I don need to check your video to know the falsehood of your nonsence thought. I understand very well my quruani and hadith of our prophet SAW. Uislamu umejengwa katika hoja za quruani, suna tena kupitia fahamu sahihi za wanazuoni wa kiislamu. Unapoleta pumba zako at sijui Ally r.a alifanywa hivi au vile hebu tuletee kauli yake akithibitisha uonevu huo aliofanyiwa. Shekh kauli yake itakuwa ni upuuzi mtupu kama haijajengeka katika misingi hiyo hapo juu.
Unapoquote/translation ya aya quruani kujustify jambo lako bado hiyo haitokuwa sawa bali itakuwa sawa pale maelezo yako yatakapofanana na watafsiri maarufu wa quruani mfano wa akina Ibn Abbas r.a, ibn Jarir Twabar, Ibn kathir, n.k katika wanazuoni wetu. Tafautisha translation(tarjama)/ explanation(tafsir). Kwa mwenendohuo utapasuka msamba wala hautoweza kuleta hoja zako muflisi za kuuchafua uislamu au kufikia hatua ya kufanyiwa reformation kama ukristo ulivyo/unavyofanyiwa mara kwa mara.