Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Ohh wauwaji hawapati uzima wa milele!

Kijana acha longalonga! Hebu nipe andiko linalosema kuwa WAKRISTO WATAPATA UZIMA WA MILELE ili na mimi mnibatize!
Manake tunawakumbusha lkn bado wagumu kuelewa!
We si unasema umeahidiwa uzima wa milele!?
Leta andiko !
7 Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho
NB: haijatamkwa wapinga uislamu. fahamu hii ni kablla ya uislamu haujawepo. kwani yesu ndiye kristo

majini hayawezi kuwa na urafiki na Ukristo kwakuwa Yesu kristo ni adui yao.

yohana 8:
11 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.

yohana 8: 23 Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.

yohana 8: 50 Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.51 Basi Wayahudi wakamwambia, Sasa tumeng'amua ya kuwa una pepo. Ibrahimu amekufa, na manabii wamekufa; nawe wasema, Mtu akilishika neno langu, hataonja mauti milele.52 Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu, ambaye amekufa? Nao manabii wamekufa. Wajifanya u nani?53 Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.54 Wala ninyi hamkumjua; lakini mimi namjua. Nikisema ya kwamba simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi; lakini namjua, na neno lake nalishika.

yohana 8: 55 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.56 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?57 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.

ufunuo 22: 11[FONT=Georgia, Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Times, serif] Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.[/FONT]12 Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.13 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.14 Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake.15 Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.16 Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.17[FONT=Georgia, Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Times, serif] Na Roho na Bibi-arusi wasema, Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae [/FONT][FONT=Georgia, Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Times, serif]maji ya uzima bure.[/FONT]
[FONT=Georgia, Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Times, serif]kimsingi yesu kristo hakuhaidi mabaya katika mbingu wala pombe, ngono na vile vitu vyenye tamaa za kidunia bali maji ya uzima bure.!!! u can imagine the discrepancies between the so called mohamad and jesus messiah!! [/FONT]

yohana 16:19 Amin, amin, nawaambia, Ninyi mtalia na kuomboleza, bali ulimwengu utafurahi; ninyi mtahuzunishwa, lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha.20 Mwanamke azaapo, yuna huzuni kwa kuwa saa yake imefika; lakini akiisha kuzaa mwana, haikumbuki tena ile dhiki, kwa sababu ya furaha ya kuzaliwa mtu ulimwenguni.21 Basi ninyi hivi sasa mna huzuni; lakini mimi nitawaona tena; na mioyo yenu itafurahi, na furaha yenu hakuna awaondoleaye.22 Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu.23 Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu24 Hayo nimesema nanyi kwa mithali; saa yaja ambapo sitasema nanyi tena kwa mithali, lakini nitawapa waziwazi habari ya Baba. .,,,,,, ,32 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
yesu anatambua kuwa ulimwenguni tunayo dhiki na aliyosyasema amesema kwa mithali

sifa ya majini ni uwongo na uuaji
yohana 8:43 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.
 
As usual!
Maneno meeeengi! Lkn jibu hakuna!

Mimi sijakwambia habari ya "wamfuatao yesu watapewa maji ya uzima!! Au watapata furaha! Au furaha yao itakamilika au itapungua!

Na hii ni kawaida yenu nyie mkiulizwa swali muhimu basi mtazunguka kuleeeee!
Na yote hii ni kukwepa swali!

Mimi nimekuomba andiko linalosema "WAKRISTO WATAPATA UZIMA WA MILELE"
Mbona swali dogo tu!?
Umekopi MANENO MEENGI YA PAULO YAKUONYESHA KUWA YESU NI MUNGU!

SASA NGOJA NIKUPE MANENO YA YESU MWENYEWE! Je! Yeye anasema ni MUNGU??

YOHANA 5:24-----"Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini YULE ALIYENITUMA!, anao uzima wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifo na kuingia katika uzima..

Hapa unaona wazi kabisa kuwa hakuna SEHEMU YYT YESU KAWAITA WAKRISTO NDIO WATAKAO UPATA HUO UZIMA WA MILELE!

NA PIA YESU ANASEMA MWENYEWE HAPA.

YOHANA 5:30- - -"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumu kama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu SI KUFANYA NIYAPENDAYO mwenyewe, bali APENDAYO YULE ALIYENITUMA

Hapo juu.tunajifunza kuwa kumbe ule uwezo wa kufufua wafu! Kuponya wagonjwa! Na miujiza yoote ile aliyokuwa anafanya yeye MWENYEWE YESU anasema si nia yake kuyafanya hayo ispokuwa YULE ALIYEMTUMA!

