Israel imefanya mashambulizi kadhaa ya anga kusini mwa Lebanon na kumuua kamanda wa kikosi maalum cha Hezbollah

Israel imefanya mashambulizi kadhaa ya anga kusini mwa Lebanon na kumuua kamanda wa kikosi maalum cha Hezbollah

Hatari sana kuna watu wanawaza sana, yaani ina maanisha Israel ikiaamua kumkamata Assad wa Syria they will do it
Israel ndio mwamba hapo Middle East. Hilo linajulikana tangu zamani.
Imagine alimtungua Gaidi Haniyeh akiwa amelala sebuleni kwa ayatollah
 
NAJUA HII NI MBINU YA KUTUMIA HUMAN SHIELD. MAARABU YANATUMIA SANA. KILA WAKATI KUTAFUTA SYMPATHY
Ni majinga. Yanaanzisha vita halafu yakidundwa yanakimbilia kujificha kwa wanawake na watoto.
Kutwa kucha kujiliza kwenye mitandao kutafuta sympathy
 
Ni majinga. Yanaanzisha vita halafu yakidundwa yanakimbilia kujificha kwa wanawake na watoto.
Kutwa kucha kujiliza kwenye mitandao kutafuta sympathy

YAANI MAARAB NDO HAPO NASHINDWA YAELEWA. WENZAO WANALINDA WANAWAKE NA WATOTO. WAO WANAWATUMIA KAMA NGAO.... HAWA JAMAA NI MAKATILI SANA.
 
Back
Top Bottom