Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Naona hapa kuna maRPC,SACP,Colonel,General Manager,Principal Secretary,Chief Engineer,maBusinesswomen,MaBrigeder,maDr wakubwa na wengine chief medical officer wa Nyerere ..........unazidi kufuta ile dhana ya Sheikh Mohamed awamu ya Nyerere kulikuwa ba ubaguzi wa kidini.Asante gombesugu unazidi kumvua nguo hadharani mzee wako wa gerezani.

Brigadier Ngongo,

Hili suala nafikiri ulishawahi kuulizia kitambo kwenye ule mnakasha ulopita/ulofungwa,nami nalikupa majawaba mema tu!?

Kwa kifupi,hao woote uwaonao hapo/nilowataja,kumbuka yakuwa Family/Wazazi Wao walikua ndo watu mashuhuri na wenye kujikimu kwa zama hizo hapo Mzizima/D'salaam.

Na Wazee Wetu hao hao kwa njia moja ama nyingine ndo pia waliokua wanaharakati vinara na pia waasisi wa zile TAA na TANU yake...na hata yule Nyerere akiwajua mno na kuwastahi kiduchu.

Nafikiri la kujiuliza ni,vipi kuhusu wale maelfu ya Waislam wengine maskini na waliokua nje ya uwezo na kusahauliwa/kuadhibiwa na wanaendelea kuadhibiwa na legacy ya yule Nyerere mpaka kesho!?

Unajua huko mikoani/mabara, nako pia kuna ndugu zetu wengi mno wa Kiislam na Masheikh wetu/Wazee Wetu wakubwa ambao nao pia walikua wakiadhibiwa silently na yule Nyerere.

Hawa Wazee Wetu wengi mno,khasa wanaotajwa mara kwa mara humu JF, ni bakhti yao tu yakuwa wengi wao ni wenyeji wa hapo Mzizima/wenye mji wao,au walikuwapo hapo Mzizima/D'salaam kipindi kile cha zile harakati,ndo pia waliokua mashuhuri/maarufu wakti huo....

Pamoja na hao unaodai nilowataja wakiwa na Ilm na vyeo vikubwa wakti huo wa Nyerere...pia unadai ati yakuwa hiyo inaashiria Nyerere hakuwa mbaguzi na kipindi chake kilikua ati ni chema kwa Waislamu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Embu jiulize kiduchu,wakti wa Nyerere kulikua na Waislam wangapi ndo Head of Departments pale UDSM/Mlimani!?

Kulikua na Waislamu wangapi waliokua ni ma-Colonel au ma-Brigadier!?

Kulikua na Waislam wangapi kwenye Police wakti huo waliofikia au hata kunusa vyeo vya SSP au SACP kulinganisha na wenzao Wakristo!?

Kulikua ni Waislamu wangapi waliokua ni Wakuu/Makamanda wa Vikosi vya ulinzi na Usalama hapo nchini!?

Kulikua na ma-Chief Engineer wangapi Waislam kwenye Idara nyeti au nyinginezo za Serikali!?

Na hizo statistics niuliziazo, ni ya kwamba hata ukichanganya na wale Waislamu/Wanataaluma wa kutoka Zanzibar,ambao mara nyingi walikua wakitumika kama ni buffer zone tu na Nyerere,ili kuziba yale malalamiko ya ndugu zao Waislamu wa Tanganyika.

Kwa kifupi,hapa tuangalie huo mlingano/ratio wakti huo ya nafasi walizokua nazo hao Waislam wasomi ukilinganisha na wenzao Wakristo!?

Nakusihi Mkuu,kipata fursa nenda pale Immigration HQ,ukatuletee takwimu,uwiano/ratio ya nafasi zoote za uongozi au hata nafasi za kawaida baina ya Waislam na wenzao Wakristo....nasi tuhapa jamvini twakusubiria!? Kwi! Kwi! Kwi!

Chembilecho cha Maulana Dr Kahtaan;yakuwa tatizo ni huo MfumoKristo.

Kipata fursa pia nakusihi...rejea/pitia posts zoote humu jamvini.

Nimefurahika tumezungumza japo kiduchu.

Ahsanta.
 
Nguruvi,
Hilo la ukarimu wa wazee wetu nishalieleza na sina sababu ya kulirejea ingawa naona
limekuchoma sana ingawa kwangu mimi sioni kwa nini iwe hivyo.

Udhalimu wa Sykes Mbuwan kuja Tanganyika na Herman Von Wissman kama jeshi la
mamluki wa Kizulu kuja kupambana na Watanganyika, Chief Mkwawa na Bushiri bin
Harith
ni sawa na udhalimu wa babu yangu mkuu Samitungu Muyukwa Mwekapopo
aliyeingia Tanganyika na jeshi la Kijerumani kuja kupambana na Watanganyika.

Lakini haya yote ndiyo madhila ya ukoloni.

Tuangalie nini watoto wa hawa mamluki walifanya katika historia ya Tanganyika.
Mtoto wa Sykes Mbuwane, Kleist Sykes historia yake imehifadhiwa na inajulikana.

Babu yangu Salum Abdallah mtoto wa Samitungo Mwekapopo yeye alikuwa mstari
wa mbele katika TAA na TANU na katika harakati za wafanyakazi.

Aliongoza mgomo wa 1947 na 1949 na 1955 alikuwa rais muasisi wa Tanganyika
Railway African Union katibu akiwa Kassanga Tumbo.

