Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

Wazee wa kulia lia
 
Hizo ni propaganda zenu Mayahudi ili kutuaminisha kuwa mpo Gaza wakati mpaka sasa mpo mmekwama mpakani mnaogopa kutia mguu Gaza sababu mnajua vizuri kwamba mkijaribu kuingiza hata pua ndani ya Gaza HAMAS itawafyekelea mbali.
 
Ni kama hamas imekipata ilichokua inatafuta walichoka kuongoza gaza
 
Mimi naona sawa tu. Hamasi ni mashetani na ni wapalestina na ndio walioanzisha chokochoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…