Israel akili nyingi sana. Walianza kwanza na kuwachapa majirani. Walianza kupiga mbwa kisha wakaenda kumpiga mwenye Mbwa.

Israel akili nyingi sana. Walianza kwanza na kuwachapa majirani. Walianza kupiga mbwa kisha wakaenda kumpiga mwenye Mbwa.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nlisema siku ile kuwa kile kimya cha Israel ni kibaya kuliko kujibu kwake kwa haraka.nikamwambia mtu mmoja humu Ritz na ile ID yake nyingine na madogo Adiosamigo na Webabu kuwa waombee Israel ajibu kwa haraka. Itakuwa afadhali.

Nliwaambia kukaa kimya kwa Israel baada ya kuchokozwa ni kubaya kuliko kama wangerudishia siku zile zile. Akasema wame dilu/wamegwaya. Saaa Iran hali ni mbaya. Ndege 100 zimeenda kwa umakini wa hali ya juu zimeichapa. Na kuwaangalia jamaa wakiwa wamelala na wake zao nchini. Tena walienda mademu kuwachapa maeneo muhimu.

Israel haikutaka kuua raia.ilienda kuchapa maeneo muhimu inamaana hata Khamein wangemtaka siku ile wangemchapa. Kisha wakarudi wale mademu wakaenda kukaa na familia zao wakinywa maziwa na kulamba asali.

Wanasema wanasubiri majibu toka Iran. Ila wamemwambia next time wasionekane wabaya.....watafanya kitu kibaya sana. Khameini amejificha kwenye mashimo huko mbali.
 
Wao wanasema hii Vita ni ya Allah wakirusha hata kakombora utasikia ni Allah akbar sasa huyu Mungu wa kiarabu muumba wa vyote hadi kaumba wayahudi na wa marekani mbona kashindwa na kakimbia. Ila uislamu bana.
 
Irani imewekewa mtego..niile kauli ukinijibu umeniogopa ukikaa kimya mi bwana wako..sa kobasi mchague
 
Back
Top Bottom