Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

Na wavunje wa nini hasa, Hivi Mungu anayemiliki Masayari na Magalaxies yasio na hesabu, Manyota mengine makubwa kuliko jua mara billions, leo hii kwa akili zetu tunadhani ati anahitaji tusimame juu ya kakipande ka ardhi fulani ili atubariki, si kumkosea adabu na kuwa na akili mithili ya chawa? God if He is the One we say He created the universe, We are so disrespectful to Him if we Identify him with a little pease of land or a building built by man and clam it to be His holly Place!
Hii ni akili kubwa ambayo haijaathiriwa na utumwa wa kiimani
 
Mungu ni muweza wa yote mkuu, hako unakokaita kakipande ka ardhi ndiko ambako Mungu alikuja akaishi hapa duniani miaka 33. Jifunze kutowekea uwezo wa Bwana Mungu wako mipaka. Wekea mipaka ya uwezo wa akili yako kama mwanadamu.

Na washawasha!
Hahahaha huyo atakuwa Mungu wa Israel siyo wa Tz
 
Eti wakikosea? wanakosea wapi wao wanataka nchi yao na mipaka kama Mungu alivyombaia Musa, wala washabiki wa wafilisti na humanikwa hili itakula kwenu hata mkiunganisha arabic na uislam wote kupambana na Israel hamna kitu mtakacjoambulia Israel mbelekwambele hadi unabii utimie, wakristo bandia hawa wasiojua hata unabii unasema nini juu ya Israel na mataifa siku za mwisho.

Ushabiki wa human right haumzuii Mungu kutimiza mpango wake; hauwezi kuugawanya mji wa Yerusalemu eti ipande mwingine uwe wa wafilist kisa haki za binadamu? yaani Mungu afuate ya haki za binadamu;

Nimejaribu kwaonyesha hata vifungu ndani ya Biblia kuhusu Israel na siku za mwisho badala ya kuvisoma na kuja hapa na hoja ubakia kuilaumu Israel nchi inayochukiwa na kila muislam mdogo na mkubwa eti inawanyanyasa wafilisiti.

Chuki zidi ya Israel ni kujisumbua tu maana linapifika swala la kutimia yale Mungu aliyosema na manabii huwa haliangalii ni nani atapiteza au nani atapa bali kile Mungu anataka kifanyike ndo kitafanikiwa. Nimeuliza maswali nilizani utakuja kujibu?


Je pindi Yesu akirudi ataikuta dunia inafsnya nini? na je ni nini kitakuwa chanzo cha vita ya gogu na magogu hadi kubadilishwa kuitwa armagedonia?

Ni lazima msikiti wa al aqsa na lile dome viwe chini kwanza kisha hekalu lijengwe tena. upende usipende ni lazima unabii utimie. Hivi jiulize miaka zaidi ya 1896 Waisrael hawapo nchini mwao, lakini 1945 wakajikusanya na kulejea je unadhani ni kwanini 1968 nchi 9 za kiarabu
zilipigwa na kushindwa na taifa la Israel lisilozid raia 300000? Israel itawashinda wote maadui na mipaka yake itairejesha kama inavyotajwa katika Bibilia.
Hahahaha aiseee hz dini/imani za kutoka mashariki ya kati zimefanya watumwa.
Hv ushawahi kujiuliza kwann wewe ni mkristo/muislamu?
Je wewe ulichagua kuwa mkristo/muislamu ama mazingira yalikulazimisha kuwa mkristo/muislamu?
Hv ushawahi kuziona kasoro zinazoambatana na imani yako ama unaona kasoro zilizo kwenye imani zingine?
 
Hahahaha aiseee hz dini/imani za kutoka mashariki ya kati zimefanya watumwa.
Hv ushawahi kujiuliza kwann wewe ni mkristo/muislamu?
Je wewe ulichagua kuwa mkristo/muislamu ama mazingira yalikulazimisha kuwa mkristo/muislamu?
Hv ushawahi kuziona kasoro zinazoambatana na imani yako ama unaona kasoro zilizo kwenye imani zingine?
Tafuta wewe mungu wako ni nani na imani yako ni ya aina gani!! au bado ni kwenda kukaa kwenye kigoda cha sangoma? au kuchinja kuku juu ya kaburi la babu zako? au bado wewe ni muumini wa darwin na evolution yake?
 
