Islam State (IS) wanataka nini Msumbiji?

Islam State (IS) wanataka nini Msumbiji?

Sasa nyie mnataka wafaidike vipi hao wamakonde?au gesi iuzwe alafu watu wagawiwe pesa?kwa sababu serikali imeshajenga miundombinu ya kusambaza gesi majumbani yaani kama maji tu .alafu huko mtwara viwanda vimeanza kujengwa?nyie mnataka wafaidike vipi?only relevant answers are needed.
Kama hayo unayosema Ni ya kweli kwanini Basi yalisubiri maandamano ya wamakonde kwanza?
 
Nani kakuambia kuwa mafundisho ya uislam ni kueneza dini kwa lazima?

Naamini wewe ni mtu mzima na mtu mzima si vizuri kumuita muongo na ni matumaini yangu kuwa unalifahamu hilo kwahiyo sitegemei kuwa umeamua kutudanganya bali nataraji ulete maandiko yanasapoti ukweli wako ili usiitwe muongo.

IMG_0387.png

Mtume mwenyewe anakuambia ameamriwa kupigana kwa upanga na kila mtu mpaka wakubali hakuna Mungu ispokuwa allah wewe ni nani hadi tukusikilize?
 
View attachment 1542429
Mtume mwenyewe anakuambia ameamriwa kupigana kwa upanga na kila mtu mpaka wakubali hakuna Mungu ispokuwa allah wewe ni nani hadi tukusikilize?
Kuna wayahudi walikuwa wakiishi madinah na hawakuukubali uislam, jee aliwapiga kwa hayo mapanga!??

Hakuna kitu kibaya kwenye mambo ya dini kama mihemko, kawaida ya mihemko huwa inafunga akili, huwezi kufikiria sawasawa.

Unahangaika kupotosha maandiko ili iweje na kwa faida ya nani? Tukiamua kuichafua biblia hamtoweza kuvumilia ila kwanini tufanye hivo?

Mi nadhani ni wakati wa kuitumia akili yako sasa badala ya kushikiwa.

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Hao isis wanamfuata mtume au hao wayahudi?
 
Ndio naskia leo hii.
Mozambique ni nchi ya kiislam . nchi ya kiislam ikiongozwa na asiye Muslim unategemea nini?

Nchi ilijiunga OIC zamani sana, tofautisha "NCHI" VZVZ" WANANCHI"
 
Back
Top Bottom