Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Naam nyuzi ya Mohamed kama ile ya paper ya Nairobi hivi karibuni ilipata wafuasi wengi sana tena wakiwa wazoefu wa matusi. Nyuzi ile kaisome uniambie umepata nini!

Kuhusu vikongwe ah !hilo ni muhimu sana kwasasa. Huwezi jua kuwa matatizo ya vikongwe yanaweza kuwa ukumbini mwako au kwangu au hapa jamvini. Ni kitu kigumu sana kukielewa ndio maana nikasema nikiweka hapa itakuwa white elephant maana mzee au viajana watasoma kila mstari kama mtihani, mwisho wa paper watakuwa katika hali itakayonihitaji zaidi. Sitaki tufike huko
.

Paper ya Nairobi inaonesha imekuuma sana na nimeisoma na imetulia sana tu na ina kila faida kwa atakae ilmu ispokuwa wewe tu unaejifanya huioni faida yake. Jee, wewe umeisoma? kwa maandiko yako hapo juu inaonesha umeisoma, na kama unajuwa kuwa Mohamed Said anachoandika ni habari za baba'ke tu ni kipi kilichokufanya ukaisome?

Roho inakuuma lakini ndio ukweli ulivyo. Hebu tupe habari za baba'ko kidogo na Uhuru wa Tanganyika, yeye akiitwa nani? Nguruvi 1?

Huna lolote, bali kama kawaida yako unatafuta pa kuchomekea na kuchomokea na hupapati, unabisha kwa kujitutumuwa bila ya kuwa na chochote cha maana. Leo hii, unaona hata mleta hii mada, kwenda library kutafuta kakumbana na paper za Mohamed Said. Jee, wewe kwenye library yako hakuna?

Wewe nimekuuliza hizo za vikongwe wako umealikwa chuo gani kuziongelea? umechapisha wapi kitabu chake? ni lini ukazileta japo JF? ni lini mtu alisema kaenda library akakutana na "paper" ya Nguruvi3?

Hapo naona huna jibu hata moja unakuja na porojo eti hamuwezi kuelewa. Kuna mtu dunia hii asiyeelewa vikongwe? Unanshangaza.

Sema unajijuwa kuwa hauna cha maana ulichokifanya na kilichobaki kwa uchungu tu, wa kuona kuwa Waislaam ndio wamo haswa kwenye historia ya Uhuru na ndio walikuwa mstari wa mbele kwa miaka kabla ya ujio wa Nyerere na hauwezi kuwafuta, inabidi usongo wako uutolee kwa anaeielimisha dunia kuhusu hayo. Ni nani mwengine zaidi ya Mohamed Said?

Sasa tueleze umekubalina na Nyerere kuwa hata jina la TANU waliliasisi akina Sykes? au unapingana nae? kama alivyonukuliwa huko juu?
 
Paper ya Nairobi inaonesha imekuuma sana na nimeisoma na imetulia sana tu na ina kila faida kwa atakae ilmu ispokuwa wewe tu unaejifanya huioni faida yake. Jee, wewe umeisoma? kwa maandiko yako hapo juu inaonesha umeisoma, na kama unajuwa kuwa Mohamed Said anachoandika ni habari za baba'ke tu ni kipi kilichokufanya ukaisome?

Roho inakuuma lakini ndio ukweli ulivyo. Hebu tupe habari za baba'ko kidogo na Uhuru wa Tanganyika, yeye akiitwa nani? Nguruvi 1?

Huna lolote, bali kama kawaida yako unatafuta pa kuchomekea na kuchomokea na hupapati, unabisha kwa kujitutumuwa bila ya kuwa na chochote cha maana. Leo hii, unaona hata mleta hii mada, kwenda library kutafuta kakumbana na paper za Mohamed Said. Jee, wewe kwenye library yako hakuna?

Wewe nimekuuliza hizo za vikongwe wako umealikwa chuo gani kuziongelea? umechapisha wapi kitabu chake? ni lini ukazileta japo JF? ni lini mtu alisema kaenda library akakutana na "paper" ya Nguruvi3?

Hapo naona huna jibu hata moja unakuja na porojo eti hamuwezi kuelewa. Kuna mtu dunia hii asiyeelewa vikongwe? Unanshangaza.

Sema unajijuwa kuwa hauna cha maana ulichokifanya na kilichobaki kwa uchungu tu, wa kuona kuwa Waislaam ndio wamo haswa kwenye historia ya Uhuru na ndio walikuwa mstari wa mbele kwa miaka kabla ya ujio wa Nyerere na hauwezi kuwafuta, inabidi usongo wako uutolee kwa anaeielimisha dunia kuhusu hayo. Ni nani mwengine zaidi ya Mohamed Said?

Sasa tueleze umekubalina na Nyerere kuwa hata jina la TANU waliliasisi akina Sykes? au unapingana nae? kama alivyonukuliwa huko juu?
Teh teh teh! Ngoja tusubiri habari za baba yake labda anazo.

Ngoja tuangalie kama anakubaliana na Nyerere kuhusu TANU.

Cc; Mdondoaji.
 
Last edited by a moderator:
Dr. kahtaan.

Nimecheka sasa eti anatuambia tukunje jamvi hatuna hoja wakati yeye mwenye alisema atamwga mtama.

"STUPID" kwako siyo tusi teh teh teh teh! analalamika eti tunafanya spinning tumemletea neno aliloandika hataki kujibu ngoja nimuulize tena.
Nguruvi3. "STUPID" ni nini au ulilitumia kama salamu, halafu anasema tunamchafua teh teh teh!

Teh teh teh teh!
Shariff Ritz huyu mkulima mtama hana!
Amebakiza pumba tu! Ndio anatumwagia hapa!
Na njiwa wetu ghali hizo pumba hawali!
Teh teh teh teh!
Ujuha ndugu yangu ni balaa kubwa!
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3,

Tulizana hauna jipya nakushauri kitu kimoja unapoteza muda wako na nguvu zako bure kupambana na Uislam wewe pambana na CCM siyo kupambana na Uislam wamepita wenzako toka karne ya saba sembuse wewe Nguruvi3 leo karne ya 21 teh teh teh! tena unapambana na Uislam huku umejificha nyuma ya laptop.

Uislam ndiyo dini yenye nguvu yenye ubavu wa kusimama dhidi ya mawimbi ya upagani na ukiburi wa kutomwamini Mungu, moja ya tabia za Uislam ni kuamsha kipaji chako cha kufikiri na kuelewa.

Wewe siyo wa kwanza kutokwa na povu wapo Chadema wenzako kina Mag3 na wengine wengi huwa nacheka sana eti mnategemea Dr. Slaa atakuwa rais wa Tanzania.

Uislam uko kivitendo zaidi, ukikupa muongozo katika nyanya ya maisha ikiwa pamoja na tabia, taadhima, na kuheshimiana.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kila siku kwa kunizawadia tunu hii ya Uislam.

Nguruvi3 hauna hoja za kujibiwa wewe una chuki na Uislam na Waislam ili lipo wazi labda kwa wageni wasiokujua, mimi ni Muislam, kwa sababu ndiyo dini inayofundisha jicho kwa jicho na jino kwa jino, inakufundisha kuheshimu kila mtu, na kujali haki za wote lakini pi inafundisha iwapo mtu akitokea akakukanyaga kwa kukuonea pambana naye mpaka dakika ya mwisho.

