Islam State (IS) wanataka nini Msumbiji?

Ni nani humu JF anafahamu kwanini Islam State wameivamia Msumbji atujuze. Je, Ni Islam State kweli wanaopigana au ni wananchi wa Msumbiji wenye madai yao kwa serikali yao lakini wakabandikwa jina la Islam State? Yaani Call the dog a bad name then hang it.

Shabaha yao ni Nini na nani na Nani?

Kabla majirani hatujajiingiza humo lazima kwanza tujiridhishe Ni mapigano yenye lengo gani, na je, Ni Islam State kweli?
Shida viongozi wa Africa huwa wanajari maslahi yao na kuwaona wadai haki maadau
 
Ni mambo ya ndani ya msumbiji.
Yanahusu wananchi wa Cal Delgado na Frelimo.
Jimbo hili lina waislam wengi wamakonde.
Ni eneo la kaskazini na linapakana na Tanzania.
Baada ya uhuru frelimo walilitupa na kubagua wa eneo hili.
Hawamo serikalini.
Hawamo jeshini
Mji wao hauna huduma zozote zile muhimu.
Ni eneo maskini zaidi msumbiji.
Jimbo hili sasa limepata Gas kwa wingi lakini frelimo haina sera ya angalau kuwadanganya kwa jimbo hilo kufaidika na rasilimali hio.
Kuna kitu kingine Kina Samora na Mondlane walipo anzisha mapambano ya kuwaondoa wareno basi harakati hizo zilianza Tanzania kupitia eneo hili lenye wamakonde na waislam wengi.
Jeshi la frelimo la ukombozi lilikua na hawa jamaa na tuliwafundisha sisi
Kusini ya msumbiji walikuwepo Ranamo.
Kwa ufupi baada ya uhuru Samora na kundi lao lilianza kuwatoa jeshini wamakonde hawa na eneo ziliko anza harakati ya uhuru likatupwa kwenye dimbwi la umasikini
Hivo hizi ni harakati za ndani kudai usawa na haki ya utajiri wa gas.
Huwezi kundoa Uislam wa asili jimbo hili na kuubandika Isis.
Ni kawaida kumbandika mpinzani wako jina baya ili uungwe mkono na dunia.
Na kwa sababu hizi msumbiji wanaungwa mkono na SA na hata sisi.
Lakini hii ni vita ya ndani. Ni vema wakapatanishwa na kufanya suluhu kwani wanaungwa mkono na watu wao.
Tusiwe na double standard mfano Juba Sudan Ilipo taka kujitenga na Khatoum kwasababu walionewa na wakiwatenga kwa sabaabu wao ni wakristo tukawaunga mkono . Na hatikuwaita magaidi hata johnn Garang alikuwepo UDSM
Lakini hawa wa msumbiji ni magaidi kwa sababu ni waislam hivo sawa kuonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nani humu JF anafahamu kwanini Islam State wameivamia Msumbji atujuze. Je, Ni Islam State kweli wanaopigana au ni wananchi wa Msumbiji wenye madai yao kwa serikali yao lakini wakabandikwa jina la Islam State? Yaani Call the dog a bad name then hang it.

Shabaha yao ni Nini na nani na Nani?

Kabla majirani hatujajiingiza humo lazima kwanza tujiridhishe Ni mapigano yenye lengo gani, na je, Ni Islam State kweli?
Shabaha yao ukanda wa East Africa kuelekea kusini. Msumbiji eneo la mji wa Mocimboa da Praia kuja mpaka Mtwara limekuwa area of their influence kwasababu kwanza ya dini ya kiislam maeneo yale so wanauwakika wa kurecruit vijana wenye misimamo legelege na wanaosumbuka kwakukosa ajira.
Pili uwepo wa mafuta na gas ukanda ule wa pwani; uwezo wa kusafirisha maligafi na ulahisi wa kupokea msaada hasa silaha
 