.-YOHANA 5:36- -
Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko ule wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, ndizo zinazonishuhudia kwamba Baba ndiye aliyenituma.-

-YOHANA 5:37- - -Naye Baba-aliyenituma-hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, WALA KUUONA USO WAKE.

--HAPO YESU ANASEMA "HAKUNA MTU ALIYEWAHI KUSKIA SAUTI YA MUNGU WALA KUMUONA!
sasa kama YESU ni mungu! Vipi YEYE MWENYEWE ASEME KUWA MUNGU HAJAONEKANA WALA SAUTI YAKE HAIJASIKIKA??

YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye aliyenituma.

Na hata kama utajaribu kusema kuwa wewe ni mfuasi wa Yesu!
WEWE UTAKUWA NI MUONGO TU KM WALE WENZAKO!

Yesu hakuabudu mtu BALI ALIABUDU MUNGU MMOJA!

Yesu hakujiita YEYE NI MUNGU ISPOKUWA AMEZULIWA UONGO NA PAULO!
KTK BIBLIA YOTE UKISOMA!
Yesu kaanza kuitwa mungu BAADA YA PAULO NA MPAMBE WAKE LUKA KUJA!
watu ambao SI KTK WALE WANAFUNZI 12 WA ASILI WA YESU!

Sasa hilo swali la kwanza umeshindwa!
Nakuuliza la pili ambalo ni JEPESI ZAIDI!
na nakuwekea majibu uchague!

JE! ATUMWAE NA MUNGU BABA TUMPE CHEO GANI?

Chagua moja hapa chini;- je tumuite ;-

(A.) MUNGU?

(B) MWANA WA MUNGU?

(C) NABII AU MTUME?

Sitaki longalonga ingine ndeefu isiokuwa na maana! Naomba uchague hapo A.B.au C.

★NB★ Na kwenye hizo laini zako za mwisho! NILISHAKWAMBIA huko nyuma kuwa IBILISI AU SHETANI SIO SAWA NA JINNI! Kasome kidogo kijana! Bado hujachelewa!
 
jibu ni 'A' kwani ndiye mwenye authority yote juu ya Duniani na Mbinguni.
ambapo quran na bible zinalitaja hilo.
kimsingi mtu akikukabidhi authority anakuwa hasimamii yeye tena bali yule aliyempa hayo mamlaka.na ndiye(yesu) atakayekuja kuhukumu ulimwengu sawasawa na neno lake.hapatajwi kiongozi mwingine mwenye mamlaka hayo specificaly kama anavyotajwa yesu kristo.
yesu alidhihiriswa kuzivunja kazi za shetwain, hivyo hakuna shirika kati ya majini na yesu, usidanganywe shetani ni muuaji na mwongo na baba wa uongo(1yohana3:8)
(fahamu maana ya baba wa uongo)sisi binadamu tuna neema kwakuwa yesu alitununua na thamani ya damu yake pale msalabani, hakununua majini/shwetain wala hayawani awaye yeyote yule na yesu ajapo kuhukumu sehemu yao (MAJINI) ni jehanum tu. na wanalijua hili, usitetee usichokijua. jaribuni kila roho kama imetoka kwa mungu ama la, tumia jina la yesu.Thats your home work)

hayo unayo yanukuu hapo juu ya kwamba yesu alimtukuza mungu na si yeye, majibu yake yako hapa chini yesu akielezea mkataba waliokubaliana yeye na huyo mungu: read between the lines na zingatia bolded words
yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. 4 Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye. 5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

konklusheni
sasa ni wakati wa kumtukuza yesu kristo na mungu kama ambavyo mkataba wao ulivyokuwa kule mbinguni kati yake na mungu. na huu ndio uzima wa milele.

i hope nitakuwa nimejibu swali lako mkuu, kuhusu uzima wa milele, umungu wa yesu, na majini pia.
 
Teh teh teh teh !

Sasa wanajamvi huyu 2013 amejibu kuwa ALIYETUMWA NA MUNGU NA YEYE ANAITWA MUNGU!
Yaani Mungu kamtuma mungu!!

Halafu MUNGU AWEKEANE MKATABA NA KIUMBE WAKE!??

