Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah


View: https://x.com/marionawfal/status/1843207134877528173?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hii ndo kazi ya vita,tuwapongeze kwa kutoiacha miili ya ndugu zao izikwe na matrekta kama ya hamas.
 
Hii ndo kazi ya vita,tuwapongeze kwa kutoiacha miili ya ndugu zao izikwe na matrekta kama ya hamas.
Wanazikwa watoto siyo wanajeshi.

Mbona kuna maiti nyingi tu za Waislael zipo Gaza.
 
Mambo ya muhimu kuyakumbuka ni kama ifuatavyo
Mwanakulitafuta ndo mwana kulipata.
Rais wa iran alidondoshwa na ukungu
Kiongozi wa hamas akaenda kumzika akaondoshwa katikati ya tehran
Kiongozi wa hisbora akajitahidi kulipa kisasi akaondoshwa.
Mrithi wake mpaka sasa hajulikani alipo.
ndo hayo.
 

View: https://x.com/zainabali_72/status/1843004152248754515?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kugusa Lebanon hawakugusa waingie kwenye tunnels haha hio video una uhakika ni Lebanon au ni ya bollywood 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…