Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ndugu yangu wewe ila hapa sikufungulii code acha nisikubishieSinyamazi,lazima ukweli usemwe.Shetani lazima tumfunue.
Wewe ni mwendawazimu wa conspiracy theories.Aisee,so you believe the 7th October attack was done by Hamas?Your Powe of discernment is nil I should say.Yaani hata serikali hii ya matapeli ya mazayuni haikupi picha kwamba it is an inside job kama ilivyokuwa the September 11 on the twin towers in the US.Wake up guys mmelala sana
Aisee,so you believe the 7th October attack was done by Hamas?Your Power of discernment is zero I should say.Yaani hata serikali hii ya matapeli ya mazayuni haikupi picha kwamba it was an inside job kama ilivyokuwa the September 11 on the Twin Towers in the US.Wake up guys mmelala sana.
Come for you for what? Hiyo smartphone na ugali maharage?We mpk uwachokoze ndio tabu inapoanza.Nilijua watu hawataelewa nikisema "they are coming for you!"Labda niongeze, "they are also coming for you." Mkuu niseme hivi,they will use technology.Kama una simu,they have you already,and at a time of their choosing they will control you 💯%.Smart phone ndio mbaya zaidi.
Sasa hivi wamekuzunguuka halafu unasema mpaka uwachooze!Kweli nimeamini,afadhali unyimwe pesa upewe akili.Wewe hapo ulipo tayari unatukutia,pole sana kama hujui.Come for you for what? Hiyo smartphone na ugali maharage?We mpk uwachokoze ndio tabu inapoanza.
Muulize Idd Amin.
Km wale wasingeenda kupiga mabomu oct 7,
Kungekua kimya.
Wameenda wakaamsha kila kitu,ilikua timming tu.
wakati huohuo kumbuka wakati watu wanauliwa majumbani kule israel OCTOBER 7, hawa hamas walikuwa wanapiga kelele allah akbar. kumbe mkipigwa panauma, ila mkipiga wenzenu ni ibada. tutajuaje kama humo amerusha bom kulikuwa na magaidi wamejificha wanajifanya kuabudu? after all, israel imeanzisha upelelezi dhidi ya huyo askari tofauti na hamas ambao hawana huo utu.See how evil these people are.What have these people who are just practising their belief done.You throw a Flash Bang Grenade to them?This is what an Israeli Soldier has done to worshipers in a Mosque.
17 NOVEMBER 2023
![]()
During the morning call to Prayer outside a Mosque in Israel, a Soldier from the Israeli Defense Force threw a Flash-Bang Grenade into the front door of the Mosque during the morning call to prayer.
See video below.
What kind of a low-life, scumbag, throws a flash-bang grenade into a House of worship?
And they actually wonder why people hate them.
Mkuu ile ilikuwa a false flag operationwakati huohuo kumbuka wakati watu wanauliwa majumbani kule israel OCTOBER 7, hawa hamas walikuwa wanapiga kelele allah akbar. kumbe mkipigwa panauma, ila mkipiga wenzenu ni ibada. tutajuaje kama humo amerusha bom kulikuwa na magaidi wamejificha wanajifanya kuabudu? after all, israel imeanzisha upelelezi dhidi ya huyo askari tofauti na hamas ambao hawana huo utu.
Gaidi hata ajifiche msikitini watawalipua tu. Ni ngumu kutenganishaSee how evil these people are.What have these people who are just practising their belief done.You throw a Flash Bang Grenade to them?This is what an Israeli Soldier has done to worshipers in a Mosque.
17 NOVEMBER 2023
![]()
During the morning call to Prayer outside a Mosque in Israel, a Soldier from the Israeli Defense Force threw a Flash-Bang Grenade into the front door of the Mosque during the morning call to prayer.
See video below.
What kind of a low-life, scumbag, throws a flash-bang grenade into a House of worship?
And they actually wonder why people hate them.
Aisee,nawewe kumbe Ni muovu kiasi hicho.Kwa hiyo kila Mpalestina sasa ni gaidi,si kweli,ni uovu tu uliopindukiai!!!Unprecedented.Mawazo yako nawewe ni crooked kupindukia mkuu.You have to change.Gaidi hata ajifiche msikitini watawalipua tu. Ni ngumu kutenganisha
Kwenye vita kujihami ni muhimu. Je kama wana pangia mipango yao humo ndaniAisee,nawewe kumbe muovu sana.Kwa hiyo kila Mpalestina sasa ni gaidi!!!Unprecedented.Mawazo hayo ni crooked kupindukia.
Bado mawazo haya sio,how do you know.Sasa tukihisiana kiasi hicho itakuwa Dunia ya namna gani hii.No ni mawazo potofu sana.Kwenye vita kujihami ni muhimu. Je kama wana pangia mipango yao humo ndani