Ni mambo ya ndani ya msumbiji.
Yanahusu wananchi wa Cal Delgado na Frelimo.
Jimbo hili lina waislam wengi wamakonde.
Ni eneo la kaskazini na linapakana na Tanzania.
Baada ya uhuru frelimo walilitupa na kubagua wa eneo hili.
Hawamo serikalini.
Hawamo jeshini
Mji wao hauna huduma zozote zile muhimu.
Ni eneo maskini zaidi msumbiji.
Jimbo hili sasa limepata Gas kwa wingi lakini frelimo haina sera ya angalau kuwadanganya kwa jimbo hilo kufaidika na rasilimali hio.
Kuna kitu kingine Kina Samora na Mondlane walipo anzisha mapambano ya kuwaondoa wareno basi harakati hizo zilianza Tanzania kupitia eneo hili lenye wamakonde na waislam wengi.
Jeshi la frelimo la ukombozi lilikua na hawa jamaa na tuliwafundisha sisi
Kusini ya msumbiji walikuwepo Ranamo.
Kwa ufupi baada ya uhuru Samora na kundi lao lilianza kuwatoa jeshini wamakonde hawa na eneo ziliko anza harakati ya uhuru likatupwa kwenye dimbwi la umasikini
Hivo hizi ni harakati za ndani kudai usawa na haki ya utajiri wa gas.
Huwezi kundoa Uislam wa asili jimbo hili na kuubandika Isis.
Ni kawaida kumbandika mpinzani wako jina baya ili uungwe mkono na dunia.
Na kwa sababu hizi msumbiji wanaungwa mkono na SA na hata sisi.
Lakini hii ni vita ya ndani. Ni vema wakapatanishwa na kufanya suluhu kwani wanaungwa mkono na watu wao.
Tusiwe na double standard mfano Juba Sudan Ilipo taka kujitenga na Khatoum kwasababu walionewa na wakiwatenga kwa sabaabu wao ni wakristo tukawaunga mkono . Na hatikuwaita magaidi hata johnn Garang alikuwepo UDSM
Lakini hawa wa msumbiji ni magaidi kwa sababu ni waislam hivo sawa kuonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana.
 
Safi Mkuu, Sasa naanza kuuona Mwanga at the end of the tunnel.

Ndio maana nikasema hii Africa Kama tungejuwa Kama viongozi na vyama vya vya ukombozi vingekuja kuyafanya yaleyale waliyoyafanya wakoloni kwa waafrika huenda wanachi wasingeunga mkono ukombozi. Viongozi wa Africa wanaua waafrika wenzao na kuwafanyia dhuruma kuliko hata mkoloni alivyofanya.
 
Ni mambo ya ndani ya msumbiji.
Yanahusu wananchi wa Cal Delgado na Frelimo.
Jimbo hili lina waislam wengi wamakonde.
Ni eneo la kaskazini na linapakana na Tanzania.
Baada ya uhuru frelimo walilitupa na kubagua wa eneo hili.
Hawamo serikalini.
Hawamo jeshini
Mji wao hauna huduma zozote zile muhimu.
Ni eneo maskini zaidi msumbiji.
Jimbo hili sasa limepata Gas kwa wingi lakini frelimo haina sera ya angalau kuwadanganya kwa jimbo hilo kufaidika na rasilimali hio.
Kuna kitu kingine Kina Samora na Mondlane walipo anzisha mapambano ya kuwaondoa wareno basi harakati hizo zilianza Tanzania kupitia eneo hili lenye wamakonde na waislam wengi.
Jeshi la frelimo la ukombozi lilikua na hawa jamaa na tuliwafundisha sisi
Kusini ya msumbiji walikuwepo Ranamo.
Kwa ufupi baada ya uhuru Samora na kundi lao lilianza kuwatoa jeshini wamakonde hawa na eneo ziliko anza harakati ya uhuru likatupwa kwenye dimbwi la umasikini
Hivo hizi ni harakati za ndani kudai usawa na haki ya utajiri wa gas.
Huwezi kundoa Uislam wa asili jimbo hili na kuubandika Isis.
Ni kawaida kumbandika mpinzani wako jina baya ili uungwe mkono na dunia.
Na kwa sababu hizi msumbiji wanaungwa mkono na SA na hata sisi.
Lakini hii ni vita ya ndani. Ni vema wakapatanishwa na kufanya suluhu kwani wanaungwa mkono na watu wao.
Tusiwe na double standard mfano Juba Sudan Ilipo taka kujitenga na Khatoum kwasababu walionewa na wakiwatenga kwa sabaabu wao ni wakristo tukawaunga mkono . Na hatikuwaita magaidi hata johnn Garang alikuwepo UDSM
Lakini hawa wa msumbiji ni magaidi kwa sababu ni waislam hivo sawa kuonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza mkuu, hongera sana!
 