Babu yangu alihudhuria mikutano yote ya siri 1953 iliyokuwa ikifanya Tabora Town
School kuweka mazingira sawa kabla Germano Pacha hajakwenda Dar es Salaam
kuasisi TANU akiwa mwakilishi kutoka Western Province.

Bwana Nguruvi,
Wewe babu zako hawakuwa MADHALIM kama babu zangu mimi.

Hebu ueleze ukumbi nini mchango wao katika kupambana na dhulma za wakoloni?
Nasubiri jibu.

Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum.

I read your post,I understand deeply what you are trying to explain and I don't see any discrepancies from the perspective of other early Afrikan history Scholars.

Colonists aka Christian Missionaries...they had guns and Afrikans don't at the time.

They went in using the Bible or rifle if you don't listen...that was how,it's simple.

When everyone was illiterate,it was hard to unite all Afrikans before they broke us up into small states called "Countries".

No one was "educated" enough back then,our People couldn't say no or yes to anything!

Even if Afrikans said no at the time their solution were a bullet shot through to the head by another Afrikan.

We had our belief systems and such but it is always easy to stray the illiterate people.

It had always to be that way though!?...The early Afrikan History indicate that it probably didn't!?

It's bordering ignorance,when some people try blindly to negate that vital component/reality of historical process in the making of our society/Nation.

Ahsanta.
 
Asante kwa ufafanuzi.

Nimeanza kumsoma na sometimes kubishana na Mohamed Said toka 2010. Threads zote alizozianzisha nimesoma na most of the time nimeweka some posts.
It is unfortunate kuwa siwezi kwanza kuzi-trace ili nikueleze alivyomaanisha kuhusu "waislam" na "bakwata". It is just not worth it.
Ila kwa vile wewe unapenda kusoma posts zake, nakushauri upitie threads zake zilizopo hapa JF, na utakubaliana nami. Otherwise, najua wengi waliomsoma muda mrefu, hata baadhi ya waislam, watakubaliana nami kuwa Moh amewa-classify waislam into "moslems" and BAKWATA.

The eye can see only what the mind is prepared to comprehend.

How many times have you tried to talk to someone about something that matters to you,tried to get them to see it the way you do!?

And how many of those times have ended with you feeling bitter,resenting them for making you feel like your pain doesn't have any substance after all!?

Well,this is our Muslims reality...it's pointless to expect others(the likes of you!) to relate to our collective reality.

In the final analysis;words mean nothing. They are labels you give things in an effort to wrap your puny little brains around their underlying natures,when ninety-nine percent of the time, totality of the reality is an entirely different beast.

There's no point in using the word "impposible" to describe something that has clearly happened.

The lion hates hyena. The cod hates the octopus. The Mother hates the paedophile who violates her baby. The worm hates the fisherman who catches it with his hook.

It's only insane/self-hate Muslim who feel obligated to love!

Envy thou not the Oppressor aka MfumoKristo and choose none of his ways. - Proverbs 3:31

Ahsanta.
 
Wewe na wenzako mmeelewa kuwa ninakereka na hizo "kwi kwi" au "teh teh" zenu za kinafiki?
Yaani "simple post" mmeshindwa kuielewa, je hivi huwa mnaelewaje maandishi ya vitabuni? Labda ndio maana mnashindwa kuelewa "bayana" za Mohamed Said.

  1. Your level of comprehesion needs more insight into cross historical and intellectual decoding.
  2. We discipline ourselves to direct our energies thoughtfully and constructively than wasting them in idle hatred against others.
  3. Sheikh Mohamed Said,unselfishly share his knowledge,wisdom and understanding in order to bring about changes more quickly.

Now,can you see the significant difference here!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
Sheikh Mohamed Said,

Asalaam Alaykum.

Nilipotea kiduchu hapa barzan,maana si wajua tena mas'ala ya W'end na family kiduchu. Lakini ndo nimeingia hapa na najaribu kuzipitia hizi bayana zenu nyoote Insha Allah.

Nimefurahika jinsi ulivyonyambulisha hapo kwenye hiyo bayana yako.

Lakini imenilazim kucheka kiduchu,hapo ulipomtaka huyo Nguruvi3 nae atuletee taarifa za huko kwao/za Wazazi wake!?...

Nina shaka kubwa kama huyo Ngururvi3 atarejea tena hapa kutuletea hizo taarifa za hao Wazazi wake na hizo "harakati" zao za uhuru!? Kwi! Kwi! Kwi!

Labda atakuletea taarifa za yule "Baba'ke wa Taifa"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ngoja tuendelee kuvuta sabra!?

Ahsanta.

gombesugu
Mie hapo sitii mguu labda jicho tu tena nasoma kwa lenzi nisije haribu vitanzi vya Mudiir wetu (swaahib Seera) Duktuur Muhammad Saeed,

Siamini kama iliwahimpitikia akilini mwake kwamba ipo siku mzee wetu atamtwika zigo kama hilo, ila tusubiri badali yake itakuwa nini, huenda ikawa majibu yalee ya .....,

Namuombea sana ili walau hata asikose kutulete japo 1/3 ya alichoombwa kutekeleza,

Mzee wetu tukubali History kabobea hana mfanowe,

Al habeeb Mohammad Saeed, twakuombea Allaah akujaze ilmu mithili ya Du'aa aloombewa Ibn Abbaas.
 
