Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Thanks to you Nguruvi3, you have said it all...I cant even contemplate why somebody would have the nerve to once again bring this hogwash here at a time when our nation is faced with so many challenges like how we are ever going to wrestle our country back, out of the hands of people whose behaviour is no different from that of a pack of hyenas out to tear it apart.

It comes as no surprise that people like gombesugu, who dont give a hoot about the fate of the majority of our countrymen who are languishing in abject poverty, ignorance and disease, are at the forefront defending malicious, poisonous and sedicious writings, utterances and propaganda of a depraved individual all out to plant seeds of hatred... under the cover of religion?

Mohamed Said is the product of a people that completely failed to go with the times and when they finally woke up they learned that the world had moved on. Instead of accepting the fact that the clock cannot never be turned back and so move on, their frustration has driven them to insanity and, blinded by religious zealotry, they see enemies everywhere but amongst themselves.

Mohamed Said is an angry, bitter and confused individual whose relevance only prevails thanks to the blind following of a misguided few. Like Mohamed Said they believe they deserved to be the offsprings of rulers, kings and presidents and that it was Mwalimu who stood between their partriachs and the throne and so thwarted their ambitions they felt were well within their grasp!

What perplexes the majority of the peace loving wananchi is how this individual, who earns his living writing and preaching religious intolerance, enjoys such a free reign in a country that respects the rule of law and order. How can any sane mind accuse the topmost four leaders of this nation, who are all Muslims, of working in cahoot with Christians to suppress members of their own faith?

This question brings to mind a very sinister motive behind it all, the role being played by the ruling party, CCM. At the very time when an important issue, like the drafting a new constitution, should occupy the mind of every partriot, people like Mohamed Said are let free to criss-cross the country diverting peoples attention! Everybody knows that CCM and a new constituion are not the best of Friends, so whatz up?

Finally I take this opportunity to call on my fellow Tanzanians to beware the ill motives of this dangerous individual called Mohamed Said. The country is starting to experience the dangers of letting him run loose and reaping the fruits of his wicked teachings, which I am 100% sure are not shared by most of the Muslim population in this country, it is a one man jihad that banks on irascibe response from irascible people.

I read your waste...

Your argument is not only old and cheap but so childish to come from someone of your age Sir!

I know only a disconnected mind holds these kind of absurd thoughts.

I would never let MfumoKristo teachings or its followers/defenders to walk over my mind with their dirty feet!

If we expect MfumoKristo to be fair with us because we are fair with it...it's like expecting a lion not to eat us because we don't eat lion!? Kwi! Kwi! Kwi!

STOP discussing about Mohammed Said,he's not here anyway!?

Back to the Topic please!

Ahsanta.
 
Maulana Dr Kahtaan

Barkat Al Eid,Al Akhiy.

Niwie radhi ndo kwanza namaliza shughuli za Al Eid na family hapa.

Nimepitia hizi posts humu...Wallahi,imenilazim kucheka mno! Kwi Kwi! Kwi!

Huyo mtu mzima,ndo nilikua namukhis labda atakua ndo reasonable japo kiduchu,lakini matokeo yake nae baada ya kimya chake kingi karejea "mikono mitupu"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Hizo ndo dasturi zao,takriban woote. Khalaf wanajaribu kujiita ati wao ndo "wamesoma" na kujaribu kutu-convince ati "hakuna" MfumoKristo!? Mambo yoote,ikiwa pamoja na ubaguzi ulodhahir na kushamiri dhidi ya Waislam na dhiki zao zoote za kukakandamizwa na huo MfumoKristo ati ni "hisia" zetu tu!? Kwi! Kwi Kwi!

Ngoja nami "niwashindilie majiti"....nina maana majiti ya roho,wala si kwingineko! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Cc;Adiosamigo,Boko Haram
Al Akhy gombesugu Idd mubarak.
Walahi nimefurahi kukuta maalumati yako huku kwenye huu uzi nimefarijika sana
yaani sikukuku imekuwa murua.
Karibu ndugu yangu niko napata biriani pembeni kuna maji ya sharubati walahi rahaa.
ahsanta.
 
@gombesugu, ahlan wahsalan muungwana.
Pole kwa hamaki na kauli za staftashi, tafadhali pata funda la maji kitako utulize jaka moyo.