Uongo uliotukuka ,hapa unatetea dini..

Jibu Maswali haya:-

1.Kama wanachodai ni usawa, kwanini wanawakata vichwa wananchi wa eneo hilohilo ambalo wanalipigania.? (Yaani kwa mfano unapigania haki na usawa ya mkoa wa Dodoma, alafu unawaua wakazi wa Dodoma na kuwafukuza kwenye makazi yao[emoji2][emoji2]).

2.Kama wanachopigania ni haki na usawa ,kwanini kwenye video zao hawaongelei kupigania haki na usawa bali wanaongelea "WANAOAMINI na WASIOAMINI".??

Ndugu yangu, simaanishi waislamu ndio wanafanya haya, ILA MAREKANI NA NCHI ZA ULAYA ZINATUMIA DINI ILI KUIBA RASIMALI ZA MSUMBIJI, na wanapenda kuwatumia waislamu kwasababu ,mafundisho ya uislamu ni kueneza dini kwa lazima..

mafundisho ya uislam huyajui sio kueneza dini kwa lazima kasome upya utauelewa uislam.
 
Nani kakuambia kuwa mafundisho ya uislam ni kueneza dini kwa lazima?

Naamini wewe ni mtu mzima na mtu mzima si vizuri kumuita muongo na ni matumaini yangu kuwa unalifahamu hilo kwahiyo sitegemei kuwa umeamua kutudanganya bali nataraji ulete maandiko yanasapoti ukweli wako ili usiitwe muongo.
 
Ninacho kijua mimi ni hiki; shetani ana KIU sana ya kunywa damu, shetani anapenda KUUA, kwa ufupi shetani ana aleji na afya na uzima wa watu so anapenda kuua ua atakavyo, akipata chance, anaua, ndio kiu yake so hao wanao ua huko Msumbiji, (kama ni Islamic state or kundi linguine ) ni watumishi wa shetani na wapo kazini
 
Ni mambo ya ndani ya msumbiji.
Yanahusu wananchi wa Cal Delgado na Frelimo.
Jimbo hili lina waislam wengi wamakonde.
Ni eneo la kaskazini na linapakana na Tanzania.
Baada ya uhuru frelimo walilitupa na kubagua wa eneo hili.
Hawamo serikalini.
Hawamo jeshini
Mji wao hauna huduma zozote zile muhimu.
Ni eneo maskini zaidi msumbiji.
Jimbo hili sasa limepata Gas kwa wingi lakini frelimo haina sera ya angalau kuwadanganya kwa jimbo hilo kufaidika na rasilimali hio.
Kuna kitu kingine Kina Samora na Mondlane walipo anzisha mapambano ya kuwaondoa wareno basi harakati hizo zilianza Tanzania kupitia eneo hili lenye wamakonde na waislam wengi.
Jeshi la frelimo la ukombozi lilikua na hawa jamaa na tuliwafundisha sisi
Kusini ya msumbiji walikuwepo Ranamo.
Kwa ufupi baada ya uhuru Samora na kundi lao lilianza kuwatoa jeshini wamakonde hawa na eneo ziliko anza harakati ya uhuru likatupwa kwenye dimbwi la umasikini
Hivo hizi ni harakati za ndani kudai usawa na haki ya utajiri wa gas.
Huwezi kundoa Uislam wa asili jimbo hili na kuubandika Isis.
Ni kawaida kumbandika mpinzani wako jina baya ili uungwe mkono na dunia.
Na kwa sababu hizi msumbiji wanaungwa mkono na SA na hata sisi.
Lakini hii ni vita ya ndani. Ni vema wakapatanishwa na kufanya suluhu kwani wanaungwa mkono na watu wao.
Tusiwe na double standard mfano Juba Sudan Ilipo taka kujitenga na Khatoum kwasababu walionewa na wakiwatenga kwa sabaabu wao ni wakristo tukawaunga mkono . Na hatikuwaita magaidi hata johnn Garang alikuwepo UDSM
Lakini hawa wa msumbiji ni magaidi kwa sababu ni waislam hivo sawa kuonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona wanaua raia wasio na hatia wa hayo maeneo.