Nguruvi,
Hilo la ukarimu wa wazee wetu nishalieleza na sina sababu ya kulirejea ingawa naona
limekuchoma sana ingawa kwangu mimi sioni kwa nini iwe hivyo.

Udhalimu wa Sykes Mbuwan kuja Tanganyika na Herman Von Wissman kama jeshi la
mamluki wa Kizulu kuja kupambana na Watanganyika, Chief Mkwawa na Bushiri bin
Harith
ni sawa na udhalimu wa babu yangu mkuu Samitungu Muyukwa Mwekapopo
aliyeingia Tanganyika na jeshi la Kijerumani kuja kupambana na Watanganyika.

Lakini haya yote ndiyo madhila ya ukoloni.

Tuangalie nini watoto wa hawa mamluki walifanya katika historia ya Tanganyika.
Mtoto wa Sykes Mbuwane, Kleist Sykes historia yake imehifadhiwa na inajulikana.

Babu yangu Salum Abdallah mtoto wa Samitungo Mwekapopo yeye alikuwa mstari
wa mbele katika TAA na TANU na katika harakati za wafanyakazi.

Aliongoza mgomo wa 1947 na 1949 na 1955 alikuwa rais muasisi wa Tanganyika
Railway African Union katibu akiwa Kassanga Tumbo.

Babu yangu alihudhuria mikutano yote ya siri 1953 iliyokuwa ikifanya Tabora Town
School kuweka mazingira sawa kabla Germano Pacha hajakwenda Dar es Salaam
kuasisi TANU akiwa mwakilishi kutoka Western Province.

Bwana Nguruvi,
Wewe babu zako hawakuwa MADHALIM kama babu zangu mimi.

Hebu ueleze ukumbi nini mchango wao katika kupambana na dhulma za wakoloni?
Nasubiri jibu
.

Sijui kama atarudi kutueleza kama ulivyomtaka, nnahisi atajifanya hata hajauona huo ubeti.

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.

cc Nguruvi3
 
gombesugu
Mie hapo sitii mguu labda jicho tu tena nasoma kwa lenzi nisije haribu vitanzi vya Mudiir wetu (swaahib Seera) Duktuur Muhammad Saeed,

Siamini kama iliwahimpitikia akilini mwako kwamba ipo siku mzee wetu atamtwika zigo kama hilo, ila tusubiri badali yake itakuwa nini, huenda ikawa majibu yalee ya .....,

Namuombea sana ili walau hata asikose kutulete japo 1/3 ya alichoombwa kutekeleza,

Mzee wetu tukubali History kabobea hana mfanowe,

Al habeeb Mohammad Saeed, twakuombea Allaah akujaze ilmu mithili ya Du'aa aloombewa Ibn Abbaas.

Al Habiby Wabara,

Asalaam Alaykum Akhiy...Wallahi,yaani unaniumiza mbavu zangu pasi kiasi kwa kicheko! Kwi! Kwi! Kwi!

Wajua nipo kibaruani hapa,basi hawa colleagues wangu woote maskini nimewashtusha kwa kicheko cha nguvu kilichonitoka kwa hiyo bayana muja'arab yako! Kwi! Kwi! Kwi!

Unajua leo nimeanza siku kwa ghadhabu kiduchu...lakini hii bayana yako Al Akhiy...Wallahi,imenifungulia ile tuitayo "burdan walaa shar'baa"! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta sana.
 
Siju kama atarudi kutueleza kama ulivyomtaka, nnahisi atajifanya hata hajauona huo ubeti.

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.

cc Nguruvi3

FaizaFoxy
Dadaangu hata wewe wataraji jibu lipatikane hapo?!

Mzee huyo mwacheni, sie tuliwahi sema ni Prof... wakaja watu na dhihaka zao juu yake, yaani walidhani kuwa sie twashuulika sana na majina?!

Sasa hapo mzee twaeza sema japo si adabu lakini inabidi tu hatuna njia mbadala,

Yaani ombi lake kwa huyo bwana ni sawa na kuomba mkaa kutoka katika mgomba.

Sijui labda miujiza ichukue nafasi nayo ianze leo.
 
Last edited by a moderator:
The eye can see only what the mind is prepared to comprehend.

How many times have you tried to talk to someone about something that matters to you,tried to get them to see it the way you do!?

And how many of those times have ended with you feeling bitter,resenting them for making you feel like your pain doesn't have any substance after all!?

Well,this is our Muslims reality...it's pointless to expect others(the likes of you!) to relate to our collective reality.

In the final analysis;words mean nothing. They are labels you give things in an effort to wrap your puny little brains around their underlying natures,when ninety-nine percent of the time, totality of the reality is an entirely different beast.

There's no point in using the word "impposible" to describe something that has clearly happened.

The lion hates hyena. The cod hates the octopus. The Mother hates the paedophile who violates her baby. The worm hates the fisherman who catches it with his hook.

It's only insane/self-hate Muslim who feel obligated to love!

Envy thou not the Oppressor aka MfumoKristo and choose none of his ways. - Proverbs 3:31

Ahsanta.
gombesugu

Thanks for useless post. What a waste!

Kwi kwi kwi kwi!

