Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

Binadamu anamwabudu Mungu,sio hekalu,sinagogi ama msikiti.
Kwani hizo ni nyumba tu.
Iwe jerusalem,maka au newyork,they are just the house.

Mtu ambae mababu zake wameondoka huko miaka 1000 iliyopita anarudi kudai kiwanja,huyo ana matatizo ama anatumia nyumba kama kisingizio tu,
kwa standard hatimiliki ya eneo ni miaka 99 tu.
 
Watanganyika sijuh mna matatizo gani yani kila inapozungumziwa israel tayali mnakwenda kwenye udini hata yakiwa mambo ambayo uhitaji uwepo wa roho mtakatifu unaitaji akili ndogo tu tena yenye uwezo wa 2G bado mtu anaingiza udini na bahati mbaya ndani ya israel ni
76.1% jewish
16.2%muslim
2.1%christian
1.6% druze hawa ni kma waislam tu
4%wapagani
so wapagani ni wengi kuliko chrstian
hapa tujadili hoja si kuleta vifungu vya maandiko ambayo wakat wingine sioni kama vinafaa mada ni mambo ya kijeshi si kidini sasa vifungu vya maandiko vya nini????
israel ndio nchi inayopokea misaada mingi kutoka US na kwa mwaka US inatoa 4.4 billion usd kwa jeshi la israel na hii kampuni ya Lockheed Martin watengenezaji wa hyo ndege ya F -35 na nyingne ya Lockheed Martin F-35 Lightning II ambayo ni 5th Generation fighter inauwezo wa kutumika kwenye vitego viwili vya jeshi yani Navy and Air Force fighter ndege hii ilikuwa ni Joint Strike kati ya lookheed martin na Boeing kumbuka Boeing wana kitengo cha Boeing Defense, Space & Security na wamesha tengeneza ndege na vifaa vyiing vya kijeshi kama
Boeing B-54 na B -52
Boeing XB-55
Boeing XB-56
Boeing XB-59 na Boeing X-32 ambayo ndo zilitengezwa pamoja na Lockheed Martin F - 35 Lightning II ambayo ilishinda ktk hyo joint strike
Ubora wa ndege hii ni upi
 
Ubora wa ndege hii ni upi
Swali lako ni kujua ubora wa ndege gani coz nimetaja ndege zaid ya 10 hapo kutoka makampuni makubwa ya Defense, Space & Security ambayo ni Boeing na ndege yake mpya ya X-32 na Lockheed Martin na F - 35 Lightning II
 
F-35 walizopokea juzi Israel
 
Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
Sulemani nae babu zake walifanya uvamizi hapo.
 
Ni kweli kabisa hiyo nchi ilikuwa ya Wakanaanib
kwahiyo wafilisti walikuwa jirani za Wakanaani, Wayebusi, Wahivi, Wamoabu (leo Saudia) Waamori, hebu kwanza tujikumbushe hapa Mwanzo 12:4-9

Joshua ndiye aliyewaongoza wana wa Israel kurithi nchi hiyo ambayo kwenye Mwanzo 12: 4-9 Mungu anamwambia Ibrahim kuwa atawapa
vizazi vya nne vyake yaani kabila kumi na mbili za Israel.

Hata hivyo haikuwa kazi rahisi kivile, ilibidi Joshua kuwaongoza Waisrael katika mapambano makali yaani wakati jua likawa kuelekea kuzama na mapigao ndiyo yamepamba moto ilimbidi kulisimamisha jua na mwezi hadi vita vimalizike.

Sura ya 11:1-23 ya kitabu cha Joshua hapa Biblia inaeleza wazi wafalme ambao Joshua alipigana nao na kuwashinda tena majina ya nchi walizokuwa wanazitawala hawa
wafalme zimetajwa kabisa. Ndugu yangu kama waweza kupata mda kidogo na kusoma Mwanzo kama nilivyoonyesha hapo juu, tena ulinganishe na Joshua 11:1-23 sasa hapo utatambua kuwa Waisrael hawajawahi kuwadhrumu Wapalesitina hata kidogo bali Waisarael walichukua nchi ya Wakanaani tu, Na wao wafilisiti leo Wapalesitina walikuwa maadui wakubwa wa Waisrael tangu kuanzishwa kwa taifa la Israel, hawa ndo akina Delila na akina Goliath.

