Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Mkuu Mohamed Said
Pamoja na tofauti zetu za kimtazamo, bado nitakufagilia kwa "utu uzima" wako tofauti kabisa na vijana wako unao wa-mentor hapa jamvini. My apologies kwa nilipokukwaza. Ila I just wish kwamba ungewasaidia vijana wanaotetea hoja zako, nao wasitumie matusi. I believe kutoka mwanzo wa thread hii, utaona lugha wanayotumia ni ile isiyopendeza, japo huwa wanamalizia na "kwi kwi kwi" au "teh teh teh" za kinafiki.
OK,
Tupo pamoja.

we mchungwaji Nanren,

Kwi kwi kwi!!! Teh teh tehe!!

Kumbe mtu akifurahi namna hiyo kwako ni shubiri teh teh teh!

Basi utakereka sana ndugu, na sisi hatutasita "kukutia" majiti teh tehe teh!

Tena yale majiti ya rohoni!

Kwi kwi kwi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sawa Mzee MS.

Sikumbuki kama umewahi kumnunulia JK kitoweo, malazi au sigara. Kwa maana nyingine hujawahi ahidiwa kitu na JK.

Ama kuhusu maana ya kusengenya mimi nimefanikiwa kupata hii hapa ya Sahih Muslim, na inakuenea kama nguo ya kupima. Labda sheikh ana wazo tofauti, inshallah;

Abu Huraira reported Allah's Messenger (صلى الله عليه و سل&#1605😉 as saying: Do you know what is backbiting? They (the Companions) said: Allah and His Messenger know best. Thereupon he (Allah’s Messenger) said: Backbiting implies your talking about your brother in a manner which he does not like. It was said to him: What is your opinion about this that if I actually find (that failing) in my brother which I made a mention of? He said: If (that failing) is actually found (in him) what you assert, you in fact backbited him, and if that is not in him it is a slander. [Sahih Muslim: 2589]

Wasalaam
Wickama,

Jitahidi kusoma neno kwa neno ili upate maana!

Ukipata maana, fanya tafakuri jadidi, ni nani alokusudiwa!

Upembuzi wa jambo kabla ya kuwasilisha penye wengi, ni kitu kizuri, umuepusha mtu na aibu!

Ahsante!
 
Last edited by a moderator:
we mchungwaji Nanren,

Kwi kwi kwi!!! Teh teh tehe!!

Kumbe mtu akifurahi namna hiyo kwako ni shubiri teh teh teh!

Basi utakereka sana ndugu, na sisi hatutasita "kukutia" majiti teh tehe teh!

Tena yale majiti ya rohoni!

Kwi kwi kwi!!!!

Wewe na wenzako mmeelewa kuwa ninakereka na hizo "kwi kwi" au "teh teh" zenu za kinafiki?
Yaani "simple post" mmeshindwa kuielewa, je hivi huwa mnaelewaje maandishi ya vitabuni? Labda ndio maana mnashindwa kuelewa "bayana" za Mohamed Said.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said.

Naomba utujuze kiduchu kuhusu historia ya TANU waasisi wake kuna vitu vinanichanganya, historia ya Kivukoni inasema TANU imeundwa na watu 17 tu.

Kuna hawa wazee ambao walikuwa wanaunda baraza la wazee wa TANU chini ya mwenyetiki Sheikh Suleiman Takadir, hawamo kwenye kitabu cha Kivukoni.

Idd Faiz Mafongo, Abasi Mtemvu, Idd Tosir, Ally Mwinyi, na wengine ambao unaweza kututajia ambao walikuwa wanachama wa mwanzo wa TANU wote hao wametoswa na historia ya Kivukoni, wamewekwa kina Japhet Kirilo.

Hebu tupe darsa kwenye hili.

Shariff Ritz,
Ni kweli waasisi wa TANU ni 17 na hawa wametoka katika majimbo ya Tanganyika.
Hebu soma hii kwa kuanzia:

It was under this political atmosphere that the seventeen TAA delegates from the
branches in the provinces and headquarters met in Dar es Salaam from 7 th July,
1954, to deliberate on a new constitution for a new political party-TANU.

