Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

chamvinga , kama unaongelea suala hili katika mizania ya dini unajichanganya. Nimesema huko nyuma suala la uhuru litenganishwe na dini kwasababu njema kabisa.

Pamoja na matumizi ya dini kuhalalisha hoja zako bado umejichanganya. Hoja yako katika kifungu cha mwisho unaanisha kujenga msimamo wako katika dini. Ukifika hapo lazima useme ukweli kwasababu dini hiyo uliyoitumia kuweka msimamo ndiyo inayoagaiza ukweli. Kwabahati mbaya umekiuka msingi ulioujenga mwenye. Nitaeleza

Umesema Nyerere alifanyiwa mema na kisha kuwageuga wenzake baada ya uhuru.
Usichosema ni kuwa hao waliotenda wema baadhi yao ndio walimtenga kwasababu ya imani yake mwaka 1957 na hata kupelekea kuanzishwa kwa AMNUT na kisha kujificha katika chaka la EAMWS kama Sheikh Amir.
Umeshindwa kusema ukweli kuwa Nyerere aliwatendea wema kama kumtaka Sheikh Amir awe sehemu ya baraza la mawaziri na sheikh kukataa.

Umeshindwa kueleza kuwa waliokorofishana na mwalimu si wote ni baadhi kwasababu zile zile za kutaka kumuondoa madarakani si kwa njia ya kura bali ya imani yake.

Kwakushindwa kusema hayo msimamo wako wa kidini haukufuata maadili ya dini ya ukweli.
Haukufuata maadili kwasababu hata vifungu unavyotumia kuhalalisha ubaya bado vinajichanganya. Nitafafanua:

Malalamiko ya kuonewa yalitakiwa yasemwe na walionewa kwa maana ya kuwa wao ndio waathirika.
Hakuna mahali katika rekodi Mshume Kiyate alipita barabarani akitangaza msaada wa sh 200 na mboga kwa omba omba Nyerere.

Hakuna mahali ambapo hadi sasa tumeona au kuonyeshwa kuwa Abdu Sykes alipita bara barani akieleza chumba alichomwachia Nyerere na Mkewe.
Ninaamini kuwa wazee hawa alifanya kwa nia njema kabisa na wala si katika kusenganya.

Anayeleta hoja ya kusengenya ni Mohamed ambaye ni msimuliwaji. Pengine angeandika katika lugha njema isingeleta taabu, ameandika katika lugha dhalili kwa Nyerere na hivyo kukiuka kanuni ya Jarhu wata'adir.

Ingeelezwa kuwa wazee hao walimfadhili Nyerere wakati hana kazi hiyo ingesomeka kama Jarhu Wata'adir. Lakini inapokwenda hadi kuzungumzia vitoweo na malazi hiyo ni dhalili.

Sijui kama dhalili ni jambo jema naomba msaada wako ili nisije andika nikajeruhi kwa kupindukia(Jarhu wata'adir)

Unaposema Nyerere amejenga misingi mibovu ya taifa hili hapo ume generalize. Misingi gani unayoongelea? Tena unasema JK Kikwete anajitahidi kurekebisha. Umesahau kuwa ni Nyerere aliyejenga mazingira ya JK Kikwete kuwa rais kuanzia utotoni hadi ukubwani kama ilivyo kwa akina Mohamed Said n.k.

Umesahau kuwa kuna marais wawili waliopita kabla ya JM Kikwete ambao kila mmoja alikuwa na mchango wake kwa namna moja au nyingine.

Kisichokuwa na ubishi ni kuwa wote wamefanyakazi katika mazingira aliyeoyajenga Nyerere.
Hakuna anayefanya jambo ambalo Nyerere hakulifanya, hakuna nasimama kwa hili kwa ushhidi wa kutosha!

Hivyo ukiona mtu anavuna jiulize nani alipanda mti huo wa matunda. Au ndio yale ya Tabora mtu kusema huu ni mwembe wangu wakati historia inaonyesha ulipandwa wakati wa Abushir? Nani anakumbuka hilo!

Yote hayo umeyafanya kwa kuvuka mpaka na wala hakuna jarhu mata'adir.
Hakuna uhalali wa kujenga excuse kwa upande mmoja na kuvuka mipaka kwa upande mwingine.
Usiposimama kusema ukweli hapoa utakuwa umekiuka msingi wa kutumia jarhu mata'adir.

