Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.