Sasa mwaka 70 AD pale Wayahudi waipovamiwa na Rumi kisha kusambalarishwa kutoka kaitila nchi yao basi adui zao wafilisiti (Wapalestina) walishangilia na baadaye wakaichukua nchi ya Yuda na kuanza kuikalia maana wenye nao wametawanywa na hekalu likabomolewa; mwaka 705 AD hawahawa Wafilist (Wapalestina) wakajenga msikiti wa al aqsa pale pale hekalu lilipokuwa limesimama kwenye Mlima Moria mashariki mwa mji wa Yerushalayimu.

Nimalizie tu kwa kusema kuwa Waisrael hawajachukua kipande chochote cha Wafilisti bali walichkuanchi ya Wakanaani, Wakanan siyo wapalestina. Ila Wapalesrina ndiyo waliichukua na kuikalia nchi ya Yuda (Israel ya sasa) baada ya wenye nayo kutawanywa, lakini tayari wenye nchi walisharudi 1945 baada ya WWII, kwahiyo wanaikomboa nchi yao toka kwa wavamizi wapalestina.
 
Tofauti yako na Mimi wewe Ni Religious Fanatic, Mimi ni Mfuasi wa Kweli wa Kristo ambaye alikuja Kuiokoa Dunia yote. Lakini siasa ya Dunia hii inakudanganya kuwa Wapo wanadamu wanaostahili zaidi Kwa kupendwa zaidi na Mungu. Lakini sijui kama ulishasoma Biblia na Kuona Yesu alisema nini Kwa Lile Tawi la mzabibu lililomkataa! Tunachojazwa Leo ni Siasa za Waliojawa na Kiu za Damu za wengine. Yesu hana Kabila pendeleo, Wote watakaompokea Atawapa Uwezo Kuwa wana, Ennendeni Ulimwenguni Kote mkawafanye watu Kuwa Wanafunzi wangu, watakaomkubali mwana wanao uzima na watakaomkataa mwana hukumu ya Milele. Je ni Kinanani walimkataa na Kumuuwa Yesu na Wanamkataa hata leo? Je ni Kina nani Wanamkataa Yesu kuwa Mwana wa Mungu? Wote Lao Moja!
Umeongea vema. Siasa za dini bwana, zinawafanya hata wautafsiri hovyo hovyo unabii
 
Wkt tunawasujudia wana wa Israel kama Taifa teule la Mungu na Yesu ni mwana wa Mungu..kwa nn mpk leo Wayahudi/wana wa Islael sio wafuasi wa Krisyo bali wana dini yao tofauti?ni kama hawamtambui kamawana wa Mungu kama mamilioni ya wafuasi wake wanavoamini kupitia maandiko?
 
Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
-Hivi ukibakwa na muisraeli utamfanyaje?
 
KUWENI MAKINI NA UTAPELI HUU WAFANYABIASHARA TIGOPESA & MPESA
 
Ni kweli kabisa hiyo nchi ilikuwa ya Wakanaanib
kwahiyo wafilisti walikuwa jirani za Wakanaani, Wayebusi, Wahivi, Wamoabu (leo Saudia) Waamori, hebu kwanza tujikumbushe hapa Mwanzo 12:4-9

Joshua ndiye aliyewaongoza wana wa Israel kurithi nchi hiyo ambayo kwenye Mwanzo 12: 4-9 Mungu anamwambia Ibrahim kuwa atawapa
vizazi vya nne vyake yaani kabila kumi na mbili za Israel.

Hata hivyo haikuwa kazi rahisi kivile, ilibidi Joshua kuwaongoza Waisrael katika mapambano makali yaani wakati jua likawa kuelekea kuzama na mapigao ndiyo yamepamba moto ilimbidi kulisimamisha jua na mwezi hadi vita vimalizike.

Sura ya 11:1-23 ya kitabu cha Joshua hapa Biblia inaeleza wazi wafalme ambao Joshua alipigana nao na kuwashinda tena majina ya nchi walizokuwa wanazitawala hawa
wafalme zimetajwa kabisa. Ndugu yangu kama waweza kupata mda kidogo na kusoma Mwanzo kama nilivyoonyesha hapo juu, tena ulinganishe na Joshua 11:1-23 sasa hapo utatambua kuwa Waisrael hawajawahi kuwadhrumu Wapalesitina hata kidogo bali Waisarael walichukua nchi ya Wakanaani tu, Na wao wafilisiti leo Wapalesitina walikuwa maadui wakubwa wa Waisrael tangu kuanzishwa kwa taifa la Israel, hawa ndo akina Delila na akina Goliath.