Kwa akili uliyokuwa nayo naomba tu nikupe pole
wewe ndiyo unatakiwa kupewa pole kama unafkiri Israel ni nchi kama nchi zingine pole sana, kwa sasa hakuna taifa la kusimaa na kupigana na hii nchi na kuoshinda. zile chuki za
wale jamaa juu ya Isarel ni kelele za kujichosha bure waliishia tu kutangaza eti waifute Israel katika uso wa dunia na badala yake majeshi yao yote ndiyo yaliyoteketea mpaka leo waliis kuilaani tu,
 
Haaaaa,, Wafilisti akina Goliath,, wasubiri kichapo tu,, maana hakuna jinsi ni lazima wachapwe tu.
 
mada iliyoanzishwa israel wamepokea ndege za kivita kinachoongelewa ndani kitu tofauti.
 
jehu.jpg
.
Written in stone: Israel's 'Jehu, son of Omri' falls to the ground before Shalmaneser III.
Delicately carved ivory fromNimrud– testimony to Assyrian artistry
Shalmaneser's artifacts confirm the existence of a small Israelite kingdom – but NOT of the biblical story:
2 Kings 9,10 has it that Jehu was not Omri's son but an anointed assassin who had in fact murdered the 'house of Omri' on orders from Elisha!
Well noted! Assyrians au huku kwetu tunawaita Waashuru, hawa jamaa pia waliwasumbua sana Waisrael hata hivyo ni kwasababu Israel ilimuacha Mungu wa baba yake Ibrahimu na kuanza kuabudu baali. Baada ya kifo cha mfalme Sulemani taifa la Isarael liligawanyika kabila kumi zikabakia kaskazini na hii ndiyo ikawa Israel na mji wake mkuu ukwa Samaria. Zile ksbila mbili ya Benjamin na Yuda wao wakabi kusini na hii ndiyo ikwa nchi ya Yuda na mji wake mkuu ukabaki Yerusalemu huko ndiko
hekalu lilipokuwa. Mwaka wa 722 hadi 721 B.C Sargon wa II mfalme wa Assyria (Ashuru) alivamia Israel yaan zile kabila kumi za kaskazin na kuwachukua mateka wote, kwahiyo hawakurudi mpaka hii leo na sababu ni kwamba walimuasi Mungu na kujitengenezea maashael na kuyaabudu pia wakawa wanawatoa watoto sadaka za kuchoma moto mbele ya hizo sanamu 1 Wafalme 17:5-23.

Wakati wa Nabii Isaya Sanekarebu mfalme wa Assyria alijaribu tena kuivamia Yuda wakati wa Hezekia akiwa Mfame wa Yuda. Lakini neno la BWANA likamwijia Isaya nabii kwaba Assyria watarudi mikono nyuma tazama Isaya sura yote ya 36; na ile 37.

Kwahiyo Assyrian hawakuiweza Yuda kwakuwa Hezekia Mfalme alimlilia BWANA Mungu wa Ibrahimu na akaiokoa nchi; Isaya 37:1-20.

Katika utawala wa mfalme Zedekia mnamo mwaka 586 B.C enzi za nabii Yeremia, Nebukadreza mfalme wa Babeli aliivamia Yuda usiku wa manane na kuuharibu mji wa Yesualemu na kulibomoa kabisa Hekalu kwasababu ya dhambi za walizotenda watu wa Yuda mbele za BWANA, Yeremia nabii alipowaambia kutubu walikataa na kutaka kumuua, kwahiyo Yeremia aliishi kwa mateso mda wote. Kwahiyo ndugu yangu Yuda au Wana wa Yuda au Wayahudi walipelekwa utumwani Babeli leo ni Iraq huko wakakaa miaka 70 na kisha walilejea mwaka ule wa 516 B.C na kuijenga tena nchi yao na mji wa Yerusalem kama nilivyoandika hapo awali.

