Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu, Hamas waonyesha video yupo hai

Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu, Hamas waonyesha video yupo hai

Kweli punguani hata ufahamu sheria za JF za kuanzisha uzi, wewe mlolokole wa wapi?
Sheria za JF zinahusiana vipi na swali langu?

Kutwa kucha kusifia Hamas kwani ni nani zako wale? Hata wanakujua?
 
Safi sana inanikumbusha enzi zetu za ututo pale tunatumia manati, hao waisrael wanapigwa kama wale ndege wanaitwa Tina wako juu ya mizambarao, afu wanadondoka chini pwa 😄
Hahahahaha😀😀

Jeshi la Israel, linalokabiliwa na uhaba wa wanajeshi, limeunda kikosi kipya kinachojumuisha wazazi wa wanajeshi walioanguka, kutumia huzuni yao. Kabla ya kuanza majukumu yao, wazazi hawa walitembelea makaburi ya watoto wao. Kanda hii ni mahususi kutoka kwa makaburi ya Kibbutz Be'eri.

View: https://x.com/suppressednws/status/1793949531341455728?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hao Hamas wamekufanyia nini mbona unawapenda sana? Kwa siku unaweza kuanzisha hata nyuzi 20 za kuwahusudu tu.
Hamasi katisha. Siku za nyuma Europe walimsaidia Israel we mwisho wamejikuta wanafilisika wanamkimbia Israel sasa taratibu na hilo taifa bila msada wa Europe na America wangeisha furushwa wote na Hamasi mda wa siku mbili tu.
 
Hamasi katisha Europe walimsaidia Israel we mwisho wamejikuta wanafilisika wanamkimbia Israel sasa taratibu na hilo taifa bila msada wa Europe na America wangeisha furushwa wote na Hamasi mda wa siku mbili tu.
Ndio sababu Ritz anawapenda sana?
 
Sheria za JF zinahusiana vipi na swali langu?

Kutwa kucha kusifia Hamas kwani ni nani zako wale? Hata wanakujua?
Swali lako la kishoga unasema kwa siku naazisha nyuzi 20 wakati sheria za JF hawaruhusu hizo nyuzi ufahamu hata idadi ya nyuzi mwisho nyuzi 5 tu au 4 wewe unasema 20 ndiyo maana nakuita punguani mimi kuwatetea Hamas wewe unaumia nini au umekuwa mke wangu? Wewe mbona unawatetea mashoga wenzako Israel nani kakukaza.
 
Ila kwa wakati huu kama ni kichapo kwa Wapalestina wamepigwa daa!! Yale maneno ya Netanyau kuwa anataka atoe onyo hata kwa Hamas walioko tumboni waiogope Israel, anayatekeleza!! Na dunia imemuacha tu israel afanye atakavyo,
Kwahiyo akili ya kuokoa mateka imeshindikana kabisa?

Israel amekutana na upinzani mkali ambao hajawahi kufikiria maana unaenda mwezi wa 8 huu hakuna mafanikio yoyote aliyopata zaidi ya kuuwa watoto na wanawake wasio husika.

Anafinywa kimya kimya na Hamas hadi anashindwa ashike lipi aache lipi.

Yaani zaidi ya kuleta uharibifu wa majengo na miundombinu nothing else amefanikiwa.
 
Swali lako la kishoga unasema kwa siku naazisha nyuzi 20 wakati sheria za JF hawaruhusu hizo nyuzi ufahamu hata idadi ya nyuzi mwisho nyuzi 5 tu au 4 wewe unasema 20 ndiyo maana nakuita punguani mimi kuwatetea Hamas wewe unaumia nini au umekuwa mke wangu? Wewe mbona unawatetea mashoga wenzako Israel nani kakukaza.
Umepaniki Bro, wapi ulishawahi kuona nimetetea Israel?
 
Wanaukumbi.

Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu.

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka tarehe 7 Oktoba.

Israel wanawadanganya raia wake.

Hamas inafichua kwamba israel inalala kwa watu wake, kwenye video hapa chini walishiriki kwamba Asaf Hamimi alijeruhiwa tarehe 7 Oktoba na alichukuliwa mateka hadi Gaza.

Hata hivyo israel ‘IDF’ ilitangaza kuwa amefariki miezi 2 baada ya Oktoba 7 na hata kumfanyia mazishi.

Walidanganya.

View: https://x.com/hoaxvstruths/status/1793701450880831965?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hamas wamevuruga kabisa baada ya kuonyesha hayo mazishi ya uongo Hamas wakatoa video ya mateka ambayo yupo hai.

View: https://x.com/suppressednws/status/1793648636900827494?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Yaan we jamaa ni gaidi ,, kila siku we n hamas post zako zote!!
 
Bwana yenu Netanyahu ndiyo kangea huo ugoro.
Mimi sishobokeagi hao wayahudi kama wewe unavyoshobokea waarabu, nadhani hao waarabu wakitaka jicho unawapa kwa jinsi unavyowashobokea.
 
Wanaukumbi.

Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu.

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka tarehe 7 Oktoba.

Israel wanawadanganya raia wake.

Hamas inafichua kwamba israel inalala kwa watu wake, kwenye video hapa chini walishiriki kwamba Asaf Hamimi alijeruhiwa tarehe 7 Oktoba na alichukuliwa mateka hadi Gaza.

Hata hivyo israel ‘IDF’ ilitangaza kuwa amefariki miezi 2 baada ya Oktoba 7 na hata kumfanyia mazishi.

Walidanganya.

View: https://x.com/hoaxvstruths/status/1793701450880831965?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hamas wamevuruga kabisa baada ya kuonyesha hayo mazishi ya uongo Hamas wakatoa video ya mateka ambayo yupo hai.

View: https://x.com/suppressednws/status/1793648636900827494?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ukimuamini Ritz basi na Hamas ni wakuaminiwa
 
Back
Top Bottom