Sasa mtu kama huyu kuna uwezekano akaelewa kweli?

Mungu akusaidie bwana 2013. Huko unako jilazimisha kubaki SIO KWEMA NDUGU!

Okoa nafsi yako na adhabu ya Mungu!

We hata zile amri kumi za MUNGU ambazo UNAZIAMINI! Basi hapa UMWSHAVUNJA AMRI YA muhimu saana KABISA! INAYOSEMA;-
"
""Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi. BWANA Mungu wako, ni Mungu wenye wivu.""

Sasa wewe picha ya mungu wako unayo!
Ile sanamu ipo! Na vingine!

Kama hutaelewa na haya hapa! Basi wewe unaingia ktk lile kundi la summun bukmmun umyuni fahum laa yuumeenuun! Yaani ni mabubu, viziwi.
Na vipofu! Hawawezi kuamini!
 
Last edited by a moderator:

Maulana Dr Kahtaan,

Salaam,Akhiy.

Pole na madhila yakupatayokwa kuzungumza na asiyefahamu na wala asotaka kufahamu.

Kwa jinsi niionavyo hii stahamala yako kwayo...nakukubali kweli wewe ni Ulamaa tena ulo mbobefu! Dah!

Nafikiri wenzie wapo pembeni wanamchungulia jinsi anavyozidi kujiacha uchi/kujiadhirisha na kuwaaibisha wenzie,na baya zaidi anazidi kuitukanisha Dini yake/yao bila hata hoja za maana au ulazim wa kufanza yayo!?

...zaidi ya hayo ma-copy n paste yake, Duh! Akili nyingine bana!?

Mimi nitakua swafar kiduchu kwa shughuli za hapa kibaruani,walakin tajitahidi kila kipata wasaa/fursa nichungulie hapa japo kiduchu na kukuamkueni.

Insha Allah,kila kheir na mbaki vyema ndugu zanguni nyoote.

Ahsanta.
 
Ya akhiy habib gombesugu,
wallah kila nikaona comments zako basi Napata furaha pita kiasi! Nafahamu mashughuli ya dunia mengi mno lkn Tuko pamoja inshallah,

Ahsante kwa dua zako njema!

Jazakka llah kheir.
 
Last edited by a moderator:
Ya akhiy habib gombesugu,
wallah kila nikaona comments zako basi Napata furaha pita kiasi! Nafahamu mashughuli ya dunia mengi mno lkn Tuko pamoja inshallah,

Ahsante kwa dua zako njema!

Jazakka llah kheir.

@ maulana kahtaan huna madrasa unifundishie watoto wangu angalau wapate elmu yako japo kidogo, maana naona jamaa anatoa mapovu kibao huyu anaeji ita kwa namba kama mfungwa? Samahani kwa ombi langu kama nitakua nime kukwaza
 
Last edited by a moderator:
@ maulana kahtaan huna madrasa unifundishie watoto wangu angalau wapate elmu yako japo kidogo, maana naona jamaa anatoa mapovu kibao huyu anaeji ita kwa namba kama mfungwa? Samahani kwa ombi langu kama nitakua nime kukwaza

maalim manumbu1 nakushkuru kwa maneno yako mazuri lkn mimi bado mwanafunzi ndugu yangu! na cheo cha kuitwa mwalimu bado sheikhe sijafika huko!
Namuomba Allah awape vijana wako elmu yenye manufaa, fee deen wa dunia!
Ameen
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh !

Sasa wanajamvi huyu 2013 amejibu kuwa ALIYETUMWA NA MUNGU NA YEYE ANAITWA MUNGU!
Yaani Mungu kamtuma mungu!!

Halafu MUNGU AWEKEANE MKATABA NA KIUMBE WAKE!??

Sasa mtu kama huyu kuna uwezekano akaelewa kweli?

Mungu akusaidie bwana 2013. Huko unako jilazimisha kubaki SIO KWEMA NDUGU!

Okoa nafsi yako na adhabu ya Mungu!

We hata zile amri kumi za MUNGU ambazo UNAZIAMINI! Basi hapa UMWSHAVUNJA AMRI YA muhimu saana KABISA! INAYOSEMA;-
"
""Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi. BWANA Mungu wako, ni Mungu wenye wivu.""

Sasa wewe picha ya mungu wako unayo!
Ile sanamu ipo! Na vingine!

