Israel Anasema Al Houthi Wanatakaa kuwavamia Kwa Ground War

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
11,253
Reaction score
15,070
Israel anatetemeka huko anasema Al Houthi wana plan ya kuwavamia kwa vita vya chini.

Wanaogopa kipigo kama cha 7th October, wanasema Al Houthi ni hatari sana wanatishia uwepo wa taifa la Israel.

Sa swali vipi Israel anawaogopa wa Al Houthi na wako mbali nae, hawana mpaka nae lazima kisha ona moto wao si mchezo

Ana dai Iran anawasupport na wanatengeneza sa drones na Missiles wenyewe.

Poleni sana wafuasi wa taifa teule tuliwambia Yemen si ya kuchezewa hajawahi kushindwa vita.

View: https://youtu.be/K26_rnmvb6s?si=aj5KEPI046QXDIBM

View: https://youtu.be/2qlJ5r8rIiE?si=bkckgqsC1zsWernb
 
UHARO huu umeutoa wewe mwenyewe na unausambaza wewe mwenyewe na unataka watu na akili zao wauamini UHARO wako huu!!! Kwa taarifa yako tu Wafuga Midevu na Majini wenzako ndiyo wataamini ujinga wako huu!!!

Hata siku moja Yemen hawawezi kufanya hivyo kwa sababu hawapakani Israel na wala hawana uwezo huo!!!!
 
Kenge nimekuekea habari sio maneno yangu na kwa dalili kuna channel ya kiarabu inaitwa SKY News, hao ni pro western na ya kihindi zote zimeongea vile, ni Israel ndio analalamika kisha pata wehu kipigo anachopokea kutoka Yemen hebu ona hi usiku wa kuamkua leo

View: https://youtube.com/shorts/ki6qUnClMSE?si=DEBk9fR7ELfsqo5E

Afu inafaa usome kabla ya kujibu hata mimi nimeuliza huko swali vipi Israel adai vile na hana mpaka nao? Lakini ulivyo kenge huo unarukia kujibu bila kusoma na bila kutazama nilicho weka sio maneno yangu ni TV channel hizo.

Kenge unadhani wote tunajiletea habari hapa bila dalili, kama hio habari ningeona ni fake ningesema ni fake hio ni habari ya kweli kabisa

Haya soma gazeti la Israel wanasema nini kama huamini nilicho leta mimi

Mimi huwa sileti kanga kama wewe
 
Israel ni kidume huko Mashariki ya Kati hadi uajemi waarabu wote wametiwa jambajamba leo hii unasifia Houth ambao wamegaragazwa na kupoteza mawaziri 12 karibu bunge zima walibaki mawaziri 4 tu hapo Sasa wewe unawasifia nini?

Kabla ya hawa ulikuwa unawaramba Matako Hezbollah lakini baada ya kusambaratishwa na Operation Beeper na kiongozi wao Gaidi Hassan Nasrallah kuuwawa Sasa hivi wamenywea wanaogopa hata kurusha jiwe Israel maana wanajua Wataka hokipata endapo watafanya ujinga huo!!!

Hata siku moja Houth hawawezi lolote na kila siku watakuwa wanapigwa maana Yemen ishakuwa kichwa cha Mwendawazimu kila mtu anajipigia tu anavyotaka bila upinzani wowote harafu wewe unatuletea video vya AI harafu unakuja hapa kutuzuga nazo maana video zenyewe zinaongea lugha ya majini ambayo watu wengi hawajui isipokuwa baadhi ya wafuga Midevu na Majini tu!!!
 
Wacha story nyingi umesoma gazeti la Israel au ndio zako mwenye majina 30+ kule kwenye dini huwa unaruka ruka na huku una kwepa.

Hezbullah bado ni moto juzi juzi hapo Israel alilalamika eti Radhwan force wameisha sogea south au wewe umelala bado.

Iran kawambia Hezbullah akikiamsha msije mlaumu nyie endeleni kujisifia mmemshinda Hezbullah wakati nyie ndiye mliye omba ceasefire sio Hezbullah.

Al Houthi mmeuwa mawiziri wawili tu hakuna lolote.

Nakuliza tena umesoma gazeti la Israel au unajifanya huoni 😄🤣
 
Angalia jinsi gani Gaidi Hassan Nasrallah saa moja kabla hajaangamizwa na Majeshi hodari ya Israel 🇮🇱!!!
 
Attachments

  • IMG_4405.jpeg
    IMG_4405.jpeg
    167.1 KB · Views: 36
  • telegram_video.mp4
    4 MB
Hahaha hio kabla ya mwezi mzima hapo alikuwa kwenye meeting kabla ya meeting hio ya mwisho tena ni Al Mayadeen tv ndio wameitoa hio picture wala si Israel punguza uwongo.
Acha ubishi hiyo Picha hiyo ni saa moja kabla hajapelekewa moto uliomwezesha kwenda kupokea wale Mabikira 72 !!!
 
