Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Huo ukanda wote una LNG ya kutoshaUku kwetu wamestop uchakataji, wameamishia uwekezaji msumbiji. watakapo resume uchimbaji vurugu kama za KIBITI nazo watazirudisha tena....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ukanda wote una LNG ya kutoshaUku kwetu wamestop uchakataji, wameamishia uwekezaji msumbiji. watakapo resume uchimbaji vurugu kama za KIBITI nazo watazirudisha tena....
Shida viongozi wa Africa huwa wanajari maslahi yao na kuwaona wadai haki maadauNi nani humu JF anafahamu kwanini Islam State wameivamia Msumbji atujuze. Je, Ni Islam State kweli wanaopigana au ni wananchi wa Msumbiji wenye madai yao kwa serikali yao lakini wakabandikwa jina la Islam State? Yaani Call the dog a bad name then hang it.
Shabaha yao ni Nini na nani na Nani?
Kabla majirani hatujajiingiza humo lazima kwanza tujiridhishe Ni mapigano yenye lengo gani, na je, Ni Islam State kweli?
Shabaha yao ukanda wa East Africa kuelekea kusini. Msumbiji eneo la mji wa Mocimboa da Praia kuja mpaka Mtwara limekuwa area of their influence kwasababu kwanza ya dini ya kiislam maeneo yale so wanauwakika wa kurecruit vijana wenye misimamo legelege na wanaosumbuka kwakukosa ajira.Ni nani humu JF anafahamu kwanini Islam State wameivamia Msumbji atujuze. Je, Ni Islam State kweli wanaopigana au ni wananchi wa Msumbiji wenye madai yao kwa serikali yao lakini wakabandikwa jina la Islam State? Yaani Call the dog a bad name then hang it.
Shabaha yao ni Nini na nani na Nani?
Kabla majirani hatujajiingiza humo lazima kwanza tujiridhishe Ni mapigano yenye lengo gani, na je, Ni Islam State kweli?
Nimekuelewa sana.Ni mambo ya ndani ya msumbiji.
Yanahusu wananchi wa Cal Delgado na Frelimo.
Jimbo hili lina waislam wengi wamakonde.
Ni eneo la kaskazini na linapakana na Tanzania.
Baada ya uhuru frelimo walilitupa na kubagua wa eneo hili.
Hawamo serikalini.
Hawamo jeshini
Mji wao hauna huduma zozote zile muhimu.
Ni eneo maskini zaidi msumbiji.
Jimbo hili sasa limepata Gas kwa wingi lakini frelimo haina sera ya angalau kuwadanganya kwa jimbo hilo kufaidika na rasilimali hio.
Kuna kitu kingine Kina Samora na Mondlane walipo anzisha mapambano ya kuwaondoa wareno basi harakati hizo zilianza Tanzania kupitia eneo hili lenye wamakonde na waislam wengi.
Jeshi la frelimo la ukombozi lilikua na hawa jamaa na tuliwafundisha sisi
Kusini ya msumbiji walikuwepo Ranamo.
Kwa ufupi baada ya uhuru Samora na kundi lao lilianza kuwatoa jeshini wamakonde hawa na eneo ziliko anza harakati ya uhuru likatupwa kwenye dimbwi la umasikini
Hivo hizi ni harakati za ndani kudai usawa na haki ya utajiri wa gas.
Huwezi kundoa Uislam wa asili jimbo hili na kuubandika Isis.
Ni kawaida kumbandika mpinzani wako jina baya ili uungwe mkono na dunia.
Na kwa sababu hizi msumbiji wanaungwa mkono na SA na hata sisi.
Lakini hii ni vita ya ndani. Ni vema wakapatanishwa na kufanya suluhu kwani wanaungwa mkono na watu wao.