Ninaposoma majibu ya kejeli na matusi hujiridhisha hoja zangu zimeeleweka kwa nguvu zake.
Zinajibiwa kwa kejeli kwasababu ndilo jibu lililopo la karibu.

Nimesema ajitokeze mtu anithibitishie kuwa waliopigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam wote walikuwa waislam! Hakuna aliyetokea kwasababu mnafahamu wazi kuwa kuitwa Hussein hakumfanyi mtu awe mwislam.

Hoja yangu ipo wazi kabisa. Hakuna sababu ya msingi na ya maana kwa waislam kudai mashujaa wa Uhuru watambuliwe wakati ambapo Waislam hao hao wameshindwa kuwatambua.

Nikaweka hoja za kwanini chuo cha Alharamaini kisiitwe Abdul Sykes, Cha Dodoma kisiitwe K.Kleist n.k. ili kuanza kuwaenzi kwanza kabla ya kwenda kwenye medani ya kitaifa. Charity begins at home.

Ukiita shule kwa jina la Al Farook ambalo ni jina la Kiarabu tu na pengine maana yake ni ndogo sana ukaacha kuita Mshume Kiyate highschool unajidhulumu kabla hujadhulumiwa.

Please try to think beyond your nose!If you cannot dignify your own heroes ironically you hold someone accountable for the same, that's insane to be honest with you.

Nimewauliza, Nyerere amekufa miaka 14 leo hii.
Barbara ya Bagamoyo imepewa jina la Kibaki na kuua. Aliyefanya hivyo ni madiwani wa Dar, Mkuu wa mkoa wa Dar pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Kwasababu tu huwa hamna hoja ya maana mumeshindwa kuwa hold accountable wahusika mnatafuta jina la Nyerere kabuirini. Jk, Said Meshaki na madiwani wapo! kwanini mumtafute Nyerere kaburini. Waulizeni hao

Ndivyo ilivyo kwa Oceam Road, hatukusikia Mohamed Said au wengine wenye vichwa kama chake wakisema lolote. Tunamsikia akisemea Nairobi. He did not say anything to JK kwasababu. Leo tunasikia mfumo Kristo ukilaumiwa na Nyerere akiwa kaburini 14 yrs.

Mfumokristo ni dhana inayotengenezwa na Waislam wenyewe. Nitawaambia ukweli hata kama una umma.,
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.

Baada ya miaka 5 it's vicious circle kwasababu kuna mambo yanahitaji weledi. Huwezi kuwa Engineer au Daktari kwa kuteuliwa. Tutasikia wakilalamika JF mfumo kristo. Wamesahau kuwa hawakuwa na muda wa kupambana na mfumo, walitumia muda huo kujadili majina ya marehemu na kama yapewe mitaa! insane!

Kelele za kutambuliwa mashujaa zimesikika na medali zimetolewa. Sijui hilo limesaidiaje jamii ya watu wa Mkuranga wenye shule na mwalimu mkuu msaidizi ni Kiranja. ( Ogah lete habari ile ya Mkuranga)

Watu wanafikiria namna ya kufanya vyuo vyao vitambuliwe duniani, wenzetu mupo bize kutafuta majina na kumshambulia Nyerere. Hakuna anayejiuliza kwanini Morogoro University haipo katika vyuo bora 200 Africa.

Hitimisho ni kuwa
1. Kwanza, historia ya mwanadamu inaandikwa na mwanadamu kwa wakati na matukio.
Nyerere historia yake imeshaandikwa duniani. Hakuna anayeweza kuifuta au kuilingnisha na ya mtu mwingine. Ni ya Nyerere! period.Jitihada za kumpaka matope hazifanyi wengine wang'are.
Abdul Sykes atabaki kuwa raia na ukweli kuwa hakuwahi kuwa Rais wa Tanganyika utabaki pale pale hata kama unauma kama nyuki. Ni maumivu ya kuvumiliana

2. Anzeni kuenzi mashujaa kabla hamjaenda katika jukwaa la kitaifa.
Kama unadhani Jabal hilal ni bora kuliko Idd Faiz Mwafongo that should be your problem.
Hili la majina ni tatizo la utumwa wa kiakili.Waambieni madiwani wabadili majina, Tandamti iitwe Farijala, Twigwa uitwe Tatu Said n.k. Halafu mkae kitako mjiulize baada ya majina kubadilika, maisha ya jamii yamebadilika?

