Israel imepewa ilicho kitaka kutoka Tehran

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.

2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?



3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi?

4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu kuwa ni siri kali. Atakiri nani kuwa sumbwi lile limempata vilivyo na tena "ku-bu-gosha?"

5. Hapo #4, Saddam alipoisambaratisha pentagon ya Israel tulikuja kuelezwa miaka kadhaa baadaye.



6. Wamesema kajeruhiwa mtoto mdogo tena ka mkwaruzo mdogo tu; twasema la kheri hilo!



7. Kumbe kulikoni kulalama? Kwani alipo beep ubalozini hakuwa akitaka kupigiwa?
 
Netanyahu amekipata alichokuwa anakitafuta, kurudisha imani ya serikali Biden na uungwaji mkono na Wamarekani wanaoonekana kuchoshwa na vita vyake vya Gaza
 
Pia ni njia ya Netanyahu kuendelea kusalia madarakani na kutosumbuliwa mahakamani au kwenda gerezani kabisa kwa kesi zake za ufisadi.
 
Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.

Mtu aki beep hupigiwa na ndicho kilichotokea. Bila hivyo tungetegemea makubwa zaidi.

Shambulio la Iran lilikuwa callibrated kumtaarifu Natenyahu na Israeli kutambua mipaka yake.
 
Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
🇮🇱🇮🇷 Israel is now spreading Zelensky-type propaganda that they managed to intercept 103% of the total number of drones and missiles, all in order to have an excuse for not retaliating against Iran. But knowing that the Israelis are like little children, it is possible that they will hit back and open the door to a great war.
 
Braza (J) Juma embu tuhabarishe ni majenerali wangapi wa kizayuni wamesha tangulizwa kwa mabikra 72 baada ya ilo shambulizi??
 

Attachments

  • IMG_20240414_123327.jpg
    46.3 KB · Views: 3

Kwamba walitegemea Iran iwashangilie?



Attack hujibiwa kwa counter attack. Kulikoni kulia lia UN huko?

Ngoja tuone, baba mwenye nyumba kasema yeye haingilii.
 
Braza (J) Juma embu tuhabarishe ni majenerali wangapi wa kizayuni wamesha tangulizwa kwa mabikra 72 baada ya ilo shambulizi??

J - Joseph ndugu mfia dini:



Habari ndiyo hiyo. Miye si mwenzenu kwenye dini zenu huko!

e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.
 
Hivi wewe huwa na akili kweli? Tusubiri
 
Naoona iran yenye nguvu na yenye kujiamini na kuongeza soko la silaha zake

Hapo Iran karusha zana zake tokea viwandani kwake. Ali beep kapigiwa. Ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…