Tusiwe na double standard mfano Juba Sudan Ilipo taka kujitenga na Khatoum kwasababu walionewa na wakiwatenga kwa sabaabu wao ni wakristo tukawaunga mkono . Na hatikuwaita magaidi hata johnn Garang alikuwepo UDSM
Lakini hawa wa msumbiji ni magaidi kwa sababu ni waislam hivo sawa kuonewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi Mkuu, Sasa naanza kuuona Mwanga at the end of the tunnel.Ni mambo ya ndani ya msumbiji.

Umemaliza mkuu, hongera sana!Ni mambo ya ndani ya msumbiji.

Ni mambo ya ndani ya msumbiji.

mafundisho ya uislam huyajui sio kueneza dini kwa lazima kasome upya utauelewa uislam.Uongo uliotukuka ,hapa unatetea dini..
Jibu Maswali haya:-
1.Kama wanachodai ni usawa, kwanini wanawakata vichwa wananchi wa eneo hilohilo ambalo wanalipigania.? (Yaani kwa mfano unapigania haki na usawa ya mkoa wa Dodoma, alafu unawaua wakazi wa Dodoma na kuwafukuza kwenye makazi yao[emoji2][emoji2]).
2.Kama wanachopigania ni haki na usawa ,kwanini kwenye video zao hawaongelei kupigania haki na usawa bali wanaongelea "WANAOAMINI na WASIOAMINI".??
Ndugu yangu, simaanishi waislamu ndio wanafanya haya, ILA MAREKANI NA NCHI ZA ULAYA ZINATUMIA DINI ILI KUIBA RASIMALI ZA MSUMBIJI, na wanapenda kuwatumia waislamu kwasababu ,mafundisho ya uislamu ni kueneza dini kwa lazima..
Nani kakuambia kuwa mafundisho ya uislam ni kueneza dini kwa lazima?Uongo uliotukuka ,hapa unatetea dini..
Jibu Maswali haya:-
1.Kama wanachodai ni usawa, kwanini wanawakata vichwa wananchi wa eneo hilohilo ambalo wanalipigania.? (Yaani kwa mfano unapigania haki na usawa ya mkoa wa Dodoma, alafu unawaua wakazi wa Dodoma na kuwafukuza kwenye makazi yao[emoji2][emoji2]).
2.Kama wanachopigania ni haki na usawa ,kwanini kwenye video zao hawaongelei kupigania haki na usawa bali wanaongelea "WANAOAMINI na WASIOAMINI".??
Ndugu yangu, simaanishi waislamu ndio wanafanya haya, ILA MAREKANI NA NCHI ZA ULAYA ZINATUMIA DINI ILI KUIBA RASIMALI ZA MSUMBIJI, na wanapenda kuwatumia waislamu kwasababu ,mafundisho ya uislamu ni kueneza dini kwa lazima..
Sasa mbona wanaua raia wasio na hatia wa hayo maeneo.Ni mambo ya ndani ya msumbiji.
Yanahusu wananchi wa Cal Delgado na Frelimo.
Jimbo hili lina waislam wengi wamakonde.
Ni eneo la kaskazini na linapakana na Tanzania.
Baada ya uhuru frelimo walilitupa na kubagua wa eneo hili.
Hawamo serikalini.
Hawamo jeshini
Mji wao hauna huduma zozote zile muhimu.
Ni eneo maskini zaidi msumbiji.
Jimbo hili sasa limepata Gas kwa wingi lakini frelimo haina sera ya angalau kuwadanganya kwa jimbo hilo kufaidika na rasilimali hio.
Kuna kitu kingine Kina Samora na Mondlane walipo anzisha mapambano ya kuwaondoa wareno basi harakati hizo zilianza Tanzania kupitia eneo hili lenye wamakonde na waislam wengi.
Jeshi la frelimo la ukombozi lilikua na hawa jamaa na tuliwafundisha sisi
Kusini ya msumbiji walikuwepo Ranamo.
Kwa ufupi baada ya uhuru Samora na kundi lao lilianza kuwatoa jeshini wamakonde hawa na eneo ziliko anza harakati ya uhuru likatupwa kwenye dimbwi la umasikini
Hivo hizi ni harakati za ndani kudai usawa na haki ya utajiri wa gas.