3. Stop the vicious circle of ignorance. Miaka 30 MS analalamika nanyi pia mnachukua kijiti kulalamika miaka 30 mingine. Inaudhi wasomi wanajadili trivial things kama majina ya mitaa na kuacha tatizo la elimu na umasikini katika jamii ile ile inayotaka majina! white elephant!

Kaeni chini mjiulize, kwanini kuna massive failure katika shule za Dar na kuna success Kirinjiko Secondari under the same environment! Kwanini chuo cha Morogoro hadi sasa hakijaweza kuchomoza katika anga za kimataifa hapa East Africa au Africa. Kuna tatizo gani na lisahishiswe vipi.

Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha.

Huwezi kujadili nyuzi nzima kuhusu stupid and trivial thing halafu uka depict positive image ya society. Frustration za MS si tatizo la kitaifa ni tatizo lake, you guys you're easily drawn in.
Mnashindwa kujibu hoja kwasababu you've been drawn in like chicken.
Wake up!

cc Al akhy Tayeb, ukhti Faiza Fox, maulana Ritz, Al Habib kahaatan
Mag3 @Jokakuu Wickama AshaDii Mtu Mzima

Ama kweli tembea uone!

Huu ni UHARO mwengine tena hapa jamvini tehe tehe tehe!

Waswahili tunasema toa mwiba wa Tak.o kwanza, halafu ukae chini utoe wa mguu

Ukifanya hivyo walau tunaweza kuendelea kujadiliana na wewe hapa Jamvini.
 
Al habib gombesugu nafurahi kaka kwa salam zako za Idd , takabala Llahu minna waminkum,
Teh teh teh teh! Al akhyi ukianza uwatia majiti ya roho hawa wagalatia! Utasababisha wanywe ile damu ya bwana kwa wingi sana! Na huwenda wakasababisha ajali barabarani!
Teh teh teh teh!
Tupe raha maalimu wangu!
 
Last edited by a moderator:
  • Name : kahtaan
  • Join Date : 11th July 2009
  • Location : Ughaibuni
  • Posts : 3,084
  • Rep Power : 0
  • Likes Received: 672
  • Likes Given: 300
Need I say more? Phew! If only idiocy was painful kahtaan, you'd be writhing in agony. You know what? I will give you a pass, it's not worth it.

Bila shaka nawe Mag3 ni miongoni mwa wale waandika uharo?!!
 
Last edited by a moderator:
Al habib gombesugu nafurahi kaka kwa salam zako za Idd , takabala Llahu minna waminkum,
Teh teh teh teh! Al akhyi ukianza uwatia majiti ya roho hawa wagalatia! Utasababisha wanywe ile damu ya bwana kwa wingi sana! Na huwenda wakasababisha ajali barabarani!
Teh teh teh teh!
Tupe raha maalimu wangu!

Kitu cha DODOMA sio, tehe tehe tehe!
 
Binaadam ana hulka ya anapojiona anaonewa muda wote basi ataamua kupambana, na katika huku kupambana kutategemea namna atakavyo pambana kulingana na anayepambana naye

Madai haya ya waislam wanaodai kuonewa kila uchao kwakawaida huzaa mpambano, mapambano ya aina ya akina Al shabab, Boko haram nk
Kwanini huzaa hivyo? imani yao ina waruhusu kufanya hivyo palae kwa mujibu wa tafsiri zao kuwa uislam upo kwenye hatari na unaonewa

There's no love,respect in you for us..and we know it!

Muslims need an "aggressive",intelligent and peaceful response!

Please,don't get us wrong...no one is advocating violence here Sir!

Acha kujitisha Mkuu! Kwi! kwi! Kwi!

Ahsanta.

Cc;Ritz,Kahtaan,Tayeb,Boko Haram,Songoro
 
Ama kweli tembea uone!

Huu ni UHARO mwengine tena hapa jamvini tehe tehe tehe!

Waswahili tunasema toa mwiba wa Tak.o kwanza, halafu ukae chini utoe wa mguu
A
Ukifanya hivyo walau tunaweza kuendelea kujadiliana na wewe hapa Jamvini.

