Israel imebomoa majumba na kuua Gaza; Hamas imeporomosha uchumi wa Israel. Kumbe vikundi vinavyokwenda Israel ni vya watumwa

Israel imebomoa majumba na kuua Gaza; Hamas imeporomosha uchumi wa Israel. Kumbe vikundi vinavyokwenda Israel ni vya watumwa

Tunashukuru kwa kututangazia ajira, kumbe tunahangaika wakati kuna nchi zinatafuta vibarua ambao mshahara ni zaidi ya meneja wa Benki ya CRDB, ngoja tuandae mabegi
 
Ni vibarua wa bei rahisi.
Watailand walionusurika kifo wamesema hawarudi tena.
Yule hayati Clement aliyekufa angekuwa yuko chuo chochote rasmi cha kielimu basi tungepata salamu za maombolezo kutoka chuoni kwake au kwa wanafunzi wenzake.Lakini kwa kuwa wenzake ni wale watailand ambao nao wameponea kutekwa hakuna hata mmoja aliyemlilia
Kibaruwa wa bei rahisi analipwa $2000 kwa mwezi? Wakati Mshahara wa Daktari nchini Tanzania ukiwa ni $650 kwa Mwezi, Wafanyakazi wa Kigeni wa mashambani wa Israel wanalipwa $2000 kwa mwezi. Je, Kati ya Daktari wa Tanzania na huyu Manamba wa huko Israel nani Anatumikishwa?

Ushauri
Hata kama una chuki na Israel lakini jaribu ku-Arge kwa Facts na wala sio hisia. Aljazeera waliripoti hii habari wakiweka na mishahara ya hao unaowaita wanatumikishwa.
 
Una ushahidi wowote wa hayo malipo ?
 
Una ushahidi wowote wa hayo malipo ?
Wakati wewe unalalamika Wazambia 231 unaosema wanatumikishwa, Nchi ya Thailand ina raia 30,000 ambao wanafanya kazi za mashambani huko Israel. Ushahidi wa Aljazeera huo hapo chini.
Screenshot_20231130-010031.jpg
 
Wakati wewe unalalamika Wazambia 231 unaosema wanatumikishwa, Nchi ya Thailand ina raia 30,000 ambao wanafanya kazi za mashambani huko Israel. Ushahidi wa Aljazeera huo hapo chini. View attachment 2829979
Thailand wamemtumia mjumbe maarufu muislamu akazungumze na Iran kushawishi kuokolewa kwa mateka wa nchi yao.Tanzania tumefanya nini kushawishi kuokolewa mateka wetu.Kama hatukufanya tumeogopa nini.
Ikiwa hao wanaokwenda Thailand kweli wanalipwa hizo pesa sio mbaya.Japo kuna wasiwasi wa kutekelezwa kwa ahadi za Israel.Mayahudi ni watu mashuhuri kwa kukwepa kutekeleza makubaliano na watu wa kudhulumu wazi wazi.
Kama hao watu wanalipwa mshahara huo wasingelala kwenye mabanda kama ya mbuzi.
Tukiacha yote hayo masuala ya kusafiri na kutafuta kazi yapo na si vibaya.Muhimu tulichopaswa kuelezwa mwanzo na serikali yetu ni wapi hasa wale vijana 260 walikwenda na shughuli iliyowapeleka.Kulikuwa na kipi cha kufichwa.
Baada ya yote hayo wewe umetetea wanaokwenda Israel kufanya kazi.kwanini wale wanaokwenda nchi za kiarabu kutafuta ajira huwa kunakuwa na kampeni kubwa ya kuzusha ukatili wanaofanyiwa.Pamoja na wale wanaokwenda huko kulala na kula vizuri na wakihojiwa husema huo ukatili wanausikia kwenye tiktok kwanini bado unarudiwa.
 
Back
Top Bottom