Huwezi kundoa Uislam wa asili jimbo hili na kuubandika Isis.
Ni kawaida kumbandika mpinzani wako jina baya ili uungwe mkono na dunia.
Na kwa sababu hizi msumbiji wanaungwa mkono na SA na hata sisi.
Lakini hii ni vita ya ndani. Ni vema wakapatanishwa na kufanya suluhu kwani wanaungwa mkono na watu wao.
Tusiwe na double standard mfano Juba Sudan Ilipo taka kujitenga na Khatoum kwasababu walionewa na wakiwatenga kwa sabaabu wao ni wakristo tukawaunga mkono . Na hatikuwaita magaidi hata johnn Garang alikuwepo UDSM
Lakini hawa wa msumbiji ni magaidi kwa sababu ni waislam hivo sawa kuonewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaaa ni either muongo au hajui alichoandika[emoji3]Uongo uliotukuka ,hapa unatetea dini..
Jibu Maswali haya:-
1.Kama wanachodai ni usawa, kwanini wanawakata vichwa wananchi wa eneo hilohilo ambalo wanalipigania.? (Yaani kwa mfano unapigania haki na usawa ya mkoa wa Dodoma, alafu unawaua wakazi wa Dodoma na kuwafukuza kwenye makazi yao[emoji2][emoji2]).
2.Kama wanachopigania ni haki na usawa ,kwanini kwenye video zao hawaongelei kupigania haki na usawa bali wanaongelea "WANAOAMINI na WASIOAMINI".??
Ndugu yangu, simaanishi waislamu ndio wanafanya haya, ILA MAREKANI NA NCHI ZA ULAYA ZINATUMIA DINI ILI KUIBA RASIMALI ZA MSUMBIJI, na wanapenda kuwatumia waislamu kwasababu ,mafundisho ya uislamu ni kueneza dini kwa lazima..
mafundisho ya uislam huyajui sio kueneza dini kwa lazima kasome upya utauelewa uislam.
Ndugu zangu angalieni tofauti ya Ukristo na Uislamu..Nani kakuambia kuwa mafundisho ya uislam ni kueneza dini kwa lazima?
Naamini wewe ni mtu mzima na mtu mzima si vizuri kumuita muongo na ni matumaini yangu kuwa unalifahamu hilo kwahiyo sitegemei kuwa umeamua kutudanganya bali nataraji ulete maandiko yanasapoti ukweli wako ili usiitwe muongo.
Ndugu zangu angalieni tofauti ya Ukristo na Uislamu..
UISLAMU..
AT-TAUBA 9:123 :- Enyi mlioamini Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu.
AT-TAUBA 9:73 :- Ewe Nabii pambana makafiri na wanaafiki, na wakazanie.
AT-TAUBA 9:5 :- Na miezi mitakatifu itakapopita, basi waueni washirikina popote mwakutapo.
AL-FURQAN 25:52 :- Basi usiwatii makafiri na pambana nao kwa Jihadi kubwa.
MUH’AMMAD 47: 35 :- Basi msiregee na kutaka suluhu, maana nyinyi ndio mtakao shinda.
MUH’AMMAD 47:4 :- Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu.
i.e (MAKAFIRI = WATU WASIO WAISLAMU)
.............
UKRISTO..
MATHAYO 5:39 :- Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu, lakini mtu akupigaye shavu la kuume,mgeuzie na la pili..
Mathayo 11:29 :- Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu..
WAEFESO 6:11-12 :- Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani, Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Wakorintho 11:4,19-20 :- Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye.
Duh! Mkuu unaongozwa na hisia badala ya akili.Ndugu zangu angalieni tofauti ya Ukristo na Uislamu..

......
Ukiangalia hayo maandiko utaona tofauti inayofanya Mabeberu waone ni vyema kuutumia uislamu kwenye kuiba rasilimali hapa duniani badala ya kutu ukristo..