Teh teh teh teh! Wallahi niko na swahiba zangu hapa tumecheka mno!
Inavyoonekana huyu Nguruvi3 amejisahau akakaa na kuanza kutoa mwiba wa mguuni!
Teh teh teh teh! Makalio yake yana maumivu mabaya!
 
Last edited by a moderator:
Al Akhy gombesugu Idd mubarak.
Walahi nimefurahi kukuta maalumati yako huku kwenye huu uzi nimefarijika sana
yaani sikukuku imekuwa murua.
Karibu ndugu yangu niko napata biriani pembeni kuna maji ya sharubati walahi rahaa.
ahsanta.

Boko Haram,

Minal' Faizin,Al Akhiy...Al Habib Ibn Al Sahib!

Hizo ulizopitia na kuziona mbona ni bashraf tu...wape salaam yakuwa shughuli yenyewe ndo inaandaliwa!...si unamuona Maulana Dr Kahtaan na Shariff Ritz wametulizana hapa jamvini! Kwi! Kwi! Kwi!

Wajua Murid Al tayeb,aliwahi kunipa wasia ya kuwa hawa jamaa twende nao polepole...maana hawakalii kuingia mitini kusingizia ati wametukanwa!? Kwi! Kwi! Kwi!

Haina neno,tushawazoea...acha tuendelee kusoma huo uharo wao!

Ahsanta.

Ahsanta.
 
Si wabudha na wahindu na wapgani (tunaoenda wa waganga wa kienyeji) hatumo kwenye historia. Nadhani ni muda muafaka sasa kuandika historia ya ukombozi wetu wa Tanganyika.
 
Teh teh teh teh! Wallahi niko na swahiba zangu hapa tumecheka mno!
Inavyoonekana huyu Nguruvi3 amejisahau akakaa na kuanza kutoa mwiba wa mguuni!
Teh teh teh teh! Makalio yake yana maumivu mabaya!

Tehe tehe tehe hapo lazima apate maumivu makali sana!

Kosa moja goli moja point tatu tehe tehe tehe!
 
Pro-Chadema mnachekesha sana sisi dini yetu imetukataza kuwa waoga ni haram kumkimbia mtu.

Ritz,

Huyo Chadema/MfumoKristo follower, anachekesha...si anajua kila thread wao ndo wanakua wa mwanzo kuomba misaada ya jamaa zao Mods na kuingia mitini!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
Si wabudha na wahindu na wapgani (tunaoenda wa waganga wa kienyeji) hatumo kwenye historia. Nadhani ni muda muafaka sasa kuandika historia ya ukombozi wetu wa Tanganyika.
Siku zote dini lazima iwe imejengwa na ukweli. Na lazima ukweli upambanuliwe, ulindwe, na kutetewa. La sivyo hakuna lolote litakuwa sawa.
 
Teh teh teh teh!

Hey doggy!

We dont do that! No path is given to a DOG!
We shoot the dOg before he bites!

Thats what we do in my neighbourhood!
So keep out doggy!

Dr Kahtaan,

Mi respect yer straight talk fam...Bless! Kwi! Kwi! Kwi!

You think that they would have learned by now,that oppression does nothing but make us stronger!

Jaz'aak Allah Khairu'

Ahsanta.
 
Son! You are singing a recorded song here!
Just go and ask your grand pa!
Who planted all those fruits you mentioned in your recorded song! Fruits like poverty and ignorance!!?
Was it me or you!? Or was it the same hyena NYERERE whom for some reason's he looks like an ANGEL TO YOU!
Are you blind? Or is a combination of blind and ignorance makes you who you are? I really struggling to understand!

I might be talking to a little 10 yrs boy or girl who doesnt know much anyway!

So if you dont mind me asking! How old are you.my child??

Dr Kahtaan,

Yaani umenivunja mbavu zangu pita kiasi Al Akhiy! Kwi! Kwi! Kwi!

Unajua huyo Mag3;kwa mujibu wa maandiko yake mwenyewe humu Jf,ni mkubwa kiumri kuliko hata yule "Chekibobu" wa Mama Josephine Mushumbusi! Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani huyo Mag3,anakurubia takriban kwenye "thamania wa ushehi"...hao ni mojawapo ya wale makanjanja alotuletea yule Nyerere kutoka huko madongo kuinama na kutuambia ati hao ndo "wasomi" wa kuongoza nchi!? Kwi! Kwi! Kwi!