Mpaka Sasa raia wasio na hatia 1000 wameshauawa, Sasa wanapigania Uhuru wa raia gani ?
 
Uongo uliotukuka ,hapa unatetea dini..

Jibu Maswali haya:-

1.Kama wanachodai ni usawa, kwanini wanawakata vichwa wananchi wa eneo hilohilo ambalo wanalipigania.? (Yaani kwa mfano unapigania haki na usawa ya mkoa wa Dodoma, alafu unawaua wakazi wa Dodoma na kuwafukuza kwenye makazi yao[emoji2][emoji2]).

2.Kama wanachopigania ni haki na usawa ,kwanini kwenye video zao hawaongelei kupigania haki na usawa bali wanaongelea "WANAOAMINI na WASIOAMINI".??

Ndugu yangu, simaanishi waislamu ndio wanafanya haya, ILA MAREKANI NA NCHI ZA ULAYA ZINATUMIA DINI ILI KUIBA RASIMALI ZA MSUMBIJI, na wanapenda kuwatumia waislamu kwasababu ,mafundisho ya uislamu ni kueneza dini kwa lazima..
Huyo jamaaa ni either muongo au hajui alichoandika[emoji3]
 
mafundisho ya uislam huyajui sio kueneza dini kwa lazima kasome upya utauelewa uislam.
Nani kakuambia kuwa mafundisho ya uislam ni kueneza dini kwa lazima?

Naamini wewe ni mtu mzima na mtu mzima si vizuri kumuita muongo na ni matumaini yangu kuwa unalifahamu hilo kwahiyo sitegemei kuwa umeamua kutudanganya bali nataraji ulete maandiko yanasapoti ukweli wako ili usiitwe muongo.
Ndugu zangu angalieni tofauti ya Ukristo na Uislamu..

UISLAMU..
AT-TAUBA 9:123 :- Enyi mlioamini Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu.

AT-TAUBA 9:73 :- Ewe Nabii pambana makafiri na wanaafiki, na wakazanie.

AT-TAUBA 9:5 :- Na miezi mitakatifu itakapopita, basi waueni washirikina popote mwakutapo.

AL-FURQAN 25:52 :- Basi usiwatii makafiri na pambana nao kwa Jihadi kubwa.

MUH’AMMAD 47: 35 :- Basi msiregee na kutaka suluhu, maana nyinyi ndio mtakao shinda.

MUH’AMMAD 47:4 :- Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu.
i.e (MAKAFIRI = WATU WASIO WAISLAMU)

.............

UKRISTO..
MATHAYO 5:39 :- Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu, lakini mtu akupigaye shavu la kuume,mgeuzie na la pili..

Mathayo 11:29 :- Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu..

WAEFESO 6:11-12 :- Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani, Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Wakorintho 11:4,19-20 :- Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye.

......

Ukiangalia hayo maandiko utaona tofauti inayofanya Mabeberu waone ni vyema kuutumia uislamu kwenye kuiba rasilimali hapa duniani badala ya kutu ukristo..
 
unamjua kafiri wewe? na hizo aya zimeshuka kipindi cha vita Mtume anamrishwa apigane baada ya makafiri kuvuka mipaka.. sasa tunaamani hakuna kafiri anaesumbua na wakristo sio makafiri ni watu wana dini yao na ni wastaarabu.. uislam utakua na tatizo pale tutakapo vamiwa na kuharibiwa dini au kufosiwa vitu amabvyo haviko katika dini hapo shingo itaenda kweli

ila kwa maslahi haya ya kidunia sijui gesi sijui mafuta uislam hauko ivyo hao ni wenye tamaa na mali za kidunia
Ndugu zangu angalieni tofauti ya Ukristo na Uislamu..