Wewe ni mtu usiyesimamia chochote basi utaanguka kwa chochote.


Shemeji yangu Ritz

Aslaam aleykum

Sioni jinsi Nguruvi anavyoshambulia UISLAMU kama dini. Kifupi ni kwamba Article yake inawatanabahisha waislamu kujihadhahari na wenzao wanaogeuza madhila yao BINAFSI katika maisha na kuyageuga kuwa agenda ya UMMA wa KIISLAM. Kama hukubaliani na mtazamo wake huo hapo ndipo unatakiwa kumpinga kwamba madhila ya waislamu hao SIO KWELI na WALA HAWAJAWAHI kuwa na HIZO FRUSTRATION kisha utumwagie ILMU.

Article yake inagawa uwanja wa lawama kwa waislamu kuhangaika na marehemu Nyerere (14 yrs ago) huku wao wakikosa udiriki wa wakuenzi mashujaa wao wenyewe japo kwa kutumia majina ya mashujaa hao katika taasisi wanazounda. Binafsi nadhani hii changamoto ya kufanyiwa kazi. Lushoto kwa sasa kuna Sebastian Kolowa Memorial Univ. College, kama kumbukumbu ya askofu huyo (mlutheri) kwani shida iko wapi ile ya Morogoro ikiitwa Sheikh Amr bin Hassan Mem. University au Bibi Titi Memorial University au Sheikh Ponda University? kwani mpaka wawe marehemu? Lakini la maana zaidi kubadili majina pekee hakuleti mapinduzi ya ubora wa taasisi hizo kwa hiyo si vibaya mambo kama anayoyasema Nguruvi kuhusu Standard yakafanyiwa kazi. Nakukaribisha Tanga nitakutembeza wewe na utakaokuja nao kwa gharama zangu binafsi katika taasisi za kiislamu zenye shule za sekondari hapa mjini petu hadi lushoto kisha upime kama nasema uongo. Ni-PM unataka kuja lini niwaandalie mapokezi.

Hakuna ubaya kujua kuwa udhaifu wako uko wapi na kuufanyia kazi. Hawa wa Kirinjiko, Mudio, Buhongwa, na zingine zinazoanza kupanda chati wametambua kuwa kila jambo lazima lisimamiwe kwa taratibu zake ili liende vyema.

Shemeji, sioni dalili za Nguruvi kuubeza uislamu kama dini hapa na hata mimi kama mwislamu singekubaliana naye katika hilo. La maana sisi kama waislamu lazima tukubali kuwa hatuna mafuta wala mjomba wa kututoa katika hii DHIMA ila HARD WORK and good plans.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Wickama subiri kejeli na matusi hutakayopata.. ingawaje maneno yako ni ya busara. Nguruvi3 Asante sana kwa darasa lako tunapata shule ya maana.
 
Last edited by a moderator:
Shemeji yangu Ritz

Article yake inagawa uwanja wa lawama kwa waislamu kuhangaika na marehemu Nyerere (14 yrs ago)

Hapo unadanganya, hapa inaongelewa historia kabla ya ujio wa Nyerere Dar nayo ni kabla ya miaka 55 iliyopita na haya hayajaanza kuongelewa alipokufa, soma vizuri maandiko ya Mohamed Said, anasema kaandika wakati Nyerere yu hai, huu ni muendelezo wa historia. Ukipenda usipende yamendikwa, sasa kama wewe unayo tofauti, ilete tuichambuwe.

Upo hapo ulipo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu binafsi huwa nashindwa kuelewa kwa nini maelezo ya ndugu Moh huwa mara nyingi yanakuwa grossly misinterpreted whether by accident au deliberately. Sioni kama Moh anataka watu wa madhebu yake walio pigania uhuru wa nchi hii walipwe ujira au pension - Moh anacho taka ni wananchi waelezwe ukweli i.e anataka wasipindishe historia ya kweli ya TAIFA letu kwa kuwasahau mashujaa ambao wengi wao waikuwa ni wa madhebu ya Kislaam
The big problem start here
Kwanini hawa watu watambuliwe kama Waislam na sio Watanganyika
Kwanini anawasema kwa dini zao?
- hilo alina ubishi,
Hapana
Lina ubishi!
kwani tatizo liko wapi - Uislaam au upiganiaji uhuru
Tatizo wewe hulioni hapa?
Kwanini wasitajwe kwa majina yao?
Kuna nini nyuma ya madai haya?
Kwanini wajulikane kama Waislam na sio majina yao?
- tusicho kipenda hapa ni nini hasa?
Ni kuwatambua watu kwa dini zao badala ya utaifa au majina yao!
Tunashindwa nini kukubaliana na ukweli!!
Ukweli upi?
Ni kweli si Waislaam peke yao walio husika na harakati hizi, lakini ukifanya utafiti bila yakuwa biased, ukuzungumza na wakoloni wa Kingereza ambao wangali ahi wanakiri kwamba Waislaam walikuwa highly organised katika harakati zao na ndio walikuwa wanawapa wakati mgumu wakoloni
May be may be,may be not!
Kama umekubali kuwa hao waliosahaulika sio waislam peke yao,je huyo MS katika madai yake amewaorodhesha na hao wengine?
Kama kafanya hivyo iweje aseme Waislam wakati kuna watu wa dini nyingine?
Kama hakuwaorodhesha kwanini?
Na kwa nukta hii inaonekana pia na yeye anaipotosha historia kwa kufanya makosa ya anaodai wameyafanya!
- mimi niliwahi kupata bahati ya kuzungumza na mmoja wao ndio maana huwa namtetea ndugu Moh
Huyo uliezungumza nae alisema ni Waislam?
If yes,unataka kuniambia harakati za kudai uhuru zilikuwa za kidini?
Kama sio iweje watu waliofanya harakati za ukombozi na kusahaulika[kama ni kweli] watambuliwe kwa dini zao?
, tusiwe blinded na a few statements kwenye ma andiko yake ambazo wakati mwingine zina onekana zina hisia kali
Nadhani ni wewe ambae uko blinded na mwenye hisia kali hapa
Hujasema ni kwanini waliosahaulika watambuliwe kwa dini zao na sio Utaifa au Majina yao!
, that is understandable kutokana na familia/Baba yake kuwa victim wa saula hili, mambo mengine ndugu Moh yuko sahihi by 98.9%[
Hapa hueleweki kabisa
Kipi yuko sahihi?Kuwa familia yake ni victim au Waislam kusahaulika?
Kama ni familia yake sawa lakini hili nalo linatupa wasiwasi na harakati zake hizi kama ni kwaajili ya familia yake,dini yake au Utaifa wake
. Kwa nini historia ya Taifa letu baada ya uhuru baadhi ya Raia/watu majasiri walio jitolea kwa hali na mali katika kupingana na wakoloni wanafutwa kwenye historia - kuhanzia majina yao na picha zao! Na ukiangalia kwa umakini unakuta idadi ya victims wa Scheme hii ovu hiko highly Disproportionate kwa upande wa ndugu zetu Waislaam, WHY?
Hata kama hili ni kweli halihalalishi hawa watu watambuliwe kwa dini zao
Unless ulete ushahidi hapa wa hao kufanyiwa hivyo kwa sababu ya dini zao!
Mimi nafikiri zoezi hili la kuandika katiba upya lingekwenda sambamba na kuandika historia ya kweli kuhusu Taifa letu, wale wote walio changia katika ukombozi wa Taifa hili wajina yao yawekwe wazi na ijulikane walihusika vipi na ni kitu gani kilijiri mpaka wakasahulika, si hilo tu hata mtu aliye Engineer saula hili ajulikane - Victims wote waombwe msamaha kama wangali hai au warithi wao wapewe medali, bahati nzuri JK anaonekana kulitambua sana hili na kusema kweli anakwenda vizuri na zoezi zima ndio maana mwaka jana/juzi aliwakumbuka baadhi ya mashujaa hawa waliosahulika; Taifa hili lisijiletee mikosi ya bure kwa kuwasahau watu muhimu,
Hili sawa kabisa naliunga mkono!
tusianze kusingizia/ kuendekeza mambo ya kidini kwenye vitu ambavyo ni OBVIOUS.
Kipi ni OBVIOUS?
Tupe ushahidi hapa ili mjadala huu uishe!
Halafu alieleta mambo ya udini ni huyo unaemtetea wewe
Sijui hili hulioni?
 