The Eastern Province which had a majority of delegates was represented by Abdulwahid
and Ally Sykes, Dossa Aziz, Tewa Said Tewa, Patrick Kunambi, Kasella Bantu, John Rupia,
Julius Nyerere and C.O. Millinga; Western Province was represented by Germano Pacha;
Northern Province by Joseph Kimalando and Japhet Kirilo; Lake Province represented by
Abubakar Ilanga, L.M. Bugohe, Saadan Abdu Kandoro, S.M. Kitwana and L.M. Makaranga.

Of the seventeen founding members, nine of them came from the headquarters, four from
Lake Province, one from Western Province and two from Northern Province.

This distribution of delegates gives a picture of the pattern of political activity in Tanganyika
before the formation of TANU.

Shariff,
Hao hapo juu ni waasisi wa TANU kama tunavyoelezwa lakini kwa kweli katika hao kila mmoja
ana mchango wake na si kuwa kwa kuwa wao wamehudhuria mkutano ule wa TAA 1954 basi
wao ndiyo walikuwa vinara wa harakati.

La hasha.
Nakupa mfano mmoja.

Hamza Mwapachu hayuko katika orodha ya waasisi.
Ali Migeyo hayupo katika orodha ya waasisi.

Dr. Michael Lugazia hayupo katika orodha ya waasisi.
Abbas Sykes hayupo katika orodha ya waasisi.

Na ukipenda wale madaktari wa TAA - Dk. Kyaruzi, Joseph Mutahangarwa, Dk. Mwanjisi, Dk. Tsere
wanaweza kutiwa katika orodha ya waasisi.

Lakini kuna ile TAA Political Subcommittee ya 1950 ya Sheikh Hassan bin Amir, Hamza Mwapachu,
Abdulwahid Sykes, Steven Mhando, Said Chaurembo na John Rupia.

Hawa wote walikuwa katika mchakato wa kuasisi TANU.

Lakini zaidi la kuzingatia ni kuwa juu ya hawa wote kulikuwa na kamati ya ndani zaidi ya TANU hii
walikuwa Abdulwahid Sykes, Ally Sykes, Hamza Mwapachu, Dossa Aziz, Julius Nyerere na John Rupia.

Sasa ukipenda unaweza ukawatia wale Wakenya watatu Dome Okochi Budohi, Patrick Aoko na C.
Ongalo.
hawa walikuwa katika halmashauri kuu ya TAA iliyoingia katika uongozi na Nyerere mwaka 1953.

Unaweza ukarudi nyuma zaidi na kuangalia wazee waliotoa maoni yao mbele ya Kamati ya Udhamini ya Umoja
wa Mataifa mwaka 1954 msemaji mkuu akiwa Said Chamwenyewe na wanakamati mmoja wao akiwa Sheikh
Suleima Takadir na Mohamed Jumbe Tambaza.

Haishangazi kuwa wazee hawa mara baada ya TANU kuundwa wakaunda kamati ya Wazee wa TANU mwenyekiti
akiwa Sheikh Suleiman Takadir.

Kwa mukhtasari hii ndiyo historia ya waasisi wa TANU na wote hao niliowataja hapo juu wote walikuwa wanajua
kwa miaka mingi kuwa TANU ilikuwa iko njiani inakuja.

Huenda waandishi wa Kivukoni haya hawakuwa wanayajua kwa hiyo hatuwezi kuwalaumu kwa kutoyaandika katika
historia yao.

Juu ya hayo ikiwa wanahistoria hadi sasa hawatanyanyua mguu kujitoa katika msimamo wa kumwangalia Nyerere
peke yake kama ndiye pekee alipigania uhuru wa Tanganyika daima watabaki katika giza na mengi yatawapita.

Mimi nimeyajua kwa kuwa hao waasisi wenyewe ndiyo wazee wangu na wengine nimewadiriki kuwaona na kuzungumza
nao.

