgumu wakoloni - mimi niliwahi kupata bahati ya kuzungumza na mmoja wao ndio maana huwa namtetea ndugu Moh, tusiwe blinded na a few statements kwenye ma andiko yake ambazo wakati mwingine zina onekana zina hisia kali, that is understandable kutokana na familia/Baba yake kuwa victim wa saula hili, mambo mengine ndugu Moh yuko sahihi by 98.9%. Kwa nini historia ya Taifa letu baada ya uhuru baadhi ya Raia/watu majasiri walio jitolea kwa hali na mali katika kupingana na wakoloni wanafutwa kwenye historia - kuhanzia majina yao na picha zao! Na ukiangalia kwa umakini unakuta idadi ya victims wa Scheme hii ovu hiko highly Disproportionate kwa upande wa ndugu zetu Waislaam, WHY? Mimi nafikiri zoezi hili la kuandika katiba upya lingekwenda sambamba na kuandika historia ya kweli kuhusu Taifa letu, wale wote walio changia katika ukombozi wa Taifa hili wajina yao yawekwe wazi na ijulikane walihusika vipi na ni kitu gani kilijiri mpaka wakasahulika, si hilo tu hata mtu aliye Engineer saula hili ajulikane - Victims wote waombwe msamaha kama wangali hai au warithi wao wapewe medali, bahati nzuri JK anaonekana kulitambua sana hili na kusema kweli anakwenda vizuri na zoezi zima ndio maana mwaka jana/juzi aliwakumbuka baadhi ya mashujaa hawa waliosahulika; Taifa hili lisijiletee mikosi ya bure kwa kuwasahau watu muhimu, tusianze kusingizia/ kuendekeza mambo ya kidini kwenye vitu ambavyo ni OBVIOUS.
Al-Habib gombesugu,Bukyanagandi,
Salaam.
Nakubaliana na takriban yoote uloandika na kuelezea hapo juu.
Nisingalipenda kuongezea lolote ama chochote kwa sasa...
...mara nyingi nimekua nikisoma/kufuatilia baadhi ya Post/s zako. Nachukua fursa hii kukufahamisha yakuwa, huwa najifunza mengi toka kwako na pia naheshimu mno michango/maandishi yako.
Naombea ifikie siku iwe japo robo ya members humu Jf,wapate upeo na kufikia ustaarabu japo robo ya ulionao!
Ahsanta.
Mkuu unajua historia ya Tanganyika kuhusu elimu za wapigania uhuru?Kama ulipigania uhuru halafu hukusoma, basi waachie waliosoma wafaidi matunda ya uhuru uliopiganiwa na wajinga
Marhaba ya akhyi al kareem gombesugu, tuko nao hawa wasiojua hatta kutawaza wakimaliza haja zao!
Wajua mtu kukosa malezi ya mzazi mmoja matokeo yake ndio haya!
Kama huyo kirukanjia Nyakageni maskini mpaka leo baba yake mzazi hamjui!!
Teh teh teh teh! Wallah kila nikikuona al akhyi basi maneno yako yanapendezesha siku yangu yoote!
Manake majaaluta wanajificha wakikuona!
Teh teh teh teh!
sasa kama huyo Ruzibizahapo mbona amesema kitu chenye akili zaidi. cha ajabu wakati ue wanagombania uhuru hawakuunganishwa kwa matabaka ya udini, bali uafrika wao, na ndio maana hata kama waislamu walichangia sana hawakuchangia kwasababu ya dini bali imani yao ya kutaka uhuru, nawaheshimu sana. sidhani kama waliweka mkataba na nyerere aje awalipe baadae, manake kama walifanya hivyo ama kuahidi malipo kwa vizazi vyao hawafai hata kukumbukwa kwani walifanya kwa maslahi binafsi na si suala la uafrika.
wanaoleta hoja za uislamu wanataka kudanganya umma kuwa bila wao tusingepata uhuru. binafsi naamini tungepata uhuru hata bila waislamu yaani hata bila wakristo yaani hata kama tungekuwa wapagani tungepata tu. ilikuwa ni muda wake movement zilikuewepo nyingi sana africa. hivyo. si suala la dini ni swala la kiafrika zaidi. au wanataka wapewe shea kubwa kuliko wengine. sasa kamawao walikuwa wengi walishindwaje kuweka viongozi wao wakamwacha nyerere aamue. tuache ukabila tuache udini, wachagga nao walizaliwa wakajikuta wako kule hata waadzabe wamezaliwa wakajikuta wako kule sio kwamba walichagua, unfortunately hawa dini wanazaliwa wenginewanajikuta wako kule, tofauti ni kuwa dini wanaweza kubadilika. nashangazwa na hizi roho za chuki zinaletwaje mida hii wakati nchi haijajipanga vizuri hata kujua katiba na muungano vitadumu ama la.
pia wewena shangaa naweka picha ya malcom little then unaonyesha ubaguzi kwa wafrika wenzako ujue hata huyo alitetea haki za weusi japo mbinu zake na mawazo yake mengi yalikuwa finyu sana(localite) hayakuwa na vision, ndio maana haeshimiki saaana kama martin luther.
Kama ulipigania uhuru halafu hukusoma, basi waachie waliosoma wafaidi matunda ya uhuru uliopiganiwa na wajinga
mkuu nikugundua kipaji kikubwa sana kwako cha taarab... hayo maandishi yako unavyoflow kama mzee yusufu. al akhiy anzisha bendi utatoka
Bukyanagandi,