**Mkuu chabusoUmenifanya niende LIBRARY na kutafuta habari za Historia hii;

Written by Mohamed Said;

Islam's role in Tanzania's freedom struggle

What is saddening about the history of Tanganyika's struggle for independence is the fact that, more than four decades after achieving freedom, that important period of the people's resistance to foreign domination has yet to be written about.

The few attempts made so far to write that history have focused on hero worship and idolising Nyerere.

What we thus have is a one-sided official history full of distortions and even half-truths.

Meanwhile, vital documents and photographs of the times still remain in private hands and will soon be destroyed or lost for ever.

It is now 50 years since the Tanganyika African National Union made the historic decision in Tabora in 1958to take part in the first general election to the Legislative Council under extremely discriminatory conditions - an ultimately wise decision that came to be known as Uamuzi wa Busara.

In that election, seats were contested not only along racial lines but also saw the locking out of candidates who did not have a formal education or were not employed in a recognised profession.

But what incensed the people most was the condition that Africans would have to vote for a European, an Asian and an African. Mohamed Said's new book tells the story of that election.

The conditions set by the colonial government seemed on the face of it unacceptable for Tanu.

The conference deliberations in Tabora, a small town in the then Western Province, threatened to split the party into two camps -moderates in favour of participating in the elections; and radicals calling for a total boycott.

But Tanu and indeed Nyerere survived an internal crisis that swiftly took on religious and racial undertones.

Radicals like Sheikh Suleiman Takadir, chairman of the Tanu Elders, and Zuberi Mtemvu, then Tanu organising secretary, were all set to stage a coup against Nyerere and take over the party.

And they would have succeeded were it not for the ingenuity of Mwalimu and a group of Tanu members from Tanga handpicked by Nyerere to confront the onslaught.

There are no existing records to give us an insight into Nyerere's own position on the tripartite voting nor is there any indication that he even discussed the issue at the headquarters privately with Sheikh Takadir and Mtemvu, or close associates Idd Faiz, Haidar Mwinyimvua, Dossa Aziz, Bibi Titi Mohamed and the Tanu propagandist Ramadhani Mashado Plantan, owner of the radical paper Zuhra – Nyererere's mouthpiece. Indeed, it would seem Nyerere played his cards close to his chest right up to the voting.

So, what was Nyerere's strategy - the one he never revealed even privately in later life?

The book attempts to solve this mystery through interviews with Tanu veterans, fleshing out a picture of Nyerere "riding" the wave of opposition within Tanu and neutralising radicals like Mtemvu and Sheikh Takadir.


That was the first test of his capabilities as a leader of a mass party and the young Nyerere passed with flying colours.

The writer takes the reader through a labyrinth of intrigues, plots and counter plots that eventually led to Tanu and Nyerere triumphing in the tripartite voting over the Tanganyika United Party - a political grouping dominated by whites that had been cobbled together by the government to counter Tanu.

Nyerere's opponents resigned from Tanu, with Zuberi Mtemvu forming the African National Congress and Ramadhani Mashado Plantan and a group of Muslims forming the All Muslim National Union of Tanganyika - raising the spectre of racial and religious conflict.

Mtemvu's policy was Africa for Africans while Plantan's group wanted assurances about the future of Muslims in free Tanganyika.

These long forgotten players in Tanganyika politics seem to live again in the pages of this book.

What Said brings out, though, is how Nyerere and Tanzania weathered this delicate passage thanks to the many Muslims patriots who remained committed to the original vision.

Said has moving stories to tell of patriotism and sacrifice.

There is the story of Tanu stalwart Mzee Mshume Kiyate, whose contribution as party financier and close friend of Nyerere's family has never been acknowledged.

Kiyate was a prominent fishmonger at Kariakoo in Dar es Salaam when he met Nyerere in early 1950s; he was to become friend and mentor to the young leader.

Also forgotten are patriots like Said Chamwenyewe, who presented Tanu's appeal to the United Nations Visiting Missions to the Mandate Territories when it visited Tanganyika in 1955.

Chamwenyewe had earlier mobilised the first Tanu members from Rufiji in 1954, visiting villages on a bicycle to campaign for Tanu, collecting funds from members and turning the money over to Tanu treasurer Idd Faiz Mafongo without asking anything for himself. Nothing is today known about the fate of these people.

The book contains a number of rare photographs collected from private hands.

There are pictures of a young Nyerere surrounded by Muslims townsmen in kanzu and other paraphernalia - people like Issa Nassir, Sheikh Haidar Mwinyimvua, Mwinjuma Mwinyikambi, Jumbe Tambaza, Sheikh Suleiman Takadir, Mshume Kiyate, Said Chamwenyewe and many others.

There is one touching photograph of Nyerere with Mzee Mshume Kiyate taken soon after the army mutiny of January 20, 1964, showing Mshume covering Mwalimu with a piece of cloth traditionally worn by people from the coast known as "kitambi" or "msuli."

The gesture was a show of support by Tanu elders in the face of the mutiny that almost overthrew Nyerere's government. Mzee Mshume died in the early 1970s, alone, poor and forgotten.


The book ventures into the uncharted terrain of Islam as an ideology of colonial resistance, depicting the central role of Muslims in the struggle against the British, a topic still considered a no-go zone in Tanzania.

The writer portrays Nyerere in a light unfamiliar even to his fervent admirers, narrates how during the tripartite voting campaigns the young leader participated in Islamic rituals specifically conducted to safeguard him and the movement against enemies.

Mohamed Said deserves kudos for documenting this important chapter in the history of nationalism in Tanganyika.

He puts meat on the skeleton of Tanu's history in a book that, once you start reading, you will not put down until you get to the end.




nnguu;

Nakushukuru kwa article yako. Mchnago wangu ni kama ifuatavyo;

1. History inashuhudiwa na waliokuwapo kwenye tukio. Mara nyingi mwenye mamlaka huwa annandika anayoyaona na kuyapenda yasomwe. Asiye na mamlaka huwa sio mara nyingi. Style ya Mohammed Said ya "History of the Losers" kwa maana kwamba hapa anawaweka moslems kama losers. The only contradiction hapa ni kuwa summary yako na nadhani itakuwa hivyo ndani ya kitabu waliomsaidia Nyerere kufikia hadi kwenye mamlaka ni waislamu.