Waasisi wa TANU ni wale 17 kwa sababu ule ulikuwa mkutano wa wajumbe maalum kutoka majimboni usingeweza
kuhudhuriwa na kila mtu.
 
Wewe na wenzako mmeelewa kuwa ninakereka na hizo "kwi kwi" au "teh teh" zenu za kinafiki?
Yaani "simple post" mmeshindwa kuielewa, je hivi huwa mnaelewaje maandishi ya vitabuni? Labda ndio maana mnashindwa kuelewa "bayana" za Mohamed Said.

Kijana Nanren bayana za sheikh Mohamed Said zimetulia bila ya shaka!

Na zinasomeka vizuuri kabisa lkn KWA WENYE AKILI NA BUSARA NA WALE WASKIVU!

Waulize wale wenzako waliotangulia! Kina Nguruvi3 na wenzake ! Walikuja macho juu kama wewe hivyo!
Wakatulizwa, kisha wakapewa maneno madhbuti! Na yenye ushahidi! Wao wenyewe wakaelekea qibla!

Sasa we tulia tu dawa iiingie! Utakuwa mpole mwenyewe!

Lkn sharti uwe msikivu zaidi!

Huku kuropoka kwako unaweza kumuudhi Maalimu wetu. Ukakosa faida!
Shauri yako!
 
Last edited by a moderator:
Wewe na wenzako mmeelewa kuwa ninakereka na hizo "kwi kwi" au "teh teh" zenu za kinafiki?
Yaani "simple post" mmeshindwa kuielewa, je hivi huwa mnaelewaje maandishi ya vitabuni? Labda ndio maana mnashindwa kuelewa "bayana" za Mohamed Said.
Huwa awaelewi hao

Kama hawaelewi lugha waliyoitumia tangu kuzaliwa hadi leo,wataelewa ile nyingine?
 
Shariff Ritz,
Ni kweli waasisi wa TANU ni 17 na hawa wametoka katika majimbo ya Tanganyika.
Hebu soma hii kwa kuanzia:

It was under this political atmosphere that the seventeen TAA delegates from the
branches in the provinces and headquarters met in Dar es Salaam from 7 th July,
1954, to deliberate on a new constitution for a new political party-TANU.

The Eastern Province which had a majority of delegates was represented by Abdulwahid
and Ally Sykes, Dossa Aziz, Tewa Said Tewa, Patrick Kunambi, Kasella Bantu, John Rupia,
Julius Nyerere and C.O. Millinga; Western Province was represented by Germano Pacha;
Northern Province by Joseph Kimalando and Japhet Kirilo; Lake Province represented by
Abubakar Ilanga, L.M. Bugohe, Saadan Abdu Kandoro, S.M. Kitwana and L.M. Makaranga.

Of the seventeen founding members, nine of them came from the headquarters, four from
Lake Province, one from Western Province and two from Northern Province.

This distribution of delegates gives a picture of the pattern of political activity in Tanganyika
before the formation of TANU.

Shariff,
Hao hapo juu ni waasisi wa TANU kama tunavyoelezwa lakini kwa kweli katika hao kila mmoja
ana mchango wake na si kuwa kwa kuwa wao wamehudhuria mkutano ule wa TAA 1954 basi
wao ndiyo walikuwa vinara wa harakati.

La hasha.
Nakupa mfano mmoja.

Hamza Mwapachu hayuko katika orodha ya waasisi.
Ali Migeyo hayupo katika orodha ya waasisi.

Dr. Michael Lugazia hayupo katika orodha ya waasisi.
Abbas Sykes hayupo katika orodha ya waasisi.

Na ukipenda wale madaktari wa TAA - Dk. Kyaruzi, Joseph Mutahangarwa, Dk. Mwanjisi, Dk. Tsere
wanaweza kutiwa katika orodha ya waasisi.

Lakini kuna ile TAA Political Subcommittee ya 1950 ya Sheikh Hassan bin Amir, Hamza Mwapachu,
Abdulwahid Sykes, Steven Mhando, Said Chaurembo na John Rupia.