UISLAMU..
AT-TAUBA 9:123 :- Enyi mlioamini Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu.

AT-TAUBA 9:73 :- Ewe Nabii pambana makafiri na wanaafiki, na wakazanie.

AT-TAUBA 9:5 :- Na miezi mitakatifu itakapopita, basi waueni washirikina popote mwakutapo.

AL-FURQAN 25:52 :- Basi usiwatii makafiri na pambana nao kwa Jihadi kubwa.

MUH’AMMAD 47: 35 :- Basi msiregee na kutaka suluhu, maana nyinyi ndio mtakao shinda.

MUH’AMMAD 47:4 :- Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu.
i.e (MAKAFIRI = WATU WASIO WAISLAMU)

.............

UKRISTO..
MATHAYO 5:39 :- Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu, lakini mtu akupigaye shavu la kuume,mgeuzie na la pili..

Mathayo 11:29 :- Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu..

WAEFESO 6:11-12 :- Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani, Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Wakorintho 11:4,19-20 :- Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye.
 
Ndugu zangu angalieni tofauti ya Ukristo na Uislamu..

UISLAMU..
AT-TAUBA 9:123 :- Enyi mlioamini Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu.

AT-TAUBA 9:73 :- Ewe Nabii pambana makafiri na wanaafiki, na wakazanie.

AT-TAUBA 9:5 :- Na miezi mitakatifu itakapopita, basi waueni washirikina popote mwakutapo.

AL-FURQAN 25:52 :- Basi usiwatii makafiri na pambana nao kwa Jihadi kubwa.

MUH’AMMAD 47: 35 :- Basi msiregee na kutaka suluhu, maana nyinyi ndio mtakao shinda.

MUH’AMMAD 47:4 :- Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu.
i.e (MAKAFIRI = WATU WASIO WAISLAMU)

.............

UKRISTO..
MATHAYO 5:39 :- Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu, lakini mtu akupigaye shavu la kuume,mgeuzie na la pili..

Mathayo 11:29 :- Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu..

WAEFESO 6:11-12 :- Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani, Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Wakorintho 11:4,19-20 :- Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye.

......

Ukiangalia hayo maandiko utaona tofauti inayofanya Mabeberu waone ni vyema kuutumia uislamu kwenye kuiba rasilimali hapa duniani badala ya kutu ukristo..
Duh! Mkuu unaongozwa na hisia badala ya akili.

Ili kumuelewa mzungumzaji hutakiwi kuyakata maneno na ukayachukua yale tu unayoona yanafiti kwenye kuitetea hoja yako. Soma mwanzo mpaka mwisho kisha soma na sababu za kuteremshwa hizo aya kisha ndio uje kusema hayo uyasemayo.

Kiufupi wewe sio muislam na kwa vile sio muislam, kuyachukulia maandiko ya kiislam juujuu bila ya kuyaelewa ni kawaida, nachoweza kukushauri acha kuongozwa na propaganda, punguza mihemko na fungua akili (kuwa na akili huru) ili uweze kuyaona mambo kwa uhalisia wake.

TL alisema; "SIWEZI KUINGILIA FARAGHA ZA WATU" alipohojiwa kuhusu ushoga lakini watu wanasema anasapoti ushoga.
 
Qur'an 2:56
Hakuna kulazimishwa mtu kuingia katika dini. Uongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anayemkataa shetani na akamwamini Mwenyezi Mungu, bila shaka yeye ameshika kishiko chenye nguvu kisichovunjika. Na Mwenyezi Mungu ni mwenye kusikia mwenye kujua.
 
Kwanini IS wateke maeneo ambayo Kuna gesi asilia na mataifa mengi km vile China America, Russia eamewekeza hapo?
 
Back
Top Bottom