Kama hutaelewa na haya hapa! Basi wewe unaingia ktk lile kundi la summun bukmmun umyuni fahum laa yuumeenuun! Yaani ni mabubu, viziwi.
Na vipofu! Hawawezi kuamini!
ha ha ha ha,
nimecheka haya maneno hapa: summun bukmmun umyuni fahum laa yuumeenuun!
mkuu sikiliza waliopewa kitabu mara ya kwanza kabla hakijachakachuliwa na wachakachuaji waliokuwa wapinga kristo, kuzungumzia umungu wa yesu, ni budi uwe na habari zake na mitume wake. unapokuwa na mitume wasiotokana na yeye hawataweza kukupa habari zake, watabakia kugusia tu kwa uchache lakini mwisho watakupeleka astray.

hata hilo jina la nabi isa lilibadilishwa ili majini waweze kuingia misikitini, otherwise hawapendi kusikia jina la yesu kristo masiha kwasababu ni moto uunguzao kwao!. na ndio chanzo cha waislamu kuwachukia wakristo kwa kiwango cha juu cha chuki.

mkuu, kwa hili la masanamu nakuunga mkono 100%, . kuwa kuabudu sanamu ni dhambi kuu kwa mungu.
unfortunately, picha hizi ni simulation tu kwa watu for easy understanding na si kuziabudu.
in Christianity we have so many dominions, which don't have idols in their churches; Lutheran, assemblies of god, full gospel just to mention the few ,
what about Islam who also worshiping the Hair of prophet. it is just a single hair alleged to have been trimmed from the beard of the Prophet kept in mosques is to be exposed to the view of the faithful once a year during the month of Ramadan. The faithful are allowed to kiss the cloth in which it is wrapped. Gosh!!!
 
I think I have done my bit to show you the TRUTH. But you preferred to run away from it! Ajabu kabisa!

Mungu anakwambia "USIFANYE CHOCHOTE UKASEMA HICHO FANANA NA MIMI."" Halafu we unasema "ILE PICHA YA YULE MZUNGU NI SIMULATION?? Yaani wewe na hao wenzako mnajua zaidi ya ANDIKO!!?

Halafu MUNGU anasema ktk Amri yake ya kwanza kuwa "MSISIJUDIE Kingine ispokuwa.mimi ........"" Yesu mwenyewe ALSUJUDU ktk ibada zake.
Sasa nyie ktk ibada zenu huwa MNAMSUJUDIA MUNGU?? Au utasema kupiga magoti na kuimba kwa sauti ni simulations!!?

Na hilo suala la NYWELE WAISLAMU WANAIBUSU KILA MWAKA NI UONGO MTUPU NA UZUSHI WA KITOTO!

Kila ninacho kuonyesha mimi NAKUPA ANDIKO, We nipe ANDIKO WAPI WAISLAMU WAMEAMBIWA WABUSU NYWELE au NDEVU YA KIUMBE!!
Na kama huna ANDIKO basi nakuruhusu unipe hata picha ya hao unao waita waislam wanao inusu hio ndevu!

Basi unaandika kama mwendawazimu sasa! Mwanzo ilikuwa hoja! Sasa huna hoja tena! Iliyobaki ni bla..bla..bla..!

Lkn kila ukiandika madudu hapa ndipo wagalatia wenzako wsnavyoona udhaifu wa hio imani yenu ya kutengeneza wenyewe.
 
mkuu nakubaliana na wewe, kuhusu dhambi ya kuabudu sanamu. totaly 100%,
bilakugusia imani yako, na kuzingatia penye red
najua utakuwa unaulenga zaidi ukatoliki hapa, kwani wana kitu kuhusu sanamu, hasa kubusu msalaba katika ibada ya msalaba,. bahati mbaya ni kuwa wakatoliki ndani yake kuna vikundi vya wakarismatic . DHAMIRI YANGU haipo-comfortable na hilo la matumizi haya ya sanamu kwani maandiko yanakataza na yamejieleza waziwazi.kwani kuna hali ya baadhi kuwa kama wanaabudu kabisa. i think ukatoliki uko so broad na complex kuuelezea na kwanini wanatumia sanamu zile ili hali amri ya mungu inakataza katika mazingira yoyote ya kukitumikia na kukisujudia.nipe muda niulize zaidi.but kwa vyovyote vile a sipo komfotable na hili kabisa.
 
