Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

Wanapiga watu wasiyo na silaha yoyote na bado wanaangaika! Wale wenye silaha kama Hezbollah wanafanya kuwavizia halafu mashabiki wao wanawaita taifa teule! Labda taifa teule la mashoga.
Waliotekwa walikuwa na silaha gani?
 
Waliotekwa walikuwa na silaha gani?
Hawawezi kujibu hilo -ila Wanakazania tu kuwaita ni Taifa la mashoga ilhali wao wanaowania mabikra 72 na mito ya pombe wameshaswagwa kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani hadi sasa wamefikishwa Rafah machinjioni.
 
Hawawezi kujibu hilo -ila Wanakazania tu kuwaita ni Taifa la mashoga ilhali wao wanaowania mabikra 72 na mito ya pombe wameshaswagwa kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani hadi sasa wamefikishwa Rafah machinjioni.
Kama Taifa la mashoga linawaburuza wao.... Watakuwa ni akina nani? Yaani ni sawa mwanaume upate kichapo unakimbia unalia unasema aliyekupiga ni shoga. Wewe utakuwa nani? Wanatapata tapa tu wacha wachapwe mbwa hao walikuwa wana beep wenzao wamewapigia.
 
Wanafunzi wanasheherekea kwenye kambi za jeshi?
Unakusudia walivunja sheria za kimataifa.Hamas walichofanya ni kidogo mno kuliko walichokwishafanyiwa wao kwa takriban karne moja.Mbona huanzii huko.
Kama huko nyuma hukuwepo.Jee hizi hukumu za mahakama na maazimio ya UN mwaka huu hujayasikia ukajua tu mayahudi ni nani katika dunia hii.
 


وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Watazaliwa milioni 20 na kuendelea kuwaandama mayahudi.Kama hawatatumia akili kukubali maazimio na amri za mahakama na wao hawataishi kwa utulivu daima.
Osama bin Laden baada ya kuuawa na Wamarekani miaka iliyopita wanezaliwa ma Osama wapya wangapi na wapi?
 
Osama bin Laden baada ya kuuawa na Wamarekani miaka iliyopita wanezaliwa ma Osama wapya wangapi na wapi?
Kwani Osama na Yahya Sinwar nani ni mkali zaidi ya mwenzake.
Osama alikuwa mpole sana walitumia jina lake tu kufanya ufisadi.Baada ya kutangaza mchezo wa kumuua Osama amtekea mbabe wa kweli kuliko huo ukali wa bandia waliomtangaza nao Osama.
 
Mpaka hapo mumepata funzo, mlidanganywa na muarabu kutafuta ugomvi kwa Myahudi, hehehe yule ni katili, hayo maugaidi yenu fanyeni kwa Wakristo temaneni na Wayahudi mtakufa sana.
 
Acha hizo broo. Hayo maandishi "وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ" mm sikuambua kitu hapo. Nilidhani ni Nota za muziki kumbe sio. Any way; Wamekuelewa wenzako.
Ni kutokana na kushupalia eti ..."aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu..." mtaendelea kuteseka sana. Don't be rigid to that extent kiasi kwamba hamtaki kutoka nje ya box.
 
Hawawezi kujibu hilo -ila Wanakazania tu kuwaita ni Taifa la mashoga ilhali wao wanaowania mabikra 72 na mito ya pombe wameshaswagwa kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani hadi sasa wamefikishwa Rafah machinjioni.
Hiyo aya ni ya kitabu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…