Hivyo leo hii zile kabila mbili yaani Yuda na Benjamini ndiyo Isarael iliyopo leo. Hata hivyo Mungu kupitia nabii Isaya aliahidi kuzikusanya kabila zote kumi na mbili za Isarael siku za mwisho, rejea tena Isaya sura zote hizi 41; 43; 44 na 54. Isaya aliwaona wanarudi wakiwa wamebebwa na ndege aina ya tai, leo hii tunashuhudia Waisrael toka pande zote za dunia waarudia kwao Israel sawsawa na neno la BWANA kwa kinywa cha Isaya nabii mwana wa Amoz.
 
mada iliyoanzishwa israel wamepokea ndege za kivita kinachoongelewa ndani kitu tofauti.
Wewe unadhani aina ya ndege kama hizi zinaagizwa kufanya nini? unakiujua kinachoendelea mashariki ya kati sasahivi? Urusi imeshaingia Syria na haitoki ng'o itabakia hukohuko nakuimarisha jeshi lae huko. USA inakituo cha kijeshi Misri na haitatoka ng'o itabakia hukohuko. Ushindi wa Trump unaumhimu katika hili na kidogo tu umepunguza msuguano kati ya USA na Russia, ila siku zinakuja Russia itakuwa nuungao wa nchi kazaa kisha WWIII inashika hatamu kwahiyo Israel inajua inachokifaya na ndo nchi pekee duniani ikinunua ndege ya kivita ni lazima waifanyie mfumo mpya wa kielectronic usioweza kutambuliwa natafa lolote.
 
Wakristo mnachekesha sana. Aliye andika bibilia alisha waroga mana alikuwa Muisael yani mkisikia
Israel mnachanganyikiwa wakati wao ndio walimua Yesu kama mnavyo dai ni Mungu wenu.
Me sifungamani na upande wowote.Ila kama wwlimuua yesu watashindwaje kuua wanadamu.pande hii inaitaji ubongo mpana sio kuona eti taifa LA mungu huu ni upuuzi mungu gani anae uwa bila huruma.by jah man
 
Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono Israel
Wewe mkristo usiyeisapoti Israel husomi biblia au kama unaisoma huelewi maana ukiilaani Israel unalaaniwa na Mungu mwenyewe ukiibariki Unabarikiwa
 
Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
Muisraeli hana urafiki wala undugu.na wakristo.hawamkubali yesu wala hawampendi.hao unaowaita wapuuzi.ndo wanaompa heshima yesu na mama take.al aqsa kubomolewa ndoto.
 
sasa wewe mkuu ulishaona wapi hatimiliki ya miaka 1000,hata kama ni kweli?,
ndo maana nasema hawa watu ni wakorofi,yaani hampo eneo husika miaka 1000 halafu urudi kudai ardhi kwa hati miliki ipi?.

Kwa mfano leo pale magogoni ikulu ukirudi miaka 1000 hutaikuta ikulu tena,labda utakuta ni eneo imejengwa shule ya wapemba ya sekondari,au kiwanda cha kutengeza spaceship,
 
Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
huo ni ubadilishanaji wa teknolojia tu mkuu kwasababu israel pia wanatengeneza ndege zao na vifaru vyao pia. wako mbali sana kiteknolojia na kiuwezo wa vita, na kwasababu nchi yao ni ndogo, huwa hawapotezi muda au kumpa adui nafasi hata kidogo kwasababu wanajua adui akipata nafasi tu ataleta madhara makubwa. hivyo ukiona hivyo wanataka tu kupokezana silaha etc, lakini sio kwamba hawawezi kuishi bila US.
 
sasa wewe mkuu ulishaona wapi hatimiliki ya miaka 1000,hata kama ni kweli?,
ndo maana nasema hawa watu ni wakorofi,yaani hampo eneo husika miaka 1000 halafu urudi kudai ardhi kwa hati miliki ipi?.

Kwa mfano leo pale magogoni ikulu ukirudi miaka 1000 hutaikuta ikulu tena,labda utakuta ni eneo imejengwa shule ya wapemba ya sekondari,au kiwanda cha kutengeza spaceship,
sio kwamba wayahudi wote waliondoka eneo lile, walibaki baadhi ila wengi waliondoka. hata wakati wa utawala wa ukoloni wa waingereza na hata warumi, kulikuwepo wayahudi wengi tu pale hawakuondoka, na kulikuwepo na waarabu/wafilisti/wapalestina/waphilistia hapo.
 
Lile limsikiti naona umesha fika muda wake WA kugeuzwa kifusi tu cha Udongo,,

Maana Waislael kwa nia safi kabisa wameamua kumtoa CHATU jike alie atamamia Mayai yke kwenye kona ya Chumba Chao.
Ngoja tusubiri haka kamchezo mwisho wake. Hii ni vita mpya ya WAFILISTI na MAYAHUDI.
 