Duh! Yaani yule Nyerere katuachia mauzauza mengi mno!

Msamehe huyo Mag3,maana enzi za ujana wake during early 60' alivinjari mno hapo Mzizima na alikua mlevi,fuska na fisadi wa kutupwa...ndo maana unaona hata akili zake zimekuwa za kitoto kiduchu!

Yule mwingine Mbondei Nguruvi3,anaejifanya ati nae ni wa mwambao,"tangia lini Bonde kuwa Pwani"!?...hili shairi maarufu lilitungwa early 1940s'! Kwi! Kwi! Kwi!
Huyo Nguruvi3,ni khabith mno!...hakawii sasa hivi kujaribu kuku-patronise yakuwa "anawapenda" sana Waislam kuliko anavyoipenda roho yake,ati marafiki zake "woote" ni Waislam tu na hata kwenye family yake nusu ni Waislam watiifu na uharo mwingineo mwingi! Kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi hao jamaa wawili ndo Viongozi humu Jf wa kupinga any meaningful,constructive and objective discussion regarding issues facing Muslim/Islam in our Country today!

Mimi binafsi nilipokua mgeni humu Jf,nilikua naive kiduchu...niliwapa benefit of the doubt and loads of respect with regards to their vicious uninformed opinions! I regret it as I was absolutely wrong!

Watch your back...you have been warned!

Ahsante al habib gombesugu ,
Nakushkuru kaka kwa nasaha zako ghali kabisa!
Vikojozi hawa wanaongea kama hawana meno! Halafu wanajaribu kumuiga yule muasisi wa MFUMO KRISTO!
Eti wanakuuma huku wanakupuliza! Kama panya vile! Teh teh teh teh!

Nguruvi3 maneno yake kama nguruwe3!
Teh teh teh teh!
Amma hizi elimu zao za kata ni mtihani mkubwa! Lkn alhamdulillha mpo waalimu kama wewe na wenzetu kina Ritz Boko haram CHAMVIGA FaizaFoxy Kikwajuni one Tayeb Nonda na wengineo weengi tu! Watakao wakumbusha hawa majeruhi wa siasa ya ujahanam na kujitega!

Dr. kahtaan,

Nakusomeni wewe na Maulana gombesugu.

Nimemaliza kula Basmat ya Kondoo saizi nakula zangu Faluda, teh teh teh.

Huo ulimbo alioweka Maulana ni hatari kubwa.

Cc; Al Mulid THE BIG SHOW, Mufti Barubaru,
 
Last edited by a moderator:
Dr Kahtaan,

Yaani umenivunja mbavu zangu pita kiasi Al Akhiy! Kwi! Kwi! Kwi!

Unajua huyo Mag3;kwa mujibu wa maandiko yake mwenyewe humu Jf,ni mkubwa kiumri kuliko hata yule "Chekibobu" wa Mama Josephine Mushumbusi! Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani huyo Mag3,anakurubia takriban kwenye "thamania wa ushehi"...hao ni mojawapo ya wale makanjanja alotuletea yule Nyerere kutoka huko madongo kuinama na kutuambia ati hao ndo "wasomi" wa kuongoza nchi!? Kwi! Kwi! Kwi!

Duh! Yaani yule Nyerere katuachia mauzauza mengi mno!

Msamehe huyo Mag3,maana enzi za ujana wake during early 60' alivinjari mno hapo Mzizima na alikua mlevi,fuska na fisadi wa kutupwa...ndo maana unaona hata akili zake zimekuwa za kitoto kiduchu!

Yule mwingine Mbondei Nguruvi3,anaejifanya ati nae ni wa mwambao,"tangia lini Bonde kuwa Pwani"!?...hili shairi maarufu lilitungwa early 1940s'! Kwi! Kwi! Kwi!
Huyo Nguruvi3,ni khabith mno!...hakawii sasa hivi kujaribu kuku-patronise yakuwa "anawapenda" sana Waislam kuliko anavyoipenda roho yake,ati marafiki zake "woote" ni Waislam tu na hata kwenye family yake nusu ni Waislam watiifu na uharo mwingineo mwingi! Kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi hao jamaa wawili ndo Viongozi humu Jf wa kupinga any meaningful,constructive and objective discussion regarding issues facing Muslim/Islam in our Country today!

