Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Nguruvi3.Ndio maana naasema utafiti unilishafanya. Hao wanaomalaani ukiwauliza kwanini hawana majibu.
Mwapachu alisoma Makerere, mtoto wake akaenda shule, wajukuu wa mwapachu wameenda shule ukiangalia hali za maisha yao zinazidi kuimarika kila siku.
Nenda kwa mwenzangu mimi anayepiga kelele tu, baba yake, yeye na watoto hakuna afadhali.
Ukimuuliza anasema Nyerere. Nyerere gani huyo anayechagua waislam?
Ukienda Machame wanakaa vikao kuangalia watoto waende vipi shule. Ukienda Mkuranga unakuta mwl mkuu msaidizi ni mwanafunzi. Ukienda machame utasikia harambee za kujenga shule karibu na kiwanja cha msikiti, ukienda mkuranga utasikia wanamlaani na kumzomea Nyerere msikitini.
Lazima uiangalie nchi from different angle. Kitu kinachonitofautisha na wengi hapa jamvini ni kuifahamu nchi yetu vema. Nimeishi kila eneo kuanzia Kibuyi Musoma hadi Kadewele, Manyovu hadi Mkuranga. Nimeishi na jamii nyingi za imani zote nafahamu udhaifu wa jamii hizo ndio maana nakuambia ukweli kuwa Mwislam mwenye education yake huwezi kumkalisha chini ukamfundisha historia ya MS ya kumzomea Nyerere.
Huu ni wakati wa kukaa chini na kutafuta mikakati ya kujikomboa katika masuala mbali mbali.
Kwanini Masjid Quba itoe zero za kutosha na Kirinjiko itoe A za maana, Nyerere anaingiaje hapo.
Acheni kufundishwa ujinga na mkaukumbatia.
Sasa naona umegeuka kuwa msemaji wa familia ya Mwapachu, teh teh teh.
Hii hoja yake mbona dhaifu sana kama suala la kwenda shule hata familia ya Abdulwahid Sykes ni wasomi pia, mtoto wake wa kwanza kike Daisy Abdulwahid Sykes, kaandika historia ya babu yake na baba yake wakati anasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na unajua unyama wa Nyerere aliowafanyia wazee wake wa Dar es Salaam.Ndio maana naasema utafiti unilishafanya. Hao wanaomalaani ukiwauliza kwanini hawana majibu.
Mwapachu alisoma Makerere, mtoto wake akaenda shule, wajukuu wa mwapachu wameenda shule ukiangalia hali za maisha yao zinazidi kuimarika kila siku.
Hawa ndiyo wengi wanaunganishwa na Uislam wao, hawa hawataki hata kumsikia Nyerere toka awafanyie unyama Masheikh.Nenda kwa mwenzangu mimi anayepiga kelele tu, baba yake, yeye na watoto hakuna afadhali.
Ukimuuliza anasema Nyerere. Nyerere gani huyo anayechagua waislam?
Baada ya kupatikana uhuru kilichofuatia ni kuwakamata hawa masheikh na kuwafunga jela, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Sheikh Suleiman Masudi Mnoji, Sheikh Jumanne Bias, Sheikh Bilal Waikela, Ali Migeyo, Maalim Matar, Sheikh Nurdin Husein, Sheikh Ali Comorian, Sheikh Al Amin Mafta, Sheikh Hashimu Haji, Sheikh Abdalla Mwamba, Sheikh Amin Abdalla, Sheikh Maftaa, na wengine wengi.
Teh teh teh!!! naona umeamua kujiliwaza na kujifariji kuichagua Mkuranga, kwa kukusaidia, achana na Mkuranga, anza na Dar es Salaam, Mwanza, Morogoro, Tanga, Shinyanga, Tabora, Bukoba, Singida, na mikoa mingine Mkuranga unawaonea bure na habari za Nyerere.Ukienda Machame wanakaa vikao kuangalia watoto waende vipi shule. Ukienda Mkuranga unakuta mwl mkuu msaidizi ni mwanafunzi. Ukienda machame utasikia harambee za kujenga shule karibu na kiwanja cha msikiti, ukienda mkuranga utasikia wanamlaani na kumzomea Nyerere msikitini.
Teh teh teh, hapa unawaongela Bakwata, Nguruvi3. hata mimi nitembea sana hii Tanzania na dunia na bado natembea kila siku kutokana na kazi zangu.Lazima uiangalie nchi from different angle. Kitu kinachonitofautisha na wengi hapa jamvini ni kuifahamu nchi yetu vema. Nimeishi kila eneo kuanzia Kibuyi Musoma hadi Kadewele, Manyovu hadi Mkuranga. Nimeishi na jamii nyingi za imani zote nafahamu udhaifu wa jamii hizo ndio maana nakuambia ukweli kuwa Mwislam mwenye education yake huwezi kumkalisha chini ukamfundisha historia ya MS ya kumzomea Nyerere.
Wewe kweli kauzu ndiyo maana unaambiwa unaandika uharo, mjinga ni wewe, kwa nini ST. JOSEPH INTERMBOGO Wilaya kasulu itoe zero za kumwaga na St. Francis Girls (Mbeya), itoe A za maana.Huu ni wakati wa kukaa chini na kutafuta mikakati ya kujikomboa katika masuala mbali mbali.
Kwanini Masjid Quba itoe zero za kutosha na Kirinjiko itoe A za maana, Nyerere anaingiaje hapo.
Acheni kufundishwa ujinga na mkaukumbatia.
Teh teh teh
Last edited by a moderator: