Ismael Sawadogo ni mnyama!

Umri wa wachezaji kama wa bongo movie.
 
Shida moja ipo kwa wengi,mnaendekeza dharau na ujuaji mwingi,ukiangalia 80% ya wachezaji wanaofanya vizuri walisajiliwa kawaida bila mbwembwe wamefanya vizuri,tena wengine kwa mkopo hebu tuwe tunatoa nafasi kabla ya kusema hapa hakuna mchezaji.
Bado unasimamia hii akili yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…