2. Awali tulishajadili sana mada hii ambayo kwa bahati mbaya naona Nguruvi keshaichotea makaripio, kawaida matusi yatafuta punde. Swali lilikuwa moja. Hivi Bibi titi na wengineo waliisaidia TANU kwa sababu wao ni waislamu au kwa sababu ya ule uzalendo wao wa kitanganyika. Hili swali halikujibiwa. Badala yake ilikuja hoja hoja wakoloni walipata shida zaidi kule kulikokuwa na waislamu. Hii hoja ilitupa wengi shida kwa vile Marekani ya leo Wahindi wekundu walipinga sana kutawaliwa na hawakuwa waislamu, Afrika kusini, Angola, India, China vs Japan mifano mingi sana mpaka ya kina Mangi Sina, . Hapa pia tukatoka bila swali hili kujibiwa.

3. Sasa Ni kweli watanganyika waliyokuwa na asili ya kiislamu walishiriki kikamilifu kuisaidia TANU. Lakini pia kwa kauli ya Nyerere (soma hotuba yake ya kuaga wazee wa Dar) mwenyewe waliomsaidia walikuwa ni WAZEE kuliko VIJANA, na hapa ndipo mjadala huu haujawahi kujielekeza. Maanake hata hao waislamu ni wale WAZEE (km Mbeya) ndio waliokuwa bega kwa bega SIO VIJANA. Na sababu kazitaja waziwazi. Kwamba wazee walimsaidia kwa HUKO AWALI WALIKUWA HURU walijua maana ya uhuru. Vijana walimkuta mkoloni kwa hiyo hawakuwa na kilinganishi. Kwa MAONI yangu wazee wa kiislamu walipata fursa nzuri zaidi ya kushiriki na kutawala harakati za kutafuta uhuru kwa uislamu tangu awali ulikomaa sana sehemu ambazo ni kama vituo na miji ya kibiashara hadi leo wakati wenzao wakikiristo waliwafata watu huko mashambani ambako watu wapo kimtawanyiko. Tofauti inaanzia hapo.

4. Nadhani ni changamoto nzuri kukisoma kuona mwandishi katoa mapendekezo gani (way forward) au mafunzo gani kutokana na historia ya TANU na Tanganyika.
 
Mkuu THE BIG SHOW,
Haiwezekani watu wakaanza kujadili uwepo wa Bakwata bila kufikiri kwanini ilianzishwa.
Kuna kuficha sehemu muhimu ya kisa cha Bakwata ili kukidhi haja za watu na si ukweli.

Nikutanabaishe kidogo hali tuliyo nayo sasa. Unaona ambavyo Mshume Kiyate anapewa hadhi kuliko rais wa TAA marehemu mzee V.Kyaruzi. K.Sykes akipewa sifa na wala si cecil Matola . Jitihada za kumdhalilisha Nyerere kwa mavazi hadi chakula zikiendelea n.k. Hata ni makusudi kabisa kwa mtazamo wa Imani

Jitihada hizi ni mwendelezo wa majaribio ya miaka ya 1957-60+ kutaka kumuondoa Nyerere madarakani kwasababu ni mkristo.Jitihada hizo zilipozimwa zikahamishiwa katika EAMWS na kuendeleza chuki ile ile.

Nyerere na baraza la TANU wajumbe asilimia 98 waislam waliwaalika ‘waasi’ wawe sehemu ya serikali.
Sheikh Amir akakataa uwaziri na kuenedeleza siasa za mitaani zenye lengo la kumuondoa Nyerere kwa imani yake kama ilivyokuwa miaka kabla ya hapo

Hadi 1967 majaribio ya kumuondoa Nyerere kwasababu tu ya imani yake yalikuwa mengi.
Nyerere kwa uungwana akamuondoa Sheikh Amir na kumrejesha Zanzibar. Inaonekana weird eh!!

Ni uungwana kwasababu ingekuwa leo sheikh Amir angepelekwa mabwepande kufanyiwa ‘dental hygiene na pedicure’ kama Yule aliyedai mishara mzuri.

Kama si uungwana tutasemaje kwa yanayotokea sasa ya kung'oana meno na kucha? Je, ni sahihi akitokea 'mwanahistoria' na kusema haya yalifanywa dhidi ya kundi fulani.

Hakuna kiongozi duniani anayeweza kuvumilia tishio la kuangusha serikali yake kwa njia haramu.
EAMWS ilikuwa chombo huru, tatizo ikawa ni chaka la waliotaka kumuondoa Myerere kwa imani yake
EAMWS ikavunjwa na kuundwa BAKWATA kwa muktadha wa kudhibiti chaka hilo.

Je BAKWATA ni chombo cha serikali, absolutely! Nimewahi kuhoji mambo mengi tu kuhusu suala hili.
Je ilianzishwa kudhibiti waislam No . Bakwata ilianzishwa kudhibiti kundi la waislam waliokuwa na lengo la kumuondoa Nyerere madarakani, kuigawa nchi katika udini kama tunavyoshuhudia akina mzee n.k..

Tatizo ni Bakawata kama chombo au ni zaidi? jibu ni hapana, kwasababu kuna umuhimu wa kuwa na chombo cha pamoja cha kuwaunganisha watu. Tatizo ni viongozi wa Bakwata wenye masilahi mbele badala ya dini. Wanapotofautiana kimasilahi hujiondoa na kuunda makundi yanayoipinga Bakwata

Asilimia 98 ya makundi ya sasa(akiwemo Mohamed Said) walikuwa Bakwata.
Viongozi hao hawakutoka kwasababu wanaipinga Bakwata, walitoka kwa kupingana na viongozi wa Bakwata katika masuala ya masilahi.

Ni kwa muktadha huo kila anayejiuengua anatengeneza chombo chake na ndicho chanzo makundi dahari ambayo kiutendaji hayana tofauti na Bakwata kwani masilahi mbele.

Hadi hapa utaona kuwa Bakwata haikuundwa makusudi kwa sababu ya kukudhibiti Big show ukiwa Kadewele, Ligula au Naliendele.Iliundwa kudhibiti makundi ya waasi ambao watoto na wajukuu wapo bize kuendeleza harakati za watangulizi hadi leo tena wakiwa wamejificha katika magunia ya kitaaluma, kiharakati n.k.

Rais Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote wameikumbatia Bakwata. Tafsiriyake ni kuwa kuna umuhimu wa kufanya hivyo na wala si kudhibiti waislam, vinginevyo Julius yupo kaburini miaka 10 na nje ya utawala miaka 28 nini kinawashinda kuacha waislam waunde chombo chao?

Endapo ingekuwa kudhibiti waislam basi kusingekuwa na tofauti ya waislam wa Machame na Mkuranga, wa Bukoba na Mlimba. n.k.