Ahsante
Nguruvi3.

Naona unaendelea kupiga ngumi hewani teh teh teh!

Hebu jisome tena ulichokiandika ndiyo utajua nani anajichanganya kati yako na Mujitahidi CHAMVIGA. unasema wanaotakiwa kulalamika kusema wameonewa wale waathirika, ndiyo maana tunakuambia wewe una chuki na Waislam kila dhulma walizofanyiwa na Nyerere kwako unaona sawa, wewe unamtaja Sheikh moja tu Hassan bin Amir kuna masheikh walikuwa mikoani Mwanza, Dodoma, Tabora, Kilwa, Tanga, walikamatwa wala hawakuwa wanasiasa nakutajia tena.

Baada ya kupatikana uhuru kilichofuatia ni kuwakamata hawa masheikh na kuwafunga jela, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Sheikh Suleiman Masudi Mnoji, Sheikh Jumanne Bias, Sheikh Bilal Waikela, Ali Migeyo, Maalim Matar, Sheikh Nurdin Husein, Sheikh Ali Comorian, Sheikh Al Amin Mafta, Sheikh Hashimu Haji, Sheikh Abdalla Mwamba, Sheikh Amin Abdalla, Sheikh Maftaa, na wengine wengi.

Nguruvi3. sisi Waislam ndiyo waathirika wenyewe hivi unataka Masheikh wasemewe na nani kama siyo Waislam, nyie Maskofu wenu wakipatwa na matatizo wote mnanyanyua midomo yene tena wewe uliandika kuwa kuishambulia serikali ushahidi upo, Masheikh wakipata matatizo unasema wanaotakiwa kulalamika ni waathirika, eboo!! wewe mbona unakesha JF kumtetea Nyerere kwa nini usiwaachie kina Madaraka Nyerere, Makongoro Nyerere na watoto wengine wa Nyerere, wewe kweli kauzu.

Majanga.
 
Last edited by a moderator:
Naweza kusema kwa dhati kuwa ulikuwa na prejudice kuhusu mimi kuanzia siku nyingi na hilo limepekelea kuwa na paranoia kuhusu mimi pia.

Nimesema mara zote kuwa ninaheshimu sana wanadamu na haki zao. Nikipita mtoni nikamuona anaabudu au chini ya mbuyu au Msikitini na Kanisani, katika masinagogi na matempo hakika sitii neno kwasababu hiyo ni haki yake na wala siana sababu za kumwingilia kwasababu siana haki hiyo na ni kinyume na ubinadamu.

Tabia inayoniponza ni kusema ukweli na kuusimamia. Nitasema ninachotaka kusema na si kile watu wanataka kusikia.Najua hatuwezi kukubaliani sote lakini basi tukubaliane kwa yaliyo wazi japo kwa uchungu au maumivu.

Unachoksisema ni dhihaka ni mifano yangu inayotia maudhi kwasababu ya ukweli wake. Nikisesema Mkuranga mwalim mkuu msadidizi ni mwanfunzi hakuna anayependa kusikia hilo kwasababu watu hawapendi hata kama habari imeandikwa na kusomeka kwa ushahidi nchi nzima.

Nikifananisha na machame na kuuliza kwanini Bakwata iathhiri eneo fulani na si nchi nzima inaonekana nimetaja maeneno wanayotoka waislam hata kama mifano hiyo ni ya maeneno yanayofanana.

Watu wawe wakweli na kukubali changamoto. Tukae pamoja tujiulize kwanini tunalipa kodi wakati huo huo hakuna walimu wa kutosha tena chini ya KM 120 kutoka Dar es Salaam.

Tuchukue mifano mizuri na kuifanyia kazi kwa manufaa ya jamii yetu. Tusiogope kusema kwanini Kirinjiko na Maua sekondari wanafanya vizuri wakati Masjid Quba na St Josph wanafeli.

Tuwe wamoja kukabliana na changamoto na si kutafuta sababu za mkao za kuhalailisha mapungufu yetu.
Hilo litawezekana tukiita koleo kama kole na si kijiko kikubwa kwa kuongozwa na ukweli.

