Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unasimamia hii akili yako?Shida moja ipo kwa wengi,mnaendekeza dharau na ujuaji mwingi,ukiangalia 80% ya wachezaji wanaofanya vizuri walisajiliwa kawaida bila mbwembwe wamefanya vizuri,tena wengine kwa mkopo hebu tuwe tunatoa nafasi kabla ya kusema hapa hakuna mchezaji.