We nae una moyo! Jinyamazie tu utachoka kufundisha wapalestina wa Manyoni na Bunda na TandahimbaSasa mabadiliko utaona kwa sampuli ya watu 200 kati ya watu 50miloni?
Kibaruwa wa bei rahisi analipwa $2000 kwa mwezi? Wakati Mshahara wa Daktari nchini Tanzania ukiwa ni $650 kwa Mwezi, Wafanyakazi wa Kigeni wa mashambani wa Israel wanalipwa $2000 kwa mwezi. Je, Kati ya Daktari wa Tanzania na huyu Manamba wa huko Israel nani Anatumikishwa?Ni vibarua wa bei rahisi.
Watailand walionusurika kifo wamesema hawarudi tena.
Yule hayati Clement aliyekufa angekuwa yuko chuo chochote rasmi cha kielimu basi tungepata salamu za maombolezo kutoka chuoni kwake au kwa wanafunzi wenzake.Lakini kwa kuwa wenzake ni wale watailand ambao nao wameponea kutekwa hakuna hata mmoja aliyemlilia
Una ushahidi wowote wa hayo malipo ?Kibaruwa wa bei rahisi analipwa $2000 kwa mwezi? Wakati Mshahara wa Daktari nchini Tanzania ukiwa ni $650 kwa Mwezi, Wafanyakazi wa Kigeni wa mashambani wa Israel wanalipwa $2000 kwa mwezi. Je, Kati ya Daktari wa Tanzania na huyu Manamba wa huko Israel nani Anatumikishwa?
Ushauri
Hata kama una chuki na Israel lakini jaribu ku-Arge kwa Facts na wala sio hisia. Aljazeera waliripoti hii habari wakiweka na mishahara ya hao unaowaita wanatumikishwa.
Wakati wewe unalalamika Wazambia 231 unaosema wanatumikishwa, Nchi ya Thailand ina raia 30,000 ambao wanafanya kazi za mashambani huko Israel. Ushahidi wa Aljazeera huo hapo chini.Una ushahidi wowote wa hayo malipo ?
Thailand wamemtumia mjumbe maarufu muislamu akazungumze na Iran kushawishi kuokolewa kwa mateka wa nchi yao.Tanzania tumefanya nini kushawishi kuokolewa mateka wetu.Kama hatukufanya tumeogopa nini.Wakati wewe unalalamika Wazambia 231 unaosema wanatumikishwa, Nchi ya Thailand ina raia 30,000 ambao wanafanya kazi za mashambani huko Israel. Ushahidi wa Aljazeera huo hapo chini. View attachment 2829979