DSC01195.JPG

Kahtaan you should watch these holly beard wrapped in.
A man praying in front of the box of containing the Holy Beard of Muhamad.
here for more details: http://4.bp.blogspot.com/_ek397YM65e4/TKH0nkP6OVI/AAAAAAAABsY/BU8pOKiepgU/s640/DSC01195.JPG

http://www.salamworld.com/806/#.UoGhpflHIiw

http://www.demotix.com/news/1065957/holy-beard-prophet-mohammad-dhaka#media-1065564
1329848368-the-holy-beard-of-prophet-mohammad-in-dhaka_1065564.jpg

"Sakal-i Serif"/Holy beard of prophet mohamad
toa kwanza boriti katika jicho lako ndipo utoe kibanzi katika jicho lamwingine
 
I think I have done my bit to show you the TRUTH. But you preferred to run away from it! Ajabu kabisa!

Mungu anakwambia "USIFANYE CHOCHOTE UKASEMA HICHO FANANA NA MIMI."" Halafu we unasema "ILE PICHA YA YULE MZUNGU NI SIMULATION?? Yaani wewe na hao wenzako mnajua zaidi ya ANDIKO!!?

Halafu MUNGU anasema ktk Amri yake ya kwanza kuwa "MSISIJUDIE Kingine ispokuwa.mimi ........"" Yesu mwenyewe ALSUJUDU ktk ibada zake.
Sasa nyie ktk ibada zenu huwa MNAMSUJUDIA MUNGU?? Au utasema kupiga magoti na kuimba kwa sauti ni simulations!!?

Na hilo suala la NYWELE WAISLAMU WANAIBUSU KILA MWAKA NI UONGO MTUPU NA UZUSHI WA KITOTO!

Kila ninacho kuonyesha mimi NAKUPA ANDIKO, We nipe ANDIKO WAPI WAISLAMU WAMEAMBIWA WABUSU NYWELE au NDEVU YA KIUMBE!!
Na kama huna ANDIKO basi nakuruhusu unipe hata picha ya hao unao waita waislam wanao inusu hio ndevu!

Basi unaandika kama mwendawazimu sasa! Mwanzo ilikuwa hoja! Sasa huna hoja tena! Iliyobaki ni bla..bla..bla..!

Lkn kila ukiandika madudu hapa ndipo wagalatia wenzako wsnavyoona udhaifu wa hio imani yenu ya kutengeneza wenyewe.
pia mkuu kahtaan, ningependa ujishughulishe kujua ikiwa Yesu ndiye mwenye mamlaka(authority) duniani na mbinguni asiye na dhambi wala baba, kama quran inavyojieleza, je ii wapi nafasi yake katika uislam? ama ni kwa mazingira gani uislamu unatambua mamlaka aliyopewa yesu kristo hapa duniani na kwa mazingira gani unayatumia mamlaka hayo?. iweje mumwombe mungu bila kutambua ama kumwakilisha aliyekabidhiwa mamlaka hayo hapa duniani ambaye quran inatambua fika ndiye Hakimu atakaye kuja kuhukumu ulimwengu? pia swali la zaidi ni kwanini uislamu hauna taarifa za kutosha za maisha ya yesu kristo hapa duniani, ikiwemo amri zake, mbingu aizungumziayo.

ukilichunguza hili kupitia imani yako kwanza, naimani utaweza kujua na kuelewa kwanini wakristo wako kama walivyo yaani wanamwamini yesu zaidi. pia naimani utaweza kuwa na mtazamo chanya na mambo ya imani hasa kuwahusu wakristo na yesu kristo wao. kwani wale waislamu wasioishi na wakristo kwa karibu wamekuwa hawajui kwanini wakristo wako vile mwishowe wamejenga hali ya kuwa skeptical na kutowapenda wakristo kwasababu tu ya ukristo wao.
 