Tabia inayokuponza wewe ni kusema ukweli! My foot...

Kusema Mohamed Said alikuwa Bakwata ndiyo ukweli.

Nguruvi3 siku zote mtu mkweli huwa hana tabia ya majisifu na mikogo, jamii ndiyo inamsemea.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mahali ambapo hujapaelewa kwasababu hufuatilii nyuzi na maandishi ya Mohamed Said kwa ufasaha na kwa uangalifu.

Katika nyuzi zilizopita tumejadili na watu wengi sana walikubali kuwa historia iliyokuwepo haikuwa kamili kwasababu kuna matukio, watu na vitu havikuorodheshwa. Tukasema ni vema ikaandikwa kwa uhalisia wake.
Hilo limesemwa

Mohamed Said anachokiandika ni kusahihisha makosa kwa makosa makubwa zaidi. Kwa mfano, katika maandishi yake huwezi kumuona akizungumzia role ya Cecil Matola akina Kyaruzi na wengine.
Amejikita kuwakuza watu kwa msingi wa dini huku historia hiyo ikielemea upande wa dini kwa kuruka viungo muhimu sana.

Mfano wa pili, Mohamed Said alificha kuhusu mchango wa Mary Knoll shirika la kikkristo huku akiwananga kuwa wao walishirikiana na wakoloni. Hapa akimnanga zaidi Nyerere kumuonyesha kuwa hakuwa na lengo la Uhuru alikuwa opportunist. Amemnanga sana Nyerere kwa elimu, imani na hata sehemu anayotoka(ushahidi upo)
Kibaya zaidi kaenda mbali hadi kumdhalilisha kuhusu vitoweo eti akiandika historia kamili.

Mohamed akaenda kafuta baadhi ya matukio ili kudhalilisha watu. Akazua habari ambazo zimethibitika kuwa si za kweli (ushahidi wa maandishi yake upo).

Lakini muhimu sana ninalotaka wewe uelewe ni kuwa Mohamed Said haandiki historia ili watu wajue tu, ana lake jambo.Katika maandishi yake ametumia historia ya kupamba waislam halafu anachomeka hoja kuwa dhidi ya kuwa wao wamepigania uhuru sasa wamegeuzwa kuwa raia wa daraja la pili.

Hii maana yake ni kuwa historia anayosema imelenga kuuandaa mazingira ya hoja zake za waislam kukandamizwa, kudhulumiwa licha ya kuwa wao wamepigania uhuru.

Hilo ni tofauti na kauli zako hapo juu kwasababu wewe unalenga historia iwe kamili wakati yeye analenga historia iwe silaha. Hapo ndipo watu wengi sana wanatofautiana na Mohamed.

Hakuna anyekataa kuwa sehemu kubwa ya wakazi wa Dar walikuwa waislam. Lakini pia haina maana kuwa uhuru ulipiganiwa kuanzia Dar pekee.

Mbuwane Syke alipokwenda kumpiga mkwawa kama mamluki ni kwasababu Mkwawa alikuwa anapinga ukoloni. Sasa hii ya kutenga kifungu cha wazee wa Kariakoo na kusema bila wao yasingetokea si kweli.

Ni kutokana na hayo ndio maana niliuza kama lengo ni kuwaenzi wazee watu wanashauri nini.
Hakuna mwenye hoja hadi zilipotafutwa njia za kusema viandikwe vitabu.

Ukweli ni kuwa watu wanataka wale wanaotajwa wapewe nyadhifa kama sehemu ya shukran na wewe ni mmoja wao uliyesema familia ya Kiyate iulizwe ienziwe vipi. Medali zinatolewa nini tena kinatakiwa?

Ni makosa sana kusema watu wanapinga Uislam kama anavyosema Chamvinga.
Ukweli ni kuwa watu hawataki historia ipotoshwe, itumike kwa masilahi au imani ya dini isingiziwe ili kuzuia watu wasiwe huru kuchangia.

Kwa mfano, wapo wanaoelewa ukweli tunaousema kuhusu MS lakini hawawezi kusema MS kakosea kwani kufanya hivyo ni kuwa dhalimu na kuukana Uislam. Wamesahau MS haandiki historia ya Uislam anaandika historia ya Tanganyika ambayo waislam ni sehemu yake.