Sasa mwaka 70 AD pale Wayahudi waipovamiwa na Rumi kisha kusambalarishwa kutoka kaitila nchi yao basi adui zao wafilisiti (Wapalestina) walishangilia na baadaye wakaichukua nchi ya Yuda na kuanza kuikalia maana wenye nao wametawanywa na hekalu likabomolewa; mwaka 705 AD hawahawa Wafilist (Wapalestina) wakajenga msikiti wa al aqsa pale pale hekalu lilipokuwa limesimama kwenye Mlima Moria mashariki mwa mji wa Yerushalayimu.

Nimalizie tu kwa kusema kuwa Waisrael hawajachukua kipande chochote cha Wafilisti bali walichkuanchi ya Wakanaani, Wakanan siyo wapalestina. Ila Wapalesrina ndiyo waliichukua na kuikalia nchi ya Yuda (Israel ya sasa) baada ya wenye nayo kutawanywa, lakini tayari wenye nchi walisharudi 1945 baada ya WWII, kwahiyo wanaikomboa nchi yao toka kwa wavamizi wapalestina.
hakuna kabila la caanan,lilikua ni jina la eneo lenye mkusanyiko wa jamii mbalimbali,maana naona unajichanganya na kudhani ni kabila fulani.
Kama ilivyo hamna kabila la wapalestina.
Wenyeji wa hapo walikuja kuwa arabised ndo maana wanaongea kiarabu,
nikupe mfano hawa wa amonite,wana wa Amon walikaa maeneo ya jordan ya leo ndo maana hata mji mkuu wa jordani unaitwa Aman
 
mkuu hakuna mahali popote niliandika au kusema kusema kabila la wakanaani, mimi nilisema wakanaani, nisawasawa na mtu kusema watanzania hajamaanisha kabila la watanzania; hebu nionyeshe nilipoandika kabila la wakanaani ili nirekebishe haraka maana hakuna kabila hilo ila kuna wakanaani.

Ndo maana tunapinga ule usemi ya kwamba Waisrael wanachukua ardhi ya wafilist hicho kitu hakipo kabisa ni uongo tu unaonezwa na wavamizi wa kifilisti wanaotaka kuchukua ardhi ya Israel. Hata hivyo kwasasa hawana huo ubavu na Israel ina haki ya kuirudisha ardhi yake yote iliyokwapuliwa na wafilist-palestina na Yerushalayimu haigawanywi hata kama wangefanyaje wataambila patupu hadi yote yaliyoandikwa yatimie.
 
ha ha ha,yaani mkuu bado uko gizani kweli,jitahidi usiondoke hapa duniani ukiwa unaamini vitu visivyokuwepo,maana maisha yako hapa utakuwa umefanyia hasara kweli kweli.

Wewe mwenyewe kwa kudhania wacaanan ni kabila,umesema kuwa caanan ilikuwa ya wakaanan na si wafilist.

Ambacho huelewi ni kuwa wafilist nao ni moja ya makabila yaliyokuwa yakikaa caanan kabla hata nabii moses hajazaliwa.
Sasa nani alimkuta mwenzake kati ya wayahudi na wafilist?

In case hujui mji wa Gaza una umri wa takribani miaka 3000 hapo ulipo,na upo kwa jina hilohilo la gaza tangu miaka hiyo,unaaweza kuzidiwa na mji wa damusca ambao una miaka 4000,

wakati jerusalem kikiwa kijiji,Gaza tayari ulikuwa ni mji mkubwa tu
 
Umeongea vema. Siasa za dini bwana, zinawafanya hata wautafsiri hovyo hovyo unabii
Kwakweli kama ndo nawewe ni mmoja wa wakristo wanaojaribu kuutenga ulimwengu wa kisiasa na takuio la kuja kwa mara ya pili kwa Kristo basi huwezi hata kuelezea ni nini kinaendelea duniani sasa hivi lulinganisha unabii wa kibiblia. Hiv wale wanyama wa nne kwenye kitabu cha Daniel kumbe ni viongozi wa dini nasiyo siasa? mnajua mda wa kupanda na kuvuna ila hamjui kusoma alama za siku za mwisho??
 
ha ha ha,yaani mkuu bado uko gizani kweli,jitahidi usiondoke hapa duniani ukiwa unaamini vitu visivyokuwepo,maana maisha yako hapa utakuwa umefanyia hasara kweli kweli.

