ISOME HII..... UtakuWA UMENISAIDIA MNOOO?

ISOME HII..... UtakuWA UMENISAIDIA MNOOO?

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Ni chuo gani hapa tanzania cha private cha ualimu level ya diploma ,nataka nimsaidie kijana yatima akasome ? Nisaidie nimsaidie plzz cha ada ya kawaida
 
Watakusaidia wanaojua mkuu,ngoja niulizie wanaojua
 
Unataka kiwe maeneo ya mkoa gani?kuwa muwazi usije ukatajiwa chuo kiko Kagera ikawa soo ukasema hutaki kusikia bure,kuwa muwazi
 
labda na yeye anataka kutoa donation ya pocket money!kwa mama lwakatare!st.mary's
 
Mi hata ningejua nisingekupa hakika yaani
unataka yatima aingie kwenye list ya wanaokopwa mishara yao na serikali kwanini usimpeleke veta
akitoka awe naujuzi wake binafsi badala ya kumalisa shule na kusubiri kufa huku anaidai serikali
 
Dah,we jamaa
sijui hua unafikiria nini ukiwa unaandika,you are so funny sometimes but annoying most of the time
 
Ni chuo gani hapa tanzania cha private cha ualimu level ya diploma ,nataka nimsaidie kijana yatima akasome ? Nisaidie nimsaidie plzz cha ada ya kawaida
<br />
<br />
DARU,ni chuo kizuri cha Ualimu cha Diploma,kipo DODOMA MJINI karibu na CBE.Pia hutoa ufadhili wa 100% bila kujali dini,rangi wala kabila.Hata akitaka ajira kipindi hiki wakati akisoma atapatiwa ili kujikimu mambo madogo madogo.
 
kuna chuo cha ualim cha ROMAN CATHORIC kipo mafinga-iringa ni kizuri na cheap sana in team of cost...jaribu hapo mkuu maana mi kuna dogo wangu amesoma hapo na yupo fit na kishapata ajira tayar.
 
Kuna chuo cha anglican hapo Dodoma,kinaitwa Mtumba teachers college..ada yao si mbaya.
 
Back
Top Bottom