Ukimsoma MS lengo lake ni kujenga mazingira fulani kwanza ili hoja zake zinazomchonyota zipate kusimama.
Sisi wengine tunasema la hasha! historia iandikwe kwa taratibu na kanuni zake kama ilivyo.

Dini ziwe sehemu ya historia kwasababu ni sehemu ya, lakini zisiwe kama ndiyo historia yenyewe kwasababu zilikuwepo kabla ya harakati.

Wazee wetu wamesema '' walipigania uhuru kumkomboa mwafrika'' Sasa hili la kupigania uhuru kwa ajili ya waislam Mohamed Said kalitoa wapi

Nakushukuru kuwa umezungumza kitu nikakusoma.

Hakuna makosa kusema waliopigania walikuwa wazee wazalendo wa Kiislam, ambao walikuwa na mapenzi na Nyerere kama kijana wao wala hawakumbagua.
 
Mzee Mohamed Said sina shaka mimi na makusudio yako ya kumtajia Nyerere yale mema aliyofanyiwa na wazee wetu naamini umefanya hivyo kwasababu kiubinadamu iko hivyo. Kuna wakati unapofikiria ubaya alio/anaokufanyia mtu uliyemsaidia kwenye shida zake kubwa na hata ndogo kwakukuomba au kwa ukarimu wako lakini akatokea kukusaliti vibaya tena na kufikia hatua ya kutodhamini hata uhai wako ni rahisi sana kulalamika na hata kutaja nguo ya ndani uliyomsaidia ili kuonyesha msisitizo na uchungu ulionao dhidi ya matendo yake huyo uliemsaidia. The same ulichokifanya kwa Mwalimu Nyerere, Nyerere alipewa kampany kubwa sana katika strugle ya uhuru wa taifa hili lakini mwisho akaturn against wenzake wale aliosaidiana nao katika mapambano hayo. La kusikitisha zaidi ni kufikia hatua ya kuwaua, kuwafunga, kuwahamishia pahala pengine kwa chuki zake. Akaenda mbali zaidi na kutengeneza mfumo wa kuhakikisha historia ya hao watu inafutika kabisa. Katika hali hii unategemea mimi kama muathirika ninapolalamika na kuyasema mpaka yale madogo niliyomsaidia mtesaji wangu nitakuwa ninamakosa? Au ninamsengenya? Hapana hukumsengenya na hata dini inaruhusu kuyasema maovu ya viongozi yanayoonekana kuathiri watu wake.
Mkuu Wickama umenishauri kuziangalia ahadith sahihi zasemaje kuhusu suala la kusengenya bila shaka mimi nazifahamu mno na kwa uzuri sana hadith hizo alhamdulilah. Ni kosa kufanya usengenyaji katika uislamu na ni dhambi kubwa sana tena katika aya mwenyezi Mungu aliyetakasika na utukufu amekemea sana na Mtume Muhamadi s.a.w akafikia kufananiza usengenyaji kuwa uovu ni sawa na kula nyama ya binadamu mwenzako. Lakini kumbuka kuna mlango unaoruhusu kusema mabaya ya mtu hasa kiongozi ambaye mabaya yake yatakuwa yanaathiri jamii inayomzunguka kwa mfano akiwa anapotosha kwa makusudi. Mlango huo unaitwa kwa kiarabu 'JARHU WATA'ADIR' 'Jeruhi na kwa uadilifu' yaani kuyazungumza matendo ya kiongozi huyo tena kwa uadilifu pasi na kuvuka mipaka. Nyerere alikuwa kiongozi ambaye uongozi wake na misingi yake mibovu ndio inaliathiri mpaka leo taifa letu ambalo ndugu Jm Kikwete anajitahidi kulisimamia katika ujenzi wake. Uongozi wake ndio uliosuka mbinu za kuifukia historia sahihi na akajitahidi kujenga jina lake pekeyake. Uongozi wake ndio ulioanzisha taasisi dhalimu na kandamizi kwa waislamu ya BAKWATA. Kwanini asingumzwe? Hapo hakuna usengenyaji bali ni 'jarhu wata'adir'.