View attachment 120848

Kahtaan you should watch these holly beard wrapped in.
A man praying in front of the box of containing the Holy Beard of Muhamad.
here for more details: http://4.bp.blogspot.com/_ek397YM65e4/TKH0nkP6OVI/AAAAAAAABsY/BU8pOKiepgU/s640/DSC01195.JPG

http://www.salamworld.com/806/#.UoGhpflHIiw

http://www.demotix.com/news/1065957/holy-beard-prophet-mohammad-dhaka#media-1065564
View attachment 120849

“Sakal-i Serif”/Holy beard of prophet mohamad
toa kwanza boriti katika jicho lako ndipo utoe kibanzi katika jicho lamwingine

We ni muongo sana. Hio kitu hakuna makkah na hakuna kitu kinaitwa kuheshimu au kuthamini ndevu au nywele au mavazi ya kiumbe mwingine ktk uislamu.
Hii sio DINI ya kuweka SIMULATIONS KAMA YA KIKRISTO AU KIHUNDU AU IMANI ZINGINE!
Ingia ktk nyumba za ibada za kiislamu (MISKITI) kama utakuta picha. Au CHOCHOTE CHENYE KUABUDIWA AU CHENYE KUFANANISHWA NA MUNGU!!
HAKUNA! abadan!
Hao Lutherans hata kama hawana SANAMU lkn picha ya mungu mzungu wanayo! Na MISALABA KAMA MVUA!!

Sasa uongo utakufaa nini??

Halafu hata tukisema kuwa kweli hio ndevu ipo!! hapo kwenye picha nani anafanya ibada?? Au kigalatia kutazama pia ni ibada!!

Ogopa Mungu aliye kuumba akakupa pumzi ya kuweza kuandika na unaitumia kuandika UONGO JUU YAKE!
Siku akiamua kuichukua Hio pumzi, MAJUTO YAKO HAYATA KUSAIDIA KITU.
 
pia mkuu kahtaan, ningependa ujishughulishe kujua ikiwa Yesu ndiye mwenye mamlaka(authority) duniani na mbinguni asiye na dhambi wala baba, kama quran inavyojieleza, je ii wapi nafasi yake katika uislam? ama ni kwa mazingira gani uislamu unatambua mamlaka aliyopewa yesu kristo hapa duniani na kwa mazingira gani unayatumia mamlaka hayo?. iweje mumwombe mungu bila kutambua ama kumwakilisha aliyekabidhiwa mamlaka hayo hapa duniani ambaye quran inatambua fika ndiye Hakimu atakaye kuja kuhukumu ulimwengu? pia swali la zaidi ni kwanini uislamu hauna taarifa za kutosha za maisha ya yesu kristo hapa duniani, ikiwemo amri zake, mbingu aizungumziayo.

ukilichunguza hili kupitia imani yako kwanza, naimani utaweza kujua na kuelewa kwanini wakristo wako kama walivyo yaani wanamwamini yesu zaidi. pia naimani utaweza kuwa na mtazamo chanya na mambo ya imani hasa kuwahusu wakristo na yesu kristo wao. kwani wale waislamu wasioishi na wakristo kwa karibu wamekuwa hawajui kwanini wakristo wako vile mwishowe wamejenga hali ya kuwa skeptical na kutowapenda wakristo kwasababu tu ya ukristo wao.

First thing first.

Hakuna ktk QURAAN sehemu yyt inayosema kuwa YESU NI HAKIMU ATAKUJA KUHUKUMU DUNIA!
NA HUU NI UONGO WAKO! NA KAMA IPO NIONYESHE NA MIMI NIBATIZWE!!.

Pili; unasema sababu ya nyie kumuomba YESU badala ya MUNGU ni kuwa MUNGU alimfanya YESU kuwa MUWAKILISHI!

Sasa hapahapa! TOKA LINI MUWAKILISHI AKAWA NDIE MWENYE KUWAKILISHWA!!??

Yaani Rais amtume WAZIRI MKUU kwenda kumuwakilisha, halafu waziri mkuu akiulizwa WEWE NI NANI? ajibu MIMI NI RAIS!!?
we 2013 kweli huwa unasoma unacho andika??
Muwakilishi wa YEYOTE Au chochote Atabaki kuwa MUWAKILISHI TU NA SIO MWENYE MALI HATA SIKU MOJA!!

Manabii wa MUNGU WOOTE WALITUMWA NA MUNGU KUFANYA KAZI YAKE ALIYO WAAMRISHA!
NA HAWAKUWA NA HIARI NA HILO KAMA YESU ALIVYOSEMA ;-

YOHANA 5:30- - -"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumu kama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule-aliyenituma..

SASA HAPO JUU KITU GANI UNAKATAA??
YESU anasema wazi kabisa kuwa "NIA YAKE SIO KUFANYA ALIPENDALO MWENYEWE BALI APENDALO YULE ALIYEMTUMA""

au unatafsiri tofauti na hili andiko!?
Au andiko limekosewa???