Israel anatetemeka huko anasema Al Houthi wana plan ya kuwavamia kwa vita vya chini.

Wanaogopa kipigo kama cha 7th October, wanasema Al Houthi ni hatari sana wanatishia uwepo wa taifa la Israel.

Sa swali vipi Israel anawaogopa wa Al Houthi na wako mbali nae, hawana mpaka nae lazima kisha ona moto wao si mchezo

Ana dai Iran anawasupport na wanatengeneza sa drones na Missiles wenyewe.

Poleni sana wafuasi wa taifa teule tuliwambia Yemen si ya kuchezewa hajawahi kushindwa vita.

View: https://youtu.be/K26_rnmvb6s?si=aj5KEPI046QXDIBM

View: https://youtu.be/2qlJ5r8rIiE?si=bkckgqsC1zsWernb

Netanyahu akiwabamiza mnamkimbia UN, saa izi mnajisikia raha wahouthi kuwa vamia israel.
 
Acha ubishi hiyo Picha hiyo ni saa moja kabla hajapelekewa moto uliomwezesha kwenda kupokea wale Mabikira 72 !!!
Nikikuambia wewe ni kenge unabisha hio picture ni picture yake ya mwisho katika meeting zake za mwisho kabla ya meeting ile alio uliwa wale wote walio kuwa kule chini waliuliwa hakuna aliye toka kwa hio mpiga picture alipiga picture afu akatoka. We hujui kabla ya meeting kuanza Israel alikuwa kisha pata habari walipo kaa tu ndege zikanza kurusha maboom sa chukulia huyo mpiga picture hata kama alitoka na kurusha hio picture basi alikuwa ana speed kali kuliko hizo ndege za Israel atoke kwenye underground ndio Israel warushe mabomu 😄 🤣

Nikikuambia wewe ni kenge unabisha hivi Nasurlah amwachie mpige picture aingie apige picture afu atoke basi atakuwa fala sababu kutokana na security haiwezekani wa mwachie mpiga picture atoke nje kabla yao sababu anaweza kuwa spy.

Haya chukulia alitoka nje ya meeting unadhani alisalimika? Yeye na camera yake we hujui Israel ile area yote alirusha mabomu.

Haya tazama Hezbullah wanasema nini kuhusu hio picture

View: https://youtu.be/poJO36McyKI?si=FzemQVjOGyuApoEl
 
Netanyahu akiwabamiza mnamkimbia UN, saa izi mnajisikia raha wahouthi kuwa vamia israel.
Israel vita kashindwa ndio sababu Trump anabembeleza warabu na nchi za kislam wapel3ke majeshi Gaza ili asalimike.

Target ya Israel ni civilian na majumba lakini Hamas anawakimbia, akibahatika sana kuwauwa viongozi wa Hamas ni sababu ya kuhonga mamilion ya pesa ili ajisifie.
 
Hizo siasa za hayo maeneo na ‘intelligence’ that goes behind it sio rahisi kama mijadala ya JF.

For the most part uwa mnajidili ujinga mtupu.

You don’t read, oh my god what a shallow society.
 
Nikikuambia wewe ni kenge unabisha hio picture ni picture yake ya mwisho katika meeting zake za mwisho kabla ya meeting ile alio uliwa wale wote walio kuwa kule chini waliuliwa hakuna aliye toka kwa hio mpiga picture alipiga picture afu akatoka. We hujui kabla ya meeting kuanza Israel alikuwa kisha pata habari walipo kaa tu ndege zikanza kurusha maboom sa chukulia huyo mpiga picture hata kama alitoka na kurusha hio picture basi alikuwa ana speed kali kuliko hizo ndege za Israel atoke kwenye underground ndio Israel warushe mabomu 😄 🤣

Nikikuambia wewe ni kenge unabisha hivi Nasurlah amwachie mpige picture aingie apige picture afu atoke basi atakuwa fala sababu kutokana na security haiwezekani wa mwachie mpiga picture atoke nje kabla yao sababu anaweza kuwa spy.

Haya chukulia alitoka nje ya meeting unadhani alisalimika? Yeye na camera yake we hujui Israel ile area yote alirusha mabomu.

Haya tazama Hezbullah wanasema nini kuhusu hio picture

View: https://youtu.be/poJO36McyKI?si=FzemQVjOGyuApoEl

Mta-Edit picha lakini hamtafuta ukweli picha hiyo ni kabla ya saa moja kuuwawa Gaidi Hassan Nasrallah. Israel ni baba wa tecknolojia na njia zake hazichunguziki na Wafuga Midevu na Majini wote!!
 
Kenge hivi hio picture nani kaitoa Israel au Hezbullah hahaha sa vipi wa edit. Makenge ni noma sana 😢
 
Back
Top Bottom