Kwanini Bakwata ina nguvu, jibu ni kuwa inaungwa mkono na waislam.
Iwe ni sahihi au la ukweli unabaki kuwa serikali isingeweza ku-side na Bakwata ya watu 20 Kinondoni.
Nsni stsksye wekeza kwa soko la watu 20 na si milioni zaidi ya 15

Kwa kumalizia niseme Nyerere alikuwa analinda utawala wake dhidi ya waasi waliokuwa wamejificha katika kivuli cha dini. Bahati mbaya katika kufanya hivyo lazima wapo wahanga kama wanavyolalamika sasa hivi.
Hata hivyo usahihi wa Nyerere unathibitishwa na miaka 10 ya Mwinyi na 8 ya Kikwete.

Kuseme kirahisi Nyerere lifanya hivyo kuukandamiza uilsam si kweli! lakini ni ukweli kuwa Bakwata imekuwa katika udhibiti wa serikali na nimeeleza mara nyingi kuhusu hili.



Nguruvi3,

Shukran sana,ama kwa hakika mimi naona hapo hujanifanyia rationalization,kwan nakuona waz waz unakiri ya kwamba BAKWATA ilianzishwa na nyerere kwa madhumuni ya kujilinda na mfumo ambao yeye alikuwa anahis unaweza kumuondoa madarakan,si ndiyo??shukran sana kwa kunifanyia CALCULUS iliyokwenda shule,,


Sasa hapo tunakuja moja kwa moja kuzungumza chanzo cha haya yote,unaposema ya kwamba nyerere alikianzisha chombo hiki kwa madhumuni ya kuwadhibiti wachache na kwa bahati mbaya wahanga kama sisi hatuwez kukosekana unafaham maana yake???yan maaana yake ni kwamba yeye julius kwa kutumia jeuri ya madaraka anayo nafas ya kufanya lolote na kufanya maamuz yoyote bila kujali katiba na kuwaundia chombo waislam ambacho kitaratibu mambo yao ili kuufanya utawala wake yy uwe salama,haki hiyo aliitoa wapi kikatiba??

Hii ni inchi ambayo haina dini,na alilweka hilo mwanzo kabisa wa muundo wa katiba wa nchi hii,,haya sasa iweje kuja tena na kuanza kuisakam dini fulani na waumin wa dini fulani kwa kuwaundia chombo cha kuwaratibu bila ridhaa yao na bila kuwashirkisha waislam kwa ujumla wao??

Nyerere kama alikuwa anajua anahujumiwa na baadhi ya waislam na alikuwa anataka kuanzisha chombo huru na cha haki cha kuwaunganisha waislam,kwanin aunde bakwata kimya kimya tena kwa usiri wa hali ya juu bila kuwataarifu waislam kwamba kuna jambo hili,kama hiyo haitoshi kwann hakuwaambia ya kwamba waislam hii EAWMS haifahai kwa sababu moja,mbili na kadhalika,kwahiyo nawaomba muunde chombo kingine huru na chenye nia njema kwa maana hiki tunakivunja??kwanin asiwaambie waislam walifanye hilo wenyew,kuna nin hadi serikali yake ifanye usiri na kutia mkono kwenye affairs za waislam??tena kwa kucopy na kupaste katiba ya TANU ili iwe mwongozo wa jumuiya hiyo,wewe unajua namna ambavyo uislam unaendeshwa??yan Qur an na Sunnah zije kuwa chini ya KATIBA YA TANU kimwongozo??julius ulipotoka sana wewe haki ya mungu,

Nguruvi3,shukran sana kwa kukiri kwako julius ni mwanzishi wa BAKWATA hii japo unakuja na hoja zingine kwamba hakuwa na nia mbaya,non sense..!!,hakuwa na nia mbaya usiri ulikiuwa wa nin??kwanin hakufanya uwe mchakato wa wazi,kwanin hakuwapa fursa hiyo waislam wenyewe kuianzisha bakwata??au ndiyo kusema popote pale alipohisi kuwapo kwa muislam utawala wake ungekuwa matatani??


Narudia tena kukwambia ya kwamba Suala la kikwete na mwinyi kuwa marais ambao ni waumin wa dini ya kiislam na kwanin wao wameikumbatia BAKWATA nilishakujibu,kikwete hakuja pale magogoni,wala hakuapa kuja kuupigania uislam,yeye aliapa kuja kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,na amepigiwa kura kuwapo pale alipo na waislam na wasio waislam,tumuulize nyerere swali hili kwanin alikiuka katiba kwa uchu na chuki ya kuudhuru na kuunyanyasa uislam??yuko wapi leo??uislam aliukuta,ameondoka na ameuacha,je alidhan kama angeupoteza moja kwa moja kwenye mgonngo na ardhi ya tanganyika??

Miaka 10 ya mwinyi na 8 ya kikwete si ya kuja kuutetea uislam,ni ya kuja kutekeleza ilani za chama chao cha mapinduzi,

KWA MANTIKI HIYO BASI KAMA UWEPO WA BAKWATA UNAFANYA UTAWALA WAO HAO KUPATA UTUVU NA WEPESI KATIKA KUTEKELEZA ILANI ZA CHAMA UNADHANI BAKWATA KWAO ITAKUWA NA KERO GANI??HILI NALO NI LA KUWEKA MJADALA BAINA YANGU NA WEWE??HULION HILI??MBONA LIPO WAZI SANA??

Umeniuliza swali ya kwamba tatizo ni bakwata kama chombo au zaid??

Nakujibu,


Tatizo ni bakwata kama chombo,

namna ya kuanzishwa kwake,

lengo la kuanzishwa kwake,

mfumo wa uendeshaji wake,

nia na madhumuni yake kwa miaka ya baadae inayokuja ndan ya taifa hili ambazo kwa sasa matunda yake yameshaanza kuonekana,na hayo ni haya malumbano ya hoja baina yetu sisi na mihemko ya kitaharuki inayotukumba kwa sasa,


KWA MAANA HIYO BASI NGURUVI3,UKAE UKITAMBUA KUWA JAMBO HILI NI NYETI SANA,NA LIMEGHARIM MFUMO WA MAISHA YA WENGI SANA,HASA LINAPOKUJA SUALA LA UMOJA WA KITAIFA,TAMBUA KWAMBA KWA UWEPO WA BAKWATA AMBAYO IMEASISIWA NA JULIUS KAMA ULIVYOKIRI HAPO JUU NI SABABU TOSHA YA KUKUTHIBITISHIA KUWA JULIUS PINDI WALE WAZEE WANAMPA IMAN NA KUMWEKA YEYE MBELE,KUMBE YEYE ALIKUWA KAMA NI CHUI ALIEVAA NGOZ YA KONDOO,LAKIN KIKO WAPI??YUKO WAPI??ALIDHAN ANGEISH MILELE??UKWELI WOTE SASA UKO WAZI NA HAKUNA MAREFU YASIYO KUWA NA NCHA NA HAKUNA SIRI NDAN YA DUNIA HII,MUNGU AMLAZE MAHALA PANAPO STAHILI JULIUS
 
Last edited by a moderator:
yani wewe jamaa iq yako ilivyo ilivyondogo hata mdogo wangu wa mwsho form one maua seminary huwezi ku'argue nae.

siku hizi unajitahidi kustabilize mind. Keep it up. Ukitukana uisalamu una destoy image ya chadema wewe kama kiongozi na mdau wa chadema.
 
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; simple minds discuss people, people who always looking for excuses is simply because they stop looking for solution, Nyerere is gone he will never come back, arguing about his legacy won't change shit, anzisheni bakwata nyingine mnayoitaka nyinyi kwa maslahi yenu.
 
