green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Wameshaweka ndege ya Rais wao mkao wa kutoroka BEN GURION AirportHata Netanyahu na yeye atapoona kipigo kinazidi ataikimbia Israel. Kwa sasa ameshatanguliza kwanza familia. Mtoto yuko Miami na mke yuko kwao Poland wanasikilizia vita.
Muda umekwisha kwaoVita hii si ya kuishangilia hata kidogo. Itakwenda kubadirisha mifumo yote ya maisha duniani kote. Mifumo yote ya kiuchumi, kisiasa, kijamii ikiwemo hata ya kidini itaathirika.
Ukiona makubaliano mapya yamefikiwa kati ya Israel na mataifa mengine ya Kiarabu katika eneo la Middle East, na huku Israel ikipewa haki ya kujenga hekalu la tatu katika eneo la Mount Moria. Bssi tambua ya kwamba muda umekwisha kabisa.
Ni ya kushabikiaaa mifumo ni mibovuuuVita hii si ya kuishangilia hata kidogo. Itakwenda kubadirisha mifumo yote ya maisha duniani kote. Mifumo yote ya kiuchumi, kisiasa, kijamii ikiwemo hata ya kidini itaathirika.
Ukiona makubaliano mapya yamefikiwa kati ya Israel na mataifa mengine ya Kiarabu katika eneo la Middle East, na huku Israel ikipewa haki ya kujenga hekalu la tatu katika eneo la Mount Moria. Bssi tambua ya kwamba muda umekwisha kabisa.
Usiwapangie afu acha kiherehereMbona wanachelewa?
Masaa 72 yamepita tangu watangaze silaha, mbinu na wakati wa mashambulizi au walitishia kujamba wakati Wana tumbo la kuharisha.
Yaan wewe ujue alipo mtoto wa Netanyahu? Yupo imara hivyo sababu Hamas na Hisbolah hawajui watu wake wa karibu wako wapi na ni kinanani?Netanyahu mtoto wake yupo Miami Florida - US yeye pamoja na mawaziri wake wanaanza maisha mpya kwenye handaki
Zionist leader are preparing the bunker where they hide? All other zionist will be there for destruction as you know that tha Benjamin Netanyahu kids are in Miami , but you fool people are gonna die for the act of him , and he won't bother about your death ar destruction
Sikio la kufa .....wapo watu waliponda kuhusu iran kuwa na mabomu ya nuke 15 wakisema Israel anayo 200 sijui ila kwa kutumia akili kama irani ana mabomu hata 4 tu ni zaidi ya mabomu 200 ya israel kwa sababu Israel ina eneo dogo sana tofauti na iran ambayo ni kubwa kama mara 2 ya tanzaniaNetanyau cjui aliwaza nn kufanya vile ..saiv wanahaha kwa upuuzi wao ye angebakia na mzozo wake wa Gaza ila kajitia dole saiv wananchi hawana amani
Hapa kuna shabik mandazi wengi mnooSikio la kufa .....wapo watu waliponda kuhusu iran kuwa na mabomu ya nuke 15 wakisema Israel anayo 200 sijui ila kwa kutumia akili kama irani ana mabomu hata 4 tu ni zaidi ya mabomu 200 ya israel kwa sababu Israel ina eneo dogo sana tofauti na iran ambayo ni kubwa kama mara 2 ya tanzania