kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #81
Kama hayo unayosema Ni ya kweli kwanini Basi yalisubiri maandamano ya wamakonde kwanza?Sasa nyie mnataka wafaidike vipi hao wamakonde?au gesi iuzwe alafu watu wagawiwe pesa?kwa sababu serikali imeshajenga miundombinu ya kusambaza gesi majumbani yaani kama maji tu .alafu huko mtwara viwanda vimeanza kujengwa?nyie mnataka wafaidike vipi?only relevant answers are needed.