Shemeji yangu Ritz

Aslaam aleykum

Sioni jinsi Nguruvi anavyoshambulia UISLAMU kama dini. Kifupi ni kwamba Article yake inawatanabahisha waislamu kujihadhahari na wenzao wanaogeuza madhila yao BINAFSI katika maisha na kuyageuga kuwa agenda ya UMMA wa KIISLAM. Kama hukubaliani na mtazamo wake huo hapo ndipo unatakiwa kumpinga kwamba madhila ya waislamu hao SIO KWELI na WALA HAWAJAWAHI kuwa na HIZO FRUSTRATION kisha utumwagie ILMU.

Article yake inagawa uwanja wa lawama kwa waislamu kuhangaika na marehemu Nyerere (14 yrs ago) huku wao wakikosa udiriki wa wakuenzi mashujaa wao wenyewe japo kwa kutumia majina ya mashujaa hao katika taasisi wanazounda. Binafsi nadhani hii changamoto ya kufanyiwa kazi. Lushoto kwa sasa kuna Sebastian Kolowa Memorial Univ. College, kama kumbukumbu ya askofu huyo (mlutheri) kwani shida iko wapi ile ya Morogoro ikiitwa Sheikh Amr bin Hassan Mem. University au Bibi Titi Memorial University au Sheikh Ponda University? kwani mpaka wawe marehemu? Lakini la maana zaidi kubadili majina pekee hakuleti mapinduzi ya ubora wa taasisi hizo kwa hiyo si vibaya mambo kama anayoyasema Nguruvi kuhusu Standard yakafanyiwa kazi. Nakukaribisha Tanga nitakutembeza wewe na utakaokuja nao kwa gharama zangu binafsi katika taasisi za kiislamu zenye shule za sekondari hapa mjini petu hadi lushoto kisha upime kama nasema uongo. Ni-PM unataka kuja lini niwaandalie mapokezi.

Hakuna ubaya kujua kuwa udhaifu wako uko wapi na kuufanyia kazi. Hawa wa Kirinjiko, Mudio, Buhongwa, na zingine zinazoanza kupanda chati wametambua kuwa kila jambo lazima lisimamiwe kwa taratibu zake ili liende vyema.

Shemeji, sioni dalili za Nguruvi kuubeza uislamu kama dini hapa na hata mimi kama mwislamu singekubaliana naye katika hilo. La maana sisi kama waislamu lazima tukubali kuwa hatuna mafuta wala mjomba wa kututoa katika hii DHIMA ila HARD WORK and good plans.


Sisi kama waislam hard work na good plans kwetu ni amri kufanya hivyo,na sio khiyari,

Tumeamrishwa tufanye kazi kwa bidii,tumtii mola wetu,tuish kwa aman na upendo na jamii yetu ya aina mbali mbali pasi na kujali ni waamin wa iman gani na vinginevyo vingi tuh,

Nazid kuwaambia wewe na wengine wenye notion ya kwamba tupo hapa tumesimama kwa kumwaga malalamiko,tupo hapa kuzungumza mambo namna yalivyo,hiyo ni bahati mbaya tu kwenu kama mmeamua kuyachukulia mambo na mazungumzo haya kama malalamiko,malalamiko yamefanyiwa research miaka kadhaa na kuwekwa vithibitsiho na rejea mbali mbali hamtaki kukubari kisha mnasema malalamiko tena??

Mkitaka vipi sasa ukweli usisemwe??face it.,whether you like or not,lakin ukweli utasemwa tuh,na hakuna kuona haya wala kujiskia unyonge katika kuusema ukweli,kwan kwa kukaa kimya kizaz kijacho kitashindwa kuufaham uhalisia namna ulivyo,kwaiyo dawa ya ukweli ni kuusema hata kama utakuwa mchungu,Mandela wakati anasimama kupambana na kupigania haki yake alipewa majina mbali mbali ya chuki,hadi kuitwa gaidi,lakin hivi leo anapewa majina bora chungu tele na matuzo ya nobel yasiyo na idadi,ukweli dawa yake ni kuusema na kuusimamia,

Sisi kama waislam hatupo hapa kukuaminisha wewe usie muislam ya kwamba shida yetu ni kuenziwa Abdul sykes kama anavoenziwa sebastian kolowa,ya maana gani??tumuenz ponda au malima kwa kujenga majumba mbali mbali na misikiti ili iweje??kama tukiamua kufanya hivyo hatufanyi kwa kumuonesha mtu eti tunafanya hivi ili kuendana sawa na watu fulani kwa kuwa na wao wanafanya hivyo,HOJA HAPA NI KWAMBA HISTORIA HII TUNAYOIZUNGUMZA KWA SASA AMBAYO WATU WA IMAN MBALI MBALI WALIIPIGANIA KWA KUWEKA UTAIFA MBELE,KWANIN WATU WA IMAN FULANI WAMEPUUZWA NA WATU WA IMAN NYINGINE WAMEPEWA COVARAGE KITAIFA??JE WANATENGWA KWA SABABU YA IMAN ZAO??

SASA WATU WAKISIMAMA KUELEZA UHALISIA NA KUWEKA REJEA ZA KUTOSHA NYINYI MNAKUJA KUSIMAMA KIDETE KUWANYOOSHEA VIDOLE TENA KWAMBA HAO WATU NI WADINI WHY??

KAMA TAIFA LIMEKUWA NA HEROES KIBAO,KWANIN WENGINE KWA MAKUSUDI KABISA WAFUTWE KWENYE KUMBU KUMBU NA HARAKATI ZA UKOMBOZ WA TAIFA HILI??

KAMA HIYO HAITOSHI,HII NI JAMII MOJA YA KITAIFA,HAYA SASA SABABU NI IPI HADI JAMII NYINGINE IUNDIWE CHOMBO CHA KUWARATIBU NA KUWARUDISHA NYUMA KAMA BAKWATA ILI HALI JAMII NYINGINE IKO FREE KUJIRATIBU NA KUFANYA MAMBO YAO??UNATAKA WATU WAENDELEE TUH KUKAA KIMYA??

Huna adabu kabisa wewe,yani unakuja tena hoja zile zile kwamba waislam sio hard working na hatuna good plans??then you call yourself a muslim??

Please usitutoe nje ya mjadala wetu na wala usitake kupandikiza mihemko ya kwamba tupo kwenye majadiliano ya chuki ama tuna mvutano wa kutokuelewana wa wanajamii wenzetu ambao si waamin katika uislam,tupo hapa kindugu sana,kama huna la kusema ni bora ukajikalia zako kimya,we are very very serious...
 
Labda nawe tukuulize kwa nini wasitambulishwe kama Waislam?

Mosi:Kabla hujauliza swali hakikisha umejibu swali au kutafuta mtu wa kujibu kama huna jibu

Pili:Kwani zile zilikuwa ni harakati za kidini au kudai uhuru wa Tanganyika?
 
Mosi:Kabla hujauliza swali hakikisha umejibu swali au kutafuta mtu wa kujibu kama huna jibu

Pili:Kwani zile zilikuwa ni harakati za kidini au kudai uhuru wa Tanganyika?