Mimi binafsi nilipokua mgeni humu Jf,nilikua naive kiduchu...niliwapa benefit of the doubt and loads of respect with regards to their vicious uninformed opinions! I regret it as I was absolutely wrong!

Watch your back...you have been warned! Ahsanta.
Al Akhy gombesugu , khairi inshallah nimekusoma. Bonde kama si pwani sijui pwani ni wapi.

Imani ya mja anaijua mwenyezi mungu. Kama mimi ni muungwana, habith, kafir au sheitwan hukumu yangu anayo maanani usipate wahka katika kutafuta majaaliwa yangu leo na siku za baadaye.

Mtu anayekwambia ukweli ndiye anakupenda na hakika imesemwa wale wasemao kweli ya mwenyezi mungu SWT hao ni miongoni mwa waliongoka. Nitawaambi ukweli na si kile mnachotaka kusikia masikioni.

Nashukuru umeniweka kundi moja na Mag3 mmoja wa watu wenye heshima sana katika jamvi.
Heshima yake ni kutokana na maono, ujenzi wa hoja na uwezo wa kubomoa hoja kwa hoja tena kwa mantiki. Kuniweka katika chungu kimoja naye najisikia faraja kweli kweli na inshallah mwenyezi akujaze hekima zaidi.

Constructive discussion si zile za kufarajiana kwa uupuzi. Ni zile za kujenga hata kama zina maumivu.
Mimi siwezi kujadili mshume Kiyate secondary, nitajadili secondari ya mshume Kiyate kwanini inafelisha.
Mimi sijadili mfumokristo, ninajadili mfumo unaosababisha Kirinjiko sec ifanye vema Masjid Quba ifanye fyongo. Hizo ndizo constructive idea.

Silali ndani nikashinda kwenye bao halafu jioni nikasema mfumo umenitesa na kunidhulumu, nitakuambia amka uende kutafuta mkate ukirudi ujiulize kwanini mkate hautoshi.

Masalaam inshallah tutaendelea kufahamiana , kutakiana kheri na kuombeana shari iwe mbali nasi.
 
Last edited by a moderator:
@gombesugu, ahlan wahsalan muungwana.
Pole kwa hamaki na kauli za staftashi, tafadhali pata funda la maji kitako utulize jaka moyo.

Ninaposoma majibu ya kejeli na matusi hujiridhisha hoja zangu zimeeleweka kwa nguvu zake.
Zinajibiwa kwa kejeli kwasababu ndilo jibu lililopo la karibu.

Nimesema ajitokeze mtu anithibitishie kuwa waliopigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam wote walikuwa waislam! Hakuna aliyetokea kwasababu mnafahamu wazi kuwa kuitwa Hussein hakumfanyi mtu awe mwislam.

Hoja yangu ipo wazi kabisa. Hakuna sababu ya msingi na ya maana kwa waislam kudai mashujaa wa Uhuru watambuliwe wakati ambapo Waislam hao hao wameshindwa kuwatambua.

Nikaweka hoja za kwanini chuo cha Alharamaini kisiitwe Abdul Sykes, Cha Dodoma kisiitwe K.Kleist n.k. ili kuanza kuwaenzi kwanza kabla ya kwenda kwenye medani ya kitaifa. Charity begins at home.

Ukiita shule kwa jina la Al Farook ambalo ni jina la Kiarabu tu na pengine maana yake ni ndogo sana ukaacha kuita Mshume Kiyate highschool unajidhulumu kabla hujadhulumiwa.

Please try to think beyond your nose!If you cannot dignify your own heroes ironically you hold someone accountable for the same, that's insane to be honest with you.