Hawa wote walikuwa katika mchakato wa kuasisi TANU.

Lakini zaidi la kuzingatia ni kuwa juu ya hawa wote kulikuwa na kamati ya ndani zaidi ya TANU hii
walikuwa Abdulwahid Sykes, Ally Sykes, Hamza Mwapachu, Dossa Aziz, Julius Nyerere na John Rupia.

Sasa ukipenda unaweza ukawatia wale Wakenya watatu Dome Okochi Budohi, Patrick Aoko na C.
Ongalo.
hawa walikuwa katika halmashauri kuu ya TAA iliyoingia katika uongozi na Nyerere mwaka 1953.

Unaweza ukarudi nyuma zaidi na kuangalia wazee waliotoa maoni yao mbele ya Kamati ya Udhamini ya Umoja
wa Mataifa mwaka 1954 msemaji mkuu akiwa Said Chamwenyewe na wanakamati mmoja wao akiwa Sheikh
Suleima Takadir na Mohamed Jumbe Tambaza.

Haishangazi kuwa wazee hawa mara baada ya TANU kuundwa wakaunda kamati ya Wazee wa TANU mwenyekiti
akiwa Sheikh Suleiman Takadir.

Kwa mukhtasari hii ndiyo historia ya waasisi wa TANU na wote hao niliowataja hapo juu wote walikuwa wanajua
kwa miaka mingi kuwa TANU ilikuwa iko njiani inakuja.

Huenda waandishi wa Kivukoni haya hawakuwa wanayajua kwa hiyo hatuwezi kuwalaumu kwa kutoyaandika katika
historia yao.

Juu ya hayo ikiwa wanahistoria hadi sasa hawatanyanyua mguu kujitoa katika msimamo wa kumwangalia Nyerere
peke yake kama ndiye pekee alipigania uhuru wa Tanganyika daima watabaki katika giza na mengi yatawapita.

Mimi nimeyajua kwa kuwa hao waasisi wenyewe ndiyo wazee wangu na wengine nimewadiriki kuwaona na kuzungumza
nao.

Waasisi wa TANU ni wale 17 kwa sababu ule ulikuwa mkutano wa wajumbe maalum kutoka majimboni usingeweza
kuhudhuriwa na kila mtu.

Mohamed Said.

Nashukuru sana kwa hizi bayana zako, unaweza kutufahamisha majina ya wanachama wa mwanzo wa TANU na namba za kadi zao.
 
Last edited by a moderator:
Huwa awaelewi hao

Kama hawaelewi lugha waliyoitumia tangu kuzaliwa hadi leo,wataelewa ile nyingine?

Nguchiro baba upako!
Teh teh teh teh!
Ulishapewa ile kipaimara kwanza! Au bla..bla..blaa.nyiingi! Kumbe hata jinal.lako haliko ktk list!
Hebu tujuze kidogo mzee wa kula chabo!
Teh teh teh
 
Haya niliyoyasema yanahusiana nini na haya uliyosema wewe?
 
I think you would have posted "Islam's role in killing people in the name of their God and get gifted 72 virgins"

Why don't you accept reality? Huu ndio ukweli. Nyerere wakati anafika mjini alikuta harakati za ukombozi ziko juu. Waislam wakamvua kaptula yake wakampa suruali na kumfundisha ustaarabu. Kazi kubwa iliyokuwa inafanywa na makanisa na waumini wake ilikuwa kutetea serikali ya kikoloni kwa sababu makanisa yalipendelewa kwa kupewa fedha nyingi za kuendesha huduma za jamii zilizotokana na kidi za watanganyika wote. Essence ya struggle ya uhuru ilijenfwa kwa style hii.
99% ya support ya harakati za Nyerere zilitoka kwa Waislamu ambao walipinga dhuluma tangu enzi na enzi kuanzia vita ya majimaji. Leo hii waislamu hawathaminiwi kama ulivyoandika wewe ndio maana wanataka watanfanyika wafahamu kwamba uhuru tulionao waislamu wameplay a big role. Wacha upuuzi na ujinga usio kuwa na fikra
 
Mohamed Said.

