Israel imemuua Ali Shadmani mshauri mkuu wa Kivita wa Ayatollah

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Hali inazidi kuwa tetes hivi Israel inawapataje hawa? Hili ndo swali ninalojiuliza kila wakati. Maana naona wao wanaua mara moja tu. Sisi tulishamuua sana Benjamini Netanyau kwa mujibu wa Ritz kipindi flani alikuwa kila mara akipost habari za kuuawa kwa Netanyau.

Screenshot_2025-06-17-09-38-34-864_com.instagram.android.jpg

Screenshot_2025-06-16-08-30-38-659_com.instagram.android.jpg
 
Hali inazidi kuwa tetes hivi Israel inawapataje hawa? Hili ndo swali ninalojiuliza kila wakati. Maana naona wao wanaua mara moja tu. Sisi tulishamuua sana Benjamini Netanyau kwa mujibu wa Ritz kipindi flani alikuwa kila mara akipost habari za kuuawa kwa Netanyau.

View attachment 3372631

View attachment 3372632
Kwa udiketa huu unafikiri hata maofisa wa juu wa Israel wakiuwawa ni nani atakaethubutu kutoa taarifa ya kweli juu ya vifo hivyo?

Sio kwamba majeshi ya Israel hayauwawi, yanauwawa ila hairuhusiwi ku report chochote kuhusu mauaji hayo au kuonesha ukweli kuwa Israel kushambuliwa sana na Iran.
 
Attachments

  • Screenshot_20250616-182420.jpg
    Screenshot_20250616-182420.jpg
    335.4 KB · Views: 24
Kwa udiketa huu unafikiri hata maofisa wa juu wa Israel wakiuwawa ni nani atakaethubutu kutoa taarifa ya kweli juu ya vifo hivyo?

Sio kwamba majeshi ya Israel hayauwawi, yanauwawa ila hairuhusiwi ku report chochote kuhusu mauaji hayo au kuonesha ukweli kuwa Israel kushambuliwa sana na Iran.

Kwani hizi taarifa za kuuawa Wairani wanatoa akina nani? Irani wao wakiua hawataki kusema wameua wakuu gani wa Usalama? Wanafanya siri? Tunaona mbona wakiua raia wanatangaza?
 
Kwa udiketa huu unafikiri hata maofisa wa juu wa Israel wakiuwawa ni nani atakaethubutu kutoa taarifa ya kweli juu ya vifo hivyo?

Sio kwamba majeshi ya Israel hayauwawi, yanauwawa ila hairuhusiwi ku report chochote kuhusu mauaji hayo au kuonesha ukweli kuwa Israel kushambuliwa sana na Iran.
Chanzo cha habari? You tube ya mtu flan hapo tandale kwa tumbo 🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂 tetesi
Kwa udiketa huu unafikiri hata maofisa wa juu wa Israel wakiuwawa ni nani atakaethubutu kutoa taarifa ya kweli juu ya vifo hivyo?

Sio kwamba majeshi ya Israel hayauwawi, yanauwawa ila hairuhusiwi ku report chochote kuhusu mauaji hayo au kuonesha ukweli kuwa Israel kushambuliwa sana na Iran.
 
Amekaa siku 4 Tu madarakani Toka achaguliwe na Leo amelambishwa mchanga
 
Hali inazidi kuwa tetes hivi Israel inawapataje hawa? Hili ndo swali ninalojiuliza kila wakati. Maana naona wao wanaua mara moja tu. Sisi tulishamuua sana Benjamini Netanyau kwa mujibu wa Ritz kipindi flani alikuwa kila mara akipost habari za kuuawa kwa Netanyau.

View attachment 3372631

View attachment 3372632
Israel inatakiwa imle kichwa Ayatollah sasahivi maana anatoaga matamko ya kikatili halafu anajificha na shuka lake
 
Kwa udiketa huu unafikiri hata maofisa wa juu wa Israel wakiuwawa ni nani atakaethubutu kutoa taarifa ya kweli juu ya vifo hivyo?

Sio kwamba majeshi ya Israel hayauwawi, yanauwawa ila hairuhusiwi ku report chochote kuhusu mauaji hayo au kuonesha ukweli kuwa Israel kushambuliwa sana na Iran.
Mwanajeshi mkubwa yupi wa Israel ameuawa na akafichwa. Hujui kwamba waandishi wa habari wa kigeni hawaruhusiwi kuripoti ndani ya Iran.

Na unafahamu kwamba hakuna chombo chochote cha habari cha kigeni kilichopo katika nchi ya Iran na wao ni redio na televisheni ya taifa tu ndizo zinazoruhusiwa ndani ya nchi.

Sasa kwa mazingira hayo nani kati ya Israel na Iran ambaye hataki taarifa zake zijulikane nje.
 
Hali inazidi kuwa tetes hivi Israel inawapataje hawa? Hili ndo swali ninalojiuliza kila wakati. Maana naona wao wanaua mara moja tu. Sisi tulishamuua sana Benjamini Netanyau kwa mujibu wa Ritz kipindi flani alikuwa kila mara akipost habari za kuuawa kwa Netanyau.

View attachment 3372631

View attachment 3372632
Huu utawala uliopo wa Iran uliingia kwa mapinduzi kumtoa mfalme.
Kumbuka kabla ya mapinduzi, Iran ilikuwa siyo nchi ya kiislamu, watu walikuwa wanaishi kwa uhuru kila mtu anafuata imani yake baada ya kufanya mapinduzi watu wote walilazimishwa kuwa waislamu. Kumbuka sharia za kiislamu zinamlazimisha mtu na siyo kumvutia au kumfanya mtu awe na hiari wa kujiunga na imani hiyo.
Unakumbuka lile tukio la yule binti aliyeuliwa na jeshi la kiislamu kwasababu hajafunika kichwa, watu wengi waliandamana na wengine wanawake waliacha vichwa wazi na wote walioacha vichwa wazi waliuliwa kwa imani ya kiislamu. Hapo Zanzibar upo kwako ila pika nje wakati wa ramadhani unaweza kuuliwa kabisa.
Kutokana na yale mapinduzi, kuna watu waliuliwa na kwenye kusimika utawala wa dola la kiislamu kuna watu waliuliwa ili wasilimu na wengine kuuliwa kwasababu wamevunja amri za uislamu kama kuuacha vichwa wazi kwahiyo makovu ni mengi na hawa watu ndiyo wanaotoa taarifa ya viongozi kwa Israel
Israel ina amini kumaliza hawa viongozi italeta mawazo mapya na siku zote ili upige taifa piga viongozi.
Angalia kipindi cha Magufuli na sasa hivi ndiyo utaona Israel wapo sawa
 
Back
Top Bottom