Nimewauliza, Nyerere amekufa miaka 14 leo hii.
Barbara ya Bagamoyo imepewa jina la Kibaki na kuua. Aliyefanya hivyo ni madiwani wa Dar, Mkuu wa mkoa wa Dar pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Kwasababu tu huwa hamna hoja ya maana mumeshindwa kuwa hold accountable wahusika mnatafuta jina la Nyerere kabuirini. Jk, Said Meshaki na madiwani wapo! kwanini mumtafute Nyerere kaburini. Waulizeni hao

Ndivyo ilivyo kwa Oceam Road, hatukusikia Mohamed Said au wengine wenye vichwa kama chake wakisema lolote. Tunamsikia akisemea Nairobi. He did not say anything to JK kwasababu. Leo tunasikia mfumo Kristo ukilaumiwa na Nyerere akiwa kaburini 14 yrs.

Mfumokristo ni dhana inayotengenezwa na Waislam wenyewe. Nitawaambia ukweli hata kama una umma.,
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.

Baada ya miaka 5 it's vicious circle kwasababu kuna mambo yanahitaji weledi. Huwezi kuwa Engineer au Daktari kwa kuteuliwa. Tutasikia wakilalamika JF mfumo kristo. Wamesahau kuwa hawakuwa na muda wa kupambana na mfumo, walitumia muda huo kujadili majina ya marehemu na kama yapewe mitaa! insane!

Kelele za kutambuliwa mashujaa zimesikika na medali zimetolewa. Sijui hilo limesaidiaje jamii ya watu wa Mkuranga wenye shule na mwalimu mkuu msaidizi ni Kiranja. ( Ogah lete habari ile ya Mkuranga)

Watu wanafikiria namna ya kufanya vyuo vyao vitambuliwe duniani, wenzetu mupo bize kutafuta majina na kumshambulia Nyerere. Hakuna anayejiuliza kwanini Morogoro University haipo katika vyuo bora 200 Africa.

Hitimisho ni kuwa
1. Kwanza, historia ya mwanadamu inaandikwa na mwanadamu kwa wakati na matukio.
Nyerere historia yake imeshaandikwa duniani. Hakuna anayeweza kuifuta au kuilingnisha na ya mtu mwingine. Ni ya Nyerere! period.Jitihada za kumpaka matope hazifanyi wengine wang'are.
Abdul Sykes atabaki kuwa raia na ukweli kuwa hakuwahi kuwa Rais wa Tanganyika utabaki pale pale hata kama unauma kama nyuki. Ni maumivu ya kuvumiliana

2. Anzeni kuenzi mashujaa kabla hamjaenda katika jukwaa la kitaifa.
Kama unadhani Jabal hilal ni bora kuliko Idd Faiz Mwafongo that should be your problem.
Hili la majina ni tatizo la utumwa wa kiakili.Waambieni madiwani wabadili majina, Tandamti iitwe Farijala, Twigwa uitwe Tatu Said n.k. Halafu mkae kitako mjiulize baada ya majina kubadilika, maisha ya jamii yamebadilika?

3. Stop the vicious circle of ignorance. Miaka 30 MS analalamika nanyi pia mnachukua kijiti kulalamika miaka 30 mingine. Inaudhi wasomi wanajadili trivial things kama majina ya mitaa na kuacha tatizo la elimu na umasikini katika jamii ile ile inayotaka majina! white elephant!

Kaeni chini mjiulize, kwanini kuna massive failure katika shule za Dar na kuna success Kirinjiko Secondari under the same environment! Kwanini chuo cha Morogoro hadi sasa hakijaweza kuchomoza katika anga za kimataifa hapa East Africa au Africa. Kuna tatizo gani na lisahishiswe vipi.

Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha.

Huwezi kujadili nyuzi nzima kuhusu stupid and trivial thing halafu uka depict positive image ya society. Frustration za MS si tatizo la kitaifa ni tatizo lake, you guys you're easily drawn in.
Mnashindwa kujibu hoja kwasababu you've been drawn in like chicken.
Wake up!

cc Al akhy Tayeb, ukhti Faiza Fox, maulana Ritz, Al Habib kahaatan
Mag3 @Jokakuu Wickama AshaDii Mtu Mzima

Nguruvi3,

I read your another shit!

It's not my intent to have a philosophical discussion with you.

If MfumoKristo allow Muslims,to empower themselves and one another...they know that the battle will be lost for them and the people they claim to represent/defend.

So MfumoKristo remain inundating Muslims with many more hurdles moulded in psychological warfare.

It's the "Pharaoh Complex" to kill their numbers before they are able to multiply enough to defeat.