Na pia Yesu anaongezea hapa kwa kusema ;-

YOHANA 8:26- - -Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-aliyenituma-ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."

YOHANA 8:29- - -Yule-aliyenituma-yuko pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."

YOHANA 6:38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule-aliyenituma.

SASA WE ENDELEA NA UPOTOVU WAKO!
USIJE UKASEMA HUKUONYWA TU!
NA YEYOTE MWENYE KUSOMA HAPA ASIJESEMA MI SIHUSIKI!

MUNGU NI MMOJA TU! ANAE STAHIKI KUAMBUDIWA NA KUOMBWA MSAADA!
NI MUNGU PEKEE ASIYE NA MSHIRIKA WAKE KATIKA HUKUMU ZAKE!

NI MUNGU ALIYEMUUMBA IBRAHIM , SOLOMON, DAVID, JACOB, YESU NA MUHAMAD (amani za Mungu ziwe juu yao)! .na wote hao walikuwa ni WAJUMBE WA MUNGU TU!
2013 Kifo hakiko mbali ! Na tunazika ndugu zetu kila siku!
KUMBUKA MIMI NA WEWE TUNAWEZA KUFA SAA YYT!
Usipindishe haki kwa maslaha ya hii dunia au kwa kuhofu labda watu watakuona huna maana!
We ukihukumiwa hakuna ATAKAE KUSAIDIA!
Uamuzi ni wako.
 
Last edited by a moderator:
View attachment 120848

Kahtaan you should watch these holly beard wrapped in.
A man praying in front of the box of containing the Holy Beard of Muhamad.
here for more details: http://4.bp.blogspot.com/_ek397YM65e4/TKH0nkP6OVI/AAAAAAAABsY/BU8pOKiepgU/s640/DSC01195.JPG

http://www.salamworld.com/806/#.UoGhpflHIiw

http://www.demotix.com/news/1065957/holy-beard-prophet-mohammad-dhaka#media-1065564
View attachment 120849

“Sakal-i Serif”/Holy beard of prophet mohamad
toa kwanza boriti katika jicho lako ndipo utoe kibanzi katika jicho lamwingine

Umetoa wapi huu uzushi?
M 36 yrs and for the first time naskia hii kitu.

Aya gani imeamrisha jambo hili? Enhee? Pls
 
Kwi kwi kwi kwi!

Al mujahid Angel Nylon umenifanya nicheke ndugu yangu!
Hawa wagalatia ndio zao hizo! Wakikosa hoja za kujibu basi wanachomeka mambo ya ajabu ilo WATOKE NJE YA HOJA!
Sasa hapa huyu lengo lake tusijadili ule Uungu wa Yesu aliosingiziwa! Badala yake tujadili so called ndevu ya mtume!
Teh teh teh teh!
Ahhh ! Wallahi wagalatia nuksi! Duhhhh!

Eti kuna unywele MMOJA uko makkah ambao eti yule muumini wa kweli anaruhusiwa kuubusu kwa mwaka mara moja! Eeh teh teh teh teh! Jamani mbavu zangu zinauma leo!
Nimemuuliza huyo 2013 mfano hata kama ni kweli huo unywele upo! Na kweli wakaamua kuruhusu MUUMINI WA KWELI AUBUSU! Je! NANI ATAKAE TAMBUA KUWA YUPI NI MUUMINI WA KWELI?? manake kila anaekwenda makkah Anakwenda kufanya IBADA! Na kuna waumini zaidi ya MILIONI TANO KILA MWAKA wanakwenda huko!
Woote wamevaa mavazi ya aina moja!
Woote wanafanya ibada moja!
Woote kwenye ibada zao wanasema lugha moja!!
Hapo 2013 Kachemka! Hajanijibu mpaka leo!

Halafu eti unaipigaje busu nywele!???
Teh teh teh teh teh! Kwi kwi kwi kwi!
Haki ya mungu dunia hii ina mambo!
Astaghfirullah.

Nastaghfirusha kwa kucheka kupita kiasi!!
 
Last edited by a moderator:
Dr kahtaan

Nakusoma huku nakunywa kahawa na tende ya Sharja hapa kwenye majrisi nyumbani.

Shariff Ritz good to see you bro!
Niko na huyu muefeso 2013 ananiletea habari ya kupiga busu nywele moja!
Nilitamani sana nimpe nywele MOJA anionyeshe inavyo pigwa hilo busu!

