Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Na siku zote waarabu ndio wanaanzisha vita halafu wakijibiwa utasikia wanaua wanawake na watoto.
Na utakuta kwenye madrassat huyo ndio alikuwa anakuwa wa kwanza..🤣🤣🤣🤣AISEEE..... MTAFUTE MTU MWENYE ELIMU AKUNDIKIE TUKUELEWE SHEIKH WANGU. MAANA HATA HUJAELEWEKA KABISA.
Hatar kabisa Hawa jamaa kuwa commando wa IDF ni shughuli kweli kweli.Leo wamefanya uvamizi wa Ardhi Syria kwenye kambi ya Iran
View: https://x.com/Osint613/status/1834216412820185370
Atampata wapi mkuu? Hiyo ni sawa na kutafuta bikra kwa dadapoa.AISEEE..... MTAFUTE MTU MWENYE ELIMU AKUNDIKIE TUKUELEWE SHEIKH WANGU. MAANA HATA HUJAELEWEKA KABISA.
Israel hapoi. Kila siku anatembeza kipigo kwa maadui/magaidi.
Israel ndio mwamba hapo Middle East. Hilo linajulikana tangu zamani.Hatari sana kuna watu wanawaza sana, yaani ina maanisha Israel ikiaamua kumkamata Assad wa Syria they will do it
Ni majinga. Yanaanzisha vita halafu yakidundwa yanakimbilia kujificha kwa wanawake na watoto.NAJUA HII NI MBINU YA KUTUMIA HUMAN SHIELD. MAARABU YANATUMIA SANA. KILA WAKATI KUTAFUTA SYMPATHY
Ni majinga. Yanaanzisha vita halafu yakidundwa yanakimbilia kujificha kwa wanawake na watoto.
Kutwa kucha kujiliza kwenye mitandao kutafuta sympathy
Syria alimchokoza lini?Israel hawana vurugu na mtu. Ukiwachokoza ndio wanajibu mashambulizi na kujilinda
Syria ni playground ya Iran. Inatumika na iran pamoja vibaraka wake kufanya mashambulizi dhidi ya IsraelSyria alimchokoza lini?
Iran aliishambulia lini israel kupitia Syria?..kikundi gani kiliishambulia israel kupitia Syria?Syria ni playground ya Iran. Inatumika na iran pamoja vibaraka wake kufanya mashambulizi dhidi ya Israel
Hezbollah, Hamas nkIran aliishambulia lini israel kupitia Syria?..kikundi gani kiliishambulia israel kupitia Syria?
Hizbullah na hamas hazipo syriaHezbollah, Hamas nk
Hazipo syria direct ila wanatumia ardhi ya Syria kupanga mikakati na kupitisha silaha kwenda lebanon.Hizbullah na hamas hazipo syria
Alipowashambulia wanasayansi wa Iran napo excuse ni nini!?Hazipo syria direct ila wanatumia ardhi ya Syria kupanga mikakati na kupitisha silaha kwenda lebanon.
Israel anashambulia Syria ili kuvuruga mipango ya adui
Israel alikua akiwatibu isis waliopambana na SyriaHazipo syria direct ila wanatumia ardhi ya Syria kupanga mikakati na kupitisha silaha kwenda lebanon.
Israel anashambulia Syria ili kuvuruga mipango ya adui
Kuhakikisha adui yake Iran hamiliki silaha za nuclearAlipowashambulia wanasayansi wa Iran napo excuse ni nini!?