So MfumoKristo can keep killing our self-esteem with exaggerated labels,many will remain too afraid to come together and unite for fear of imprisonment without realizing we are already prisoners!

"Unity is kryptonite to the common enemy but spinach the union"!

For instance;

MfumoKristo created,organise,finance and insist aggresively on corrupt Bakwata despite significant opposition from Muslims themselves!?...and it wouldn't allow any other Muslim organisation to equally prosper,organise,benefit or develop!?

Now,to answer the question,why is that!?

Simply due to the fact that the worst thing can happen in this broken already society is,Muslims collectively coming together!!?

If one defines MfumoKristo as a system within the Central government and its affiliates to disadvantage Muslims;the answer is a big fat YES!

It's undisputable fact that Christians have systematically benefited from MfumoKristo for decades and still enjoy in so many ways/aspects to the expense of siginificant number of Muslims and others with no faith.

Why do you think that Nyerere and his legacy aka MfumoKristo founded and never tired of clinging on Bakwata while ostracize other Muslim organisations/NGOs!?

Because they are acutely aware that other reputable Muslim Organisations will change for good Muslims image to a more positive one,coupled with sustainable socio-economic strategies,education just to mention the few!

Basically,Bakwata with the help of MfumoKristo,it feels a terrible,overpowering need to prove to Muslims and others that it is "revelant"! Kwi! Kwi! Kwi!

You can see the relevance from a simple examination of political parties/politicians and Bakwata rulers.

And yet,exactly like some political parties,Bakwata is run by people who have never been remotely relevant!

The same old,corrupt,uneducated,arrogants,selfish,untrustworthy who festoon all our institutions and strategic government positions.

People who don't have a clue how the majority think,or live their lives...so end up condescending to them,desperate to ingratiate themselves.

Bakwata
is just another tool within MfumoKristo to further its interests and undermine Muslims in almost every sphere of social-economic existence.

Bakwata
,never been a true/legitimate body to defend or represent Muslims and their interest.

The institution of MfumoKristo needs to be adressed/articulated from a psychological and sociological perspective,if we are truly to understand why majority of Muslims remain in these dire situations.

The subject is uncomfortable to others but need to be adressed.

MfumoKristo has proven to be ineffective,inhumane and systematically abusive!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz,Kahtaan,Tayeb,The Big Show,JokaKuu,Boko Haram,Barubaru
 
Ahsante al habib gombesugu ,
Nakushkuru kaka kwa nasaha zako ghali kabisa!
Vikojozi hawa wanaongea kama hawana meno! Halafu wanajaribu kumuiga yule muasisi wa MFUMO KRISTO!
Eti wanakuuma huku wanakupuliza! Kama panya vile! Teh teh teh teh!

Nguruvi3 maneno yake kama nguruwe3!
Teh teh teh teh!
Amma hizi elimu zao za kata ni mtihani mkubwa! Lkn alhamdulillha mpo waalimu kama wewe na wenzetu kina Ritz Boko haram CHAMVIGA FaizaFoxy Kikwajuni one Tayeb Nonda na wengineo weengi tu! Watakao wakumbusha hawa majeruhi wa siasa ya ujahanam na kujitega!
Teh teh teh teh!
Khairi inshallah nashukuru al habib. Maneno yakiwa kama ya nguruwe si tatizo, jiulize kama yana mantiki na yana tija kwako?

Ninaposoma matusi yenu dhidi yangu najisikia faraja kwasababu hoja zangu zimesimama zenyewe hazina majibu bali majibu ya matusi. Siku zote matusi ndiyo silaha nyepesi, nzuri na ya haraka kwa asiye na hoja.

Ninahakika nimewachoma lakini sindano inauma sana, tunaipenda ni dawa.
Ningalikuwa na nmana nyngine pengine ningeisema, tatizo mimi humuangalia nyani usoni wakati namshughulikia.

Waungwana, hivi mnajisikiaje mwenzenu akitoa hoja nanyi mkijibu matusi?
Nimeuliza mnachotaka hawa watu kueziwa ni kipi msichokisema?

Ninajua mnataka mitaa ipewe majina yao, je hilo litabadili maisha yenu au ya jamii inayowazunguka.
Hilo lita improve pass mark za wanafunzi wa jabal hilal, al farook au masjid quba!

Back
Top Bottom