Nashukuru sana kwa hizi bayana zako, unaweza kutufahamisha majina ya wanachama wa mwanzo wa TANU na namba za kadi zao.

Shariff Ritz,
Unaipenda historia ya TANU.

Nakuwekea hapa kitu kidogo:

Out of his own pocket he had the first 1000 cards printed and using TAGSA
funds he printed another 2000 cards.

Card No. 1 was issued by Ally Sykes to TANU Territorial President Julius
Kambarage Nyerere and bears his signature.

It was proposed that the first few cards should be auctioned and the money
collected should go to the
Party treasury.

Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz, Rupia and others bid for the cards.
Ally outbid his elder brother Abdulwahid and received TANU card No. 2;

Abdulwahid was issued with card No. 3; Dossa Aziz card No. 4; Phombeah card
No. 5; Dome Okochi, one of the Kenyan nationalists in TANU, got card No. 6 and
Rupia card No. 7. Bibi Titi Mohamed got card No. 16; Idd Tosiri card No. 25.

Shariff,

Hawa hapo chini ndiyo wanachama wa mwanzo wa TANU:

The TANU inaugural meeting was attended by a small crowd of about twenty people,
among them Julius Nyerere, Abdulwahid and Ally Sykes, Dossa Aziz, Rupia, Mshume Kiyate,
Makisi Mbwana, Jumbe Tambaza, Juma Waziri, Clement Mtamila, Rajab Diwani, Schneider
Plantan, Marsha Bilali, Rashidi Ally Meli, Frederick Njiliwa Idd Faiz Mafongo, Idd Tulio, Denis
Phombeah and others.
 
Why don't you accept reality? Huu ndio ukweli. Nyerere wakati anafika mjini alikuta harakati za ukombozi ziko juu. Waislam wakamvua kaptula yake wakampa suruali na kumfundisha ustaarabu. Kazi kubwa iliyokuwa inafanywa na makanisa na waumini wake ilikuwa kutetea serikali ya kikoloni kwa sababu makanisa yalipendelewa kwa kupewa fedha nyingi za kuendesha huduma za jamii zilizotokana na kidi za watanganyika wote. Essence ya struggle ya uhuru ilijenfwa kwa style hii.
Kuna siku niliambiwa hapa kuwa Waislam ndio waliopigania uhuru na itikadi ya harakati hizo ilikuwa ni Uislam

Sikukubaliana na hili kwasababu zifuatazo:
1:Kama Uislam ulikuwa ni itikadi basi Nyerere asingepata nafasi aliyopewa[kama kweli alipewa] kwa sababu hakuwa Muislam na hakuwa na itikadi ya harakati hizo
2:Kama Waislam wangekuwa na nguvu kiasi hicho wakati huo basi lazima lengo lao lingekuwa ni nchi hii kutawaliwa Kiislam kama ilivyo kwenye nchi zingine zote ambazo Waislam wanaendesha harakati zao leo na pia ni kwa mujibu wa dini husika
3:Kama Uislam ungekuwa na nguvu kiasi hicho Nyerere asingepata mapokezi yoyote yale na Waislam kwa kuwa kwa kitendo cha Nyerere kuwa dini tofauti nao ni kitendo cha kikafiri,hii maana yake asingeruhusiwa kuwa mmoja wao achilia mbali kupewa wadhifa aliokuwa nao

Kwa mujibu wa sababu hizo chache tu ni kwamba suala la Uislam kuwa itikadi kwenye harakati hizo ni uongo
Pia suala la Waislam wengi kuwa na muamko wa kudai uhuru hili linaweza kuwa ni kweli lakini nakataa kuwa walifanya hivyo kwa sababu za kidini
99% ya support ya harakati za Nyerere zilitoka kwa Waislamu ambao walipinga dhuluma tangu enzi na enzi kuanzia vita ya majimaji. Leo hii waislamu hawathaminiwi kama ulivyoandika wewe ndio maana wanataka watanfanyika wafahamu kwamba uhuru tulionao waislamu wameplay a big role. Wacha upuuzi na ujinga usio kuwa na fikra
Suala lako la Waislam kupinga ukoloni kwakuwa walikuwa wanateseka hili linaweza kuwa na mashiko kidogo,lakini ukiniambia kuwa walifanya hivyo kwa sababu za kidini nitakukatalia!
 