Wewe baba upako! Mzee wa kupiga chabo wanawake wanao kaa vibaya!
Nimeshakwambia hili jukwaa huliwezi utakuja chafua mazingira hapa na hio elimu yako ya kata!
Rudi kule kwenye rusha roho!
Hebu tazama washiriki humu! Kila mmoja anajaribu kujenga hoja ndeefu za maana!
We utatuletea viswali vyako vya kijinga hapa vituharibie uzi!
Hebu toooka! Pepo mchafu we!
Au niseme ki upako!

PEPO SHINDWA KWA JIIIIIIIIIIINA LA PENGO!
teh teh teh teh teh! Mzee wa chabo!!
 
Elimu ni gharama na huapatikana kwa gharama ukiona ni ya bure jiulize sana.


Pale yule Nyerere aka "Baba wa Taifa" alipokufanzieni ghilba/kukudanganyeni na kukwambieni yakuwa kuna Ilm ya "bure",je mlijiuliza/ulijiuliza hili!?... au mlifuata mkumbo tu!?

Ahsanta.
 
Mosi:Kabla hujauliza swali hakikisha umejibu swali au kutafuta mtu wa kujibu kama huna jibu

Pili:Kwani zile zilikuwa ni harakati za kidini au kudai uhuru wa Tanganyika?



Mchungaji Eiyer,

Hishma ikufikie Mkuu!

Najua umeitwa hapa na wachungwaji wako baada ya mambo kuwaendea mrama,lakini si unajua ndo mambo ya mnakasha, tafadhali jaribu kupitia huu mjadala kwa utuvu....ikiwezekana pitia post by post mpaka hapa tulipo!?

Hivyo visuali vyako viduchu mbona tayari vimeshajibiwa humu!?...kuna post humu Ngongo alijaribu kuuliza suali lenye msharaza kama huo wako,nae Sheikh Mohamed Said hakumwacha...akamjibu/akamdonoa kiduchu!

Ahsanta.
 
Mosi:Kabla hujauliza swali hakikisha umejibu swali au kutafuta mtu wa kujibu kama huna jibu

Pili:Kwani zile zilikuwa ni harakati za kidini au kudai uhuru wa Tanganyika?
Unajua chochote kuhusu historia ya Tanganyika.

Unaweza kutupa habari za PAFMECA, TANU?
 
Shemeji yangu Ritz

Aslaam aleykum

Sioni jinsi Nguruvi anavyoshambulia UISLAMU kama dini. Kifupi ni kwamba Article yake inawatanabahisha waislamu kujihadhahari na wenzao wanaogeuza madhila yao BINAFSI katika maisha na kuyageuga kuwa agenda ya UMMA wa KIISLAM. Kama hukubaliani na mtazamo wake huo hapo ndipo unatakiwa kumpinga kwamba madhila ya waislamu hao SIO KWELI na WALA HAWAJAWAHI kuwa na HIZO FRUSTRATION kisha utumwagie ILMU.

Article yake inagawa uwanja wa lawama kwa waislamu kuhangaika na marehemu Nyerere (14 yrs ago) huku wao wakikosa udiriki wa wakuenzi mashujaa wao wenyewe japo kwa kutumia majina ya mashujaa hao katika taasisi wanazounda. Binafsi nadhani hii changamoto ya kufanyiwa kazi. Lushoto kwa sasa kuna Sebastian Kolowa Memorial Univ. College, kama kumbukumbu ya askofu huyo (mlutheri) kwani shida iko wapi ile ya Morogoro ikiitwa Sheikh Amr bin Hassan Mem. University au Bibi Titi Memorial University au Sheikh Ponda University? kwani mpaka wawe marehemu? Lakini la maana zaidi kubadili majina pekee hakuleti mapinduzi ya ubora wa taasisi hizo kwa hiyo si vibaya mambo kama anayoyasema Nguruvi kuhusu Standard yakafanyiwa kazi. Nakukaribisha Tanga nitakutembeza wewe na utakaokuja nao kwa gharama zangu binafsi katika taasisi za kiislamu zenye shule za sekondari hapa mjini petu hadi lushoto kisha upime kama nasema uongo. Ni-PM unataka kuja lini niwaandalie mapokezi.

Hakuna ubaya kujua kuwa udhaifu wako uko wapi na kuufanyia kazi. Hawa wa Kirinjiko, Mudio, Buhongwa, na zingine zinazoanza kupanda chati wametambua kuwa kila jambo lazima lisimamiwe kwa taratibu zake ili liende vyema.

Shemeji, sioni dalili za Nguruvi kuubeza uislamu kama dini hapa na hata mimi kama mwislamu singekubaliana naye katika hilo. La maana sisi kama waislamu lazima tukubali kuwa hatuna mafuta wala mjomba wa kututoa katika hii DHIMA ila HARD WORK and good plans.




Wickama,

Salaam.

Bakhti njema hizo sehemu takriban zoote uzitajazo mimi binafsi nazifahamu kwa utuvu na tuna familiy history nazo na Wazee wetu wakijuana na watu wengi wastaarabu na influential wa maeneo hayo.

Nafikiri utakumbuka niliwahi kukufahamisha yakuwa tulikuwa pale Mazinde na Mombo kwa shughuli za kilimo na biashara tangia yule khabith Mjarumani hajatia maguu yake hapo Tanganyika na mpaka yule Nyerere alipoleta ile nakma aka "Azimio la Arusha" na kuangamiza kila chema alichokikuta ndani ya nchi hiyo.

Kwa kifupi,napenda kugusia kiduchu hapo ulipoweka hayo maneno "HARD WORK and GOOD PLANS"! Kwi! Kwi! Kwi!...ni rhetorical tamu mno!

Nina hakika umepitia huu mnakasha post by post!?...kama ni hivyo mbona mimi binafsi nimejaribu kujibu/kuelezea suala hili!? Nafikiri tujiepushe kurejea kupeana au kuulizana majibu/maelekezo yaleyale!?

Kama ukiona post yangu yoyote labda haijakidhi hayo uyatakayo,nakusihi njoo nayo hapa na uniulize lolote utakalo,nami takujibu na pale nitakaposhindwa Insha Allah nina hakika pana wengineo wenye Ilm kubwa na wenye upeo mwingi hapa jamvini.

Narejea tena;hiyo argument yako mbona ni dhaifu mno!

Maneno kama hayo hayo uyasemayo leo hapa jamvini,si ndo hayo hayo yalitumiwa/hutumiwa na wale Maharamia wa Western Powers dhidi ya ndugu zetu Afrikan Amerikans especiallyduring the Civil Rights Movement!?

Arguments hizo hizo si ndo zilikua zikitumiwa na the Apartheid Southern Afrikan regime dhidi ya wale ndugu zetu Black South Afrikans!?

If you don't mind me expand a bit into geopolitical arena...basi utathibitisha yakuwa hawa Wazungu aka Mataifa ya Ki-magharibi mpaka kesho nao wanajaribu kupindisha ukweli ulo dhahir kwa kutoa the so called "facts" au arguments dhaifu na za kiharamia, kulinganisha ati "uzembe" na "upumbavu" wa Blacks woote wa dunia nzima and/or Afrikans in particular na mataifa ya Asia khasa China,South Korea,Singapore,Malaysia na kwingineko.

Huku waki-discourage tena kwa makusudi historical facts na baya zaidi ni ile kufanza mlingano kwenye two different phenomenal.

