Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Mbona unapenda kuhusisha na uislam tu na unamiss tha point. hebu soma kwa makini nilichokiandika
 

Maneno yako meeengi lkn haya AKISI UKWELI WA HILI JAMBO!
Hakuna mtu kasema wapigania uhuru wa kiislamu wanataka KULIPWA!!
HAPA SUALA NI KUWATAMBUA NA KUWAPA HESHIMA ZAO KM HUYO NYERERE NA WENGINE!
Kila mara tumeskia fulani shujaa fulani alikuwa mstari wa mbele bla bla bla bla!
Na mara zooote wanaotajwa humo ni WAGALATIA TUPU!!
Huku ni kuonyesha namna gani HILI TAIFA LINA UBAGUZI WA KIDINI VIBAYA!
Na wanao uanzisha udini huo ni NYIE NYIE WAGALATIA NA KAMWE SIO WAISLAMU.

Jaribuni kusema haki hata mara moja basi!
Imekuwa nyie ni uongo na kupindisha maneno kila siku? Hata haya kidogo hamna!?
Kama wewe unaamini hayo unayosema! Hebu niambie wakati ww unasoma shule ya msingi ni muislamu gani ulimfahamu kwa JINA LAKE MWENYEWE! aliyeshiriki ktk kupigania uhuru?
Nasubiri jibu!.
 

Na kama wengi walikuwa waislamu kiongozi wao alikuwa mkristo ambaye ni Mwl Nyerere.
 
Na kama wengi walikuwa waislamu kiongozi wao alikuwa mkristo ambaye ni Mwl Nyerere.

So what your point?
Una maana huyo NYENYERE ndio ana haki ya kutambuliwa kuliko wengine au??
 
Kufanya correction ya facts za historia au knowledge au technology yoyote ndiyo utafiti wenyewe na ni sahihi. Sisi waafrika nafikiri ni kweli tuna matatizo aidha ya kusoma au kuandika. Imewahi kukatazwa kuandika historia hiyo kwa perspective(mitazamo) mbalimbali? na hakika wenye kupenda historia au siasa na watafiti wako waliojikita kwenye maeneo hayo. Na mijadala huwa kwa wanazuoni wa maswala husika ndipo watashikana uongo na ukweli. Historia iliyofundishwa mashuleni kama haikuandika mtizamo fulani katika historia inategemeana na lengo na walengwa wa fundisho na kiwango cha elimu cha walengwa, ingawa hakuna kitabu kinachoweza kuandika kila kitu. Lakini historia hiyo mnayosema ya uongo inaweza kuwa verified na uandishi mwingine wa nje ya nchi. Na mapambano ya uhuru mbona mnawasahau akina mirambo, mkwawa n.k nao walianza miaka ya 1940 au mnafikiri hawa hawakupigania uhuru? basi semeni sasa mchango wa wapagani ktk kudai uhuru. Sidhani wapiganaji walifanya vile kwa kuwa ni waislamu bali kwa uzalendo. wanaofanya hiyo mapping ya kidini wana ajenda nyingine.
 

Wewe hata unachokilalamikia hukijui. Naona ni uoga unakushika kila unaposikia neno Uislaam na Waislaam. (Islamophobia).
 


Bukyanagandi,

Salaam.

Nakubaliana na takriban yoote uloandika na kuelezea hapo juu.

Nisingalipenda kuongezea lolote ama chochote kwa sasa...

...mara nyingi nimekua nikisoma/kufuatilia baadhi ya Post/s zako. Nachukua fursa hii kukufahamisha yakuwa, huwa najifunza mengi toka kwako na pia naheshimu mno michango/maandishi yako.

Naombea ifikie siku iwe japo robo ya members humu Jf,wapate upeo na kufikia ustaarabu japo robo ya ulionao!

Ahsanta.
 



Dr. Kahtaan,

Salaam Al Akhiy.

Naburudika mno na minyambulisho yako,maana wewe huna dasturi ya kupindisha maneno asilan! Kwi! Kwi! Kwi!

Hawa makhabith wa Chadema tumeshawastahamilia mno hum Jf, sasa basi yatosha!...,na tunajua kashfa zoote na chuki wafanyazo dhidi ya Uislam/Waislam zina baraka toka kwa Viongozi wa juu kabisa wa hicho kikundi/Chama chao!

Huyo "punda urongo" aka Nicholas,wala asikushughulishe wala hana Ilm yoyote ile. Hawa wengi wao ni madebe matupu tu,ni kama vile yule Mkanyageni aka Nyakageni au yule Mwanaharasha aliyejipa ubin wa "Nyerere" aka Kamwene mla mbwa!Kwi! Kwi! Kwi!

Sisi tunajua siku nyingi yakuwa hawa jamaa wengi wao hawakusoma ni wababaishaji tu. Kilichowasaidia ni ile kubebwa na yule Mkatoliki wa awamu ya kwanza! Ndo maana unaona wengi wao sasa hivi wamechanganyikiwa na reality wamebakiza chuki na hasada!