Kama mlifikia mahala kila mtu akasimama na msimamo wake basi na mimi soma msimamo wangu hapo juu nilioujenga kwa mujibu wa dini yangu.
Mujitahid CHAMVIGA.

Mwaka 1958 kulitokea ugomvi Sheikh Suleiman Takadir aliwaonya Waislam haya yote mnayomfanyia Nyerere wachukuwe tahadhari atakuja kuwageuka, kama aliota.
 
Last edited by a moderator:
Tayeb;

1. Nimesema KOMAA mzee sio KOMA mzee hukuisoma ile nyuzi vizuri
2. Ukiandika kitabu kisha hakieleweki na wanunuzi ni kosa la mwandishi. Ila kitabu cha MS kinaeleweka. ninacho.
3. Hao wakina Sykes kugombana na kutosemezana, sio familia ya mwisho kupata mkasa kama huo. wengine hushikiana mapanga. Ila ni vizuri kuwatakia kheri. Nachojua bado wamo kwenye corridors of power
4. Simulizi hazidaiwi ushahidi (Alfu lela.....; Lord of the ring...), lakini ukizigeuza machapisho ya kihistoria lazima utadaiwa ushahidi ndio desturi Tayeb. Mimi nina hangaika na machapisho ya kitaaluma sio "LORD OF THE RINGS".

Anacho fanya hapa Jamvini Sheikh Mohamed Said vyote vinaangukia kwenye Fasihi andishi!

Unaweza ukawa hujuwi kusoma lakini basi hata LUGHA ya picha nayo ikushinde?!

Kama hutafahamu neno kwa neno na kisha kupata maana, bila shaka wewe utakua na kilema cha ufahamu!

Wewe Wickama, Nguruvi3 na Mag3 mtapata tabu sana kumfahamu ndugu yetu Sheikh Mohamed Said

CC : Dr. kahtaan, Sharrif Ritz, Al akhiy gombesugu Hayatollah CHAMVIGA Al ustaadh Boko haram na Hajjat FaizaFoxy
 
Ujumbe wako maalim Tayeb uko waazi kabisa!
Wakikusikiliza hao vijana! Huenda wakafaidika.
 
Last edited by a moderator:
Naweza kusema kwa dhati kuwa ulikuwa na prejudice kuhusu mimi kuanzia siku nyingi na hilo limepekelea kuwa na paranoia kuhusu mimi pia.

Nimesema mara zote kuwa ninaheshimu sana wanadamu na haki zao. Nikipita mtoni nikamuona anaabudu au chini ya mbuyu au Msikitini na Kanisani, katika masinagogi na matempo hakika sitii neno kwasababu hiyo ni haki yake na wala siana sababu za kumwingilia kwasababu siana haki hiyo na ni kinyume na ubinadamu.

Tabia inayoniponza ni kusema ukweli na kuusimamia. Nitasema ninachotaka kusema na si kile watu wanataka kusikia.Najua hatuwezi kukubaliani sote lakini basi tukubaliane kwa yaliyo wazi japo kwa uchungu au maumivu.

Unachoksisema ni dhihaka ni mifano yangu inayotia maudhi kwasababu ya ukweli wake. Nikisesema Mkuranga mwalim mkuu msadidizi ni mwanfunzi hakuna anayependa kusikia hilo kwasababu watu hawapendi hata kama habari imeandikwa na kusomeka kwa ushahidi nchi nzima.

Nikifananisha na machame na kuuliza kwanini Bakwata iathhiri eneo fulani na si nchi nzima inaonekana nimetaja maeneno wanayotoka waislam hata kama mifano hiyo ni ya maeneno yanayofanana.

Watu wawe wakweli na kukubali changamoto. Tukae pamoja tujiulize kwanini tunalipa kodi wakati huo huo hakuna walimu wa kutosha tena chini ya KM 120 kutoka Dar es Salaam.

Tuchukue mifano mizuri na kuifanyia kazi kwa manufaa ya jamii yetu. Tusiogope kusema kwanini Kirinjiko na Maua sekondari wanafanya vizuri wakati Masjid Quba na St Josph wanafeli.

