Israel haina hamu na mateka mpya waliyesema wamemuokoa

Israel haina hamu na mateka mpya waliyesema wamemuokoa

Na kwanini wote wanaochiwa huru wanataka makubaliano na Hamas ili wenzao nao waachiliwe kama wao na wala hawataki vita viendelee.Sasa kama wakiendelea kufa nani atakuwa wa kulaumiwa.
Nimeshakuambia sababu ila hakuna atakayeongea hivyo hili sakata la mateka likiisha tena watasema magaidi wa Hamas waangamizwe kabisa.
 
Kwa sababu hujajua sababu ya mapigano hayo ndio maana unawaona viongozi wa Gaza na sisi tunaowaunga mkono ni wajinga.
Ismael Haniye familia yake yote iliuliwa kabla ya kuuliwa mwenyewe na siku alipokufa mchana wake alikuwa ni mwenye furaha sana.Msimamo wake ni kuendelea na vita mpaka dakika ya mwisho na ndio msimamo wa wote waliomrithi kiti chake.
Tafuta mantika ya jambo hilo
Kama viongozi wa hamas wanataka vita kwanini wanajificha
 
Back
Top Bottom