Asante
 
Last edited by a moderator:
  1. Your level of comprehesion needs more insight into cross historical and intellectual decoding.
  2. We discipline ourselves to direct our energies thoughtfully and constructively than wasting them in idle hatred against others.
  3. Sheikh Mohamed Said,unselfishly share his knowledge,wisdom and understanding in order to bring about changes more quickly.

Now,can you see the significant difference here!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Kwi kwi kwi, teh teh teh!

Ahsanta.
 
Sheikh Mohamed Said,

Asalaam Alaykum.

Nilipotea kiduchu hapa barzan,maana si wajua tena mas'ala ya W'end na family kiduchu. Lakini ndo nimeingia hapa na najaribu kuzipitia hizi bayana zenu nyoote Insha Allah.

Nimefurahika jinsi ulivyonyambulisha hapo kwenye hiyo bayana yako.

Lakini imenilazim kucheka kiduchu,hapo ulipomtaka huyo Nguruvi3 nae atuletee taarifa za huko kwao/za Wazazi wake!?...

Nina shaka kubwa kama huyo Ngururvi3 atarejea tena hapa kutuletea hizo taarifa za hao Wazazi wake na hizo "harakati" zao za uhuru!? Kwi! Kwi! Kwi!

Labda atakuletea taarifa za yule "Baba'ke wa Taifa"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ngoja tuendelee kuvuta sabra!? Ahsanta.
Mohamed Said, wazee wangu wamegawanyika katika pande mbili.Pande ya kwanza ni ya kina mwalimu John Keto na Mhando unaowataja.

Upande wa pili ni wale wazee waliosimama wakavaa mikwiji wakaondoka na mishale na Marungu kwenda kupambana na mkoloni moja kwa moja kwa kile kilichoutwa kwa umaarufu 'Kodi ya mbiru'.
Katika kundi hili kiongozi alikuwa mzee wa karibu sana kwa damu

Mmoja wa wazee wangu(marhum) alikuwa kiongozi wa TFA akishirikiana na akina Kawawa kuongoza migomo ya wafanyakazi wa mashamba ya mikonge hadi kufungwa.

Mzee huyu baba yake akiwa kiongozi wa mbiru na yeye kuendeleza kazi ya wazee wake.
Nitashangaa kama Mohamed huwajui akina John Keto, Mhando unaowataja kama si sehemu ya wazee wetu na wengi wakitokea kwetu.

Sijui kama inaleta maana nikianza kutaja bibi zangu walivyoandaa vibuyu vya ndaza, kibandameno,mahiza au makande au wazee wetu waliyoyafanya kabla ya kuanza safari za kukabiliana na mkoloni.

Tumefunzwa heshima na adabu za mambo ya kuzungumza mengine hatusemi(tumekwenda jando hatuwezi kuongea vitanda,mboga na mashuka ya watu hadharani, huo ushenzi tumekatazwa).
Tumekatazwa kudhalilisha wanadamu,tukiusiwa kutoa kwa mkono wa kulia ikiwezekana wa kushoto usione.

Tofauti na wazee wangu, wazee wako akina Mbuwane na Mwekapopo walikuwaja kupambana na Watanganyika.
Kwa maneno mengine ni madhalimu.

Samahani nitakuchanganya sana,vinasaba(genetics) DNA za wazee hao haziwezi kufutika katika generation zao.
Ima wanaweza kuzaa watoto wema kwasababu kuu mbili, moja ni genes ambazo ni recessive zinakuwa dominant at certain point au kwavile walizaa na Watu wema genes za ukatili zinakuwa zimegawanyika kwa watoto baadhi wema baadhi washenzi kama baba zao, hapa ni (dominant na recessive inafanyakazi) na inategemea nani amerithi ipi kwa kiwngo kipi.

Kuwa na genes Dominant au recessive hakuondoi au kuvunja ule unasaba.
Nakuhakikishia damu ya kidhalimu ya Mbuwane bado ipo. Siki moja yaweza kuwa Dominant tukapata tatizo

DNA ya akina Mwekapopo Muyukwa n.k. ya kiu ya kuua watu tayari inajidhihiri baada ya vizazi vingi.
Hivyo ndivyo DNA inafanya kazi, inarithisha mazuri na mabaya,ukimuona mtu analeta farki angalia family tree

Ima baada ya bayana hizo bado maswali muhimu sana hujaweza kutujibia.
Je, sigara za kuvuta Mwalimu alipewa na nani?

Tumeona umekaa kimya Uislam ukinasabishwa na matambiko, tunakuuliza wale wazee wa Matambiko nao ni sehemu ya wazee wako au wale wana darja tofauti?

Nipo jamvini, nilisita tu kutoa nafasi kwavile mnakasha uligubikwa na mambo ya kifamilia zaidi ya maana nzima ya historia nikatoa nafasi watu wafahamiane wapongezane.

Nashukuru sana mna kiu ya kunisoma kila mara, na wote mlionitumia 'mialiko' ya kutajwa nimeipata.

Last edited by a moderator:
Wickama,
Hii hapa chini ni picha ya Shariff Abdallah Attas.

Shariff Attas alimjua vyema Nyerere.
Nimepokea mengi kuhusu siku za mwanzo za TANU kutoka kwake.

Hizi ni pamoja na anecdotes nyingi sana.
20130304_145257.jpg

Al Duktuur Sheikh Mohamed Said,

Shukran mno kwa hii picha ya Shariff Abdallah Al Attas....ndo yeye khaswa!

