Israel imekuwa nchi ya kwanza duniani kuitambua rasmi Somaliland

Israel imekuwa nchi ya kwanza duniani kuitambua rasmi Somaliland

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kwa zaidi ya miaka 30, Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama serikali:
• Serikali inayofanya kazi
• Uchaguzi wa kidemokrasia
• Vikosi huru vya usalama
• Kutovumilia kabisa na kuwadhibiti magaidi na wanajihadi

Ulimwengu ulijifanya hauoni.
Kisha Israeli wakafanya jambo ambalo hakuna mtu mwingine aliyekuwa tayari kufanya:
Tukubali tu ukweli hili ni pigo kwa magaidi wote huko Mashariki ya Kati hasa hasa Houth wamepata ugeni usiotarajiwa sasa Watakoma mpaka wakomae

“Mytake” sasa hivi Upele umepata mkunaji!!!!!! Red-sea patachangamka sana!!! Najua tu nchi za Kiarabu/Kiislamu zitapiga kelele sana!! Uzuri Mwamba waziri Mkuu wa Israel keshapitisha nani atapinga? Na huyo atakuwa hajipendi


===========================================

Israel has become the first country to recognise Somaliland as a sovereign state, a breakthrough in its quest for international recognition since it declared independence from Somalia 34 years ago.

The Israeli foreign minister, Gideon Sa’ar, announced on Friday that Israel and Somaliland had signed an agreement establishing full diplomatic relations, which would include the opening of embassies and the appointment of ambassadors.

The recognition is a historic moment for Somaliland, which declared its independence from Somalia in 1991 but until now had failed to be recognised by any UN member states. Somaliland controls the north-west tip of Somalia, where it operates a de facto state, and is bordered by Djibouti to the north-west and Ethiopia to the west and south.

The Israeli prime minister’s office said the declaration was “in the spirit” of the Abraham accords, a series of normalisation agreements between Israel and mostly Arab states signed in 2020.

Source: The Guardian

IMG_4669.png


View: https://x.com/israelipm/status/2004550707530076582?s=61
 
Unajua nina wasiwasi wale tunao waita Waisrael wanaweza kuwa ni Wajerumani na Wapalestina wakawa ndio Waisrael Original
Fikiria Baada ya Vita ya pili ya dunia mwaka 1948; Marekani iliamua kuwatafutia mahala wale walioisaidia kwenye Vita ambapo kwa kipindi kile, waliokuwa na nguvu kubwa ilikuwa ni Wajerumani; Hivyo marekani ikawakusanya walioisaidia na kuwapa hao wapambe wake sehemu ya eneo la Palestina (wapelestina walikuwepo eneo hilo kwa asilia). Baada ya waliojiita waisrael kupewa Eneo la Palestina ndio hakujawa na utulivu hadi leo

Nakumbuka wale Waafrika weusi waliokuwa marekani nao walizawadiwa eneo linaitwa pwani ya pembe ambayo kwa sasa ni Ivory Coast...
Mimi nimesoma Sayansi hivyo sina elimu sana ya hapo zamani za kale/Historia. ILA nina wasiwasi Wapelestina ndio waisrael Orginal....Pengine siku za Mwisho (day of judgement) tukajua ukweli...
Kwa hiyo wayahudi Original yao wewe unafikiri ni wapi?
 
Watafute kwenye vitabu vya Historia kabla ya mwaka 1948 walikuwa maeneo gani; ukisha papata jua hapo ndio palikua kwao....
Hili ndilo tatizo kubwa la Wafuga midevu na Majini linalowasumbua!!Ulijifanya unajua wapalestina ndiyo waisrael original nikauliza wayahudi kwao wapi umeanza kubwabwaja ovyo ovyo!!!

Kwa taarifa yako tu hakukuwepo na wale halitakuwepo taifa linaloitwa Palestina!!!! Jitahidi urudi shule ukasome tena Uzuri Serikali yetu inao mtawala unaoitwa MEMKWA ukasome huko Ivory-Cost ilikuwaje na Israel ilikuwaje siyo kuja hapa unabwabwaja kama mjinga!!
 
Umechelewa myahudi wa mwakaleli
Lakini asante kwa kuitambua nchi yangu ya asili , tumepigana vilivyo kujitenga na kuijenga nchi yetu bila msaada wowote

 
Watafute kwenye vitabu vya Historia kabla ya mwaka 1948 walikuwa maeneo gani; ukisha papata jua hapo ndio palikua kwao....

Sikiliza hapa sasa ili ujue hao unaowaita wewe wapalestina walitoka wapi!!
 

