Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ


Mvamizi ni mvamizi tu, hata awe na nguvu kiasi gani, pale sio kwake, end of the day ataondoka tu.
 
Hayo mataifa yako kimya yanaogopa yakilaani nayo yatalaaniwa.

Wajanja sana.
Hakuna kitu kama hicho. Kuilaani Israel hii ya mchongo hakuna uhusiano wowote na kulaaniwa na Mungu. Mungu hajawahi kuwa mbaguzi aumbe watu bilioni nane halafu ateue kakikoba ka watu wachache tu etiaite taifa teule. Never. Mungu hana ubaguzi wala element za ubaguzi
 
Sawa ; lakini alishafanya hivyo na ikawa hivyo na hahojiwi.
 
Yule Mkapa alikuwa akipeleka silaha Sudan mpaka masanduku yalikamatwa yakiwa na nembo ya JWTZ yakaonyeshwa kwenye Gazeti la Gurdian la UK alikuwa kasahau Wale ni ndugu Zake ?
Weka link mkuu
 
Nawaona wayahudi weusi mkishangilia na wengine wakiwa kwenye ofisi za serikali wakichekelea ugaidi wa mzayuni.
Hahahah! Mlivyovamia oct7 na kuua watz wawili pamoja na raia wengine zaidi ya 1500 mnategemea nn?
 
Hao wanaouawa au kujeruhiwa, miongoni mwao wapo Magaidi halisi, wapo wanaoficha siri - Hawataki kusema walipo wapiganaji wa HAMAS i.e. Wataje HAMAS wako wapi (ilhali wanajua), wapo wanaokuwa ni visiki/ vizuizi (stumbling stones) i.e. wanatatiza operation kazi ya kuDeal/kuwasaka HAMAS nakuwa-neutralise, wapo wenye viburi na Dharau hawataki kutii AMRI ya kijeshi e.g. wanaAmriwa kutoka nje lakini hawataki, wapo wale wasio na tija (useless guys) hawa ni kwa mfano ni majeruhi tayari au wamedhoofu mno (at their last breath) kupitiliza au wamechizika kwa vita na hofu n.k. na wapo wengine wanafanya dhihaka au utani e.g. kurusha mawe, kutukana, kutoa sauti inayoashiria chochote chaweza kutokea e.g. Kuropoka/kupayuka "Allaah' abar" ilhali wanajua Wapiganaji wa IDF wapo hapo na wanapitisha msako.
Mwisho, kuna lile kundi dogo sana la bahati mbaya.
 

Umekuwa msemaji wa IDF ??
 
We ukiambiwa umwamini Mungu wa kweli uelewe. Israel mpk wamemwua rais wa Iran mnataka mjue nn tena?
 
We ukiambiwa umwamini Mungu wa kweli uelewe. Israel mpk wamemwua rais wa Iran mnataka mjue nn tena?

Ndivyo walivyokuambia tena wapi ?? weka ushahidi , huyo Mungu wa kweli ni yupi yule aliyepigwa Ngwidi na wayahudi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…