Eiyer,
Haya mambo hayana kulazimishana.

Historia imeandikwa nyingi kuhusu uhuru wa Tanganyika.

Iliffe kaandika, Kimambo kaandika, Kivukoni College wameandika
na Mohamed Said kaandika.

Hawa wote kila mtu kaandika kwa namna yake.
Hakuna shida katika kutofautiana na jinsi mtu anavyofanya uchambuzi.

Wapo wanaosema TAA kilikuwa chama cha starehe.
Wapo wanaosema TAA kilikuwa chana cha siasa.

Wapo wanaosema TANU kaasisi Nyerere.
Wapo wanaosema TANU ni mtoto wa Abdu Sykes nk. nk.

Kukhitilafiana ni rehma.
Hili lisikutie hofu.
 
Wewe na wenzako mmeelewa kuwa ninakereka na hizo "kwi kwi" au "teh teh" zenu za kinafiki?
Yaani "simple post" mmeshindwa kuielewa, je hivi huwa mnaelewaje maandishi ya vitabuni? Labda ndio maana mnashindwa kuelewa "bayana" za Mohamed Said.

Pole sana muchungwaji Nanren

Huna ulijualo wewe, na utapata tabu sana kufahamu bayana za Sheikh Mohamed Said

Wakerekao kwa sababu hawazifahamu bayana za ndugu yetu Sheikh Mohamed Said hao kamwe hawatuzui sisi kufurahi hapa Jamvini.

Haweshi kuja kila kuchao viumbe kama ninyi, tumeshawazoea teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Huwa awaelewi hao

Kama hawaelewi lugha waliyoitumia tangu kuzaliwa hadi leo,wataelewa ile nyingine?

Nenda kwanza kajifunze kusema halafu rejea kwenye mnakasha tuendelea na utakapoishia!
 
Kuna siku niliambiwa hapa kuwa Waislam ndio waliopigania uhuru na itikadi ya harakati hizo ilikuwa ni Uislam

Sikukubaliana na hili kwasababu zifuatazo:
1:Kama Uislam ulikuwa ni itikadi basi Nyerere asingepata nafasi aliyopewa[kama kweli alipewa] kwa sababu hakuwa Muislam na hakuwa na itikadi ya harakati hizo
2:Kama Waislam wangekuwa na nguvu kiasi hicho wakati huo basi lazima lengo lao lingekuwa ni nchi hii kutawaliwa Kiislam kama ilivyo kwenye nchi zingine zote ambazo Waislam wanaendesha harakati zao leo na pia ni kwa mujibu wa dini husika
3:Kama Uislam ungekuwa na nguvu kiasi hicho Nyerere asingepata mapokezi yoyote yale na Waislam kwa kuwa kwa kitendo cha Nyerere kuwa dini tofauti nao ni kitendo cha kikafiri,hii maana yake asingeruhusiwa kuwa mmoja wao achilia mbali kupewa wadhifa aliokuwa nao

Kwa mujibu wa sababu hizo chache tu ni kwamba suala la Uislam kuwa itikadi kwenye harakati hizo ni uongo
Pia suala la Waislam wengi kuwa na muamko wa kudai uhuru hili linaweza kuwa ni kweli lakini nakataa kuwa walifanya hivyo kwa sababu za kidini

Suala lako la Waislam kupinga ukoloni kwakuwa walikuwa wanateseka hili linaweza kuwa na mashiko kidogo,lakini ukiniambia kuwa walifanya hivyo kwa sababu za kidini nitakukatalia!
superb😛eace:
 
(")Kuna siku niliambiwa(") hapa kuwa Waislam ndio waliopigania uhuru na itikadi ya harakati hizo ilikuwa ni Uislam

Unasema "KUNA SIKU NILIAMBIWA"!!!😀😀😀.