Tuwe wamoja kukabliana na changamoto na si kutafuta sababu za mkao za kuhalailisha mapungufu yetu.
Hilo litawezekana tukiita koleo kama kole na si kijiko kikubwa kwa kuongozwa na ukweli.

May be nimekuwa too prejudice kwako mapema sana hata kunipelekea kuwa na Paranoia dhidi yako. Sawa, lakini hebu jiulize kwa mfano unapotoa kauli ya kuwadhihaki wazanzibar au watu wa Tanga na kusema hawana maendeleo kwakuwa ni wavivu na watu wakupenda kukaa vibalazani na kunywa kahawa na kashata wakati huohuo historia inaonyesha Tanga ni miongoni mwa mikoa iliyokuwa mbele kimaendeleo, kama kuwapo kwa viwanda vingi ambavyo leo vimebakia magofu na muuwaji wa viwanda hivyo ni Nyerere mimi wa Tanga nitakuchukulia unanidhihaki/kejeli au unaniambia nini? Leo vijana kwakukosa kazi wamegeuka wauza unga na mateja wakati vyanzo vya ajira vimeuliwa makusudi na Nyerere je ukisema huyu ni mvivu ataichukulia kauli hii ni kejeli kwake au nini? Wewe unasema unasema unasimamia ukweli ambao sisi hatutaki kuusikia, labda nikuambie tu kuwa mimi nimuumini wa ukweli lakini ikiwa ni ukweli hasa. Wewe unakosa sifa ya kuaminiwa kwakuwa umekuwa kigeugeu (ndani ushahidi upo). Umesema hujamkeli mzee Mohamed Said na ushahidi tukakuwekea. Umesisitiza watu tusimamie ukweli na mimi nasisitiza hivyo pia kwani ukweli ndio pekee utakaotufikisha tunapotaka kama watanzania na kinyume chake itakuwa ni UNAFIKI. Turudi kwenye mada.
 
Last edited by a moderator:
Anacho fanya hapa Jamvini Sheikh Mohamed Said vyote vinaangukia kwenye Fasihi andishi!

Unaweza ukawa hujuwi kusoma lakini basi hata LUGHA ya picha nayo ikushinde?!

Kama hutafahamu neno kwa neno na kisha kupata maana, bila shaka wewe utakua na kilema cha ufahamu!

Wewe Wickama, Nguruvi3 na Mag3 mtapata tabu sana kumfahamu ndugu yetu Sheikh Mohamed Said

CC : Dr. kahtaan, Sharrif Ritz, Al akhiy gombesugu Hayatollah CHAMVIGA Al ustaadh Boko haram na Hajjat FaizaFoxy

Nimekusoma vizuri akhy Tayeb.
 
Last edited by a moderator:
Mujitahid CHAMVIGA.

Mwaka 1953 kulitokea ugomvi Sheikh Suleiman Takadir aliwaonya Waislam haya yote mnayomfanyia Nyerere wachukuwe tahadhari atakuja kuwageuka, kama aliota.

Shariff Ritz,
Lile onyo la Sheikh Suleiman Takadir kuhusu Nyerere ilikuwa ni mwaka 1958
siyo 1953.

Ilikuwa baada ya kurejea kutoka Mkutano wa Tabora wa 1958 uliojadili Kura Tatu.

Ndipo Sheikh Suleiman Takadir akafukuzwa TANU na kupoteza uenyekiti wa Baraza
la Wazee na nafasi yake ikachukuliwa na Mzee Iddi Tulio.

Uongozi wa Baraza la Wazee chini ya Iddi Tulio ndiyo uliopewa taarifa ya kupigwa
marufuku baraza hilo pale Ukumbi wa Arnautoglo.

Si muda mrefu Mzee Tulio akagongwa na gari akafa na TANU hawakuwa na taarifa nae
akazikwa kimya kimya na nduguze Waislam.

Hapakuwa na rambirambi kutoka TANU wala hotuba za wasifu wake.

Na laiti kama Mohamed Said asingelimwandika katika kitabu chake hakuna ambae leo
angemtambua.

Sheikh Suleiman Takadir utabiri wake ulikuwa tawire.
 