Jitahidi pia umuone yule Keis Abubakar Sakapala aliekua Mkuu wa Usalama kanda ya Pwani/D'salaam...nafikri kitambo akiishi pale Upanga Mathurdas Street pale nyuma ya Malik Road. Najua lazim itakua unamfahamu uzuri nduguyo huyo.

Kwa kifupi huyo nae pia ana picha kiduchu na zenye kumbukumbu za Shariff Abdallah Al Attas.

Lakini ukitaka uhondo wa picha chungu tele na za kumbukumbu nyingi za Shariff Abdallah Al Attas,nafikri watafute family ya nduguyo Kitwana Abdallah Luga utazipata...nafikri ni uzuri uwe nazo labda kwa machapisho/maandiko yajayo Insha Allah.

Maana sisi nduguzo hatwishi hamu ya kukusoma.

Nakumbuka mara ya mwisho tulikwenda kumuamkua Shariif Al Attas,nyumbani kwake pale kona ya Twiga na Sikukuu opposite na Al Masjid Al Shaa'dhily.

Tangia namfahamu Shariif Al Attas,alikua karim na bashasha kwa watu na ni mojawapo ya sifa zake kubwa mno....Inna Lillahi Wa Inna Illahi Raj'un.

Nakumbuka nyumbani kwake palikua haweshi wageni nduguze/Wazee Wetu wengi kila siku ya Mola.

Ana mtoto pia wa nduguye akiitwa Abdilaalim Al Attas,nafikiri huyu Bwana mkewe ndie Dadiye Bwana Ismail Bahadour!?...sijamtia machoni kitambo kingi,lakini najua anaishi pale AbuDhabi tangia early 1970's.

Takukhadith kiduchu,mojawapo ya khabar/vitimbi nilopata nami pia toka kwa Shariff Al Attas.

Unajua kuna wakti humu Jf,kunako ule mnakasha ulofungwa...nakumbuka ukilitokea khabar ya kifo cha Mondlane,nami nilichangia kiduchu tu,lakini ghafula kukatokea "mtu fulani" na kunambia yakuwa ati waliomuua Mondlane ni ma-Portugese wenyewe na wala si Mwalimu Nyerere!?

Nilistaajabu
kiduchu...maana mimi binafsi kunako ile hoja yangu,niliuliza masuali tu kiduchu na wala sikuhitimisha au kuthibitisha kuhusika kokote kule kwa Nyerere!? Haina neno...ndo mambo Jf.

Shariff Abdallah Al Attas;ananambia yakuwa wakti wa kile kifo cha kulipuliwa na bomu yule Eduardo Mondlane maskini,godson wake yeye Shariff Al Attas,yaani Kitwana Abdallah Luga, ndie aliekua Ilala OCD na akiwa na cheo/wadhifa wa SP,afisi zake zikiwa pale Central Police Station.

Shariff Al Attas
anasema yakuwa SP Kitwana Luga,ndo alokua mmojawapo ya makamanda wa mwanzo wa ngazi za juu wakti huo kufika pale kwenye tukio na "kuthibitisha/kushuhudia mangi".

Baada ya hapo,Nyerere aliunda "kamati maalumu ya uchunguzi" na ndani yake alikuwemo pia SP Kitwana Luga...kwani pia yeye Kitwana Luga alikuwa mojawapo ya fields zake ni Crimininologist na Explosives Expert.

Uchunguzi ulipokamilika baada ya takriban mwaka...SP Kitwana Luga alipongezwa kwa umahiri wake kwenye hiyo "kamati ya uchunguzi"...na alipandishwa pia cheo na kuwa SSP.

Kwa staajaba ya wengi,lakini Nyerere akamuomba SSP Kitwana Luga,ati apelekwe Nachingwea kuwasaidia wale FRELIMO,masuala ya explosives detection na mangineyo....na ahadi alotoa yeye Nyerere binafsi mbele ya baadhi ya Makamanda wengine,ni yakuwa ati alikua anafanza vile ili kumtayarisha yule SSP Kitwana Luga ili uhuru wa Mozambique ukipatikana awepo pale Maputo Embassy kusaidiana na jamaa wengine!?

Wakti huo alokua kiongozi/kamanda wa SSP Kitwana Luga alikua ni SACP Shundi...ambao woote wawili walibaki kuwa marafiki wakubwa maisha yao yoote.

Nafikiri mtoto wa huyo Mzee Shundi hivi sasa ndie Kamanda wa hiyo TAKUKURU hapo kanda ya Pwani na D'salaam.

Matokeo yake,wakti ule uhuru unapatikana,huyo SSP Kitwana Luga,hakupewa ile nafasi asilan. Shukran alopewa nasikia ni ati yeye tu kuwamo kwenye ule msafara wa Rais siku ya uhuru wa Mozambique tu! Kwi! Kwi! Kwi!

Nyerere alipoulizwa na baadhi ya watu baade saana...akajibu yakuwa maafisa kama hao kwa kuwa wanajua vitu/siri nyingi ati ni "bora" kubakia tu nyumbani,kuliko wakiwa nje itakua taabu kujua wanafanza nini!? Kwi! Kwi! Kwi!

Haya yoote yametoka kinywani kwa Shariff Abdallah Al Attas mwenyewe.

Kuhusu kifo cha Eduardo Mondlane na kuhusishwa Nyerere....hii ni open secret kwenye Afrikan/World politic corridors mpaka kesho.

