1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.
2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?
3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi?
4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu kuwa ni siri kali. Atakiri nani kuwa sumbwi lile limempata vilivyo na tena "ku-bu-gosha?"
5. Hapo #4, Saddam alipoisambaratisha pentagon ya Israel tulikuja kuelezwa miaka kadhaa baadaye.
6. Wamesema kajeruhiwa mtoto mdogo tena ka mkwaruzo mdogo tu; twasema la kheri hilo!
7. Kumbe kulikoni kulalama? Kwani alipo beep ubalozini hakuwa akitaka kupigiwa?