Haya mzee Said, tumalize na la sigareti maana tumeshaona chanzo

Nguruvi,
Nimesoma maneno yangu na wala hayanipi shida naweza kuyaandika tena hivyo hivyo
neno kwa neno.

Ikiwa wewe unaona vinginevyo yawezekana labda sie sote tumeathiriwa na makuzi, mila
na malezi yetu.

Nakueleza makuzi yangu na uhusiano wangu na historia hii ya Soko la Kariakoo kwa kifujpi.

Mimi nimewasikia wazee wangu wakihadithia mambo haya kwa vizuri na huku wakikumbukia
zama wakicheka wala hapakuwa na chuki katika mazungumzo yao.

Nimewasikia wakinitania mimi kwa kushinda kwenye ubao wa biashara ya mjomba wangu wakati
wa likizo kwa sababu kutwa nzima nakula vyakula vya ubuge pale.

Akipita muuza kumbikumbi mjomba wangu ataninunulia, akipita muuza njugu za kuchemsha
nanunuliwa na mchana ananichukua hoteli kuninunulia sahani ya pilau nakula na ndizi mbivu.

Katika mazungumzo kama haya ndipo anapoingia babu yangu Sharif Mwamedi na anapoingia
Abdu Sykes, Mzee Abdallah na Shariff Abdallah Attas na uhusiano wao na Nyerere.

Sikupata hata siku moja kuhisi kuwa mazungumzo yale yalikuwa na nia ya kumdunisha Nyerere.

Mwisho sielewi kwa nini umelipenda sana hili jambo la sigara...
 
Shariff Ritz,
Lile onyo la Sheikh Suleiman Takadir kuhusu Nyerere ilikuwa ni mwaka 1958
siyo 1953.

Ilikuwa baada ya kurejea kutoka Mkutano wa Tabora wa 1958 uliojadili Kura Tatu.

Ndipo Sheikh Suleiman Takadir akafukuzwa TANU na kupoteza uenyekiti wa Baraza
la Wazee na nafasi yake ikachukuliwa na Mzee Iddi Tulio.

Uongozi wa Baraza la Wazee chini ya Iddi Tulio ndiyo uliopewa taarifa ya kupigwa
marufuku baraza hilo pale Ukumbi wa Arnautoglo.

Si muda mrefu Mzee Tulio akagongwa na gari akafa na TANU hawakuwa na taarifa nae
akazikwa kimya kimya na nduguze Waislam.

Hapakuwa na rambirambi kutoka TANU wala hotuba za wasifu wake.

Na laiti kama Mohamed Said asingelimwandika katika kitabu chake hakuna ambae leo
angemtambua.

Sheikh Suleiman Takadir utabiri wake ulikuwa tawire.
Nafyonza Ilm kutoka kwa Mzee Mohamed Said,
 
Kwa hiyo Unataka kusema Nyerere na TANU ndiyo walimgonga siyo!
 
Kwa hiyo Unataka kusema Nyerere na TANU ndiyo walimgonga siyo!

Mkuu wacha hizo!

Unamuuliza au unamuwekea maneno mdomoni!?...wewe ndie unayeonekana umeshakuja na conclusion yako!?

Hiyo ni leading question...nafikri ingekua fair kwa unayemuuliza kama ungempatia open and/or closed question!?

Khalaf,kwa jinsi Serikali za Ki-Afrika na nyinginezo nyingi duniani zinavyoendeshwa,sioni hata sababu yawe ati kustaajabu kwalo!?

Ahsanta.
 
Shariff Ritz,
Lile onyo la Sheikh Suleiman Takadir kuhusu Nyerere ilikuwa ni mwaka 1958
siyo 1953.

Ilikuwa baada ya kurejea kutoka Mkutano wa Tabora wa 1958 uliojadili Kura Tatu.

Ndipo Sheikh Suleiman Takadir akafukuzwa TANU na kupoteza uenyekiti wa Baraza
la Wazee na nafasi yake ikachukuliwa na Mzee Iddi Tulio.

Uongozi wa Baraza la Wazee chini ya Iddi Tulio ndiyo uliopewa taarifa ya kupigwa
marufuku baraza hilo pale Ukumbi wa Arnautoglo.

Si muda mrefu Mzee Tulio akagongwa na gari akafa na TANU hawakuwa na taarifa nae
akazikwa kimya kimya na nduguze Waislam.