Maana hata ile "official report" alotoa yule Nyerere kwa ulimwengu...yasemekana sio ile ilotayarishwa na kina SSP Kitwana Luga na wenzake!?

Tunajua yakuwa Eduardo Mondlane,kutokana na background yake well educated,from the tribe Chief family,pia ideology yake ilikua tafauti na pana zaidi kuliko yule Nyerere...yaani wasingewiva hata siku moja na Nyerere!

Kwa kifupi yule alikua ni kama vile Kambona wa Mozambique!? Kwi! Kwi! Kwi!

Soote tunajua yakuwa yule Samora ndo alokua kipenzi cha "Mwalimu" wakti woote ule...maana alikua na "sifa" zoote alokua akizipenda yule Nyerere ili mtu ku-qualify na kuwa nae karibu mno na kumwamini!? Kwi! Kwi! Kwi!

Nafikiri somo kubwa tupatalo kwa haya yoote na hapa jamvini na kwingineko...ni yakuwa tuna khasara kubwa mno kama Taifa,maana Wazee Wetu woote wameondoka na mambo yao yoote na siri zao vifuani,bila hata ya mmoja wao kuandika japo kijitabu.

Nafikiri tunaambiwa yakuwa si utamaduni wa Mwafrika kuandika!?...labda ni kweli!? Kwi! Kwi! Kwi!?

Embu tujiulize,leo hii mtu kama Shariff Abdallah Al Attas angeacha kitabu japo kimoja...unafikiri watu kama Nguruvi3 wangethubutu hapa jamvini ati kujaribu kubeza Wazee Wetu!?

Ahsanta.

Ps;Shariif Ritz....Nafikiri ndo awali ulimuulizia khabar/historia ya huyo Bwana Kitwana Abdallah Luga,na ndo hapo nakufungia ya mwisho niyajuayo.
 
Mohamed Said, wazee wangu wamegawanyika katika pande mbili.Pande ya kwanza ni ya kina mwalimu John Keto na Mhando unaowataja.

Upande wa pili ni wale wazee waliosimama wakavaa mikwiji wakaondoka na mishale na Marungu kwenda kupambana na mkoloni moja kwa moja kwa kile kilichoutwa kwa umaarufu 'Kodi ya mbiru'.
Katika kundi hili kiongozi alikuwa mzee wa karibu sana kwa damu

Mmoja wa wazee wangu(marhum) alikuwa kiongozi wa TFA akishirikiana na akina Kawawa kuongoza migomo ya wafanyakazi wa mashamba ya mikonge hadi kufungwa.

Mzee huyu baba yake akiwa kiongozi wa mbiru na yeye kuendeleza kazi ya wazee wake.
Nitashangaa kama Mohamed huwajui akina John Keto, Mhando unaowataja kama si sehemu ya wazee wetu na wengi wakitokea kwetu.

Sijui kama inaleta maana nikianza kutaja bibi zangu walivyoandaa vibuyu vya ndaza, kibandameno,mahiza au makande au wazee wetu waliyoyafanya kabla ya kuanza safari za kukabiliana na mkoloni.

Tumefunzwa heshima na adabu za mambo ya kuzungumza mengine hatusemi(tumekwenda jando hatuwezi kuongea vitanda,mboga na mashuka ya watu hadharani, huo ushenzi tumekatazwa).
Tumekatazwa kudhalilisha wanadamu,tukiusiwa kutoa kwa mkono wa kulia ikiwezekana wa kushoto usione.

Tofauti na wazee wangu, wazee wako akina Mbuwane na Mwekapopo walikuwaja kupambana na Watanganyika.
Kwa maneno mengine ni madhalimu.

Samahani nitakuchanganya sana,vinasaba(genetics) DNA za wazee hao haziwezi kufutika katika generation zao.
Ima wanaweza kuzaa watoto wema kwasababu kuu mbili, moja ni genes ambazo ni recessive zinakuwa dominant at certain point au kwavile walizaa na Watu wema genes za ukatili zinakuwa zimegawanyika kwa watoto baadhi wema baadhi washenzi kama baba zao, hapa ni (dominant na recessive inafanyakazi) na inategemea nani amerithi ipi kwa kiwngo kipi.

Kuwa na genes Dominant au recessive hakuondoi au kuvunja ule unasaba.
Nakuhakikishia damu ya kidhalimu ya Mbuwane bado ipo. Siki moja yaweza kuwa Dominant tukapata tatizo

DNA ya akina Mwekapopo Muyukwa n.k. ya kiu ya kuua watu tayari inajidhihiri baada ya vizazi vingi.
Hivyo ndivyo DNA inafanya kazi, inarithisha mazuri na mabaya,ukimuona mtu analeta farki angalia family tree

Ima baada ya bayana hizo bado maswali muhimu sana hujaweza kutujibia.
Je, sigara za kuvuta Mwalimu alipewa na nani?

Tumeona umekaa kimya Uislam ukinasabishwa na matambiko, tunakuuliza wale wazee wa Matambiko nao ni sehemu ya wazee wako au wale wana darja tofauti?

Nipo jamvini, nilisita tu kutoa nafasi kwavile mnakasha uligubikwa na mambo ya kifamilia zaidi ya maana nzima ya historia nikatoa nafasi watu wafahamiane wapongezane.

Nashukuru sana mna kiu ya kunisoma kila mara, na wote mlionitumia 'mialiko' ya kutajwa nimeipata.