Halafu unataka kujadiliana na "WATU WALIOSOMA"!!

Kweli.inawezakana AKILI KUAMBIWA na MSOMI wakae meza moja!??

We mpako and company Ltd umeshazoea Kanisani! Huko ndio huwa WANAAMBIWA TU! na ukiuliza swali unaambiwa UNA PEPO!

Nenda kasome kwanza! Halafu rudi hapa na data kamili!
Hayo mambo ya padri kanena. Nabii makoye kasema! Yawache hukohuko kwenye hayo mahekalu yenu!

Hapa si mahala pake.
Mchungwaji wahed we!
 
Mohamed Said.

Hebu tupe darsa kuhusu Cecil Matola mchango wake ni upi naona Mag3 na Nguruvi3 wanamuongelea sana lakini hawasemi harakati zake zilianzia wapi na kumalizikia wapi.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi,
Hilo la ukarimu wa wazee wetu nishalieleza na sina sababu ya kulirejea ingawa naona
limekuchoma sana ingawa kwangu mimi sioni kwa nini iwe hivyo.

Udhalimu wa Sykes Mbuwan kuja Tanganyika na Herman Von Wissman kama jeshi la
mamluki wa Kizulu kuja kupambana na Watanganyika, Chief Mkwawa na Bushiri bin
Harith
ni sawa na udhalimu wa babu yangu mkuu Samitungu Muyukwa Mwekapopo
aliyeingia Tanganyika na jeshi la Kijerumani kuja kupambana na Watanganyika.

Lakini haya yote ndiyo madhila ya ukoloni.

Tuangalie nini watoto wa hawa mamluki walifanya katika historia ya Tanganyika.
Mtoto wa Sykes Mbuwane, Kleist Sykes historia yake imehifadhiwa na inajulikana.

Babu yangu Salum Abdallah mtoto wa Samitungo Mwekapopo yeye alikuwa mstari
wa mbele katika TAA na TANU na katika harakati za wafanyakazi.

Aliongoza mgomo wa 1947 na 1949 na 1955 alikuwa rais muasisi wa Tanganyika
Railway African Union katibu akiwa Kassanga Tumbo.

Babu yangu alihudhuria mikutano yote ya siri 1953 iliyokuwa ikifanya Tabora Town
School kuweka mazingira sawa kabla Germano Pacha hajakwenda Dar es Salaam
kuasisi TANU akiwa mwakilishi kutoka Western Province.

Bwana Nguruvi,
Wewe babu zako hawakuwa MADHALIM kama babu zangu mimi.

Hebu ueleze ukumbi nini mchango wao katika kupambana na dhulma za wakoloni?
Nasubiri jibu.

Sheikh Mohamed Said,

Asalaam Alaykum.

Nilipotea kiduchu hapa barzan,maana si wajua tena mas'ala ya W'end na family kiduchu. Lakini ndo nimeingia hapa na najaribu kuzipitia hizi bayana zenu nyoote Insha Allah.

Nimefurahika jinsi ulivyonyambulisha hapo kwenye hiyo bayana yako.

Lakini imenilazim kucheka kiduchu,hapo ulipomtaka huyo Nguruvi3 nae atuletee taarifa za huko kwao/za Wazazi wake!?...

Nina shaka kubwa kama huyo Ngururvi3 atarejea tena hapa kutuletea hizo taarifa za hao Wazazi wake na hizo "harakati" zao za uhuru!? Kwi! Kwi! Kwi!

Labda atakuletea taarifa za yule "Baba'ke wa Taifa"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ngoja tuendelee kuvuta sabra!?

Ahsanta.
 
Back
Top Bottom