Manake mi nimejaribu huku nimebaki kucheka peke yangu vibaya sana!

Mpaka wanangu wanadhani daddy kavuta hashish!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
did i say makkah?............NOPE
ANGEL NYLON, KAHTAAN, READ THESE.
A man praying in front of the box of containing the Holy Beard of Muhamad (
“Sakal-i Serif”)
View attachment 120953

I LOST MORE DETAILS TO EXPLAIN THE PICTURE ABOVE BUT
another link
Devotees pray as priests display hair from prophet's beard at Kashmiri shrine - PhotoBlog
View attachment 120957View attachment 120957View attachment 120958View attachment 120959
tazama mikono yao, pia soma link.

On the validity of obtaining blessings and benefit with the hair of the Prophet (s) after his death
It is narrated by Bukhari in his Sahih in the Book of Clothes, under the chapter "What is mentioned about gray hair", that Usman bin 'Abdullah bin Mawhab (r) said, "my family sent me to Ummu Salamah (r) with a cup of water. And Ummu Salamah (r) brought out a silver bottle which contained one of the hairs of the Prophet (s), and it used to be that if anyone came under the evil eye or ill health they used to send her a cup of water through she would pass this hair [for drinking] and we used to look into the silver bottle: I saw some reddish hairs."
Imam Hafiz ibn Hajar in Fath al-Baari, Volume 10, page 353, said, "they used to call the silver bottle in which the hair of the Prophet (s) was kept 'jiljalan' and that bottle was in the home of Ummu Salamah (r)."
Imam al-'Ayni said, "Ummu Salamah (r) had some of the hairs of the Prophet (s) in a silver bottle, and when some people got ill, they used to go and obtain blessings from these hairs and they would be healed by means of its blessings. They used to take the hair of the Prophet (s) and they used to pass it through a cup of water and they would immediately be healed. And this explanation of the hadith is mentioned in Bukhari."
It is said in 'umdat il-Qari, a section in Sharh Sahih al-Bukhari, volume 18, page 79, "If a person were struck by the evil eye or by any sickness, he would send his wife to Ummu Salamah (r) with amikhdabba [i.e. cup of water] and she used to pass the hair through that water and then he would drink the water and he would be healed, after which they would return the hair to the 'jiljal.'"
Muslim narrated in his Sahih that Anas (r) related, "The Prophet (s) came to Mina and threw stones and then he came to his tent in Mina after he made the sacrifice, and he told the barber 'take my hair' and he pointed first to his right, then to his left. Then he began to distribute the hair to the Sahaba."
am speechless see for your self

Teh teh teh teh! Amma we mtoto nuksi!

Mi nakwambia NIONYESHE WAPI NYWELE NI KTK MOJA YA IBADA!
Unaniletea hadith nyiiingi zinazo elezea matukio yanayohusu nywele!

Sasa sio wewe uliesema kuwa WALE WAUMINI WA KWELI WANARUHUSIWA KUIBUSU HIO NYWELE YA MTUME KWA MWAKA MARA MOJA??
Sasa iko wapi Amri inayosema hayo kutoka ktk kitabu cha waislamu??

Sasa najua HUWEZI KUNIJIBU HAPA!

NA SIO WEWE TU! HAKUNA MGALATIA YYT ANAWEZA KUKUSADIA KWA HILO!
Ni uzushi usio na kichwa wala kiuno!

Sasa najua unataka kukimbia!
turudi kwenye swali lililo zaa haya yote.

Nani aliyewapa ruhusa ya kuchora picha halafu MKASEMA HUYO NI MUNGU!!
Usiniletee habari za simulation hapa!
Biblia IMEKATAZA KATAKATA KUWEKA MFANO WOWOTE WA MUNGU!
VIPI NYIE MNAWEKA HALAFU MNAJIITA WAFUASI WA YESU?? HUO SI UNAFIKI??

NA NI NANI ALIYEMPA UTUME PAULO??
Ambae ndio MUANZILISHI WA IBADA YA MAPICHA NA MASANAMU? ? Wakati YESU hajawahi kukutana nae??

Mpaka uyajibu hayo maswali kwa ufasaha la sivyo WEWE UNAFANYA IBADA YA KIPAGANI NA SIO YESU ALIYOFUNDISHA!

Nasubiri jibu!
 
Back
Top Bottom