Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Tujadili nani yupo juu kijeshi kati ya israel na iran,wachambuz wote mnakaribishwa mada ipo mezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda kwenye list ya powerfull military in the world Israel yupo juu kwenye Middle East japo kwa idadi Egypt ndio ina Ndege Nyingi 1,107 Tanzania tunazo 34 za Kirusi na Kichina Muhahaha kama Iran vile...
Israel ina Airfigher Jet 684 na Iran inazo 471 na kwa kuwa zenye Ubora Israel ipo Juu sana kwani pamoja ya kuwa ni za kununua lakini wameshiriki katika Uundwajii wa hizo Ndege na pia wamezimodify kitaalmu zaidi kwa kuziwekea vifaa vya kisasa zaidi ya original yake.. kama rada kifaa cha kuhepesha ndege kukwepa Makombora n.k Ndege nyingi za Iran ni za Kitambo za zingine zimetengenezwa na kukarabatiwa kimagumashi kwa sababu ya vikwazo vya uchumi ila baada ya vikwazo wana pesa nyingi wanaweza ongeza hata maradufu ya walizokuwa nazo. so upande wa Idadi na Ubora Israel ipo Juu..
Israel kwenye Electronic yupo juu anavyombo vya kuzimisha kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya radio n.k even kuzima computer mitambo hiyo huwa inakaa kwenye Ndege zipitazo juu sana so akitaka kulipua wanapitisha wanazima kisha wanapitisha Ndege za mashambulizi ndio maana katika plan zao zote hakuna waliyo fail...target...Bado Kwenda Iran tu Hata Marekani anaposema atailinda Iran kwa Makombora ya Israel ni about timing tu kwani Mmarekani anampeleleza Israel na Muisrael naye anampeleleza Mmarekani kuna timing kali sana kwani Marekani ameshategua karibu mara Mbili mpango wa Iran kupigwa mwishowe akasema wazi kuwa Atazitungua Ndege za Israel zikiwa zinaelekea Iran... ili kuondoa mtafaruku Israel Alitulia Muiran akapumua na kujitutumua...
Israel ana Nuclear war head za kutosha Iran Hana hapo ndio Mkubwa huonekana
Swali unauliza ushindani baina ya wanahewa (airforce), halafu tena unachanganya na jeshi la ardhini (army). Sasa hatujui haswa ni kitengo kipi unachofatilia.
Iran wapo na idadi ya jeshi na nguvu kazi na vifaa vingi kushinda Israel, ila na wao Israel wana vifaa bora zaidi ya Iran. Kilichowaponza Iran ni ile "arms embargo". Lakini omba sana hizo nchi mbili zisiwahi pigana kwa vyovyote vile maana kwa uhakika haitaisha vizuri na dunia haitabaki ilivyo.
Mashariki ya kati itageuzwa kuwa ulimwengu wa mazombi bila matumaini, yaani hapatakua na mshindi, wote na nchi za Kiarabu zitaangamia, kiaina wengine tutaburuzwa humo maana Marekani na Urusi watajikuta wanazirusha na wao pia.
Mkuu ki ukweli kibongo bongo ukisema army mtu huwa
ana create imagery ya jeshi kama jeshi bila ya kujali
kuwa hapo unakuwa ume maanisha "jeshi la ardhini " , ila sema
ndo mambo ya lugha ya malkia, tuvumiliane tu mkuu.
mkuu umenipa udambwi dambwi wa duru za kimataifqa mpaka nimefurahi kabisa.
![]()
Ukienda kwenye list ya powerfull military in the world Israel yupo juu kwenye Middle East japo kwa idadi Egypt ndio ina Ndege Nyingi 1,107 Tanzania tunazo 34 za Kirusi na Kichina Muhahaha kama Iran vile...
Israel ina Airfigher Jet 684 na Iran inazo 471 na kwa kuwa zenye Ubora Israel ipo Juu sana kwani pamoja ya kuwa ni za kununua lakini wameshiriki katika Uundwajii wa hizo Ndege na pia wamezimodify kitaalmu zaidi kwa kuziwekea vifaa vya kisasa zaidi ya original yake.. kama rada kifaa cha kuhepesha ndege kukwepa Makombora n.k Ndege nyingi za Iran ni za Kitambo za zingine zimetengenezwa na kukarabatiwa kimagumashi kwa sababu ya vikwazo vya uchumi ila baada ya vikwazo wana pesa nyingi wanaweza ongeza hata maradufu ya walizokuwa nazo. so upande wa Idadi na Ubora Israel ipo Juu..
Israel kwenye Electronic yupo juu anavyombo vya kuzimisha kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya radio n.k even kuzima computer mitambo hiyo huwa inakaa kwenye Ndege zipitazo juu sana so akitaka kulipua wanapitisha wanazima kisha wanapitisha Ndege za mashambulizi ndio maana katika plan zao zote hakuna waliyo fail...target...Bado Kwenda Iran tu Hata Marekani anaposema atailinda Iran kwa Makombora ya Israel ni about timing tu kwani Mmarekani anampeleleza Israel na Muisrael naye anampeleleza Mmarekani kuna timing kali sana kwani Marekani ameshategua karibu mara Mbili mpango wa Iran kupigwa mwishowe akasema wazi kuwa Atazitungua Ndege za Israel zikiwa zinaelekea Iran... ili kuondoa mtafaruku Israel Alitulia Muiran akapumua na kujitutumua...
Israel ana Nuclear war head za kutosha Iran Hana hapo ndio Mkubwa huonekana
Hehehe! ndio maanake nilimwelewa na kuendelea kumjibu zaidi.
By the numbers
Military data
Iran Israel
Total population78.9 million 7.5 million
Males 16-49 23 million 1.8 million
Active forces 545,000 187,000
Reserve duty 650,000 565,000
Defence budget$9.2 billion $13.5 billion

Natumia simu nimeshindwa kupanga vizuri..Mh!umenichanganya kdg.
KATIKA ENEO LILE Nchi yenye nguvu kubwa za kijeshi na yenye uwezo wa kupiga kwa Target ni SAUDI ARABIA, IKIFUATIWA NA TURKEY, BAADA YA HAPO NI ISRAEL. LAKINI VITA HAINA HIVYO LOLOTE LAWEZA TOKEA.