Ahsanta.
 
NYERERE ndio Baba wa Taifa hili. Hayo mengine ni makelele ya vijiwe vya wauza kahawa na kashata.
 



Yaani umeongea kitu/jambo la maana na lenye mantiki ya hali ya juu.

Nakhis baadhi ya jamaa humu,mara nyingi hutumia tu "mihemuko ya kidini" na kujisahau taaluma/maarifa yao au wajibu wao kwa nchi/Taifa letu!?

Najua kuna baadhi humu watakupinga,kukutukana,kukukashifu au hata kukustaajabu mtazamo wako...lakini at least umeongea kwa kutumia upeo wa hali ya juu mno!

Nafikiri hawa Mods nao pia humu Jf; wanatakiwa wajitahidi waanze kuwa Impartial/fair!

Thread/s kama hii inatakiwa iwe pale "Jukwaa la Siasa"....inastaajabisha sijui hao Mods huwa wanatumia criteria zipi kuweka baadhi ya ule uharo pale "Jukwaa la Siasa",khalaf vitu/khabar kama hizi wakazitokomeza huku!?


Ahsanta.
 

Marhaba ya akhyi al kareem gombesugu, tuko nao hawa wasiojua hatta kutawaza wakimaliza haja zao!

Wajua mtu kukosa malezi ya mzazi mmoja matokeo yake ndio haya!

Kama huyo kirukanjia Nyakageni maskini mpaka leo baba yake mzazi hamjui!!

Teh teh teh teh! Wallah kila nikikuona al akhyi basi maneno yako yanapendezesha siku yangu yoote!

Manake majaaluta wanajificha wakikuona!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hapo umepiga ikulu! NIMEJARIBU KUWAELEKEZA HAWA WAKULIMA SIKU NYIIINGI HAYA MAMBO! lkn skio lililokufa haliskii dawa!
Hawa wakiona muislamu katajwa tu! Basi akili zinawaruka.
Ahsante kwa kujaribu kuwaelekeza.
 
Kama ulipigania uhuru halafu hukusoma, basi waachie waliosoma wafaidi matunda ya uhuru uliopiganiwa na wajinga
 
Al-Habib gombesugu,

Nakusoma na miwani ya 3D.
 
Last edited by a moderator:
Kama ulipigania uhuru halafu hukusoma, basi waachie waliosoma wafaidi matunda ya uhuru uliopiganiwa na wajinga
Mkuu unajua historia ya Tanganyika kuhusu elimu za wapigania uhuru?
 

mkuu nikugundua kipaji kikubwa sana kwako cha taarab... hayo maandishi yako unavyoflow kama mzee yusufu. al akhiy anzisha bendi utatoka
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kwani Malcom X alikuwa wa madhebu gani ya kidini? Hivi kwa nini Edgar Hoover alikuwa anamouna Malcom X kama tishio la Uncle SAM, je alikuwa anaogopa sura yake, msimamo wake au DINI yake? Nimewahi kusikiliza speech za Malcom X na kusoma vitabu vinavyo eleza historia yake, binafsi sihafiki na maoni ya kusema Malcom X was incapable of seeing beyond his nose, unless kama tunataka ku-emulate maoni ya Edgar Hoover 2 the letter. Kila binadamu mwenye akili timamu anajuwa kwamba Malcom X alikuwa anasemwa mambo mengi tu ya kumuaribia sifa/kumpakazia kutokana na DINI yake si, kitu kingine.
 
Kama ulipigania uhuru halafu hukusoma, basi waachie waliosoma wafaidi matunda ya uhuru uliopiganiwa na wajinga

Hivi Rais Jacob Zuma kamaliza vidato vingapi? How about the former UK Prime Minister one John Major alikuwa na shahada ngapi?
 
mkuu nikugundua kipaji kikubwa sana kwako cha taarab... hayo maandishi yako unavyoflow kama mzee yusufu. al akhiy anzisha bendi utatoka

Watu wanapeana salam ghaali sana! Na inataka ufahamu wa hali ya juu kufikia kiwango hiki!
Sio nyie wagalatia " bwana awe nawe bla bla bla! Nyie kila mtu awe na bwana?? Sasa huu si ubasha huu?
Maskini we hujui hata maana ya salam zenu hizo! Unaitikia tu! Tawile!!
Teh teh teh teh! Chunga kijana hawa wachungwaji wabaya sana kwa vijana wadogo.!
 

Nashukuru sana kuliona hilo mkuu, your alias name (Gombesugu) limenikumbusha enzi zangu pale Minaki nikiwa na rafiki yangu Kambangwa akitufundisha kucheza/piga ngoma za Mwaneromango na Kazimzumbwi. Karibu sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…