Kama hayo unayosema Ni ya kweli kwanini Basi yalisubiri maandamano ya wamakonde kwanza?Sasa nyie mnataka wafaidike vipi hao wamakonde?au gesi iuzwe alafu watu wagawiwe pesa?kwa sababu serikali imeshajenga miundombinu ya kusambaza gesi majumbani yaani kama maji tu .alafu huko mtwara viwanda vimeanza kujengwa?nyie mnataka wafaidike vipi?only relevant answers are needed.
Nani kakuambia kuwa mafundisho ya uislam ni kueneza dini kwa lazima?
Naamini wewe ni mtu mzima na mtu mzima si vizuri kumuita muongo na ni matumaini yangu kuwa unalifahamu hilo kwahiyo sitegemei kuwa umeamua kutudanganya bali nataraji ulete maandiko yanasapoti ukweli wako ili usiitwe muongo.
Ndio maana alishindwa hata kuja kuchukua uenyekiti wa SADC.Kumbuka uchaguzi uliopita 70% ya wabunge ni upinzani kuna madiai Nyusi aliiba kura kuna mengi yamejificha
Kuna wayahudi walikuwa wakiishi madinah na hawakuukubali uislam, jee aliwapiga kwa hayo mapanga!??View attachment 1542429
Mtume mwenyewe anakuambia ameamriwa kupigana kwa upanga na kila mtu mpaka wakubali hakuna Mungu ispokuwa allah wewe ni nani hadi tukusikilize?
Kuna wayahudi walikuwa wakiishi madinah na hawakuukubali uislam, jee aliwapiga kwa hayo mapanga!??
Hakuna kitu kibaya kwenye mambo ya dini kama mihemko, kawaida ya mihemko huwa inafunga akili, huwezi kufikiria sawasawa.
Unahangaika kupotosha maandiko ili iweje na kwa faida ya nani? Tukiamua kuichafua biblia hamtoweza kuvumilia ila kwanini tufanye hivo?
Mi nadhani ni wakati wa kuitumia akili yako sasa badala ya kushikiwa.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Seriosly simjui wanayemfuata, kwa sababu matendo wayatendayo ni kinyume na maamrisho ya uislam.Hao isis wanamfuata mtume au hao wayahudi?
Seriosly simjui wanayemfuata, kwa sababu matendo wayatendayo ni kinyume na maamrisho ya uislam.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Mozambique ni nchi ya kiislam . nchi ya kiislam ikiongozwa na asiye Muslim unategemea nini?
Nchi ilijiunga OIC zamani sana, tofautisha "NCHI" VZVZ" WANANCHI"
Njoo inboxNaomba kujuzwa jinsi ya kujiunga na hawa ndugu
HahahahahahahaNaomba kujuzwa jinsi ya kujiunga na hawa ndugu
Shukrani mkuu nakjaNjoo inbox
Kuna tatizo mkuu
MwangaSapalala, Mkundaji, Mbiliwili, Bunju
Tufanye nini kulitatua
Kuachana nao maana hawana wanachokisimimamia kinachoeleweka.Tufanye nini kulitatua
Umewahi kuwauliza?Kuachana nao maana hawana wanachokisimimamia kinachoeleweka.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app