Wewe mwenyewe kwa kudhania wacaanan ni kabila,umesema kuwa caanan ilikuwa ya wakaanan na si wafilist.

Ambacho huelewi ni kuwa wafilist nao ni moja ya makabila yaliyokuwa yakikaa caanan kabla hata nabii moses hajazaliwa.
Sasa nani alimkuta mwenzake kati ya wayahudi na wafilist?

In case hujui mji wa Gaza una umri wa takribani miaka 3000 hapo ulipo,na upo kwa jina hilohilo la gaza tangu miaka hiyo,unaaweza kuzidiwa na mji wa damusca ambao una miaka 4000,

wakati jerusalem kikiwa kijiji,Gaza tayari ulikuwa ni mji mkubwa tu
kiswahili ni kigumu sana na sishangai watanzania kushindwa kukielewa ila wanafunzi wa kichina na kizungu wanakipata sana kuliko watanzania, kusema wakanaani haimanishi kabila la wakanaani elewa hata kidogo hicho tu,nimekuomba uniwekee red pale nilipoandika kabila la wakanaani umeshindwa sasa sijui ulishindwa wapi kuelewa??

Lakini jibu umelipata kuwa wafilisti ndo wanaotaka kuwaibia Waisrael ardhi yao kwa madai eti hiyo ni nchi yao, hakuna kitu nchi yao ni philistine kule kwa akina Delila na Goliath na siyo Canaan. Kwahiyo wanatakiwa kuhama Yerusalemu waende gaza huko na huyo mungu wao dagoni.
 
Kwakweli kama ndo nawewe ni mmoja wa wakristo wanaojaribu kuutenga ulimwengu wa kisiasa na takuio la kuja kwa mara ya pili kwa Kristo basi huwezi hata kuelezea ni nini kinaendelea duniani sasa hivi lulinganisha unabii wa kibiblia. Hiv wale wanyama wa nne kwenye kitabu cha Daniel kumbe ni viongozi wa dini nasiyo siasa? mnajua mda wa kupanda na kuvuna ila hamjui kusoma alama za siku za mwisho??
Wapuuzi wamesema hayo Tangu day one Yesu alipokufa! Walijua kuwa mwisho ungekuwa mwezi Ujao. Ukweli ni Kuwa Utakesha sana! Kuna Udanganyifu wachungaji wanafanya kuhusu hayo unayosema. Hata pamoja na Biblia tulio nayo Ufahamu tulio nao Wakristo juu ya Mungu, Mapenzi na Mipango yake Naweza Kusema ni %0.00000000 bin nothing. Ndio Maana Ukitaka uwe upande salama, Msingi wa imani yako uwe Ni ile sala Kuu aliyotufunidisha Yesu, Baba yetu uliye Mbinguni... Sisemi iwe neno kwa neno bali hiyo iwe structure ya imani yako. Usijifanye kumjua Mungu anataka na atafanya nini.

Ukitaka kushaangaa Siku moja Mungu alimwambia Musa nitawaangamiza Wana wa Israeli wote hapa Jangwani, halafu kutoka wewe nitaanzisha Taifa jipya. Musa akamwambia, hiyo itakuletea scandle, watu, hasa wamisri watachonga kuwa uliwadanganya utawapa nchi ya ahadi na ukashindwa ndio maana ukawaua. Bora uniue mimi, Mungu akamwambia Musa hapo umetoa point. Sasa Wewe unayejifanya unajua sana Mapenzi ya Mungu, Je Musa alikuwa na Hekima zaidi ya Mungu kwa hili? Najua utakimbilia jibu rahisi. Alimjaribu ili aone Musa angesemaje, No Mungu alikuwa very serious!

Na kwa Kuwa ulisema ati nikinukuu maandiko ndio utaamini Mimi Mkristo soma, Mambo ya Nyakati 9:13_14
 
Back
Top Bottom