Tofauti yako na Mimi wewe Ni Religious Fanatic, Mimi ni Mfuasi wa Kweli wa Kristo ambaye alikuja Kuiokoa Dunia yote. Lakini siasa ya Dunia hii inakudanganya kuwa Wapo wanadamu wanaostahili zaidi Kwa kupendwa zaidi na Mungu. Lakini sijui kama ulishasoma Biblia na Kuona Yesu alisema nini Kwa Lile Tawi la mzabibu lililomkataa! Tunachojazwa Leo ni Siasa za Waliojawa na Kiu za Damu za wengine. Yesu hana Kabila pendeleo, Wote watakaompokea Atawapa Uwezo Kuwa wana, Ennendeni Ulimwenguni Kote mkawafanye watu Kuwa Wanafunzi wangu, watakaomkubali mwana wanao uzima na watakaomkataa mwana hukumu ya Milele. Je ni Kinanani walimkataa na Kumuuwa Yesu na Wanamkataa hata leo? Je ni Kina nani Wanamkataa Yesu kuwa Mwana wa Mungu? Wote Lao Moja!
umeshika againjpys mkuuu
 
Unaonekana hata hujui historia ya Israel na ya mashariki kati kwa ujumla; si dhani kama unauelewa unabii wa Biblia juu ya Israe na siku za.mwisho; kama wewe ni mlokole basi kwahili pole sana, nenda kumuulize mchungaji wako juu ya mambo haya, muulize hekalu alilolijenga Sulemani liko wapi? na kama halipo ni nani alilibomoa tena ni lini? Je hekalu alilolikuta Yesu Kristo liko wapi? maana Biblia inasema wazi kuwa Yesu aliingia hekaluni na mafarisayo wakaanza kumuuliza maswali, je hili hekalu nani aliliboa na ni lini,

halafu tafuta kujua utofauti kati ya hekalu alilolijenga Sulemanibna lile alilolikuta Yesu. hii itakusaidia kujua nini kinaenda kutokea madhariki ya kati hasa Israel. Tafuta uhusiano wa hekalu linalotaka kujengwa na Wayahudi na ujio wa mara ya pili wa Kristo. Soma Ezekieli sura mbili hizi zote 38 na ile ya 39 kisha ujue Mungu alimwambia nini Ezekieli kuhusu Israel na siku za mwisho; tafuta kujua chanzo cha vita ya magogu na ile Arimagedoni. Basi ikiwa wewe unajaribu kuwa na huruma zidi ya wafilisti basi hiyo ni huruma yakwako wala Mungu hayumo kwenye hiyo huruma ni lazima yote yatimie yaliyoandikwa. kumbuka vita ya Israel na wafilisti ni ya tangu enzi za Joshua, Waamuzi, Samweli, Mfalme Sauli, Mfalme Daudi hadi leo hii, na mwisho wa yote hayo Israel ndiyo mshindi wa hii vita ikiongozwa na Kristo mwenyewe akiwa MFALME.

Mh! yaani uilinganishe Israel na S. Africa? nyingine ni nchi ya Agano na Ahadi tena Takatifu halafu hiyo S. Africa yako in nchi ya kawaida tu kama zilivyo nchi nyingine tu mfano
S. Sudan. Kwa miaka zaidi ys 1896 Wayahudi walisambaratishwa na Rumi mwaka 70 AD, mwaka wa 1945 baada ya WWII wakarejea sawaswa na neno la Nabii Isaya sura yote ya 54. Pole sana kwa wanaowaunga mkono wafilisti ila hawatafanikiwa hata kidogo maana mpaka mipaka yote na ardhi yote ya Israel ichukuliwe na Wayahudi kama ilivyotajwa na Mungu akimwambia Musa yaani kuanzia mto Jordan hadi milima ya goran ya Syria, hadi upande wa gaza na Yerushalayim yote bila kuigawanya ndiyo mji mkuu wa Yisrael. Hapa akina arafat, abas na wote akina yahe hawana chao.
We jamaa wewe! Laiti kama ungejuwa hao Wayahudi unaowatukuza jinsi wanavyomchukulia Yesu sijui kama povu lingekutoka humu,Halafu kaa ukijuwa kwamba,hata wewe kwa Myahudi huna thamani yoyote zaidi kukuona kama kiumbe usiye na thamani na muelekeo wowote.We endelea kumtukuza tu.
 
Back
Top Bottom