Attachments

  • v09044g40000d4o2f3nog65tfp4t0oug.mp4
    18.3 MB
Sikiliza hapa sasa ili ujue hao unaowaita wewe wapalestina walitoka wapi!!
Kwa hiyo mtu akijirekodi kwa sababu anaongea kiingereza tayari anacho ongea ni ukweli?
mbona hajaweka source ya taarifa zake?
Hata mimi naweza kujirecord nikiongea Kiitaliano kuthibitisha ninacho amini kwa hiyo utaniamini?
 
Somaliland itaanza kupokea wakimbizi kutoka Gaza mwakani pia ni nchi ya mkakati Kwa magaidi wa houthi
 
Kwa hiyo mtu akijirekodi kwa sababu anaongea kiingereza tayari anacho ongea ni ukweli?
mbona hajaweka source ya taarifa zake?
Hata mimi naweza kujirecord nikiongea Kiitaliano kuthibitisha ninacho amini kwa hiyo utaniamini?
Ulitaka nijirecord nikiongea Kimatumbi ndiyo ungeamini? Hebu sasa Jirecord wewe utuwekee UHARO wako hapa ili tuthibitishe.

Tatizo kubwa lenu Wafuga Midevu na Majini mlikosa Elimu na akili zenu mkashikishwa na waarabu sasa ishakuwa kila analosema Mwarabu na ninyi Waarabu-koko mnabwabwaja nalo ukiulizwa kwa nini unawachukia wayahudi unasema kwa sababu waarabu wanawachukia ukiulizwa kisa unasema hujui.

Eti unadai Source utafikiri unajua maana ya Source haya sasa nimekuwekea hiyo hapo chini na ulivyo mjinga utaniambia nikuwekee kwa kiarabu!!!!
 

Attachments

  • IMG_0433.jpeg
    IMG_0433.jpeg
    190.4 KB · Views: 28
  • IMG_0437.jpeg
    IMG_0437.jpeg
    214.8 KB · Views: 32
  • IMG_0436.jpeg
    IMG_0436.jpeg
    192.4 KB · Views: 34
  • IMG_0435.jpeg
    IMG_0435.jpeg
    243 KB · Views: 35
  • IMG_0434.jpeg
    IMG_0434.jpeg
    339.6 KB · Views: 37
Ethiopia atafuatia maana hana bandari,
Kenya atafuata
Marekani atakuja
 
Waafrka tuna laana gani sijui!! Yaani mnashabikia nchi za Afrika kupasuliwa ili kujenga kambi za majeshi ya kigeni?

Hapo somaliland inatumika kama base ya operation za middle east hasa dhidi ya Houthi!! Tumerudi kwenye ukoloni na tunasherekea? Kisa ni Israel?

Aisee we are doomed
 
Ulitaka nijirecord nikiongea Kimatumbi ndiyo ungeamini? Hebu sasa Jirecord wewe utuwekee UHARO wako hapa ili tuthibitishe.

Tatizo kubwa lenu Wafuga Midevu na Majini mlikosa Elimu na akili zenu mkashikishwa na waarabu sasa ishakuwa kila analosema Mwarabu na ninyi Waarabu-koko mnabwabwaja nalo ukiulizwa kwa nini unawachukia wayahudi unasema kwa sababu waarabu wanawachukia ukiulizwa kisa unasema hujui.

Eti unadai Source utafikiri unajua maana ya Source haya sasa nimekuwekea hiyo hapo chini na ulivyo mjinga utaniambia nikuwekee kwa kiarabu!!!!
We naye akili haunaga!! Unajua maana ya source? Hapo source ndio iko wapi sasa? Ni reputable journal, paper, au umechukua tu picha za reddit basi ndio source ya facts?
 
We naye akili haunaga!! Unajua maana ya source? Hapo source ndio iko wapi sasa? Ni reputable journal, paper, au umechukua tu picha za reddit basi ndio source ya facts?
Hili ndilo tatizo kubwa linalowasumbua waarabu-koko kama wewe. Mmelishwa Matango Pori na waarabu hata hamjitqmbui kabisa kiasi cha kuanza kuuliza maswali ya kipumbavu kuliko kujibu hoja!!
 
Hili ndilo tatizo kubwa linalowasumbua waarabu-koko kama wewe. Mmelishwa Matango Pori na waarabu hata hamjitqmbui kabisa kiasi cha kuanza kuuliza maswali ya kipumbavu kuliko kujibu hoja!!
Jibu swali source iko wapi hapo? Huna elimu yoyote ya dini, historia au geopolitics ya kunizidi ndio maana hoja zangu hujibu huwa unakimbia tu. Maana hauna uwezo wala elimu ya kunijibu.

Jibu Swali, source iko wapi? maana hata lugha naona ni changamoto!!
 
Back
Top Bottom