Inakuuma kutajwa?huwa hampendi ?Jikite kwenye mada wewe mdau unayesambaza maudhui ya kishoga mana ndio yamekukaa akilini mwako.
Wahurumie kwanza ndugu zako wa Sudan jombaa! Watu wanachinjana la kuku huko! Toa kauzi kadogo angalau ka kuwalilia!Mataifa yako kimya na machache yanalaani tu.
Kosa ni hao walioanzisha vita. Kumbukeni vita havina machoKinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Wahurumie kwanza ndugu zako wa Sudan jombaa! Watu wanachinjana la kuku huko! Toa kauzi kadogo angalau ka kuwalilia!
Wapalestina walichomeka na makombora ya hamas hapo rafah jeshi la israel lilifatilia maroketi yalirushwa na hamas hadi Tel Aviv yalipotokea israel ikashambulia hiyo ghala ya silaha la hamas ndio mlipuko mku bwa ukatokea ikawachoma hadi raiaKinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Kwahiyo unaungana na Mkapa kutowaonea huruma Wasudan? Basi sawa!Yule Mkapa alikuwa akipeleka silaha Sudan mpaka masanduku yalikamatwa yakiwa na nembo ya JWTZ yakaonyeshwa kwenye Gazeti la Gurdian la UK alikuwa kasahau Wale ni ndugu Zake ?
Kweli wewe ni mtoto wa shule yaani hata alama ya kuulizwa huijui maana yake ?Kwahiyo unaungana na Mkapa kutowaonea huruma Wasudan? Basi sawa!
Wapalestina walichomeka na makombora ya hamas hapo rafah jeshi la israel lilifatilia maroketi yalirushwa na hamas hadi Tel Aviv yalipotokea israel ikashambulia hiyo ghala ya silaha la hamas ndio mlipuko mku bwa ukatokea ikawachoma hadi raia
Sasa Ustadh unapigwaje na shoga mpaka unalia Lia na kutoa huruma SI uendelee kipambana naye kimya kimya? au ndio mtu na shoga yake wanatifuana?
Hamas wanapata walichokitaka
Hakuna taifa la kuingilia ugomvi wa nchi zinazopigana. 1994 genocide ilitokea huku vikosi vya France nadhani zilikuwepo Rwanda, mkishindwa kutengeneza amani yenu hakuna nchi itakayowaletea amani, Palestinians na Jews ni jamii moja, jews wanafanana wa arabs lakini wana European life style socially, economically and politically ambapo wapalestina wana Arabic life style, hawa watu wakiamua wanaweza kukaa pamoja wakaishia ndani ya nchi moja inayoitwa Israel na wakaunda vyama vya siasa wakaanza kupambana kisiasa. Lakini wakiendelea kulishwa upepo na Iran kuwa jews inatakiwa waangamizwe na kusukumizwa bahari ya mediterranean Israel ataendelea kuwa mbabe na kufanya lolote.Mataifa yako kimya na machache yanalaani
V
Hakuna taifa la kuingilia ugomvi wa nchi zinazopigana. 1994 genocide ilitokea huku vikosi vya France nadhani zilikuwepo Rwanda, mkishindwa kutengeneza amani yenu hakuna nchi itakayowaletea amani, Palestinians na Jews ni jamii moja, jews wanafanana wa arabs lakini wana European life style socially, economically and politically ambapo wapalestina wana Arabic life style, hawa watu wakiamua wanaweza kukaa pamoja wakaishia ndani ya nchi moja inayoitwa Israel na wakaunda vyama vya siasa wakaanza kupambana kisiasa. Lakini wakiendelea kulishwa upepo na Iran kuwa jews inatakiwa waangamizwe na kusukumizwa bahari ya mediterranean Israel ataendelea kuwa mbabe na kufanya lolote.
Hata Urusi hakufuata maamuzi ya ICC, watu wakipigana we acha watamalizana wenyewe.Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel limeuchukua ukanda wa mpaka unaoitwa Philadephi ambao unatenganisha Gaza na Misri.
Tangu jana wakati vifaru vya Israel vilipoonekana katikati ya Rafah hakujaripotiwa kutokea mapigano makali na zile bataliani za Hamas ambazo Israel ilisema zimebaki eneo hilo.
Kinachoonekana ni mauaji mabaya ya kuchoma moto watu wazima wazima wakiwa kwenye kambi eneo ambalo mwanzoni waliambiwa ni salama kukimbilia.
Kilichowazi kingine ni kuwa kama alivyosema raisi wa Colombia mataifa makubwa ya dunia yanayojiita ya kidemokraisia na mataifa raifiki yote ni washirika wa Israel katika kuwakosesha amani watu wa Palestina.
View attachment 3002534
Yale mapikipiki ya kupaa angalia Hamas wameyakimbia? Israeli anapiga ufagio wa chuma.Wanapiga watu wasiyo na silaha yoyote na bado wanaangaika! Wale wenye silaha kama Hezbollah wanafanya kuwavizia halafu mashabiki wao wanawaita taifa teule! Labda taifa teule la mashoga.