Israel ikishughulika na Magaidi Middle East, MODS shughulika waunga mkono wa JF

Kwa kweli kazi anayoifanya Myahudi huko Middle East, kuwashughulikia kindakindaki kuanzia Iran anarudi Lebanon kisha Yemen. Kwa kweli kazi ni nzuri baraabaraa.

Kwahiyo hata wale waunga mkono wa JF (ugaidi wa keyboard) Tunaomba waanze kushughulikwa na MODS sababu wamekuwa wanaongoza kutuma taarifa feki ambazo reference inatolewa kwenye akaunti ya mtu huko X (naamini ukifuatilia kwa undani unakuta yeye Ndio ana run hiyo akaunti kwa kingereza cha Ras Simba) kisha anatupia huku, kibaya taarifa hiyo haipo vyenye vyombo vya habari chochote.

Na ni kikundi ambacho kinaongoza kutukana humu, Matusi kama Ushoga kwao ni kawaida sana (kimtokacho mtu mdomoni ndicho kinaujaza moyo wake pengine ndicho anakitenda huko Gizani).

Kuunga mkono kwa Keyboard tu, kwenda huko kwenye mapambano Gaza, Yemen, Lebanon aah.

Kama uzi haukuhusu pita kimya kimya
😄😄😄
 
Ile shida anayoipata Palestina leo yamkini ungekuwa unaipata wewe Mtanzania maana wale jamaa waliwahi kupewa hapo Uganda waanzishe nchi yao. Yamkini leo tungekuwa tunauawa na kuitwa magaidi kupinga ukandamizaji wao kama wafanyavyo leo Wapalestina.
 
Siku za kwenda Yerusalem, tunaenda saafi kabisa.

Baada ya IDF kurudisha mlima Helmon, na kuondoa takataka zote zaki-shia
 
Back
Top Bottom