Nguruvi3,

Hatimae umetoka humo shimoni ulikokua umekitimizwa...mimi Tanga au Tanganyika yoote naijua vyema,nawe nadhani wafahamu kwalo. Na kila family yenye hishma pia naitambua kwa kina...khasa watani zangu nyie Wabondei!

Wenzenu pale Tanga,walikua wakidai uhuru...huku nyie pembeni mkipakatana na Ma-slave masters/makasisi wenu wa kijarumani,au unafikiri watu hawajui/wamesahau!?

Ewe Nguruvi3...funika kombe mwanaharasha apite!

Kwa kifupi kuwa umemu-adress Sheikh Mohamed Said...wacha yeye aje kukupa jawaba kiduchu.

Khalafu,tutamwachia Maulana Dr. Kahtaan akushindilie majiti ya roho,pia Shariff Ritz akudodose na mwishowe tutamwachia Hajjat Faizafoxy akusasambure,tena huku akisindikizwa na Al Habiby Al Tayeb na Al Bukhriy Wabara! Kwi! kwi!....Ayatollah Chamviga,yeye atakutolea Fatwa tu! Kwi! Kwi! Kwi!

Kama kweli wewe Nguruvi3 ungekua umekwenda/umepelekwa jandoni kama hapo ulivyoandika kwenye hiyo post yako...basi usingetoa kashfa kwa Wazee Wetu,kama hivyo ufanzavyo!?

Au hilo jando lako unalotusifia hapa jamvini ni la utu uzimani!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Cc;Mag3

Ahsanta.Cc;Mag3
Aaa! hapa huwa mna nishangza, hivi jamani si kweli kuwa Mbuwane alikuwa dhalim mkubwa? Kasema Mohamed sasa kipi cha ajabu mimi kuitikia kwa mwangwi?
Pili, hivi si kweli kuwa hjawa wazee wetu walifanya mengi pamoja na dini zao? Si kweli kuwa kuna kundi la tambiko ambalo nalipigia upatu nalo liwe katika 'historia safi ' ya wapigania uhuru ya Mohamed?
Kashfa ipi hapo jamani.

Usiingilie makabila kwasababu katika makabila hayo wapo mashujaa. Mbona mnapenda sana kuigawa jamii katika vipande vya ajabu ajabu? leo mumeacha dini mnatushambulia kwa ubondei, jamani! kuwekeni na subra waungwa!
 
Mohamed Said, wazee wangu wamegawanyika katika pande mbili.Pande ya kwanza ni ya kina mwalimu John Keto na Mhando unaowataja.

Upande wa pili ni wale wazee waliosimama wakavaa mikwiji wakaondoka na mishale na Marungu kwenda kupambana na mkoloni moja kwa moja kwa kile kilichoutwa kwa umaarufu 'Kodi ya mbiru'.
Katika kundi hili kiongozi alikuwa mzee wa karibu sana kwa damu

Mmoja wa wazee wangu(marhum) alikuwa kiongozi wa TFA akishirikiana na akina Kawawa kuongoza migomo ya wafanyakazi wa mashamba ya mikonge hadi kufungwa.

Mzee huyu baba yake akiwa kiongozi wa mbiru na yeye kuendeleza kazi ya wazee wake.
Nitashangaa kama Mohamed huwajui akina John Keto, Mhando unaowataja kama si sehemu ya wazee wetu na wengi wakitokea kwetu.

Sijui kama inaleta maana nikianza kutaja bibi zangu walivyoandaa vibuyu vya ndaza, kibandameno,mahiza au makande au wazee wetu waliyoyafanya kabla ya kuanza safari za kukabiliana na mkoloni.

Tumefunzwa heshima na adabu za mambo ya kuzungumza mengine hatusemi(tumekwenda jando hatuwezi kuongea vitanda,mboga na mashuka ya watu hadharani, huo ushenzi tumekatazwa).
Tumekatazwa kudhalilisha wanadamu,tukiusiwa kutoa kwa mkono wa kulia ikiwezekana wa kushoto usione.

Tofauti na wazee wangu, wazee wako akina Mbuwane na Mwekapopo walikuwaja kupambana na Watanganyika.
Kwa maneno mengine ni madhalimu.

Samahani nitakuchanganya sana,vinasaba(genetics) DNA za wazee hao haziwezi kufutika katika generation zao.
Ima wanaweza kuzaa watoto wema kwasababu kuu mbili, moja ni genes ambazo ni recessive zinakuwa dominant at certain point au kwavile walizaa na Watu wema genes za ukatili zinakuwa zimegawanyika kwa watoto baadhi wema baadhi washenzi kama baba zao, hapa ni (dominant na recessive inafanyakazi) na inategemea nani amerithi ipi kwa kiwngo kipi.

Kuwa na genes Dominant au recessive hakuondoi au kuvunja ule unasaba.
Nakuhakikishia damu ya kidhalimu ya Mbuwane bado ipo. Siki moja yaweza kuwa Dominant tukapata tatizo

DNA ya akina Mwekapopo Muyukwa n.k. ya kiu ya kuua watu tayari inajidhihiri baada ya vizazi vingi.
Hivyo ndivyo DNA inafanya kazi, inarithisha mazuri na mabaya,ukimuona mtu analeta farki angalia family tree

Ima baada ya bayana hizo bado maswali muhimu sana hujaweza kutujibia.
Je, sigara za kuvuta Mwalimu alipewa na nani?