Hapakuwa na rambirambi kutoka TANU wala hotuba za wasifu wake.

Na laiti kama Mohamed Said asingelimwandika katika kitabu chake hakuna ambae leo
angemtambua.

Sheikh Suleiman Takadir utabiri wake ulikuwa tawire.

Sheikh Mohamed Said,

Asalaam Alaykum,Shukran na tunakusoma saana na kufuatilia hizi bayana zako kwa utuvu ulo mwingi.

Maneno kama hayo hayo alosema na kuusia Sheikh Suleiman Takadir...nami nilimsikia Al Marhum Sheikh Hussein Juma wa UTP akiyarejea kwa machungu mno.

Maana kuna wakti ilinilazim kujaribu kumuuliza kiduchu na kwa adabu ilo njema ili anijuzu kisa cha yeye kuwa UTP,basi ndo alifunguka kiduchu...nami mpaka leo kanacha mdomo wazi!

Ama kwa hakika tuna mafunzo makubwa/mangi mno sisi tuliopo leo hii, kutokana na yaliowasibu Wazee Wetu na dharuba walizostahamili...

Na ndo maana tumeapa/tunaapa, kwa yakini hatutarejea tena kule kwenye kudhalilishwa/kudhulumiwa kwa sababu tu ya uungwana na ustaarabu wetu!...abadan,asilan!!

Nipatia fursa nikuulize suali jingine kiduchu...hivi yule Brigadier Takadir alikua ni mtoto wa Sheikh Suleiman Takadir!?

Kama ndie yeye namfahamu uzuri mno,alikua ni sahib mkubwa mno wa Mzee wangu. Siku alipopatwa na ile "accident" pale junction ya St Peters nafikiri...Mzee wangu na Mzee Barongo aliekua TPDC,ndo waliokua watu wa mwanzo kufika Lugalo na kuthibitisha kifo chake maskini.

Kipata fursa pia tujuze sheikh Mohamed Said;je yule Bwana Idd Bin Khamis,alokua pale kona ya Udoe na Sikukuu,opposite na Sheikh Nurdin Hussein...nae alikua na shughuli zipi ndani ya ile TANU!?

Nini uhusiano/mchango wake ndani ya hizo harakati wakti huo hapo Mzizima!? Nae alikuwamo kati ya wale waliopata hiyo misukosuko kutoka kwa "Baba wa Taifa"!?

Niwie radhi
kwa hivyo visuali kiduchu...maana najaribu kuunganisha dots fulani kichwani mwangu,khalaf nituame.

Ahsanta.
 
Kwa hiyo Unataka kusema Nyerere na TANU ndiyo walimgonga siyo!

Hapa unauliza au unatoa ushauri!
Nyie watoto hizi elimu zenu za kata zimekuletee hasara kubwa sana!

Manake kwa elimu chafu mlizo pandikizwa kila ukifungua mdomo.

Badala ya kutengeneza! unachafua mazingira!!
 
Nguruvi,
Nimesoma maneno yangu na wala hayanipi shida naweza kuyaandika tena hivyo hivyo
neno kwa neno.

Mwisho sielewi kwa nini umelipenda sana hili jambo la sigara...[/QUOTE]

Sheikh Mohamed Said,

Ahlan Was'hlan!

Hiyo "khabar za sigireti" alokua akivuta huyo Nyerere,wala zisikupe taabu na madhila asilan...tuama ustarihi zako ndugu yetu.

Majawaba yoote wayatakayo mbona mie nduguyo ninayo!

Kwa kifupi hao Nguruvi3 na Wickama,tunajua yakuwa mnakasha tayari umeshawashinda kitambo...wafanzacho sasa ni kuzidi kuleta makhanatha na chokochoko ili kuzidi kumtukanisha yule Nyerere wa watu!

Pia itakuwa ni dhuluma kwako kuwajibu huo utumbo wao kama wanavyolazimisha,maana wao ni vivuli tu,lakini wewe ni verified user na una hishma zako nyingi mno duniani koote.

Najua wayajua haya yoote,lakini ni uzuri pia kukumbushana.

Ahsanta.
 
Back
Top Bottom