Pia tunajua jinsi hao hao Wazungu wanapojisifia na "kustaajabu" ya kwamba kwanini ati Afrikans hawana maendeleo wala mipango tangia "wamepewa"/wamegombania huo "uhuru" wao!?

Nafikiri Wazungu pia hujitolea mfano wao mkubwa,kujinasib na kusifia mno nchi zao na Wanachi wao ati kulinganisha tena bila ya soni na "uzembe"/"ujinga" wa Waafrika!?...wanatolea hata mfano wa WWII na mafanikio ya mataifa yao baada ya hapo!? Kwi! Kwi! Kwi!

Hili suali/hoja Archbishop D. Tutu aliwajibu vizuri mno,Wazungu wanajisahau yakuwa baada ya WWII pamoja na misaada lukuki palikua pia na ERP aka Marshal plan!?

Afrika pamoja na madhila yoote ya centuries haijawahi/haitawahi kupata hata thuluthi ya ile Marshal plan kutoka kwa mtu/Taifa lolote ile!?

Sasa tukirejea kwenye argument yako/hapo nyumbani;nafikiri utaona similarities kwenye hayo kiduchu nilojaribu kukukumbusha!?

Au nawe unaamini yakuwa wale ndugu zetu pale Haiti nao pia ni "wazembe" na "wapumbavu" hawana plans zozote kazi yao ni kulalama kila kukicha!?.... kama unavyojaribu kudai kuhusu hao Waislam wa hapo nyumbani!?

Nafikiri kwa yeyote mwenye kufahamu madhila ya ndugu zetu wa Haiti,hawezi asilan ati leo kukurupuka na kujaribu ku-discourage and/or ku-disregard history walopitia, yenye madhilal na dhuluma ziso mipaka zilowapata kwa centuries.... tangia ile Haiti revolution dhidi ya wale washenzi Polish troops aka French Army na mangine mangi mno yaliofuatia/yanayozidi kuwasulubu mpaka kesho...kumbuka hapa sijagusia asilan hata ile Christians Slave Trade aka Atlantic Slave Trade.

Sasa ni vibaya mno na unafiki wa kitaaluma na pia itakua ni uzandiki ulokubuhu,kama leo sisi hatutafuatilia majambo kwa ile historical context!

Itakuwaje leo hii nyinyi ndugu zetu Wakristo muwe mstari wa mbele ati ku-discourage historical facts, kwamba Waislam walikuwa systematical persecuted,oppressed,marginalised and allienated during both colonial powers British and Dutch/Germany...na khalaf yake Nyerere akafuatia na kufanza mangi yasio tafauti na yaleyale aloyakuta!

Khalaf,wewe unakurupuka ndugu yangu unawaamabia ati watu waache "uvivu" na wawe na "mipango"!?

Hivi wewe unafikiri nyinyi Wakristo kama mngepitia nakma,unyama,dharuba na dhuluma zoote walizopitia Waislam hivi si mpaka leo mngalikua hizo tongotongo za macho ndo zimekuzidini!?

Au hujui yakuwa Wakristo walikua systematicaly benefited toka kwa Colonial Masters to the expense of almost all Muslims and others few with no religion!

Na Nyerere ndo nae akapokea lile jiti la maangamizi na kuendelea na huu MfumoKristo unaondelea kututafuna mpaka kesho....yaani imekua kama vile relay race! Kwi! Kwi!

Kwa maana hii huoni yakuwa Wakristo na hayo mafanikio mliyonayo;ni kuwa tayari walishatengenezewa platform aka social engineering na wale mabwana zao wa Makanisa aka Slave Masters/Colonists wao!?

Wallahi,naona dhiki yakuwa kila siku tunakufahamisheni haya haya nanyi mnarejea na yaleyale huku mkijifanza vipofu!?

Pia naona unajaribu kumtetea Nguruvi3 kiduchu,haina neno ni vyema mno.

Lakini argument yako bado inalegalega mno!

Tatizo ni kwamba,hatuwezi hata siku moja kujaribu kuangalia dhulma na madhila waliyopata/wayapatayo Waislam bila ya kumuhusisha yule Nyerere.

Kumbuka yakuwa yule ndo alokua Rais wa mwanzo hapo,na katika kile kipindi chake ndo pia Waislamu walisulubiwa mno!....na kila oppression dhidi ya Waislamu yeye ndie aliekua Architect wa kila jambo..yaani ni sawa na kutaja ile nakma ya WWII bila ya kumtaja Bwana Adolf Hitler!?....si itakuwa ni ubadhilifu wa kihistoria!? Kwi! Kwi! Kwi!

Sasa hizo "plans" ujaribuzo kutufunza sisi Waislam,tutawezaje kufanza bila ya kujua huko nyuma tulipotoka,yalotukuta na kurekebisha makosa yetu kwa huko mbele tutarajiako kwenda!?

Sasa katika sisi kujitazama huko ki-historia ndipo huyo Nyerere aingiapo na hapa ndipo "ugomvi" na Bwana Nguruvi3 unapoanza!? Kwi! Kwi! Kwi!

Kuhusu hayo maeneo unayojaribu kutaka kulinganisha na kusifia;yaani huko Lushoto...ni sawa nakuomba uongezee na Mkoa wenu mpendao kulinganisha hayo muitayo ati ni "maendeleo" ya Waislam wa huko!

Nakhis madhumuni yako ni kuonyehsa labda "uvivu" na "uzembe" wa Waislam wa huko ulikotaja na wale wa mwambao!?

Hii album yenu ya divide and rule mbona imeshapitwa na wakti ndugu yangu!?

Wewe binafsi,jaribu hata kuchungulia hayo mnayoita ati ni "maendeleo" na hizo bidii za hao Waislamu wa hayo maeneo na wale Wakristo wa maeneo yaleyale,khalaf angalia hata ile rate/mlinganisho ya hayo mafanikio...khalaf njoo hapa ndugu yangu tuzungumze kwa ustaarabu.

Mimi nayajua baadhi ya hayo maeneo na tuna family friends wengi na wa karibu mno tangia tuko wadogo...huko Mwanga,Vunjo,Mtae,Machame,Marangu,Soni, Lushoto na Bukoba, Mwanza,Mbeya na kwingineko.

Tatizo tunarejea palepale,kwa mfano hata tukichukulia yakuwa hao Waislam wa huko labda ni kweli ndo wenye bidii na hawapendi kula wali na kucheza bao kulinganisha na labda wa Zanzibar,Bagamoyo,Tabora,Mtwara na Tanga... for the sake of argument nakubali ni kweli!?

Sasa itakua historically hao wamefikia hapo walipo na kupata nasra hiyo,kwa kuwa by chance wametokea kuwemo ndani ya maeneo ambayo walipata ule upendeleo makhsus wa Wakoloni na hatimae kuendelezwa na yule Nyerere chini ya huu MfumoKristo!?

Kama nao pia wangekua kulekule kwenye mainly Muslim inhabited areas ambako kulikua systematically undermined,basi leo pia ingekua hiyo khadith/argument yako inawadhrau hata nao!.....Hujawahi kusikia ile mithali yakuwa "mgagaa na upwa hali wali mkavu"!?

Niwie radhi kwa maandishi mangi mno.

Ahsanta.
 
Back
Top Bottom