Tumeona umekaa kimya Uislam ukinasabishwa na matambiko, tunakuuliza wale wazee wa Matambiko nao ni sehemu ya wazee wako au wale wana darja tofauti?

Nipo jamvini, nilisita tu kutoa nafasi kwavile mnakasha uligubikwa na mambo ya kifamilia zaidi ya maana nzima ya historia nikatoa nafasi watu wafahamiane wapongezane.

Nashukuru sana mna kiu ya kunisoma kila mara, na wote mlionitumia 'mialiko' ya kutajwa nimeipata.

Nguruvi3.

Umeulizwa hivi...
Bwana Nguruvi,
Wewe babu zako hawakuwa MADHALIM kama babu zangu mimi.

Hebu ueleze ukumbi nini mchango wao katika kupambana na dhulma za wakoloni?
Nasubiri jibu
.
Badala ya kujibu unakuja na stori za Alifu lela ulela.teh teh teh, hebu msome kiduchu Nyerere anavyowaelezea hawa wazee unaowaita Madhalim.
Julius Kambarage Nyerere'"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.

Niliporudi nikakubaliana na wamisionari hapo Pugu (sekondari), nifundishe shuleni kwao. Lakini nikiwa shuleni – Chuo Kikuu – nilijua. Niliishaamua kwamba maisha yangu yatakuwa ya siasa. Niliamua hivyo: Nitafundisha kwa muda wa miaka mitatu, nione hali inavyokwenda na kuzoeana na wenzangu kabla ya kuanza maisha ya siasa.
Msome tena hapa Nyerere anavyowaelezea hawa wazee wetu unaowaita madhalim tena walikuwa wengi kwa mujibu wa Nyerere mwenyewe.
Julius Kambarage Nyerere:Miezi minne baada ya kuanza kazi Pugu nikawa ninakuja Dar es Salaam, kwa mguu; kila Jumamosi. Baadaye wazee wakanipa baiskeli nikawa ninakuja mjini kukutana na wenzangu; kufanya mikutano.

Hivyo ndivyo tulivyofanya. Wazee wakaniamini upesi sana. Tukawa na uhusiano mkubwa sana. Wadogo wenzangu wengine walikuwa Abdul Sykes, Abass Sykes (mdogo wake), Dosa Aziz – waliokuwa wengi ni wazee.
Endelea kumsoma Nyerere anavyowaelezea hawa wazee amabao wewe unawaita madhalim.
Julius Kambarage Nyerere:Katika kuhutubia mikutano yangu, nilikuwa nikisema: Wazee na Ndugu zangu! Wazee hasa ndio walikuwa na mikutano ya awali ya TAA na TANU. Walikuwa na msimamo wa hali ya juu kabisa! Hawakuyumba hata kidogo! Vijana walikuwa na mashaka. Wengine walikuwa na vikazi vyao, waliogopa kuvipoteza.

Teh teh teh...
 
Last edited by a moderator:
Aaa! hapa huwa mna nishangza, hivi jamani si kweli kuwa Mbuwane alikuwa dhalim mkubwa? Kasema Mohamed sasa kipi cha ajabu mimi kuitikia kwa mwangwi?
Pili, hivi si kweli kuwa hjawa wazee wetu walifanya mengi pamoja na dini zao? Si kweli kuwa kuna kundi la tambiko ambalo nalipigia upatu nalo liwe katika 'historia safi ' ya wapigania uhuru ya Mohamed?
Kashfa ipi hapo jamani.

Usiingilie makabila kwasababu katika makabila hayo wapo mashujaa. Mbona mnapenda sana kuigawa jamii katika vipande vya ajabu ajabu? leo mumeacha dini mnatushambulia kwa ubondei, jamani! kuwekeni na subra waungwa!
Nguruvi3.

Mbona tena unataka kumgeuzia kibao Mohamed Said. kuwa yeye ndiyo kasema wazee wake walikuwa madhalim? kila siku nakuambia jaribu kuwa mkweli hebu jisome hapa chini.
Nikukumbushe kuwa akina Sykes walitoa sana lakini usisahau kuwa babu yake Abdul Sykes , mzee Mbuwane alikuwa DHALIM mkubwa aliyekuja kuwaumiza Watanganyika. Angalia shilingi pande zote mbili na jaribu kuondoa makengeza. Tuwape hsehima bila kuangalia dhalili walizotufanyia. Umeshahu Mbuwane alivyokuja Tanganyika.
Jando gani umekwenda Nguruvi3 kwa kashfa unazotoa kwa wazee wetu, hali hii unasema umekwenda jando je usingekwenda ingekuje teh teh teh...
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3.

Mbona tena unataka kumgeuzia kibao Mohamed Said. kuwa yeye ndiyo kasema wazee wake walikuwa madhalim? kila siku nakuambia jaribu kuwa mkweli hebu jisome hapa chini.

Endelea kupiga ngumi hewani.....
Hadithi ya Mbuwane na ujio wake akiwa na mbwana wa Kijerumani yamo katika kitabu cha Mohamed Said.
Katika nyuzi hapo nyuma amekiri kuwa walikuwa madhalim, sasa kwanini mnanigeuzia kibao kwa maneno ya Mohamed?

Dahalim ni dhalim tu!
 
Back
Top Bottom